Nakubalianakabbisa kwamba ardhiyaya wapalestina wakirejeshewa na uhuru wao ,kesihizi, hazitoonekanatena.
@chidiomari.6510 ай бұрын
Kipindi changu pendwa chekeche ,Much love from Helsinki Finland 🇫🇮.
@hidayahidaya-vd3ze2 ай бұрын
Mabruk Ibrahim rahbi
@творческиймыслитель10 ай бұрын
Baraza la usalama ni sawa na ule mdori kalikenye hauchezi mpaka uchezeshwe
@hassangaddafi234710 ай бұрын
❤❤❤❤
@salehkhamis-ob8ln10 ай бұрын
Hiki kipindi nakipenda sana tatizo lenu moja tu mnacherewa kutuletea hiki kipindi cha vita Ukraine hadi gaza
@jamesraphaelmdima47299 ай бұрын
Na haya mazungumzo yanayoendelea hayatazaa matunda,mazungumzo yataendelea mpaka mwisho wa vita bila utekelezaji.
@King_Of_Everything10 ай бұрын
👊👍✌️.
@hassansingano115010 ай бұрын
Mazayuni ni mashetani, vita vya kikombozi viendelee
@JaphetJairos-n4l10 ай бұрын
Hii vita marekan ni refari😂😂
@KadeguFundi10 ай бұрын
marekani ni wanafki. hawana ubinadamu.
@Optionxll_Playz110 ай бұрын
Sijui ni kwa nini munashindwa kuelewa kuwa hii vita USA na UK na EUR wakitaka vita hiyo inaisha .
@jamesraphaelmdima47299 ай бұрын
Hii vita inaelekea mwisho, baada ya maumivu makubwa sana laia wengi sana wa GAZA watapitia kwenye njia rasmi kuvuka ukuta na kuingia Misri. Na baada ya hapo Marekani atashika eneo la GAZA. Marekani atalishikiria eneo la GAZA.
@Supershopdubai-ck8td10 ай бұрын
Ikikipindi tunakipenda san tungeomba mtuandalie kilawiki kipindi kimoja kimoja from 🇧🇮 tunawapenda san
@ShaftMwiinga10 ай бұрын
Upo nchigani rafiki
@ShaftMwiinga10 ай бұрын
From Zambia
@Hassan.Nassoro10 ай бұрын
Mlete Thabit please
@MohamedChavala9 ай бұрын
Hakika malekani ni mnafiki kwenye hi sayali ya dunia
@IsmailBagayabakwe-bb1pl10 ай бұрын
Marekani ndiyo iko na fungulo za iyi vita ya ulimwengu
@jamesraphaelmdima47299 ай бұрын
Islael atashinda vita hii,ila itapelekea vita nyingine ambayo itaongozwa na Russia, Iran na washirika wake. Na vita hiyo itakuwa ni vita ya nuclear.
@salymsuleiman20354 ай бұрын
Waraabu ni wanafiki
@OmaryJafary-j8f9 ай бұрын
Marekan wanafiki wanata kuwap silah izlael Baad ya kufer kule bahali nyekund kwa kichap ch yemen
@MsangoDiesel10 ай бұрын
Nyau mjanja dunia imebadilika kikundi na nchi Vita 6
@SeifRashid-bd1qn9 ай бұрын
America haha lofoten la Amani katika middle East, kwasababu ,yeyenahuyomshirikawakeezrael,na marafikizao,wanakhofukwamba ,waarabu wakitulia ,tayari wanna umuhimu wakumilikisilaha I've kwakununua au kwakutengeza ,hivyo nivigumu kupata amani yakudumu ,pia ikubukwe kwamba, ezraeli ,, inataka eneo la ,gala walimiliki has waarabu ,haha wapelekwe kwenye majangwa, gaza yoote imilikiwe na wayahudi,