No video

CHALAMILA "MIMI SIO ZUZU", AGEUKA MBOGO MBELE YA WAFANYABIASHARA "UWE NA ADABU"

  Рет қаралды 9,757

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Ай бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 124
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Ай бұрын
Usitufokee bana,
@FadhiliNyassi
@FadhiliNyassi Ай бұрын
Sema wewe hovyo tu pumbavu tu hakuna serikali iliyoshinda wananchi😊
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew Ай бұрын
Brother nikuombe sana kama mtanzania mwenzio Acha kutumia mabavu kwenye kutafuta jambo la suluhu! Wewe ni chalamila na sio Mungu mtu usitishe watanzania brother kumbuka cheo ni dhamana mkuu wangu!!!.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Embu mtaje huyo mwanasiasaa hapo Kuna wasomi pia
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Ай бұрын
Akuna jambo.zur kama kusikilizana kwa heshima nizamu na maelewano msitishane
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Hujampa mtu mtaji broo ht biblia inasema huwezi kumpangia mtu na mali yk serekali haijampa mt mtaji. Hovyooo
@aggreyprince3983
@aggreyprince3983 Ай бұрын
Hapa kazi ipo
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw Ай бұрын
Chalamila kua mkuu wa mkoa sio kama umemaliza au umepata vyote ACHA hizo hiyo nikutisha watu Iko siku hutakua na cho hicho
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Acha kutishia watu huna muda na hako kacheo fahamu ss ni waajiri wako co kale kajamaa ulikoua dirishani kwako hovyooo
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 Ай бұрын
Jamaaa sijaelewa hapo
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Hufai kuwa kiongozi
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Chalamila acha ubabe, serikali iliwaweka, acheni kutengeneza vibaka na waizi, na wauza miili. Hakika hii serikali imeshalaaniwa.
@MariamCleinance
@MariamCleinance Ай бұрын
Jamani poleni machinga ni wakati wa kumlilia mungu ili haki ya kweli yatoka kwake na
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Co zuzu tuu ni mburukenge Acha kiburi na bro siku yaja utajutaa Hovyooo
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx Ай бұрын
Tangia limekuja dar es salaam rimelewa madaraka
@AbdulOthman-gy7nu
@AbdulOthman-gy7nu Ай бұрын
Wew ni zuzu tuu wew ni kiongozi kwel au ni ccm wenzako ndio wamekuagzi
@user-mi8bw4gv4c
@user-mi8bw4gv4c Ай бұрын
Si mwondoke mumuache akibwabwaja peke yake
@kajugaa4537
@kajugaa4537 Ай бұрын
Yaani Mimi Hilo nimeliwaza ujue yaani Mimi kwa hasira zangu ningekuwa nishaondoka maana tofauti na hapo Kwa hasira zangu sijui kipi kinaweza nikuta
@misheckmtaki2425
@misheckmtaki2425 Ай бұрын
Wapiga kura umuhumimu wao kwenye uchaguzi baada ya hapo..........huzuni tupu
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx Ай бұрын
Heri ya kijana masikini mwenye hekima, kuliko Mfalme mzee Mpumbavu
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Ай бұрын
Juzi mlimtunza Mkuu wa mkoa . Leo vipi???
@abdalahsalimu
@abdalahsalimu Ай бұрын
Mbona huko kama wakuu wa mikoa wengine vipi unatuaminisha kwamba selikali inatutendea haki hasira na uongozi haviendani mkuu.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Acha kutisha wananchi cheo ni dhamana na kuna muda utakoacha hicho cheo! Watu hawakuogopi bali wanakuheshimu tu! Acha kutisha watu! Kuna muda ccm Italian kilio cha kusaga meno!
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Kashike cheo cha chalamila wewe ukisaidiwa na bibi yako😂
@user-tx6dh6ii3m
@user-tx6dh6ii3m Ай бұрын
Unamgombeza nani wakati unakula kupitia kodi zawatanzania peleka povu kwingine pokea maelekezo nawewe uyachuje hasira hasara
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj Ай бұрын
Kwa kweli tunatakiwa kuwa kama Wakenya,huu ni upumbavu kutukanwa hivi halafu mnaangalia tu
@MartinKilasile
@MartinKilasile Ай бұрын
Tuna kazi hapa
@MwesigePoul-bg4jd
@MwesigePoul-bg4jd Ай бұрын
Zalau mzee ccm mliipenda wenyewe wabongo woga mkenya anakwambia usinitishe
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Ай бұрын
Duuuuuh! Kazi kweli kweli.
@furaha7154
@furaha7154 Ай бұрын
Jaziba ya nini
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mungu wangu. Mmmhh.
@richardmalwa3197
@richardmalwa3197 Ай бұрын
Asiwatisheuyo inabidi sikumoja mpige mpaka ahame nchi wezitu nyie
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Ай бұрын
Shauri yenu,!
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Pale jirani na daraja la mfugale kuna nafasi kubwa tu iliyokua inatumiwa na wajenzi wa daraja la Mfugale kuna mabanda tu na msitu hiyo nafasi nadhani ingeboreshwa hata kujenga hiyo karakana
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Ingetafutwa sehemu ambayo haina changamoto. Wafanyabiashara ambao pia ni walipa kodi waheshimiwe
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Katika sehemu ambayo chama kwa miaka takribani 20 iliyopita kimeshindwa kabisa kabisa ni kwenye uteuzi wa viongozi yaani wamefeli vibaya na hii ndo inaleta changamoto nyingine nyingi ikiwemo utawala usiozingatia sheria wala utu wa mtu, rushwa, wizi wa mali za umma, uvivu na mengine mengi ambayo chama kilijijengea sifa ya kuwaandaa vizuri viongozi wake kwa miaka mingi.
@HulukaSeif
@HulukaSeif 29 күн бұрын
Daaaaaa hatari sana kumbe ukitafuta biashara umetafuta uadui na serikari?
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Ай бұрын
Chalamila ndugu yako cheo ni dhamana hekima ni yamhimu sana mkumbukeni sabaya alikuwa gerezani kwa ubabe hivyo hasira hizo zitakuponza na mda simrefu utatumbuliwa ogopa sana vinywa vya watu ni bora wa kunene vizuri kuliko kukulaani hasra za nini kufokafoka unamfokea nani hapo nawakati hao wote unao waona ni watu wazima hata umri wamekuzidi halafu unawaona kama wapumbavu bali wewe mwerevu hevu acha
@FreeGod368
@FreeGod368 Ай бұрын
Sabaya alikua bora wewe , sabaya alikua hapendi tu wananchi waonewe
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Kwann unapenda kutumia matusi ubabe
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Aliyeko juu mwisho atashuka msubiri chini na hakuna lisilo na mwisho.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Utasubiri sana chini Kuna wengine hawashuki😂
@ranman4910
@ranman4910 Ай бұрын
Acha vitisho. Mkuu wa mkoa. Acha kutisha na kutukana watu. Uongozi sio jazba
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw Ай бұрын
Kwa kauli hizi mmekwisha
@davidndatina7847
@davidndatina7847 Ай бұрын
Aca mbwembwe mzee
@benedictgamuya8855
@benedictgamuya8855 Ай бұрын
Ushamba mwingi sana
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mmmhh mungu utusaidie wewe peke yako hakuna mwingine.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Kama umekuja kuobgoza watu obgea nao vizuri acha kuwatisha
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa afai kwa kauri zake atareta machafuko mbereni kwa mkoa wa Dar
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo Ай бұрын
Wanateuliwa chawa bado baba levo
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Mikwara ming mbona
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc Ай бұрын
Kuna saa watanzania....hatuna nidham pia tuna roho mbaya....kinachofanya wasimtake dc ni nini
@diegoshanga8184
@diegoshanga8184 29 күн бұрын
Acha kututishia bana!!!
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Iko siku huyu jamaa bwege ataondoka kwa watanzania kwa miguu.sio gari la serekali
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Ай бұрын
Mara nyingi matamko yako yanakuponza ,acha kutishia wenye nchi na hawa ndiyo waliokuweka ,acha vitisho chalamila .Mkwala na matusi yako hayasaidii ongea na wenye nchi kwa staha na heshima ,ukuu wako wa mkoa ni dhamana tu na huyo unayempiga mkwara anaweza kiwa kwesho mkuu wa mkoa,kwa hiyo heshimiana na wenye nchi .
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 Ай бұрын
Huyu hana sifa ya kuwa kiongoz huwez kuongea na wananchi kwa ugali hiv maana wao ndo wenye nchi
@user-tt6xj8vp2f
@user-tt6xj8vp2f Ай бұрын
Huyu mhehe ni zuzu
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Niliwambiya ccm machinga itawaondoa madalakani machinga Wana hati ya eneo Hilo si ni sela zenu za kijinga
@athumanmapunda
@athumanmapunda Ай бұрын
Okay
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Ай бұрын
Usigombeze mtu gombeza mkeo sio watu usiowajue ..uongozi ni hekima sio bwabwaja ...
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew Ай бұрын
Hii nchi yangu TZ inaendeshwa kimabavu sana hivi leo ananyanyuka mkuu mkoa anatoa kauli za kishujaa kama hizi kweli watanzani tupo huru kweli?!.
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 Ай бұрын
5:58
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct Ай бұрын
Mwamba hatari piga kazi
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Ай бұрын
Unatutisha
@abiudkarume938
@abiudkarume938 Ай бұрын
Uyu sio kiongozi hana maadili unafooooooka kama unaongea na wanaw
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Ай бұрын
Mbona anataka kutisha watu huyu jamaa?
@user-en2md9kn5n
@user-en2md9kn5n Ай бұрын
Wewe zuzu tu acha kuongea kwa ukali km unaongea na mkeo nyumbani
@suleimanmohamed6989
@suleimanmohamed6989 Ай бұрын
Nakpongeza sana sana sana
@geey7893
@geey7893 27 күн бұрын
shida ya kuwapa nafasi kubwa walimu waliokimbia ualimu kwa njaa
@AMEMUSSA-cr8my
@AMEMUSSA-cr8my Ай бұрын
Uko sahihi,nidhamu inahitajika.
@felixmsale9244
@felixmsale9244 Ай бұрын
Kumbuka tu Wewe mwajiriwa wa wananchi na sio boss wa wananchi.Unaongea na wananchi kama unaongea na watumwa wako. HATUKUTAKI .YOU SHOULD GO HOME.
@ramadhanikitwana3170
@ramadhanikitwana3170 Ай бұрын
Weee bwege tu acha ubabe nchi hii yetu wote
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Ай бұрын
KUWA KIONGOZI NI KAZI KUBWA....NI RAHISI KUWA MTAWALA (KAMA MKOLONI) KAMA MH. CHALAMILA.
@davidwhite7834
@davidwhite7834 Ай бұрын
SERIKALI YA INCHI HIII SIO KWA AJIRI WA WATU WAHILI YA CHINI
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 27 күн бұрын
Daaaaa😂😂😂😂😂
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 27 күн бұрын
Watu wakiwa mafara wanajijenga kichwani siku wakiamuka utalala wewe😂😂
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Ivi viongoz kama Hawa wanapateje? Kazi jaman maana huyu chalamila hajui kua analipwa kwa kupitia hao watu amewageuza kama watoto wake daaa atafika kwa mungu amechoka sana
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Ай бұрын
HEKIMA ITAWALE
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Haki huinua taifa
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Mwemwemwemwe tena
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Watanzania sio wafungwa ktk taifa lao ipo siku udicteta utaisha huo ndio uzuzu fear such leader no different with prisoner behavior in our national chalamila take Tanzania like prisoner
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Andika kiswahili tu acha ushamba wako English yenyewe ni broken English
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
No time for that snariol sickness on your brain write English l have reason
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
@@laninjeje8290 no time answering fullish pasonol like you and you can't telling me wich language to use writing inside social media
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
@@abdalahgunda1319 very stupid you are not able even to write person you have written pasonol, very shame, go back to school
@evancemwaky7425
@evancemwaky7425 Ай бұрын
Kaka kuwa na nidhamu hata mimi nakitamani cheo chako. Sema mmebahatika na kuteuliwa
@hawahussein137
@hawahussein137 Ай бұрын
Mnanijua mm nani? Imerudi
@lordymawoiya5818
@lordymawoiya5818 27 күн бұрын
Wewe si zuzu tu wewe hufai kuwa kiongozi kazi Mzuri na wewe ni konda wa daladala
@RehemaSalum-vp6rf
@RehemaSalum-vp6rf Ай бұрын
Mshenzi anakauli mbaya uyu simumpige mawe tu ...
