DR.SLAA ANAONGEA SAKATA LA MSIGWA KUHAMIA CCM ZAKARIA OBAD WA CHADEMA KUFICHUA MAZITO KINACHOENDELEA

  Рет қаралды 25,188

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

29 күн бұрын

Пікірлер: 80
@MussaMbegu
@MussaMbegu 27 күн бұрын
Msigwa kama ameshindwa kuchangia demokrasia CHADEMA, Hana cha kubadili CCM.
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 27 күн бұрын
Abaki kama kiongozi mkuu wa chama kama zito. Ila Chadema sitoki japo nilikuwa nampenda Msigwa ila alichokifanya sina imani naye
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c 24 күн бұрын
Duu siasa wew mzee siulikimbiga chadema
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 27 күн бұрын
Msigwa kaonyesha udhaifu wake, heri kaondoka, unafiki wake umedhihirika,
@johngibson3089
@johngibson3089 27 күн бұрын
For sure
@jumajukikoti8133
@jumajukikoti8133 27 күн бұрын
Umeongea point muhimu sana kaka Zakaria
@kambaragemuya8167
@kambaragemuya8167 27 күн бұрын
Inawezekana Msigwa ametumwa na Chadema kazi maalumu
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 27 күн бұрын
Nakubaliana ni ubinafsi uliomsukuma Msigwa kuondoka chadema.Ni ubinafsi uliomtuma kujiunga na ccm na sio vyama vingine maana havina maslahi,na ubinafsi unamdanganya kwamba ataiumiza sana chadema, kumbe anaumiza watanzania walewale aliokuwa akiwatetea kuhusiana na rasilimali zao kuuzwa.na serekali ya ccm. Hivi amehamia ccm kwa sababu imebadilika na sio ile iliyomnyanyasa gerezani,sio ile inayowafukuza wamasai ngorongoro, uwanja wa KIA ,loliondo,nk.siyo ile ambayo imemilikisha waarabu bandari zote na ardhi? Mbona ndivyo msigwa alivyotuambia Jana? Leo vipi? CCM gafla imekuwa takatifu?.
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 27 күн бұрын
Hawaendi kumpigania mwananchi nawajua sana hawa ccm
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 27 күн бұрын
Majadiliano mazuri na yenye tija. Big up
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 27 күн бұрын
Miaka 65 ya fisi yemu kwenye hakuna inatosha achaneni na mbowe hamtamuweza nyuma ya mbowe kina nguvu ya uma
@user-xz3iv1xr1c
@user-xz3iv1xr1c 27 күн бұрын
Mm nadhan hakuna haja ya kuliongelea,upinzani unazid kustawi kwa sababu ya uhafifu wa ccm hasa chini ua serikali hii
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 27 күн бұрын
Kuanzia Leo MSIGWA Hana jipya kwa watanzania waliomwamini. Asante jibu kupasuka. Msigwa jibu na Chama kilichomchukua ni JIPU
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 27 күн бұрын
Naomba sauti ya TANZANIA mwachane kabisa na hoja ya msigwa mnawaweka watu tuition bure na kujiona kwamba msigwa ni wa maana sana. Msigwa alikua wa maana akiwa na kofia na fazi la chadema tayari amzifua na maana,umuhimu na thamani yake imeishia hapo sahauni kama yule alieachwa kaburini.
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 27 күн бұрын
Kwa kauli ya MSUKUMA bungeni ni kwamba Msigwa amekuwa akipokea pesa nyingi kutoka CCM ili ahamie hivyo ilikuwa swala la muda mamluki huyu kuondoka! Amejivua utu na sifa za Msigwa! Ni boya!!
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 27 күн бұрын
Msemaji baada ya mh . Slaa amechangia vema sn na nakubaliana nae. Mh. Msigwa madai yake ni kukosa Uongozi ndani ya Chama. Msigwa amekuwa mbinafsi zaidi nami naunga mkono. Mchungaji kipofu lkn bahati mbaya amepofukia pabaya.... Amechagua uchawa kuliko kuwapigania watanzania. Msigwa njaa imemshinda na hasa njaa bila Uongozi. Alichokufanya Msigwa kitamla ktk maisha yake yote hivyo km kweli mchungaji akatubu. Hakuna dhambi kubwa km kuunga mkono ccm ktk majira haya ! NCHI inamalizwa Msigwa anamaanisha kaunga mkono ! Matibabu na afya ni shida then anaiunga mkono ccm Msigwa ! Mchungaji na tamaa ya madaraka ndio uchague Chama jmn. Kweli wasomi wamekuwa wajinga kuliko wanaostahili kuitwa wajinga. Msigwa ni msaliti km wasaliti wengine wote. Tumsamehe maana njaa ya Mali ht ukipata - haiishi.
@uhurunaumojaonline5653
@uhurunaumojaonline5653 5 күн бұрын
Classmateeeee
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 27 күн бұрын
Msigwa ni msenge tu kama wasenge wengine Hawa ndo nyerere aliwaita malaya aende zake pumbu zake zenye njaa
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 27 күн бұрын
Tulimpenda Sana Kama mtetea haki za wanyonge hatukujua kuwa nikiongozi msaliti kwahiyo yote aliyokuwa anajifanya kukosoa tunajua alikuwa mwongo tu,pole Sana msigwa kwahiyo hata ikiendelea kuropoka mitandaoni itasaidia Nini ingefaa uanze kutubu huko uliko enda kuwa niliwakosea kuwasemea uwongo.
@DamasNakei-bb7le
@DamasNakei-bb7le 27 күн бұрын
Dr ametoa analysis nzuri. Chadema lazima kukubali kukosolewa ili muimarike. Pia ni vema kuheshimu mawazo ya watu, Msigwa kuhamia CCM ni uhuru wake kikatiba. Kuna watu wanatukana, si vema.
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 26 күн бұрын
Hana lolote mbona hata yeye aliondoka CDM kama alikuwa ayajua hayo? Lakini pia aache uongo kuwa CCM haichukui hatua dhidi ya Wanachama wake na hii ni aibu kwa mtu mwenye elimu kama yake na mwenye uzoefu wakati huo huo linajichanganya kua enzi za Mwalimu Nyerere wapo waliofukuzwa, Eti hakumbuki juzi Wanachama wazito kama akina Mzee Lowasa, Membe hata Mwigili walidhibitiwa na chama kuelekea uchaguzi 2015, Akina Mzee Kinana, Makamba, Sofia simba, Jesca Msambatavangu na watu kadhaa wamepata kudhibitiwa ndani ya CCM. Acheni mbamba zenu huwezi kulinganisha CCM na CDM kimfumo hatu kwa robo tuu.
@augustinemukandara9341
@augustinemukandara9341 27 күн бұрын
Zakaria yuko sahihi kabisa. Huyo msigwa ni kumsahau kabisa kama vile hakuwahi kuwapo chadema!! Mapambano yaendelee yeye akaoshe vyombo, au akafue nguo za ccm atajua mwenyewe. Ameshindwa kukukumbuka jana, kulumbuka kauli zake za jana !!!! Hivyo wanamuona kama comedy vile!!! Maana mtu mzima ni sio kuwa umelewa, kuhama sawa, lakini kuanzisha tuhuma dhidi ya viongozi uliokuwa nao jana ni aibu!!! Ni kujifedhehesha!!! Amejiaibisha mwenyewe!!!
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 27 күн бұрын
Hivi Wee Silaha na wengine shida ni nini? Wenyewe mnasema kuwa nchi hii ni HURU, na kila mtu ana UHURU wa kufanya na kuamua alitakalo, sasa POVU linawatoka la nini?
@dastankinyenya5973
@dastankinyenya5973 27 күн бұрын
HAKUNA HIYO HATA DINI HIVYO HIVYO HATA WEWE UNAPIGANIA NAFSI YAKO KWANZA
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 27 күн бұрын
kama kuna boya ni Msigwa yaani hakuna maneno pengine na Karia yake ya kisiasa inakwenda kufikia mwisho
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 27 күн бұрын
UDHAIFU WA MSIGWA
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 23 күн бұрын
Asamehewe maana much msigwa amepotoka tu
@user-kg9xx7ik8g
@user-kg9xx7ik8g 25 күн бұрын
Mzigwa alikua na nguvu kama Sasoni..😂 washiriika wake tulikua mamilion sasa.....??😊
@Meiruzibwe
@Meiruzibwe 27 күн бұрын
Bro uko smart ✌️💪 Ujinga na Ubinafsi. Mch. Musigwa kisiasa kwisha.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 25 күн бұрын
Vitu hivyo havikutumika kwenye issue yako ile ya kumkataa lowassa ukawa
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 27 күн бұрын
CHADEMA NISAWA NA MTOTO YATIMA HAJUWI NANI ATAMSAIDIA
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 26 күн бұрын
Tanzania na Africa hakuna wana siasa , wa wazalendo wapo wachupigania matumbo yao tuu.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 27 күн бұрын
Mm nilishangaaa toka lini mnualu akawa na msimamo?
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 25 күн бұрын
Mimi Bado siamini kama Msigwa anaweza kwenda ccm, nafikir ametumwa kuwadungua.
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 27 күн бұрын
Hivi kweli msigwa nimchungaji au nijina tu Kama wanavyo itwa wengine madoctor?
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 26 күн бұрын
Vema sana unachambua vema kiongozi kwa mkutadha huu ujinga + ubinafsi mkubwa.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 27 күн бұрын
Nyalu muogaaaaaa! Zakaria nakuona,
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 27 күн бұрын
Nilikuwa namtetea Msigwa lkn kwa hili la kurudi ccm Msigwa HAFAI .... Vipande 30 vya fedha vina gharama kubwa . Msigwa utubu. Tulikuamini lkn kumbe ulikuwa JIPU.... Utavuna ulichopanda... Si muda ma-ccm watakutema elewa Hilo.....
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 25 күн бұрын
Msemaji wa kanda ya.Ziwa, nimekukubali jinsi ulivyo mchambua Mch Msigwa. Msigwa ni ubinafsi, ndio uliomtoa CHADEMA. Mimi sio mwana CHADEMA, ni mwanaharakati tu; jamani, chunguzeni hizi roho za viongozi ama.CCM au CHADEMA. Msigwa tumegundua ni upumbavu aliojikobeka mwenyewe. Mshaurini atoke haraka, mbeleni ataaibika zaidi.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 27 күн бұрын
Chadema ndicho chama maana tumeshuhudia viongozi wanaohusishwa na rushwa wakifukuzwa huku wenzetu ccm wakikumbatia viongozi watoa rushwa na wapokea rushwa na ndiomana wanatuletea viongozi wapenda rushwa
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 27 күн бұрын
Msigwa hawezi kudhoofisha chama causebhajijui alifanyalo
@GaradiGaradi-zq1wf
@GaradiGaradi-zq1wf 26 күн бұрын
Unajiunganishaje na clab house
@Evod-dd3kw
@Evod-dd3kw 27 күн бұрын
Naomba niulize huyu msigwa ni mchungaji kweli wa kondoo au wa mbua mwitu?
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 27 күн бұрын
Msigwa una njaa imefika vibaya. Umekitumia chama Cha chadema Kwa miaka ishirin. Chama ulichohamia kina miaka takriban 50 madarakani utawezaje kiksaidia chama CCM kitende haki kama umeshindwa kukivunilia chama amvbacho kina miaka Karibu mara moja na nusu ya umri wa miaka ya chadema
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 27 күн бұрын
Viongozi wote wa CCM ni wabinafsi sana, ndio maana wanapogombea uongozi wantoa rushwa ili wakanufaishe matumbo yao hawana uzalendo, sasa wale wote wanao hamia huko ni kwa maslahi binafsi
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 24 күн бұрын
WE MZEE WACHA UPUNDA WEWE MWENYEWE UNAUJUWA VYEMA MUNGU HAKUPENDI KANISANI UMEFUKUZWA KWA SABABU YA MATATIZO YAKO UNATAKA KUAMBUKIZA TAIFA
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 27 күн бұрын
Msingwa amenisikitisha sana kama kiongozi wa Kiroho ambaye alikuwa akijitanabisha kuwa ni mchungaji na mtetezi wa wanyonge.Anahama chama na kutaja madhaifu ya alikotoka ,Je ukiwambia dhambi /madhaifu yako Si Dunia nzima itajua?
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 24 күн бұрын
Kuhusu muda wa mwenyekiti Mbowe kuongoza chama,siyo hoja muhimu.Kwa mfano:TANU ya Tanganyika ilibadilisha mwenyekiti J.K.Nyerere mara ngapi?,CCP ya 🇨🇳 China imebadili mwenyekiti wake Mao mara ngapi? Muda unategemea Chama chenyewe.Hayo maelezo ya ndugu Msigwa ni upungufu wa ukweli.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 12 күн бұрын
wewe si uliamia CCM nakuima na kuhongwa pesa na ubarozi ulivyo ondolewa ubalozi tu ukaanza maneno ya uchochezi
@MrBeerlahairoi
@MrBeerlahairoi 26 күн бұрын
Kwanini mnamjadili huyu, hana hata mvuto..
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 27 күн бұрын
Hata kumjibu tusimjibu
@NetoMwaseba
@NetoMwaseba 27 күн бұрын
Msigwa angekuwa mvumilivu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 27 күн бұрын
Dr Slaa Chadema ni ile ulipokuwepo wewe sasa hivi ni ya wahuni tu kwanini Mbowe hataki kuachia hiyo ngazi kwani Vijana hakuna ndani ya Chadema
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 27 күн бұрын
Njoo chukua form ruksa
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc 27 күн бұрын
DR SILAA MBONA ULIANZA WEWE NA UKAPEWA FUNGU NA MUENDA ZAKE RUDI CHURCH SIASA ULITOKA KUTAMBO
@johnmligo6966
@johnmligo6966 27 күн бұрын
Una haja gani ya kumsema vibaya mzee kama huyo anayemwaga mapoint KIASI iko???
@bakaribakari167
@bakaribakari167 25 күн бұрын
Hamna lolote wewe Wala yeye Malaya wa siasa bendera fuata upepo TU
@user-ob9mc5zc1k
@user-ob9mc5zc1k 27 күн бұрын
CHADEMA SACCOS YA MTU MMOJA
@richardnganya2311
@richardnganya2311 27 күн бұрын
Kuna vyama CUF TLP NCCR MAGEUZI NLD TADEA nk . Hamvioni Hadi uchaguzi ukaribie ! Hapo inakuwaje katika kutaka mabadiliko ya kweli !
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 27 күн бұрын
Nyinyi watanganyika wazaifu wa hela.tena wajinga mnazalilika sana kuhusu pesa.wajinga.
@user-ec8qn3cv1l
@user-ec8qn3cv1l 27 күн бұрын
Msigwa anaasiri yachoyo nimbinafusi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 26 күн бұрын
Na huyo mbowe mwenyekiti wa milele
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 26 күн бұрын
Na huyo mbowe mwenyekiti wa milele
@user-lr4zc5pg7z
@user-lr4zc5pg7z 27 күн бұрын
Uongozi wa Chadema nawaomba sana muwe na huruma maana Sisi tunatumia muda mwingi na Mali zetu kulijenga chama na kuwajengea majina sasa mnapoanza kuhama kijinga mnawaumiza sana wananchi sasa .
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 27 күн бұрын
Nikwelikama mm binafs Kuna boya mmoja alikua kiongoz hapa arusha tilukawatunajichanga wanachama watano tunatoa 10 Kila mwez kumlipia kod ya chumba akaja kuondoka kiboyaboya Leo anakata tiket stend na kofia yake ya ccm
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 27 күн бұрын
Msigwa anadhani atapewa madaraka ataaibika tu amepungukiwa na hekima kwa siyo mchungaji kwenye siasa Kuna wachungaji? Asiharibu huduma ya kichumgaji yeye ni kibaraka wa siasa
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 27 күн бұрын
Dr SLAA MANENO YAKUKOSA HAYO HUNALAKO UMEKWISHA BABA YETU WALA HUNA MASHIKO WALA MANENOYAKO HAYANA MASHIKO
@silasmponeja
@silasmponeja 27 күн бұрын
Msigwa amenunuliwa ili adhoofishe upinzani
@raymondkafyulilo6636
@raymondkafyulilo6636 27 күн бұрын
Msigwa alikuwa anatunzwa muda mrefu na ccm. Baada ya kukosa uongozi ameamua kuhamia kwa maccm mauaji. Chadema ndiyo imekua
@knight6757
@knight6757 27 күн бұрын
🐍
@HamzaHeri
@HamzaHeri 27 күн бұрын
WEWE SHETANI MKUKI KWA KWA BIN ADAM MCHUNGU KAMA UNGEKUWA TIMAMU UNGEKAA KIMYA USINGEONGEA LOLOTE WEWE ULIWAUZA WENZAKO UKAJIUNGA NA MAGUFULI ACHA USALITI WAHIVYO
@anosiata8242
@anosiata8242 27 күн бұрын
Tunaunga mkono chadema ila mbowe naye apishe wengine . jamani ifike mahari chadema mjitafakali. Chadema siyo mbowe. Miaka aliyoongoza chadema imetosha apishe na wengine Yeye abaki kama mshauli wa chama.
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 26 күн бұрын
Acha kuongea uminga hayakuhusu Mbowe hajiweki anawekwa maana anauwezo wa hali ya juu.
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 25 күн бұрын
Mbowe ni kiongozi imara.wamejaribu kuibomoa chadema kwa kuwazulia kesi kwa kuwatisha kwa kuwa nunua kwa kuwapa uongozi na kwa kuwateka na kuwaua.lkn mbowe pamoja na kupitia magumu yote Bado Yuko imara.mbowe hajiweki mwenyewe anawekwa na wanachama.wanapiga kelele mbowe amewakwamisha kukibomoa chadema.kumbuka waliwachonganisha nccr mageuzu wakakisambaratisha.wakaja cuf wakakisambaratisha.wameshindwa kusambaratisha chadema chini ya usimamizi wa mbowe.mbowe piga kazi kelele hizo ni zao.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
Ndoa kuvunjika haina maana watalikiana ni maadui. Wanaweza kukumbushana ya zamani.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 27 күн бұрын
Mbowe hawezi kupisha fisi emu ipishe miaka 65 kazi yao kiba na kuuza raslimali j za watanganyika achaneni na mbowe tunamuhitaji au miltaka msigwa awe mwenyekit wetu ili mumununue mnatumia kodi zetu kununua watu wa chadema
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
Hii Ndio Sababu ya Dr Slaa Kukimbilia Canada
3:48
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,5 М.
Sijapokea Barua ya Kufutwa Ubalozi - Dr Slaa
4:14
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 3,8 М.
KIMBEMBE:TUNDU LISSU AFICHUA SIRI NZITO BALAA MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM KUTOKA CHADEMA
12:13