MSINITISHE NAWAJUA WATEKAJI NA WAUAJI NIPO TAYARI KUUWAWA | ACHENI MAIGIZO YA KU....

  Рет қаралды 12,882

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

#paulmakonda #maandamanolive #watekaji

Пікірлер: 95
@ShaulizSeleman
@ShaulizSeleman 8 сағат бұрын
INAJULIKANA SANA , RAIA UOGA MWINGI MIDOMO IMEWEKWA VIAZ VYA MOTO
@shaibunyenzi8712
@shaibunyenzi8712 54 минут бұрын
This is alarming situation. Hawa walinzi binafsi kunauwezekano wa kutumiwa vibaya na mabwana zao pale wanapohatarishiwa maslahi yao.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 7 сағат бұрын
this guy is so right, bring critical facts as argument other than punching his statements with rhetoric..yaani sie Watanzania tunashida kweli sijui kwann..kumbeza inasaidia nn? leta hoja sio matusi na mizaaah. Ndomana wakenya wanatushangaaga kweli wale jirani zetu. mmmh
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 9 сағат бұрын
Pore sana ndugu
@BraysonMtweve
@BraysonMtweve 9 сағат бұрын
Pole Sana Kiongozi
@sadickissa1600
@sadickissa1600 9 сағат бұрын
Nakukubali mwaga sumu tupo pamoja wamezoea hao,uonevu kazi yao,
@sadickissa1600
@sadickissa1600 8 сағат бұрын
Wanaokujibu vibaya hawataki ukweli,na wanajijua wapo serekalini na wanavyamavyao
@NeemaJitambi-hj9iv
@NeemaJitambi-hj9iv 8 сағат бұрын
pole,ila watanzania hasa ww ambaye unawajua ukipata media kama hii Taja majina yao moja kwa moja taifa lijue.wakijulikana kuanzia mtaan tuwakatae watafute nchi yao
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr 5 сағат бұрын
Pole Sana
@SubiranTimo
@SubiranTimo 2 сағат бұрын
Pole
@evaemil856
@evaemil856 2 сағат бұрын
Amen. Tuendelee kuombea Amani.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 9 сағат бұрын
Katiba mpyaaaaaaaa
@JoshuaGeofrey-h9q
@JoshuaGeofrey-h9q 8 сағат бұрын
Acha kupaka mafuta kwenye mgongo wa chura umetumwa ww ila utashindwa kwa jina la Yesu kristo
@FlorahMero
@FlorahMero 7 сағат бұрын
Hongera kilimanjaro sehemu gan
@lowasanangoro9384
@lowasanangoro9384 6 сағат бұрын
Ni kweli mzee wangu ukweli unabaki wapi
@MashakaMpembule
@MashakaMpembule 8 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnsonmria3824
@johnsonmria3824 8 сағат бұрын
Inamaana hufahamu kuna makampuni binafsi ya ulinzi?? Hiyo akili yako sijaielewa
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 2 сағат бұрын
Dah nimepoteza bando langu...
@HajiMwangama
@HajiMwangama 35 минут бұрын
Kaka nimekuelewa sana
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 8 сағат бұрын
Heshima akuna sababu kila sekta wamejazana waovu Allah yupotu
@RevocatusBussiah
@RevocatusBussiah 3 сағат бұрын
Utekaji n mkubwa....
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 8 сағат бұрын
Pole ss wasijekukuua bule
@ShaulizSeleman
@ShaulizSeleman 8 сағат бұрын
CCM HAO NA HAO POLIS
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 8 сағат бұрын
Niluksa kuongea hasa Kwa kusaidia taifa lakini hatutaki polojo za kutumika na utawala
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Сағат бұрын
Ccm Ina green 💚 security...wengi sana ....
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 8 сағат бұрын
Usha pagawa choko ww huna pakushika
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 51 минут бұрын
Kweli ndugu watanzania Mambo muhimu tunachukulia poa tuu
@malackedson7706
@malackedson7706 8 сағат бұрын
Toka.
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 19 минут бұрын
Kwaniiiii urayaaa wasaniiii awanaaa uriziiii auuuu bongoooo tuuuu tembeaaa mzeee uwoneee
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 8 сағат бұрын
Mungu hajakosea kukuumba mwanaume,,,
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 сағат бұрын
Kaka tutajie. Kama kweli hutanii, kwanini kaka usimwage mtama? Hawa jamaa hawawezi kukuita kwa sababu utawaumbua. Chunga wasikuteke tena. Hao hao waliotumwa huenda ndiyo hao hao au wenzao.
@manenohamisi2858
@manenohamisi2858 8 сағат бұрын
Kweli kabisa. Uyasemayo
@marcobulili4341
@marcobulili4341 2 сағат бұрын
Hapo sawa lkn kuwatukana watanzania umekosea! Umesema walikutibu ukapona na mpaka ss uko salama unaogea ukiwa huru. Leo unawaambia watanzania wapumbavu, kweli?! Waombe radhi tafadhali.
@rashidyshemkande8099
@rashidyshemkande8099 9 сағат бұрын
😮😮😮
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 3 минут бұрын
Mimi nimeelewa Yani IGP anapewa oda rais mtufurani simtaki alarafu IGP anateuwa watu wa kufanya iyo kaz
@JoseHadzabe
@JoseHadzabe 7 сағат бұрын
Hata Swala la Kuandamana ni katiba inasema Mzee mbona unajichanganya au kufungu hicho hakisimamiwi na Raisi mbona vipengere vingine wanavivunja bila uwoga na ni Katiba
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Сағат бұрын
😮😮😮😮😮
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Сағат бұрын
Mbona China kila mtu ni lazima apite jeshini...kila mtu maarufu lazima awe na mtu anayemlinda
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb Сағат бұрын
Huu ni wakati wa uchaguzi kuchafuka kwa nchi ndio ushindi wa ccm bila ya machafuko CCM hakuna ushindi
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 8 сағат бұрын
UNAONGEA UKWELI,MTUMISHI WA MUNGU UNALINDWAJE NA KAMA KUNA SHIDA WENYE MAMLAKA WAPIGIE WAJE,TUNATENGENEZA MABOMU WENYEWE.
@mekin8684
@mekin8684 8 сағат бұрын
Hao ni bodyguard sio askari. Lazima ujue kutofautisha mzee.
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 5 сағат бұрын
Ni kweli
@JUMANNEGIBSON-k6c
@JUMANNEGIBSON-k6c 8 сағат бұрын
Daah najisikia vibaya
@dasadremandad9208
@dasadremandad9208 4 минут бұрын
Hoja mavi,hoja kinyesi
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu Сағат бұрын
CCM HAITAKI MTU MWENYE AKILI INATAKA WATU MANYUMBU
@khalidmwinyi1981
@khalidmwinyi1981 8 сағат бұрын
Umeshiba ww
@bwamkuuhassan421
@bwamkuuhassan421 2 сағат бұрын
Umenena ukweli
@JoseHadzabe
@JoseHadzabe 7 сағат бұрын
Mafunzo ya Askari hauyajui Mzee,ww ni Chawa ulitumwa na kuzimu hakuna Askofu kama ww,Ongea yako ww mwenyewe ni Muhuni wala huna Roho wa Mungu hata kidogo,kaa hapo ule vichenji vya Ccm au kama ndo umeenda karibu ili uwasogeree Machawa wenzako huna Jipya hata kidogo
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 26 минут бұрын
A few moment later 🤣🤣
@YohanaRichard-e6p
@YohanaRichard-e6p 6 сағат бұрын
Bora kuongea kweli kwa kuwa hakuna Cha kuhofia maana ukinyamaza kitu kinacho kukwaza Haina maana ni Bora uteme nyongo.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 18 минут бұрын
We nae acha ujinga lazima kila mtu awe na ulinzi wake kama ana hela zake.
@VLADDYNDANZI
@VLADDYNDANZI 4 сағат бұрын
Kama hujamtaja Mafwele bado Kazi
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Сағат бұрын
Na Mimi nikibaatika kupata milioni 2 naweka bodgad
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Сағат бұрын
Kwani Mimi nikiajiri kijana anirinde nimuripe mshaara kunakosa gani,siameingiza kipato
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 7 сағат бұрын
Hiyo ibara haikuzuia kujilinda, ila umezuia kuunda jeshi, mbona kwenye maduka yetu kunawalinzi, hao unaowaita mabodgad wanatumika kama ulinzi binafsi tu, wala siyo jesh
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 2 сағат бұрын
Kumbukeni yaliyo wakuta wa Libya
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 7 сағат бұрын
POLE KAKA😭,Nimekuelew vyema.
@JUMANNEGIBSON-k6c
@JUMANNEGIBSON-k6c 8 сағат бұрын
Matekaji yanasikia vibaya
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 8 сағат бұрын
Ulianza vizuri ila uku mbele ndio umealibu mzee
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu Сағат бұрын
Huyu sijamuelewe badala uongee kinacho lalamikiwa na nchi unaongea utumbo
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 сағат бұрын
Nadhani kuna uhusiano flani kati ya uchizi na albinism
@JoseHadzabe
@JoseHadzabe 7 сағат бұрын
Huna jipya Mzee,hao ni Mabodi gud,hujui Mafunzo ya Jeshi ya koje,Hao wanatafuta msosi tu,Askari ni Askari huwezi linganisha na wabeba vyuma ambao hushinda jimmh kutengeneza body,ww ndo Mpumbafu na ni kunguni kama unavyo jieleza,hizo bifu zako na watu unao wajua ndo maana ulifanyiwa uhuni na hao Mabodi Gud na wala sio watekaji,hujitambui Mzee hata kidogo Akiri yako imeanza kuzeeka
@ChristiianKachare
@ChristiianKachare Сағат бұрын
Sasa hizo kampuni za ulinzi nazo mnazidhibiti vp maana nazo ni jeshi dogo la pembeni
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb Сағат бұрын
Wàtaje basi hao UNawajua
@RegnardiCharesi
@RegnardiCharesi Сағат бұрын
Taja apa apa
@hazoletv6949
@hazoletv6949 8 сағат бұрын
umepangwa ww jamaa ukwepeshe mambo au sio😅
@najimsharif9694
@najimsharif9694 6 сағат бұрын
Mimi nimekuelewa ila mbona enzi za marehemu makufuli haya mambo ya mandamano kutekana yalikuwa hayapo
@geofreymwanshuli4344
@geofreymwanshuli4344 7 сағат бұрын
Sasa kama ulitowa taalifa ukawataja je walichukuliwa hatuwagani
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 8 сағат бұрын
Sasa ni nani hao mbona huwataji saa nzima unazunguka na mipasho hapa!!
@EmmanuelAmmy
@EmmanuelAmmy 3 сағат бұрын
Chawaa
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 9 сағат бұрын
Kwani vp
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 7 сағат бұрын
Kunakitu kinatafutwa hapo katumwa huyo chawa
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 2 сағат бұрын
Si uwataje
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu Сағат бұрын
Huyu sijamuelewe
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Сағат бұрын
Hueleweki kwanini umeitisha vyombo vya habari maana huna point ungetaja ilituwajue.
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 43 минут бұрын
Ukiwajua utamsaidia nini
@dannymtenzi
@dannymtenzi 8 сағат бұрын
Ongea yote ili tujuwe kiongozi
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 5 сағат бұрын
Uongo bwana
@harunimvamba4886
@harunimvamba4886 Сағат бұрын
Nmepoteza bamdo langu kusikiliza upuuzi huu
@ZakayoSamson-b5e
@ZakayoSamson-b5e 42 минут бұрын
Ndugu hayajakukuta
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Сағат бұрын
Mtu wa Mungu kama unawaju Kwanini usiwashitaki Mahakamani.? Alafu umesema Porisi wakuite wakuite kufanya nini wakati ulishahojianao nakuwatajia Watekaji.?
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 8 минут бұрын
😂😂
@AnordMwasenga-n5s
@AnordMwasenga-n5s Сағат бұрын
Hapo mkuu kidogo mbona mnatuchanganya? Kwer nchi hii na majeshi yote haya kwamba wameshindwa kuwajua watekaji kwer? ila Kwa hapo mkuu sisi hatuamini kwasabababu jeshi letu tunaliamin sana ni hodari sana wapo makini sana siyo kwamba wameshindwa kuwajua. Sasa kama hawajulikaniki na wewe kila wakati unasema unawajua wanaoteka Sasa kwanini usichukuliwe na uwanyoshee police wawskamate.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 20 минут бұрын
Ogopa mtu mwenye kuvaaa nguo ambazo zina bendera ya Tanzania hua akili zao zimeyeyuka
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Сағат бұрын
Mimi ni meshiba na maneno yako. Ukweli mtupu unaongea sahihi. Wanawo kukejeri ni wajinga..
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 сағат бұрын
Hayajakakukuta umeyumwa siyo watanzania wa sasa boya wewe
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 сағат бұрын
Propagandas
@JoseHadzabe
@JoseHadzabe 7 сағат бұрын
Ww ni Chawa kama chawa wengine huna Hofu ya Mungu hata katika Maongezi yako ni Uropokaji usio na Mantiki,huna Uaskofu wala unabii ww ni Msaka tonge kama wengine wengi
@JustinMkwanda
@JustinMkwanda 8 сағат бұрын
Mnafiki ww
@BraysonMtweve
@BraysonMtweve 9 сағат бұрын
Pole Sana Kiongozi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 8 сағат бұрын
Nakushauli ukafanye vipimo vyamalelia inawezekana maralia imekupanda kichwani ndug yang fanya ivo
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 57 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 86 М.