@BrunoRufulenge
@BrunoRufulenge Ай бұрын
Kweli chalamila wewe nimwalim mzuli sana
@djmarashi2095
@djmarashi2095 26 күн бұрын
iyokazi aikufahi unaongea Sana kwaukali
@josephmkami
@josephmkami Ай бұрын
Safi sana. RC Chalamila hizo ndizo kauli za kiongozi. Sio kuchekacheka. Kauli hizi tulizimisi kama Mwl Nyerere na Magufuli kidogo na Makonda. Viongozi mnatakiwa kuwa strong sio kutaniwa na kuchezewa na watu wachache. Inatakiwa Viongozi wawe na nguvu na maamuzi sahihi. Hii itaondoa migomo na maandamano kama kipindi cha Magufuli.
@Wiittole
@Wiittole Ай бұрын
Wewe nawe ni chawa unamsifia kiongozi wa hovyo huyu?? Kiongozi asiyeheshimu watu mwenye majigambo na dharau.mwisho wake umefika ataondoka na ataiacha dar
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Shwa la soko ilikua kuomba upya maana hawana hawana hati ya soko waombe upya ccm mutakuja kujuta tunajua soko vibanda vya soko zamani vilimilikiwa na Waze wa ccm unasema soko LA kwetu tuna jua soko waombe wote upya hakuna mwenye hati miliki
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa Ай бұрын
Mtemi milambo uyooo
@filbertrunyota1248
@filbertrunyota1248 Ай бұрын
Jamani wafanyabiashara mkajiajiri
@rajabukitego1662
@rajabukitego1662 Ай бұрын
Wasikilizeni,shida,zao,jaman,maisha,yaendelee,utemi,ni,hatari,kwa,nchi,yetu,,madai,yao,yanamsingi,ndan,ya,ich,yao,msiwabuluze,hata,,luto,,aliwatukana,sana,wakenya,
@user-lj7jv8xo7v
@user-lj7jv8xo7v Ай бұрын
Viogoz waainahi hawafaikabisa
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Mnaropoka ropoka mkifikiri Gen z hawakusikii! Vitisho vikizidi mwisho wake ni mbaya! Wee ropoka ropoka una nafasi hiyo! Ila siku Mungu akikushusha! Utalia!
@MwesigePoul-bg4jd
@MwesigePoul-bg4jd Ай бұрын
Mikwala mingi
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y Ай бұрын
Wewe ni mpumbavu sana hujitambui wewe unatisha watu mjinga wewe
@martinnkuba6683
@martinnkuba6683 29 күн бұрын
Haaaaah!!!!
@arbogastmushi8420
@arbogastmushi8420 Ай бұрын
Turudishien makonda wetu uyu siyo binadam kabisa
@hollymore4904
@hollymore4904 Ай бұрын
😂khee
@BrunoRufulenge
@BrunoRufulenge Ай бұрын
Safi sana Kaka
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
SAF SANA USIRUHUSU MAZOEA SANA LAZIMA WATU WATU WAWE NA MIPAKA KWA VIONGOZ WAO MAZOEA YAKIZID NDO YANATOKEA YALE YA KENYA
@marwamagere
@marwamagere Ай бұрын
Chalamila na makonda gereza linawasuli siku zenu zinahesabika
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
🤣🤣🤣👉🐀🐀 wee ni zuzu tu
@marwamagere
@marwamagere Ай бұрын
Ajabu Sana kichaa anapewa ukuu wa mkoa
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc Ай бұрын
Wewe Mungu hajakuona
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Wewe ni zuzu kweli huna upeo na ubunifu ndio maana jiji la Dar liko kama dampo mikwara ya kijinga kabisa
@athumanmapunda
@athumanmapunda Ай бұрын
Chalamla chapa kazi usiome haya
@djmarashi2095
@djmarashi2095 26 күн бұрын
yani kwelinchii inaendeshwa Kwa mabavu mkuu wamkoa unatumia ubabe
@salarose5980
@salarose5980 Ай бұрын
Hii ndio hasara yakuletewa watawala na raisi,anajiamini sana na hutaweza kumwonya mpaka aliyemteua amtoe
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k Ай бұрын
Acha ujinga ww
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 42 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН