🔴

  Рет қаралды 11,184

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live:DC MAGOTI na MKURUGENZI USO kwa USO -BALAA ZITO MASWALI MAGUMU YANAULIZWA -WANANCHI WAFURIKA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 18
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@kitojo_118tz
@kitojo_118tz Ай бұрын
Hongera sana DC Magoti kwa kazi yako nzur, M/mungu aendelee kukuongoza na kukusimamia ktk majukum yako🙏🙏🙏
@WenslausKapinga-n5i
@WenslausKapinga-n5i Ай бұрын
Jembe kali hilo hongera sana dc
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Mungu akutie nguvu jaman
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mhe Magoti oyeeeee ahsante kwa kuidumisha Kisarawe na kupata Diwane mzuri anachapa kazi vizuri Mungu awape nguvu Kata ya Kiluvya imekuwa na marndeleo kwa kupata Diwani mchapa kazi Kitale Wakili Msomi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mkuu wa Wilaya chapa kazi Wilaya ya Kisawe iko nyuma sana kimaendeleo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Wanaokunyi like umewagusa.maana kisarawe itakwenda kasi
@constantinochalle856
@constantinochalle856 Ай бұрын
Big up mh dc'
@user-uo5em7im6b
@user-uo5em7im6b Ай бұрын
DC Magoti ainusuru kisarawe .wakati Ina Mali
@JanuaryMasanga
@JanuaryMasanga Ай бұрын
Hongera sana mkuu
@user-hi4je4du7e
@user-hi4je4du7e Ай бұрын
Dc magot upo vizur sana mungu hakubarik nakufatilia sana nipo Kilimanjaro mkoa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Huyo hamna kitu hapo
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 Ай бұрын
Hongera ila utani punguza kidogo mheshimiwa
@SaidHamis-yz1vt
@SaidHamis-yz1vt Ай бұрын
DC YANI UNAPIGA KAZI KULIKO HATA BAADHI YA MAKUU YA MIKOA HONGARA MAMA SAMIA. TULETEE MWANZA
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 Ай бұрын
DC nimempenda Sana anautawala wa heshima kwa viongozi wenzake
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Wilaya imetelekezwa .hadi.Magoti ndie.anaikumbuka hii ni ajabu. Munger hana habari nayo
@fillomuhenga4240
@fillomuhenga4240 Ай бұрын
Hongera sana mhe.rais kwa kumteua mhe.magoti kuwa mkuu wa wilaya Yuko viziri sana nimempenda
Masimulizi ya Birdman
14:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 394 М.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 1,7 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15