CHEKECHE | Mwaka mmoja wa vita vya Urusi na Ukraine na yanayoendelea kujiri

  Рет қаралды 29,637

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Mwaka mmoja wa vita vya Urusi na Ukraine na yanayoendelea kujiri, huku giza la kupatikana kwa suluhu likiwa limetanda.
#AzamTVUpdates #Chekeche

Пікірлер: 144
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Mnachukua habari za mangaribi jana tu zaidi ya wanajeshi wa Ukraine mia tano wanerushwa maiti Tazameni Tv 📺 za Indonesia
@gabrielmtapila229
@gabrielmtapila229 Жыл бұрын
Wachambuzi mko vzr hongeren
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Жыл бұрын
Huyu Ibrahim rahbi namkubAli Sana anachambua kitu hadi kinaeleweka hongera kaka na kipaji chako
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Жыл бұрын
Hawa wachambuzi vimeo uwenda awajuwi kitu wanajidanganya tu, India,China,Brazili,Rusia na SouthAfrica ni kundi moja( brics) awawezi msaliti Rusia
@apostlenestorndizeye6205
@apostlenestorndizeye6205 Жыл бұрын
Hao Wavijana wenu munawaita wachambuzi, hawajuwi istoria ya Urusi
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 Жыл бұрын
Na leo ndo mara ya mwisho kuangalia chekeche coz nilijua mtabadilika lkn naona bdo. Hakuna uchambuz wwte apo zaidi ya uongo
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Hujalazimishwa Leo hii Urusi anapigwa Kursk.
@ibrahimahmed3548
@ibrahimahmed3548 Жыл бұрын
mnapeana moyo sana nyny nchi zenu za kishoga zote zitanyooshwa na urusi
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 Жыл бұрын
Hako kajamaa kanaonekana kana mapenzi na wamarekani na yule shots zelensky. Tizama sidhani hata kama anafuatilia chochote.
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 Жыл бұрын
Mtangazaji na wachambuz wao wote mpo upande mmoja ukweli unakua ngum kuupata, sasa ndo uchambuz gan
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Hizo habari za tanzania km za hapa london
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Urusi Ni Taifa lenye Technologia kubwa na utalaamu mkubwa katika Vita ngoja tusubiri yatakayotokea
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Жыл бұрын
Huo ni ushabiki tu. Teknolojia gani unapigana na nchi umeizidi ukubwa zaidi ya mara 15 na mwaka umeisha huna ushindi
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Hamphre hujui kitu hebujaribu kuwa mpole
@salum8831
@salum8831 Жыл бұрын
@@humphreymwihambi4330 Urusi anapigana na Nato sio Ukaraine. kama ingekua ni ukraine mpaka sasa vita ingekua imeisha muda mrefu tu .kiufupi Urusi inapigana na zaidi ya nchi 35 ndani ya ukraine.
@musashaban4309
@musashaban4309 Жыл бұрын
Da niliwaheshimu Azam rakini nimewazarau kwa uchambuzi feki wavita;nyie mkachambue mpra
@nafuutayb8452
@nafuutayb8452 Жыл бұрын
Urusi hakushindwa kuivamia kiv ila israil alibeba dhamana yakusuluhisha na urusi akarudi nyuma ila mashetani wa ulimwengu marekani wakabadili makubaliano sidhani km zelensky angelifika mwezi
@hassankinamahassan6945
@hassankinamahassan6945 Жыл бұрын
Waongo wakubwa mamluki na vibaraka ninyi tunafahamu kila kinacho endelea kule ipo siku mtaitwahapo mchambue kuhusu vita na hamtapatikana
@hossanaassanemdulumdulu6731
@hossanaassanemdulumdulu6731 Жыл бұрын
Suluhu ya mezani ni ngum Kwa sababu, vita sio ya Ukraine na urusi, vita ni NATO na urusi ingelikua ni vita vya urusi Na Ukraine vingekua vimeisha.
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Urusi anapigana na NATO sio Ukraine
@ramamtanga3482
@ramamtanga3482 Жыл бұрын
Akuna wachambuzi apo hata mimi nina ufahamu kuliko wao awajui lolote kuusu vita vinavyoendelea uko ukraini
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Wachambuzi hewa hawa
@apostlenestorndizeye6205
@apostlenestorndizeye6205 Жыл бұрын
Azam TV uchambuziwenu ni wahovyo. Tafteni wachambuzi wazuri.
@annurmohamedi9824
@annurmohamedi9824 Жыл бұрын
Usikute wanadhaminiwa na MSM za magharibi😅
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 8 ай бұрын
Tatizo mnataka msikie yale mnayoyapenda nyie...Mbona jamaa anaeleza vizuri tu.
@machanomakame3601
@machanomakame3601 Жыл бұрын
Hapa hapana wachambuzi
@wandasanudia
@wandasanudia Жыл бұрын
Move Vita ya pili.Duniani
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Wote aingie hata ww mchambuzi tunataka uingie tukufungie ndani
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Жыл бұрын
Duuhhh hawa wachambuz waongo jamn
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Жыл бұрын
Wameongopa kitu gani?
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Hamphre we shoga nn
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
​@@mayombomajenga9778jibu hoja mzee
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Hiyo Ni uongo kuwa wanaogopa Ila sababu Ni kwamba wakipga urusi itarudi na matokeo makubwa ya majibu ya mashambulio hayo ,kumbuka urusi ndo yenye silaha kubwa za nyukilia
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Leo Kursk inapigwa. Vipi kashapiga Nuclear?
@selemanshidda9688
@selemanshidda9688 Жыл бұрын
Weye Joseph Kenene acha kuchanganya Kiingereza na Kiswahili katika maongezi yako!
@allyfaraji2812
@allyfaraji2812 Жыл бұрын
Huyo jamaa wa hapa bongo ajui kitu anaongea nn au nayeye shoga we mtu anapewa misaada na nchi Zaid ya 50 na anatandikwa aoni awe mkweli
@bomonda2622
@bomonda2622 Жыл бұрын
Hawa wachambuzi pumba kweli na suti zao
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
😂😂🤣
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Na Ukraine hana jeshi ni mamruki wa Ulaya marekani Australia Canada ndio wapo pale Ukraine apingani pale
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
shida zenu hasa huyo wachambuzi wenu hao uchwara sasa Ukraine atashindaje vita kwa silaha za kupewa
@mikidadmhando2504
@mikidadmhando2504 Жыл бұрын
UN is America, how can solutions be dictated by America? We need a more accurate representation for all nations equallyy
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Siyo hakutegemea anajua Vita itakuwa hivyo
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 Жыл бұрын
Hakuna wachambuzi hapo maana mi raia wa kawaida najua mengi kuliko hao. Maana hawajui hata kama kuna BRICS hakuna wachambuzi hapo.
@obadianerson9277
@obadianerson9277 Жыл бұрын
Hamjui historia ninyi
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Brics ni umoja wa kibiashara na sio wa kijeshi. Mfano, south Africa, India na Brazil ni washirika wa Magharibi katika Intelligence na Biashara Ila China na India wapo Brics Ila ni maadui
@asambakanyalusambya249
@asambakanyalusambya249 Жыл бұрын
Vita so jambo la mchezo tutegemea waende kwenye meza ya mazungumzo
@cansuremwiga7282
@cansuremwiga7282 Жыл бұрын
Wanacho ofia kupereka soraa za masafa malefu. Nikwaajili ya kuogopa Moto wa urusi
@fatahunyundo2426
@fatahunyundo2426 Жыл бұрын
Kuisimamisha Rus mtasubir sana
@uptownpespatch
@uptownpespatch Жыл бұрын
Hukuna wachambuzi hapo
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@bartolomeuhenrique1574
@bartolomeuhenrique1574 Жыл бұрын
Away jamaha safi sani,kwa kutafakari
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
huyo jamaa mjinga hamjui mrusi kabisa jamaa ambiwevzr
@allyhaji7901
@allyhaji7901 Жыл бұрын
Ety wananchi awamsapot unachekesha
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Kwann hamsemi kama maererkani na natoyake ndio hawataki tumerogwa waafrika
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Uyo jama wapili Kinene" hajui undani ya hii vita mjinga sana
@mishimatangalu7398
@mishimatangalu7398 Жыл бұрын
Ninyi ni waongo Sana urusi anapigana na dunia mbona hawamvamii Kama no mchovu
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Avamiwe Kwa lipi?
@homebest9258
@homebest9258 Жыл бұрын
Hahahahaaaa, hamumufahamu murusi vizuri nyinyi 😊
@saidmathayo872
@saidmathayo872 Жыл бұрын
Hawa ni wachambuzi makini sana
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Waongo wakubwa tena mnaongopa hatharani
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Msituhatibie mb zetu
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Matokeo haya yote aliyajuwa ndio maana ameweza kuhimili mikiki na bado hajatumia nguvu kubwa
@papaamularfins599
@papaamularfins599 Жыл бұрын
Mashoga mnashida saana, ila saa hino hamnywi maji! Sheenzi saana tu! Nguvu zenu za kiume ndo mwisho kabisa!
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Munaogopa kuongea ukweli ndio walewale
@lushidulajidanda2321
@lushidulajidanda2321 Жыл бұрын
Nyingi nivibalaka wamarekani
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Жыл бұрын
Azam watafuteni wachambuzi sio hawa viraza
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 8 ай бұрын
Mbona jamaa anaeleza vizuri tu, tatizo mnataka msikie ya upande wenu tu, Ibrahim rahbi yuko vizuri kabisaa.
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Yah Rabi yupo vizuri, sema watu hawapendi ukweli.
@hossanaassanemdulumdulu6731
@hossanaassanemdulumdulu6731 Жыл бұрын
Mtangazaji hunawachambuzi bari unawatetezi wa Ukraine, kumbuka tundu lisu alivyo kasema, ndivyo ilivyo. Pili urusi hapigani na Ukraine Bali anapigana na ulaya+ America ( NATO) pia Ukraine hapewi siraha Kwa sababu ya kuona kama anaonewa Ukraine, sio kwani Libya Iraqi Palestine wameonewa nani aliwaonea huruma.
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
Nice guy
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Palestine anaonewa huruma na Iran, Qatar, Misri, Lebanon
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Urusi hataki kupiga raia ndo maana anaenda polepole Kwan angekuwa anapiga holela angesha muondoa zelensiky
@salum8831
@salum8831 Жыл бұрын
ingekua muda tu kasha malizana na ukraine
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Azam mnajishushia heshima unaogea ujiga kabisa huyo Rabi huwa simpendi anapenda ushoga
@salum8831
@salum8831 Жыл бұрын
wachambuzi wengine ni hovyo kabisa, yani mnaamini kua Ukraine itaishinda Urusi? weka Nato na Marekani ila hawatashinda zidi ya Urusi
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Bora muache tu kudanganya watu
@shijachengula2342
@shijachengula2342 Жыл бұрын
Mji mgumu ulikua solidari lakini walusi wameutwaa na hamsemi wamagalibi wamepigika wameishiwa nazana zileski hajulikani anapigania nn kwani ulusi noma mzee kadanganye mbele na wajinga
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Dah, mzee inaonekana hata shule hujaenda.
@kandamsilemsile9054
@kandamsilemsile9054 Жыл бұрын
Maoni yangu mm waanze tena uchaguzi wapige kula dunia nzima nani anapendelea uusi kuvamia ukreni ni na ni hapendi ukreni kvamiwa kila ichi iseme ukwel atakae shindwa bas ashindwe
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 Жыл бұрын
Wachambuzi wa Mchongo
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Hamuijui urusi nyie wachambuzi
@saidmathayo872
@saidmathayo872 Жыл бұрын
Hawa ndio wachambuzi hasa walioenda shule na wenye hekima na Mungu awabariki sana.
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 Жыл бұрын
Tatizo lako wewe co mfuatiliaji wa hii vita. Hao wachambuzi hawasomi nyaraka na hawaiingii deep kwenye vita
@saidmathayo872
@saidmathayo872 Жыл бұрын
@@hassanthabit3726 Hawa wachambuzi wako vizuri sana ila ww na wenzako mnashindwa kuwaelewa. Msiingie na Matokeo uwanjani na wala msitangulize mahaba, mbona wamechambua vizuri tu.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 8 ай бұрын
@@saidmathayo872 Yaani watu wa humu hawaelewi kabisaa, jamaa mbona wako vizuri kabisaa kiuchambuzi.
@mishimatangalu7398
@mishimatangalu7398 Жыл бұрын
Mh hivimna akiri kweli nyinyi nchi imechukuliwa asilimia30 dunia yote ikimsaidia ukreni vpi mseme rashia imezidiwa ?hamoni nyinyi nipunguwani huyu anataka wote wawe mashoga na nyimna watetea
@mwijage348
@mwijage348 Жыл бұрын
Mbona sasa ata uchambuzi wenu mnazidiwa na watu ata ambao awakusomea huandishi
@jamesmtewa9905
@jamesmtewa9905 Жыл бұрын
Mrusi alipo ona hapigani na ukrein aka ifanya vita iwe ya mda urefu maana alijua hapigani nawa ukrein sasa nyinyi wasomi mna tuzuga hata sisi Wala Saba
@ramamtanga3482
@ramamtanga3482 Жыл бұрын
Yani awa ni wapuuzi kweli ivi yani ni vibaraka wa marekani
@shinwakilimbi4359
@shinwakilimbi4359 Жыл бұрын
Nahao niwa maskini TU kusma uongo
@mwijage348
@mwijage348 Жыл бұрын
Congo eti kuna UN, Lyibia, Nigeria, Sudani, Ethiopia UN wako wap acheni ujinga siku zaidi ya 100 wanyarwanda wanauana UN waliokua wapi
@matigoroally8282
@matigoroally8282 Жыл бұрын
Akuna Chochote Kinachozungumzwa Hao Watafiti Silolote Wapo Upande Wa Magharibi lkn Ukweri Kwamba USA NATO Na Umoja Wa Ulaya Maji Ya Shingo!
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Dah hebu tupe uchambuzi
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 Жыл бұрын
Kumbuken urusi ana pigana na zaidi ya nchi 30 viva Russia viva Putin 💪💪💪💪💪🔥
@njikuhr1875
@njikuhr1875 Жыл бұрын
Azam washenzi tu nyie.
@salumkhamis2059
@salumkhamis2059 Жыл бұрын
Azam mmekuwa Kama bbc
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Naona wachambaji hapo hakuna mchambuzi na lazima tujuwe sio kila msomi ana akili kama hao ni vibaraka tu wa mabeberu na mashoga wanapigania ugari tu
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Imepita miaka miwili Sasa Urusi Bado hajaudondosha utawala wa Ukraine na Sasa mji wa Kursk na Belgrod upo asilimia 60 ya utawala wa Ukraine. Hapo ndio utajua Ushabiki na uhalisia unajitenga
@allymangosongo5570
@allymangosongo5570 Жыл бұрын
Awa wachambuzi Ni vibaraka awajielewi awajui kiini Cha tatizo
@ngomafrancis1659
@ngomafrancis1659 Жыл бұрын
Urusi anapigana na inchi thalasini na nne 34 nabado vita mnamo siku izi NATO itaingia kijeshi ndo tutaona simba na Yanga
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Жыл бұрын
Siku zote muchokozi ashindi
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 Жыл бұрын
Mchokozi Nani?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
I'm standing with Russia only🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺👍👏💪🔥
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
🤝🤝💪💪💚
@rejobu9723
@rejobu9723 Жыл бұрын
Kwa wachambuzi hawa wa michongo mmefeli 0%
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 Жыл бұрын
Hamna uchambuzi wa maana Tafuta wachambuzi wenye ueledi
@betinaernest2766
@betinaernest2766 Жыл бұрын
Kwa Sasa watanzania tunafuatilia media tofauti tofauti kwahy hamuwezi kutudanganya,, hata media zenyewe za magharibi zinaonesha mrusi anasonga mbele na ulaya anaelekea kuishiwa siraha Sasa nyie mnachambua usenge tu
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Hatudanganyiki kirahisi wazee na hapo mchambuzi mwenye akili hawezi kusema vita vya urusi na Ukraine huo ni ukibaraka na ujinga hile vita ni ya urusi na ulaya mangaribi na marekani yao na wameshakata pumzi. Nipo pale pembeni nawaangalia mdanganyane tu kupiga urusi mnaogopa heti moro authority
@herinzigo669
@herinzigo669 Жыл бұрын
Wachambu feki Hawa wanaiandaestimate urusi.hawaijui urusi Hawa..
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Na nyinyi azamu hamna macho mpaka cku zote mnahoji wajinga wajinga na kuwaita wachambuzi wakati habari zenyewe wanapata BBC, aljazila, CNN na DW badilikeni watu tunataka ukweli halisi hi si zana tena za ukoloni mambo leo ni uhuru na haki na soon mtaona na kujiwa urusi ni nani
@kukujogooooo
@kukujogooooo Жыл бұрын
Yah kwli kbsa
@kandamsilemsile9054
@kandamsilemsile9054 Жыл бұрын
Maamuz makari yafanyike bila yakujali hasara watu mpaka sasa wamekufa na wamesha umia kosa kubwa sana amefanya ulus
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Puttin wanamkubali asilimia 76%
@senikomanya7223
@senikomanya7223 Жыл бұрын
Mtangazaji na wachambuzi mmekutana dumu na mfuniko
@mussamakalanga9617
@mussamakalanga9617 Жыл бұрын
Tunaombaa kipindi kifanyikee japo mara mojaa kwamwez tunajifundisha dunia inaendaje
@cansuremwiga7282
@cansuremwiga7282 Жыл бұрын
Putin awezi kushindwa na ukrein. Zubulieni Putin aikomboe dunia. Akomboe sheria za waingereza zilizopo Tanzania. Ambazo nisheria zipo kwa kuilinda ccm.
@newgarden8036
@newgarden8036 Жыл бұрын
Wachambuzi gani Hawa??? Azam mmefeli. Aliyesema atachukua Kiev kwa wiki moja sio URUSI ni marekani. Sio mnakopi Habari za BBC manatuletea.
@mwijage348
@mwijage348 Жыл бұрын
UN umetatua mgogoro gani acheni ujinga
@kukujogooooo
@kukujogooooo Жыл бұрын
Ko nyinyi mnapenda kuona NATO wanazipangia dunia na Africa Nini Cha kufanya nn wakifanye! Mnaboa haswa hiyo jamaa wa mbaki
@betinaernest2766
@betinaernest2766 Жыл бұрын
Chambuzi ya hovyo kabisa mnadanganya mchana kweupe yaan hovyo kabisa na mtangazaj ebu jitahd kubadilisha wachambuzi upate mawazo tofauti tofauti lakn sio hap machawa wa magharibi huwez kuwa channel kubwa Kama kila siku unawachambuz wake wale
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 Жыл бұрын
UMOJA WA MATAIFA 80 YA FINANCE NI MAREKANI UNADHANI WATATATUA NINI? USITUONGOPEE WE JAMAA, CHINA YUKO NA RUSSIA NA WAO WENYEWE WAMEONGEA BIG LIAR.
@saidabdala4980
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Wasenge nyie
@shabaniselemani6425
@shabaniselemani6425 Жыл бұрын
Amjjui uchambuzi mashoga nyie
@alexkiptoo1324
@alexkiptoo1324 Жыл бұрын
Your conversations content is very shallow👌, do more research from different sources before you come and discourse basics online
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Yani huyu jamaa ajui lolote
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Manyangau wana ajenda nyuma ya pazia ambazo hao wachambuji hawajui lololote wajinga tu
@mwijage348
@mwijage348 Жыл бұрын
nyie Azam ni wapumbafu
@jumaismaili3656
@jumaismaili3656 Жыл бұрын
ww nimjinga sana aujuwi kuchambuwa
@lazarokabinji1316
@lazarokabinji1316 Жыл бұрын
Kiukweli tu nyinyi mnaogopa kuongea ukweli wakati Ukraine amezidiwa kila kitu na irusi wekeni tu Mambo hazalani msiogope
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 Жыл бұрын
Wanazi ni walewale
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 11 МЛН
SOKA KIJIWENI SEPTEMBA 30, 2024
22:39
Azam TV
Рет қаралды 204
Irani ben gati bomben berthamore? Eksperti Beqa: Gjithçka varet nga…
13:50
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН