MAKONDA "Natoa Amri RPC Kamata Huyu Mzee Tapeli Muweke Ndani" AFUNGULIWE KESI ya JINAI HARAKA SANA

  Рет қаралды 275,001

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 339
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 ай бұрын
Huyo kiongozi anaemwelezea mhshmw Makonda anajieleza vizuri na kwa uhakika...
@yusuphabubakary2030
@yusuphabubakary2030 3 ай бұрын
yan had unataman kuendelea kumsikiliza tu akiongea,.. watu wanavipaj
@gideonchilongani3421
@gideonchilongani3421 3 ай бұрын
on0😊l
@EliahLoserian
@EliahLoserian 4 ай бұрын
Mh Paul makonda chukua maua Yako mungu akubariki sana kwa maamuzi ya busara na ya haki
@elit0vagonze560
@elit0vagonze560 4 ай бұрын
Kwakweli Makonda ana sifa zote za uongozi unao hitajika kwa sasa.Mungu akulinde sana. Asante sana
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 ай бұрын
Mkoa ulioshindikana,wameona MAKONDA ataunyooshaa🙏🙏🙏 Mungu mcmamie MAKONDA
@milkamkola7887
@milkamkola7887 4 ай бұрын
Mwanangu Makonda Mungu akulinde akupe maisha marefu uendelee kututetea wanyonge
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 4 ай бұрын
Kiongozi kwanza anasikiliza kwa makini, halafu anaangalia haki ilipo, kisha anatoa maamuzi thabiti. Hongera Mh. Makonda, Hongera Mh. Rais, Hongera Serikali!
@sampeter5857
@sampeter5857 4 ай бұрын
Ila Makonda Mungu akulinde Sana
@DaudMaginga
@DaudMaginga 4 ай бұрын
Mdogo wangu Makonda nakuelewa sasa baada ya miaka mingi
@kennedymalya
@kennedymalya 4 ай бұрын
Huyo ndiyo kiongozi tunayemtaka.Mungu umlinde ktk majukumu yake
@FauziAllyRamadhani
@FauziAllyRamadhani 4 ай бұрын
Makonda uje uchukue mbuz morogoro aiseee
@Broscarterrazo
@Broscarterrazo 4 ай бұрын
Nakuona kama ni Raisi wetu ajae big up!
@OmanOman-hz1qm
@OmanOman-hz1qm 3 ай бұрын
Makonda wewe ni nguvu kazi mungu akupe afya njema
@flova7022
@flova7022 8 күн бұрын
Makonda ni jembeeee aisee...you deserve more
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 4 ай бұрын
Hongera sana sana sana Rc umpe Akili na wengine wafanye hivi. You are Dynamic Action Person.
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 4 ай бұрын
Kiukwer ukwer usemwe hii nchi viongozi bora wanatoka kanda ya ziwa tu huko kwingine sijui 😅
@YamunguMuha
@YamunguMuha 4 ай бұрын
Kwamba Kanda ya kati hakuna?😢
@godfreynoah6450
@godfreynoah6450 4 ай бұрын
Makonda ni Alama ya jpm kabisaaaaa
@FridaSandra-o8j
@FridaSandra-o8j 4 ай бұрын
Asante sana baba mtetezi wa wanyonge ❤
@RahabuSimba
@RahabuSimba 4 ай бұрын
Mungu akusimamie na kukupa nguvu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Duu makonda mungu akujalia afya njema
@isackpaul8536
@isackpaul8536 4 ай бұрын
Rc Makonda hongera kwa kutatua migogoro sugu,tena kwa kufuata utaratibu wa kisheria.
@luluray2115
@luluray2115 4 ай бұрын
Makonda nazid kukupenda
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 4 ай бұрын
Aiseh jmni natamn hiii jmni uwiiih 😢😢😢😢😢
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 ай бұрын
Makonda juuu hakuna KM HUYU RC. ANGEKUWA YULE WA MMM NI BLA BLA TUU KIGAMBONI
@josekinyamagoa-sv4jh
@josekinyamagoa-sv4jh 4 ай бұрын
Jamani watanzania tumuombee uyu jamaa aje awe rais bna mbna anatisha sana. Jpm ajafa.
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 4 ай бұрын
Eti mkataba umefogjiwa 😅 mara sikumpa Mkataba 😅😅
@yaredyndaga6483
@yaredyndaga6483 4 ай бұрын
hapo kakoroga
@festohaule9716
@festohaule9716 4 ай бұрын
Hivi watu weusi tunashangamoto sanasana.... Utapeli ni mwingi na ni sisi Kwa sisi... Wazungu wanatuchekaaaaaa!!!!
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 4 ай бұрын
Tupa ndani mzee uyo
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 4 ай бұрын
Wewe kwel mtetez wa wwanyonge natamani ungekuwa iringa tunanyanyaswa akuombea kwa mungu uje uwe rais. Utete inchi nzima mahakamani hakuna haki mwenenacho ndo anasikilizwa masikin tunaonewa sana
@AhlamKilema
@AhlamKilema 4 ай бұрын
Duuuh
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 4 ай бұрын
Ninakesi km hyo naomba unisaidie 😢😢😢
@saidmushehe
@saidmushehe 4 ай бұрын
MAKONDA ana stahili kuwa waziri wa ardhi kabisaa....huyu jamaa Aishi miaka mingi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
DADEKI 😂😂😂weka ndani
@ZephaniaLaizer-vk1it
@ZephaniaLaizer-vk1it 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn 4 ай бұрын
Huyu Mzee tapeli Sana anazeeka vibaya aisee
@seller4011
@seller4011 4 ай бұрын
Yan kuna wazee wanajotafutiaga matatizo badala ya kutafuta amani kutokana umri wao
@DanielKagoma-nx8ff
@DanielKagoma-nx8ff 4 ай бұрын
Mweshimiwa makonda Mimi ni mchungaji Niko Tabora mjini Nakuombea Sana Huwa nakufatilia Sana tangu Cha makufuri uishi miaka mingi mnoo pokes baraka zangu
@mwanaimahassan5166
@mwanaimahassan5166 4 ай бұрын
Eti huyu mzee atakuwa mpare🤣🤣🤣🤣
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 4 ай бұрын
Mh Makonda tunakuamini komesha dhuruma iliyo shamili .
@williampaul-i3f
@williampaul-i3f 4 ай бұрын
Hishi miaka mingi sana baba makonda
@orangefilmentertainment8109
@orangefilmentertainment8109 4 ай бұрын
Mzee kayataka mwenyewe kwenda lock up.mi naangalia mazuri yako tu baba kegani😂
@MajiraRaphael
@MajiraRaphael 4 ай бұрын
Baikoko
@michaelkitebo9305
@michaelkitebo9305 4 ай бұрын
Watu kama makonda ni Mali yenye thamani kubwa katka taifa letu
@TimotheoEnocy
@TimotheoEnocy 4 ай бұрын
Nakupenda hyo yaan kwa akili ya mkuu wa mkoa
@pendomahundi4678
@pendomahundi4678 4 ай бұрын
Tunakuombea mkuuu
@mussajuma7460
@mussajuma7460 4 ай бұрын
Huyu mzee asa😂😂😂 yani hapo makonda hana jinsi ya kufanya seroo tu
@massawejacob
@massawejacob 4 ай бұрын
Watu wa chuga .....kichwa ...ngum saana
@yaredyndaga6483
@yaredyndaga6483 4 ай бұрын
Huyu mtoa maelezo kwa RC yupo vizuri sana ( RC ametoa maamuzi ya busara na ya hekima hongera sana Makonda )
@ZakayoMollel-sg6tw
@ZakayoMollel-sg6tw 5 күн бұрын
😅
@josephpeter8511
@josephpeter8511 4 ай бұрын
sasa moyo wangu umeanza Kufarijika. tulioyakosa tangu friend of mine Mangufuli apoondoka. More Glory More wisdom More Level of elevations to your sir. Jesus loves You so Much ❤️ 💖 💕 💗
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 4 ай бұрын
Unajua sasa naanza kumuona makonda kwenye Uraisi, Magufuli alimjua tangia zamani, Watanzania wanataka watu kama hawa hawataki vyama
@massawejacob
@massawejacob 4 ай бұрын
Mh makomda oyeee ! Chuga mnasemajeeeeeee
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 4 ай бұрын
Mwamba yupo juu sana mungu Ampe maisha marefu zaidi yenye Amani na Afya njema
@jonasfrank1758
@jonasfrank1758 4 ай бұрын
Isseee we bro unatisha, kila sehem unafiti, hongera kwa kaz nzuri
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 4 ай бұрын
kwakweli kiongozi makonda is very intelligent he has full administration wisdom and leadership skills and he is listening his people and solving their problems excellently and at equity hana ubaguzi katika maamuzi yake anahegemea haki na sheria . congratulations kiongozi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunafuatilia sana uongozi wako
@massawejacob
@massawejacob 4 ай бұрын
Heshimuni teuzi ....anaeteuaaa anajuaaaaaaa
@NuriaabdiAbduba
@NuriaabdiAbduba 4 ай бұрын
Wish we hve someone like makonda in Kenya.
@solomonsamuel3584
@solomonsamuel3584 4 ай бұрын
Nafasi uliyonayo sasaiv na na uwezo ulionao ni tofauti Mwenyezi Mungu akujaalie nafasi ya juu zaidi ili ukawaguse watu wengi
@josekinyamagoa-sv4jh
@josekinyamagoa-sv4jh 4 ай бұрын
mama yet tunakiomba uyu makonda usije kumuachisha kaz wala usimfkuze. Uyu ni zaidi ya majaliwa.
@geoffreyobaigwa779
@geoffreyobaigwa779 4 ай бұрын
Mzee mlagai huyu Tia yeye ndani miaka Miami moja
@octiminja5260
@octiminja5260 4 ай бұрын
Mama Samia plzzzzz unamuona kijana wako. HUWA MAMA HUKOSEI HATA DADA YUU (KATIBU MKUU WAKO) HACHOMOI BETRY KIZEMBE) BIG UP MAMA SAMIA
@lilyngowi3483
@lilyngowi3483 2 ай бұрын
Kiongozi wangu. Akitoka magufuli ni wewe♥️♥️♥️♥️♥️
@nellyjuju5325
@nellyjuju5325 4 ай бұрын
😂😂😂😂 nilifika pale wale walokole wakataka kuniombea😂😂😂😂😂😂😂
@YamunguMuha
@YamunguMuha 4 ай бұрын
😂😂😂
@MandelaMwashoma
@MandelaMwashoma 4 ай бұрын
Amina
@zomasamweli
@zomasamweli 4 ай бұрын
😂😂😂
@Ahmed-g2b
@Ahmed-g2b 4 ай бұрын
Kwani alikuwa na mapepo😂😅😊
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@smartonlinetv127
@smartonlinetv127 4 ай бұрын
Saf Makonda Team
@RamaRashid-ym1yz
@RamaRashid-ym1yz 3 ай бұрын
Naomba siku moja mungu ajalie nikuone nasi tumezurumiwa nyumba
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 4 ай бұрын
Kwa kweli hata mkimsema makonda vibaya kwangu mm naona anafanya vizuri sana
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 4 ай бұрын
Huyo mzee hata aibu jamani hana wakati umri wenyewe umemtupa mkono anakisogelea kifo na midhambi yote hiyo 😂😂😂😂😂zeee la ovyo kabisa hili
@happypiusi3801
@happypiusi3801 4 ай бұрын
Mungu akubariki makonda hizi baraka zimiminike hadi kwenye uzao wako❤
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 4 ай бұрын
KWANINI MAKONDA WANAMPA CHEO CHA UKUU WA MKOA, UYU JAMAA ANAFAA KUWA RAISI WA NCHI. ANAWEZA ANA UWELEWA ANAJUA..
@G24TZ
@G24TZ 4 ай бұрын
Akili zako fupi sana wewe, unadhani kuwa raisi wa nchi ni mchezo mchezo, nyie ndio mnaliwaga kirahisi akili hamnazo, mnaishi kwa mihemko
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
Kwel kabisaa
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 4 ай бұрын
Ni swala la muda tu kuwa na subra
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 ай бұрын
Ccm wajanja sana siku wakiona wanaweza kushindwa urais watampa hiyo nafasi ya kugombea hiyo nafasi kama ilivyokuwa Kwa Magufuli huwa wanasoma upepo wa siasa
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 ай бұрын
Na kama hajampatia mkataba sababu ndio hiyo alitaka kuliuza tena kwa mtu mwengine dah Tanganyika kuna watu makauzu kweli
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 3 ай бұрын
Kaka uko vzr mtangulize mungu Zaid Ili ufike mbal
@OmarySingano-w4k
@OmarySingano-w4k 4 ай бұрын
Kwa unayoyafanya Makonda Arusha Mungu Akubariki
@hidayatshukuruSanga
@hidayatshukuruSanga 2 ай бұрын
Kaka yanii umenyooka zaidi ya rula, Mungu akupe afya
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 ай бұрын
Da wanyonge tunaonewa na wenye pesa Asante brother Makonda
@pastorbundala1600
@pastorbundala1600 4 ай бұрын
Rc binfsi na pendezwa na kazi yako ..ni mtu wa wanyonge
@WAKRISTOKANISALAMUNGU
@WAKRISTOKANISALAMUNGU 4 ай бұрын
Makonda wewe kamanda kweli.
@SAMPonda
@SAMPonda 4 ай бұрын
Saafi sana mkuu wa mkoa mungu akusimamie
@aidankamugisha5107
@aidankamugisha5107 4 ай бұрын
Piga Kazi makonda.Mungu akutangulie🎉
@africanasplumbing8780
@africanasplumbing8780 4 ай бұрын
Makonda jenga tukufanyie jazi ya bomba bure UNAMALIZA MIGOGORO KIBINGWA
@FortunataNguma
@FortunataNguma 4 ай бұрын
⁹hivi wakuu wa Mikoa wengine mbona wamelala maofisini awaongei na wananchi wao? Igeni utendaji wa makonda
@MatthewSimonKanyanzulu
@MatthewSimonKanyanzulu 4 ай бұрын
Enguzuberri wewe umeona kuna hukumu ya kumzalilisha mtu hapo au ndio nyinyi mnao taka ukweli uongelewe chumbani ??acha maneno yako hayo
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 4 ай бұрын
Mungu akulinde mh.Makonda piga kazi
@AwaziRajab
@AwaziRajab 4 ай бұрын
Watu Mnaosema Eti Kuzalilishwa Ivi Nyinyi Sio Wale Kula Kunya Kuoga Kila Kitu Mnapewa Bule Na Ndugu Zenu Sasa Amjui Uchungu Wa Kutafuta Mpaka Hao Tegemezi Wenu Wakifa Apo Ndipo Mtajua Kama Haki Aizlilishi Mtu Isipokua Mwenye Kukiuka Haki Ndio Anayeizalilisha Haki
@RudelphZabron
@RudelphZabron 4 ай бұрын
Makonda uje na kwetu Geita Tunakuombeeni Kwa Mungu na Mungu akulinde Tanzania tunapaswa tupate viongozi wa Kariba Yako tutasonga mbele Kwa hakika Simamia unachokiamini daima endelea kusimama upande wa haki Kwa kauli iliyonyooka bila Shaka.
@SanteMbawala
@SanteMbawala 3 ай бұрын
Hongera makonda Kwa kutupigania wanyonge
@Amryasser-s5d
@Amryasser-s5d 4 ай бұрын
Haya ni matatizo yanatokea sana kwetu tz,hongera sana Mheshimiwa Makonda.endelea hivyo hivyo.kuna wengi kama huyu jamaa,
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 ай бұрын
Watu wenye vihela wanatunyanyasa sana safi sana Makonda
@emazacharia4455
@emazacharia4455 4 ай бұрын
Baba keagan ...hii n arusha tu Iko hv vip mikoa mwingne vipi kule vjijin ambalo hakuna mtu kama makonda 😢😢
@azadinzunda4327
@azadinzunda4327 4 ай бұрын
Kama Tanzania nzima tungekuwa na viongozi wenye busara na haki kma Malinda tungekuwa Kama china
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 4 ай бұрын
Makonda nakuchukia wakati wote ilaa leo nsamehe kweli ww nmtenda haki❤❤❤❤❤
@ziggertv3185
@ziggertv3185 4 ай бұрын
Unajua siku zote usiwe na chuki na m2 bila sababu na hili tunalo watanzania wengi
@gracegrace6510
@gracegrace6510 4 ай бұрын
Chukia hiyo Veep apewe Maua yake bana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉wewe kuweza
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 4 ай бұрын
Huna akili,unamchukia,kwani anakula ,kuvaa,na kuishi kwenu MBONA HUNA AKILI
@HappyBabyOctopus-es2iy
@HappyBabyOctopus-es2iy 2 ай бұрын
Huuu. Ndo uchawi sasa
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 2 ай бұрын
Usimchukie mtu bila kumfahamu alivyo.... Usimchukie mtu kwa maneno ya kuambiwa na wanasiasa
@josephmacha6853
@josephmacha6853 4 ай бұрын
Dah makonda kaka unakazi mungu akujalie
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 4 ай бұрын
Uzuri wa makonda 1. Amuogopi MwanaAdam yeyote. 2. Ana aibu na MwanaAdam yeyote. Hizo ndizo sifa za kuitwa Kiongozi. 2025. Chukua fom ubunge Jimbo Arusha mjini ili uje uwe waziri Mkuu.
@AliKalumbulwa
@AliKalumbulwa 4 ай бұрын
Mungu akubarili mweshimiwa Paul makunda na akupe maisha marefu.amen
@abeidmsimange7840
@abeidmsimange7840 4 ай бұрын
Makonda nimwamba sana anafuwata njia zilezile zamagufuli huyu anastahili kuwa kwenye ngazi zajuu kwenye uongozi panapo haki toa haki usipepesemacho
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 4 ай бұрын
Kwa sasa Rc wa Tanzania ambaye nijembe ni Rc Makonda muda wote ni kutahoa maratixo papoose hapo kwa wanyonge wote wa jiji la Aruxha wananvhi wana inanimate nawe jembe Rc Makonda
@massawejacob
@massawejacob 4 ай бұрын
Hao ndio chuga bana ......wanahitaji kichwa ...watu wanahitaji....mtu ngangali
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 4 ай бұрын
Yani Mungu akulinde baba makonda
@edislauskambona6524
@edislauskambona6524 4 ай бұрын
Makonda ww na slaa naona combination yenu mwaka 2030 ..ww Rais na slaa wazir mkuu.. Makonda umefaulu mtiani wa Anko
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 ай бұрын
Mtu mzima tapeli leo ukaonje kunyea debeni. Na ukipelekwa maabusu ya gerezani mzee agizia dippers ama sivyo asubuhi yamekutapakaaa.
@SabraAbdilnasir
@SabraAbdilnasir 4 ай бұрын
M/MUNGU AKUJALIYE UMRI MREFU WENYE AFYA NA IMANI UZIDI WASAIDIA WANYONGE TUNAFURAHIA UNAVYOCHAPA KAZI KUSAWASAIDIA WANYONGE NA WEWE UTAPATA STARA
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 4 ай бұрын
Onera Rc huu ni utaperi heliopolis jiji la Arudha wewe ni jembe kuomfoa utaperi huo
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 4 ай бұрын
Aaah Makondaaaa aisee unanifurahisha sana
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 ай бұрын
Tamaa mbaya
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 4 ай бұрын
Tamaa mbaya sana, inakupeleka shimon huku unajiona
@graceshayo5763
@graceshayo5763 4 ай бұрын
🤣🤣🤣makonda Hadi anashangaa Yan Kun vitu mpk unajiuliza hivi watu km wamejiumba
@Petermunema-p1m
@Petermunema-p1m 4 ай бұрын
Makonda MUNGU akulinde sanaa
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 2 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН