CHEO KIKUU ALICHO NACHO KUZIM ANAMILIKI PEPO ZA UTAMBUZI EV PASCHAL

  Рет қаралды 52,651

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

8 ай бұрын

#0766998994 #0788871769 #

Пікірлер: 371
@user-ru2ck7ey7e
@user-ru2ck7ey7e 6 ай бұрын
Yaan watu bado hawaamini daah Mungu atusaidie sana
@musamshani8777
@musamshani8777 7 ай бұрын
Acha kuwasema watumishi wa mungu fanya like ulichotumwa wew kama kweli wew ni ntumishi wa mungu,unajua walikotoka,unajua mungu aliwatuma nin,wew ni mtu mbaya una roho kama ya yule Jamaa.
@GabrieliJumanne-lt8mx
@GabrieliJumanne-lt8mx 5 ай бұрын
Wewe ni mmojawapo wa wafuafi wa shetani.
@GabrieliJumanne-lt8mx
@GabrieliJumanne-lt8mx 5 ай бұрын
Sisi tunasoma biblia tunajua huyu mtumishi anasema ukweli
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 2 ай бұрын
Kati ya yesu na Devi Nan nabii mkuu,ukjbu ILO swal ndo utajua uko kuzm au hai
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia 24 күн бұрын
Omba macho ya rohoni ndugu,hata hili bado huoni?
@edouardnsengiyumva1145
@edouardnsengiyumva1145 8 ай бұрын
Watu wanahubiliwa ukweli lakini ukweli wanawukataa wanakimbilia wanao hubili uongo ,paschal mungu akulinde
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 7 ай бұрын
Ukweli upi sass
@tinamkeko192
@tinamkeko192 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi asiekuelewa hatoelewa tena
@athanacnicholauc3555
@athanacnicholauc3555 8 ай бұрын
Naendelea kujifunza vitu vingi kutoka kwa watumishi wa MUNGU. MUNGU akubariki sana mtumishi katika kazi yake
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 8 ай бұрын
Haombi hela ila ni sadaka kwaajili yakisaidia injili iendelee kwa njia ya mtandao watu wengi waifaham kweli ya Mungu maana. watu wanapotea bila kijua wanakoenda. haweki mgukoni mwake Mungu akubariki endelea kuipigania injli ya kweli
@GeophreyJames
@GeophreyJames 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana,wenye akiri tunakufahamu wasio jua maagizo ya hawa majamaa (devil agents) atasumbuka sana Mungu awafungue fahamu zao.
@IvanRugogo
@IvanRugogo 2 ай бұрын
Navutiwa sana na Huduma yako Mtumishi wa Mungu na Mungu akutie nguvu uzidi kusonga mbele na huduma hii
@andreauisso3225
@andreauisso3225 7 ай бұрын
Hongera sana Baba kwa kusimamia ukweli ni wachache wenye uwezo wakuwasema manabii ya uongoo
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 8 ай бұрын
Umebarikiwa kuwaliko wote mtumishi. Unawakomboa wengi sana waliofungwa mioyo yao. Na kuzidi kutufundisha kujua mengi yaliyofichika. Bwana mwenyezi, neno lako linasema wale wakuchao na kufurahia kutii amri zako watafurahi milele. Ninakiri kwamba mtumishi atakuwa tajiri zaidi rohoni na mwilini na matendo yake mema yatadumu milele. Ninaamuru kwamba amani yake ni kubwa na utulivu wake hautasumbuliwa kamwe. Bwana kawafanye adui zake wanaoinuka dhidi yake kwa njia moja au nyingine kushindwa na kukimbia kwa njia saba kwa jina kuu la Yesu kristo.
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi
@omasogreatfamily5395
@omasogreatfamily5395 8 ай бұрын
Tangu nianze kukuskia MTUMISHI wa BWANA,umenifunza mengi na kuniamsha usingizini. Mungu na akupe uzima utulishe chakula kinachofaa kwa wakati wake🙏 step by step with you servant of God to the day will hiding for life bcoz of Christ of Nazareth🙏 following u from Kenya in the name of Jesus Christ 🙏🙏
@user-rj2sh1hg4f
@user-rj2sh1hg4f 8 ай бұрын
Mchungaji asante sana kwa ujumbe huu nakuombea mungu aendelee kukushika mkono unapoendelea kuhubiri kwa mataifa yote barikiwa sana ,ata watu wakucheke na kukukujeli usirudi nyuma endelea mbele ni linet toka kenya nabarikiwa sana kila siku kutokana na ujumbe wako kuhusu ukweli wa kurudi kwa yesu mara ya pili
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Ай бұрын
Mungu sio mungu
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 8 ай бұрын
Nawapenda sana watumishi wa mungu vijana wa yesu kama, mtalemwa, wa kanisa la ECCG anasubiri injili sana yenye maalifa isiyochanganya na uchafu, wa kinafiki
@gladnesnghwasa2670
@gladnesnghwasa2670 6 ай бұрын
Hakika
@ardokipundwe94
@ardokipundwe94 6 ай бұрын
Mungu akusaidie mtumishi uzidi kutufungua Zaid na Zaid tupate kuelew aminaa
@RedSun-ms2zq
@RedSun-ms2zq 3 ай бұрын
Pascal toka kitambo uko na mungu mwinjirist mungu atuokoe kwa kweli
@ulayaz
@ulayaz 6 ай бұрын
Mtumishi mungu akujaalie upate afya ya kupambana na matapeli
@tvt1457
@tvt1457 6 ай бұрын
Neno la Mungu litasimama milele halitobadilika hata wanadamu waliwekaje shida tunapenda miujiza kuliko kujua neno la mungu linasema nini katika ahadi baraka na mafanikio kutoka kwa mungu ….. mjue sana Mungu ili uwe na amani ndipo mema yatakapokujilia hatuhukumu watu wanavaa mavazi yawapasayo wanaume wanaingia makanisani na wachungaji wanaona ni sawa kikubwa wapate baraka sio sahihi
@YvetteBafunyembaka
@YvetteBafunyembaka 2 ай бұрын
Wewe ni Mutumishi wa Mungu baba, neno la Mungu linasema mutaijuwa kweli nayo kweli iyo ita waweka ninyi kuwa huru. Mutumishi wa Mungu wao wenye kupinga maneno haya unyo yasema ni vipofu wa macho na roho
@user-yk1hb6xk6r
@user-yk1hb6xk6r 6 ай бұрын
Hongera sana ndugu Mungu hakulinde
@erickrao
@erickrao 8 ай бұрын
God bless you so much jesus will protect you man of God bila kuogopa chochotete tobua siri zao Wana pagawa waomini nakuzuia mengi kukosa kujua ukweli🇰🇪
@fidelajackson2723
@fidelajackson2723 8 ай бұрын
Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu wa kweli.endelea kuusema ukweli nina imani wapo watu watatoka kwenye hizo kanisa za wa tumishi wa shetani.
@mpesastatements2265
@mpesastatements2265 8 ай бұрын
Amina mtu wa mungu ubarikiwe sana endelea kufungua watu sana
@user-bg4fr8qd4y
@user-bg4fr8qd4y 7 ай бұрын
nëno la mungu ni upanga mungu akubaliki mtumishi paschal usikatishwe tamaa na wapumbavu mana wao husema hakuna mungu
@omasogreatfamily5395
@omasogreatfamily5395 8 ай бұрын
Njia ya Yohana mbatizaji si rahisi lakini naamini Bwana atakulinda hadi utimize kazi yako🙏
@user-cx8ne3nv6m
@user-cx8ne3nv6m 6 ай бұрын
Ukweli lazima upingweee, paster mung akuinuee, n uzid kumuomba mung zaid.wwnaokatisha Tamaa wapo adi kwenye comment,,, ila s mbaya at kiping cha yesu walikuwepo.
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Ай бұрын
Yesu sio Yesu, Mungu sio mungu
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Ай бұрын
Yani herufi kubwa tafadhali YY. Mm
@annaamadeo-ge2dd
@annaamadeo-ge2dd 8 ай бұрын
Mungu aendelee kukutetea mtumishi. Maana hii ni zaidi ya vita
@mariammnanka3404
@mariammnanka3404 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu azidi kukutumia ili wengi tufunguliwe ufahamu,maana walio wengi wamefungwa ufahamu hawaelewi,Malaika walinzi wakulinde usiku na mchana
@pascalmtivike
@pascalmtivike 8 ай бұрын
Hii ni Vita sana Mungu akulinde mtumishi wake
@jamesmulatya7709
@jamesmulatya7709 7 ай бұрын
Kasiani naamini unaweza kukutana na shetani ana kwa ana ila huwezi kukutana na Malaika wa Mungu ana kwa ana. Waliopikiwa chakula wakielekea kuichoma Sodom na Gomorrah walikuwa nani?
@lumierejason5019
@lumierejason5019 5 ай бұрын
Walikuwa ni malaika Walikuwa na meili wakinadamu
@user-ji2ks9ex9s
@user-ji2ks9ex9s 7 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa kweli❤❤
@user-fn3me3qj2s
@user-fn3me3qj2s 5 ай бұрын
Nakubaliana na wew mtumishi wanatupotosha sn mi sijawahi kuona Kama Kuna maombi ya Bei Kama mwamposa
@user-uw5wy2yj8d
@user-uw5wy2yj8d 7 ай бұрын
Mungu akihifadhi zaidi na zaidi mtumishi wa Mungu asante sana sikujua jaman,sasa naelewa
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 8 ай бұрын
Truly i believed these man , Geodavi, vile anatoa pesa kuwapa watu ni jambo jema. Ila nimejifunza mengi kupitia kwako mwinjilist. Mungu aturehemu tunaoamini kila madhabao ya miujiza.
@KakumbaElisha
@KakumbaElisha 7 ай бұрын
❤kwakweli ubarikiwe kwa ushujaa ulio nao na mahamzi mazito uliyo yachukuwa❤kwa kuweka mambk yote wazi pia na Mungu akutumie zaidi mpaka kieleweke Bwana akubariki sana Mtumishi
@stellalochodo9163
@stellalochodo9163 7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu,Mimi nakuheshimu sana,ila tu ,natofaitiana nawe kwa kukutana na Mungu (Kupitia Kristo Yesu,) Yesu na malaika hutokea watu , Kibinafsi nimekuwa na maono Mara tatu,Yesu akinitokezea ,hila hitokea kiroho ,anajidhihirisha visawa kwa yule anakusudi naye kwa muda huo!
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 6 ай бұрын
Simuelewi huyu jamaaa ni tatizooo wangemjuaaaaa!!!
@user-jv1qw8rw3k
@user-jv1qw8rw3k 8 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa mafundisho mazuri
@user-bp4wv4jo2i
@user-bp4wv4jo2i 6 ай бұрын
Kuna ukweli juu ya hii jambo pascal analiogelea,ni kweli hakuna aliyemuona Mungu wa majeshi ,mkuu WA uumbaji wa kila kitu ulimwenguni na malaika viumbe viko karibu sana na Mungu huwezi iishi utakufa
@user-ji2ks9ex9s
@user-ji2ks9ex9s 8 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu nmeanza kukuelewa
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 8 ай бұрын
Mungu akubariki katika roho na kweri
@jonassamwely
@jonassamwely 7 ай бұрын
Mungu akutie nguvu daima na Mungu akibariki una vita kali sana
@rev.josephatmagori7209
@rev.josephatmagori7209 7 ай бұрын
Sema .... Nani atawaambia wajisahihishe.... Ni wewe wasipoelewa watakuchukia. Wakielewa, watasema Asante.
@user-po7zh4zz2k
@user-po7zh4zz2k 6 ай бұрын
Wanaadamu tusiwe wavivu Mungu anapatikana Mithali 8:17. Tumtafute. Injili ya Bwana Yesu alianza kwa TOBA. Kizazi cha leo Mwalimu wetu ni nani. Uvivu wa KUTOSOMA na KULITAFAKARI NENO LA MUNGU. MARANATHA.
@jameschilongwe7620
@jameschilongwe7620 7 ай бұрын
Weka hoja mezani Mungu mwenyewe atajua siku ya mwisho ngano ni ipi na magugu ni yapi.
@YvetteBafunyembaka
@YvetteBafunyembaka 2 ай бұрын
Watumishi ambao wangali na tembeleya haki na kweli ya Mungu ni wachache sana
@emilyrissling9703
@emilyrissling9703 6 ай бұрын
Kanisa limefika mahali pagumu, wakristo wamepotea kwa kutaka miujiza, kutabiriwa, nakadhalika,ila bibilia iko wazi siku za mwisho watatokea MANABII WENGI, NA WATAPOTEZA WENGI, JE UNAYE mfuata anatumia bguvu za mungu au nguvu za shetani? Asabte sana Brither Casian jwa kufungua Dari ukweli ujulikane,
@revocatusbahatibussiah5201
@revocatusbahatibussiah5201 8 ай бұрын
Mtumishi upo sahihi asilimia mia...... Wapo watu wengne huwa wanaenda kwa manabii Hawa huku wakiwa wanajua kabisa!!! Unayoyasema yameandikwa kwenye biblia kabisa....ila sijui watu wanasoma wapi na hawajataka kumfaham YESU.. kingne wanaotaka mafanikio kwa muda mfupi ndo wanaokimbilia huko. Siku za mwisho shetani atakuwa anafanya maigizo ndo kqmq hivyo. Huyo n muongo ila watu hawajui!!
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 7 ай бұрын
Sawa tume kuwerewa ira kaa ukijuwa usimuukumu mtu yoyote apaduniani subiri mungu ndio atakae waukumu tafa thari acha kuwasema watu chamusingi tufundishe neno ra mungu kaka mbona ivyo kwani unaubiri au una waukumu watu
@RedSun-ms2zq
@RedSun-ms2zq 3 ай бұрын
Amewasema wapi yeye anasema vitu vya kweli ili tusiendelee kkukumbatia manabii wa uongo
@IvanRugogo
@IvanRugogo 2 ай бұрын
Wala hata ajahukumu mtu hapo soma ISAYA 58:1 Utamuelewa anachozungumzia
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ingia dip na utafakari anayo yaongea
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 8 ай бұрын
Sasa nimemariza kukukosoa kwa uongo wako, nategemea massege zako za kunitisha, maana wewe hutaki kukosolewa, kama yule mwenzio nilimpa maonyo sana naye akaanza kunitishia, mwisho wake akatishiwa mwenyewe,❤❤❤
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 7 ай бұрын
E
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 2 ай бұрын
Uongo upi apo
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ww haona la kusema
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ww hauna lakusema
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 8 ай бұрын
Pambana na shetani na watu wenye dhambi wamjue yesu kwa watumishi hutaulizwa chochote coz sio kaz yako
@RedSun-ms2zq
@RedSun-ms2zq 3 ай бұрын
Ndo mliokamatwa na roho za kishetani kwa hiyo ashindwe kukemea maovu
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 ай бұрын
@@RedSun-ms2zq Huna ufahamu
@HopefulFlower-sn4kg
@HopefulFlower-sn4kg 6 ай бұрын
KAZI YA MUNGU NI KMHUBIRI KRISTO WATU WAJE KWA YESU. WIVU UMEWAJAA KILA KUKICHA UNAWAHUBIRI WATU. ACHA UTAAHIRA.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 7 ай бұрын
Mwamposa hana watu BALI WATU NI WA MUNGU NA Mungu ndiye anayewaleta kwake kwa njia hiyo ili WAMJUE YESU KRISTO WA NAZARETI.
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 7 ай бұрын
Mungu atusaidie , tujue watumishi sahihi ambao wametumwa na KRISTO , muujiza ndo inawachanganya wengi ,wanaposikia kunakupokea gari au nyumba wanajua ni Mungu , kumbuka Mungu hawezi kukupa kama hufanyi kazi jibidiishe na Mungu atakubariki Kwa kile unakifanya ......
@floramongi1410
@floramongi1410 6 ай бұрын
Asante maria mdemu
@user-ij8je9eg4t
@user-ij8je9eg4t 7 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@paulnabiikakule
@paulnabiikakule 6 ай бұрын
mimi ni mutumishi ila ndungu yangu huyu ambaye anatukana mutu anafatana namaisha yake mwenyewe siyo kufwatiliya maisha yawatu katika bibia hauzungumuze kutukana ila inasema tutawatambuwa kwamatendo ila matendo haya yamatukano siyo vizuri usiwaharibiye wengine sifa ili wewe ufaulu,tuhubiri habari njema siku hubiri njina lamutu ila yayesu kristo hiyo nitama u
@user-uw5wy2yj8d
@user-uw5wy2yj8d 8 ай бұрын
Yaani sasa hapa ndyo naelewa ubarikiwe sana Paschal sana
@simaojacintojumane3202
@simaojacintojumane3202 8 ай бұрын
Deus te abençoe e continua te usar muito mais
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
tu laisses qui tranguille? et pour utiliser quoi?
@barakamkofiwa
@barakamkofiwa 7 ай бұрын
indeed mwinjilisti uko sawa kwa upeo wangu na nilivyo isoma Biblia kitabu kizuri chenye mwongozo wa safari ya mbinguni.
@emilyrissling9703
@emilyrissling9703 6 ай бұрын
Assnte mtumishi kwa huu ufunuo,
@user-ys2eg6dz9v
@user-ys2eg6dz9v 7 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@evelynetitus974
@evelynetitus974 7 ай бұрын
Hubiri neno sio watu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Tunawajitaji watu kama hawa.Wafungue macho hao vipofu ndugu.E n delea kuwafundisha.vipofu .❤
@henrysizya239
@henrysizya239 8 ай бұрын
Kwa sasa nimeanza kuelewa kuhusu haya mambo! Kipindi nasoma sekondari zaidi ya miaka 15 iliyopita nilikuwa natamani sana kwenda Dar es salaam ili niende kwenye moja ya haya makanisa ambayo wayumishi wake huwa wakiwashika watu na kuanguka chini. Nilitamani sana niingie kanisani nikae mbele nione kama naweza kuanguka chini. Nahisi ulikuwa ni utoto ambao ulikuwa unanisumbua kwa sasa naamini kabisa ninaweza kuanguka chini vibaya sana. Mungu atusaidie
@AshrafuJonny-sz4gs
@AshrafuJonny-sz4gs 7 ай бұрын
Kweli kabisa ubarikiwe kwa kutujulisha matapeli
@issayarashid9845
@issayarashid9845 7 ай бұрын
Fedha Mali na Dhahabu vyote ni vya Bwana ....
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 6 ай бұрын
Amen Pascal nakuamin hakuna Nabii waukweri
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 7 ай бұрын
MTUMISHI wa Mungu Cassian wewe UNAJUA unachosema juu ya watumishi wenzako. Yu mkini Mungu amekupa nguvu ya kuwasema, basi judgement ni kwa Mungu tu, hatuna woga kusikiliza pia, tuko darasani siku zote. AMEN BARIKIWA nawe.
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 7 ай бұрын
Hajamhukumu yeyote huko sahihi
@RachelSimon-wj3pu
@RachelSimon-wj3pu 7 ай бұрын
Usiogope kusema ukweli juu ya kristo yesu watu waokolewe
@floramongi1410
@floramongi1410 6 ай бұрын
Afanyae kinyume na maandiko sio mtumishi wa Mungu acheni kuwaita hivyo hao ni mapepo
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 7 ай бұрын
Kama mapepo yanatambua Je MUNGU hatambui mmmh shida ni kufukiri MUNGU hawez ubiria watu wasio mjua mungu wamjue acha kuwatoa waliomkir yesu km anatambua kupitia jina la YESU mbona km unateseka
@blessedEmmanuel-mm4sn
@blessedEmmanuel-mm4sn 6 ай бұрын
Kama Mungu hajakupa neema ya kua nabii, nabii ni spirit so kama huna kaa kimya, wewe ni mchungaji, chunga kondoo wa Bwana, wewe ni mwinjilist hubiri injili watu wamjue Mungu, huna karama ya ya unabii au ya kitume kaa kimya acha poyoyo, insuch anaepaswa kuhukumu ni Mungu siyo mwanadam, wewe huna lolote kasome bible acha alolo apeche
@GeophreyJames
@GeophreyJames 6 ай бұрын
Nabii gani anaruhusu mabinti wacheze uchi kwenye madhabahu, hata kwa akili ya kawaida tu haikubaliki
@loycep7785
@loycep7785 8 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa kusema ukweli wa Neno ili watu wawe huru Maana wakiijua ile kweli itawaweka huru kweli kweli Jipe moyo mtumishi hatakuacha yuko na wewe popote pale unapopeleka ujumbe
@shadidusalim2246
@shadidusalim2246 8 ай бұрын
Nikweli MUNGU amfunike kwadamu yake
@GamalieliMusembi-wv6sg
@GamalieliMusembi-wv6sg 8 ай бұрын
Daaah!!! Sawa Tumekusikia vyema huwa nashindwa kuwaelewa hao wanaosema hawakuelewi.... Mbona unaeleweka vyema sana!!! Shida nini? Yani me mwenyewe sijaokoka lkn nakuelewa mno na nataka niamue kuokoka rasmi nianze kuishi maisha ya uchaji Kristo... Sasa hao nikwann hawakuelewa??? Daaah! Semann Cassian usichoke ndugu yangu wala usivunjike moyo kabisa.. Me mwenyewe umenisaidia sana wala nisikufiche pia naomba unikumbuke kwenye maombi tafahdar sana nakusihi mkumbuke.. Natamani sikumoja nikusaidie kazi ya Kristo kupaza sauti ya hekima ya Mungu... Pia nataka nimpokee Kristo kwakweli... Naitwa Gamalieli Musembi plz nikumbuke uombapo Cassian plz roho yangu inakuamini ww kua nimjumbe hakika wa Mungu wa mbinguni Jehova.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 8 ай бұрын
Daah!!! Ndugu yangu G. Musembi.. nimekupata kaka. Nakuombea uokoke kaka. Utajua mengi zaidi. Huyu Brother P C anayo mengi mazuri japo baadhi hawamwelewi..esp hili la "kushambulia"....Barikiwa..
@GamalieliMusembi-wv6sg
@GamalieliMusembi-wv6sg 8 ай бұрын
@@mackfasonmoshi4629 Mungu wa mbinguni akubariki sana ndugu yangu..
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 8 ай бұрын
Ufaham unakamatwa bdio maana hawaelew ombea faham za watu
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 8 ай бұрын
Wasioekewa wamefungwa wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii...
@NeemaPaulo-iw3gi
@NeemaPaulo-iw3gi 7 ай бұрын
Amena m2mishi ufahamu we2umefungwa kabsa nakuelewa sana
@selestinimassawe3601
@selestinimassawe3601 7 ай бұрын
Yesu akupiganie mtumwa wa Yesu
@ParteAfter3600
@ParteAfter3600 7 ай бұрын
Mtumishi Kuna nyimbo ya ajabu umeimba chorus inasema "twahitaji msaada wako" Ni nyimbo ya baraka kubwa sana. Shalom
@allanlyombile7014
@allanlyombile7014 7 ай бұрын
Wewe unasema nabii mkuu anafanya miujiza kwa nguvu ya mapepo na mafarisayo walisema Yesu anatenda miujiza kwa nguvu za belizeburi mkuu wa mashetani, swali kwani wewe na mafarisayo mmezaliwa mapacha? kwasababu mawazo yenu yanafanana mnasema Mungu hawezi kutenda miujiza mikubwa ila shetani ndiye mwenye uwezo wa kutenda miujiza mikubwa, UMEFIRISIKA MIROHO.
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 7 ай бұрын
Nani kakwambia ukiongea kwa kupiga kelele ndio tutakuelewa 😂😂😂 achakelele 😂😂 ongea kistarabu
@user-uf7vr4ju4s
@user-uf7vr4ju4s 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi laiti tungepata mtumishi kama huyu kenya❤❤❤❤❤
@hellenagati9498
@hellenagati9498 7 ай бұрын
Wapo ni wewe huwajui
@GiftMwawasi-cn4fg
@GiftMwawasi-cn4fg 6 ай бұрын
Tafadhali kilicho Cha maana kwako ni kufundisha hilo neno la mungu wako na Wala sio kumuongea mtu mwingine.huo muda wakumsema mwingine.
@mercyetago4020
@mercyetago4020 7 ай бұрын
I like the way you imitate tgem. Very funny.
@Magufuli.
@Magufuli. 8 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu ili uendelee kuwakaba kooni.
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 7 ай бұрын
Akukabe wewe na familia yako
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 7 ай бұрын
Mtumishi napenda NI kuskilize Sana shida unaonge kwa sauti Sana kwani ukitufundishi kwa sauti utaratbu hato elewa?
@user-sk9zr4bn2k
@user-sk9zr4bn2k 6 ай бұрын
Ubarikiwe Sana soma yohana 15:1:5
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 7 ай бұрын
Mtu wa Mungu nakuelewa sana
@michaelmasalago8068
@michaelmasalago8068 7 ай бұрын
Duu kwakweli ndugu pascian umeninitoa usingizi ktk ulimwengu huu wawahubili feki, unaongea ukweli. Hongera Kwa kuashuhudia hayo.
@thobiassamwel4077
@thobiassamwel4077 6 ай бұрын
Acha upoyoyo wewe,Yan kila mtumishi mwenye nguvu ni freemason kwan Mungu yeye hana watu wake jamani.Hapa kuna chaku jifunza na tuwe macho tu mi sina shaka na watumishi wa Mungu,God is good all the time🎶
@rosemarynyakamo3051
@rosemarynyakamo3051 6 ай бұрын
Kuna point za Msingi Apo kweli Mungu hawezi kuonana na mtu Ana kwa Ana
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ivi ww ukimuona yesu ana Kwa ana utakuaje
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 7 ай бұрын
Sasa Yesu kukutana nae ni ajabu kwa mtumishi wa Mungu. Yesu anatokea kwa jinsi ya mwili na amewatokea watumishi wake wengi tu. Yohana mwanafunzi wa Yesu ametokewa na Yesu kwa jinsi ya mwili. Soma ufunuo mtumishi. Halafu kazi ya Mungu kama ni yake huwa haikomi na Mungu siyupo Mungu atawashughulikia mwenyewe toka umeanza kusema sijui unashida gani na unataka kuharibu nini haya wewe mwenyewe utajua. Mwisho ndio maana kazi ya mungu lazima mwende shule sasa wote wakianza hivi mwili wa kristo utajengwa
@user-mp8tk1gj1w
@user-mp8tk1gj1w 7 ай бұрын
Cassian anaongea kweli kwa sababu yey katoka huko kwenye freemason so amewaona huko kwahiyo ata ile ajali freemason walitaka kumwuua kwa sababu katoboa siri
@KokolikoKokoliko
@KokolikoKokoliko 6 ай бұрын
Uyu awe freemason wawapi ww
@kelvinyesaya3304
@kelvinyesaya3304 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@neemamarko176
@neemamarko176 8 ай бұрын
Barikiwa
@ombenisomi2210
@ombenisomi2210 6 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Cassian, nyakati za Musa bado neno la Mungu halikuwa limefanyika mwili, hakukuwa na Yesu aliyefunuliwa kwa watu ambaye alikua kwa namna ya binadamu wa kawaida. Ila nyakati hizi Yesu Kristo anaweza kumtokea mtu, nasema tena INAWEZEKANA. Nenda jifunze kwa mtumiahi wa Mungu Keneth Hagin. Vinywa vyetu vinaweza kufuta Mungu kufanya miujiza mengi maishani mwetu, tutunze ukiri wa vinywa vyetu. NB: Siafiki maneno na maono ya Geor Davie
@denniskitongamutie5332
@denniskitongamutie5332 7 ай бұрын
Mahubiri yako makavu sana hayana hata roho wa mungu....mtumishi hubiri achana na wengine na utabarikiwa
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Ай бұрын
Acha aseme ukweli watu wanapaka kwenda Mbinguni waokolewe, sio kupenda miujiza lakini huna mahusiano na Mungu
@HopefulFlower-sn4kg
@HopefulFlower-sn4kg 6 ай бұрын
Wee Casian,km unasoma biblia huna Ufahamu. Muombe Roho mtakatifu akupe ufahamu.
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ww waonyesha wajua...mm nakuombea Kwa mungu akusamehe😅😅😅
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 ай бұрын
Ww waonyesha wajua...mm nakuombea Kwa mungu akusamehe😅😅😅
@johnmasalu2435
@johnmasalu2435 7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu unahubiri vizuri lakini jitahidi vizuri sana, nashauri uwe unatoa mafungu husika na mahubiri yako-barikiwa na Bwana
@iamdivineimage
@iamdivineimage 7 ай бұрын
Hana reference huyu ni mwanasiasa
@floramongi1410
@floramongi1410 6 ай бұрын
​@@iamdivineimageAcha ujinga tulia ujifunze Cassian ni mtumishi wa Mungu
@iamdivineimage
@iamdivineimage 5 ай бұрын
@@floramongi1410 Nikuambie kitu, kama wewe ni msomaji mzuri wa neno la MUNGU utajua kutofautisha kati ya Mtumishi wa MUNGU na mtafuta Kiki..... Toka anaanza huduma alianzia na kiki ya kuwa yeye alikuwa freemason mara alikuwa mchawi na akawa anahubiri kuhusu hayo but baada ya soko kubadilika kajiingiza kwenye kuponda Watumishi maarufu...... Ni wapi imeandikwa kuwa hilo ni jukumu lake ikiwa Yesu mwenyewe alisema, "yaache magugu na ngano vikue pamoja"? Kumbuka Mtume Paulo naye alisema, iwe kwa kheri au shari ni lazima injili ihubiriwe.... Kikubwa ajikite kumhubiri Kristo na siyo kutafuta Contents
@user-uc2rc1kz4x
@user-uc2rc1kz4x 7 ай бұрын
Daaa unafundisho mazuri Sana mtumishi
@dailantz4073
@dailantz4073 7 ай бұрын
Unaigiza hata wewe wewe kakupa mamulaka nani wewe nawewe unatafuta jiya yako naomba unijibu himendikwa yesu halise usimkuu mtu kwabra ujaukumiwa
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 7 ай бұрын
Pascal wewe nitapeli tunaokujua utusumbui, Umesha changanyikiwa kitambo sanaaa.. Kazi kubaka watu kwenye studio yako
@nasrahgdjuma930
@nasrahgdjuma930 7 ай бұрын
Because he’s telling the truth? 😅😅😅😅 I am not surprised even the Pharisees said Yesu ni tapeli ni muongo watu wasi fallow Yesu and guess what Jesus had 11 followers upo ndo ujue many people like fake prophets kama wewe
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 7 ай бұрын
47:08 teme ulimi mate,unadhubutuje kuongea upuuzi kama huo
@Jacklinjohn-cr4vs
@Jacklinjohn-cr4vs 7 ай бұрын
​@@nasrahgdjuma930 hahah nimecheka yangu yote leo ..duh
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 6 ай бұрын
​@@nasrahgdjuma930which truth???
@nasrahgdjuma930
@nasrahgdjuma930 6 ай бұрын
@@regnaldymambaly9880 well that’s how it’s we might not like the truth and do what we like. Ila kwenye ukweli usimwe tu 😂🤣🤣
@NorahAlex-iz7mt
@NorahAlex-iz7mt 7 ай бұрын
Naendelea kujifunza mungu tusaidie
@SilviaRafael-mc5ki
@SilviaRafael-mc5ki 7 ай бұрын
Mungu mwenyewe ndo atakaekuja kuhukum ila sio binadam
@sifamalinga1816
@sifamalinga1816 6 ай бұрын
Acha magugu na ngano viote pamoja unani wewe unayehukumu unayenyosha kidole kwa wengine bado sana bro acha hizo wewe ni feki wajanja hatujakuelewa tulia ufinyangwe utengenezwe Yesu kristo kama alama yetu hakuwa na swaga ka hizo hebu mfuateni kristo jamni acheni kupalamia SI WOTE WANIIYAO BWANA BWANA WATAUONA UFALME....ATASEMA ONDOKENI KWANGU SIWAJUI
@user-zk8eu7jz6v
@user-zk8eu7jz6v 7 ай бұрын
Nakuelewa sana
@valenakomba9218
@valenakomba9218 7 ай бұрын
Aminaa. Ni kweliii kabisa.
@user-cp7ci3tm2r
@user-cp7ci3tm2r 6 ай бұрын
Wasema kweli mtumishi !! Sema yote, aminiye ataokoka, asiyeamini ataamini akiwa kuzimu katika shimo la Moto.
@dadaclarise834
@dadaclarise834 7 ай бұрын
Amen brother
TAREHE NA SIKU YA KU UWAWA KWA CASSIAN  HADHALANI EV PASCHAL CASSIN
55:39
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
HUZUNI ZA TANDA MLANGO WAREHEMA KUFUNGWA! EV PASCHAL CASSIAN
55:22
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
DUNIA YA ENDA KUPINDULIWA MDA SIO MLEFU KILA MKRSTO AJIANDAE. AJIEPUSHE EV PASCHAL CASSIAN
35:48
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 70 М.
OGOPENI UMOJA HUU NI HATARI EV PASCHAL 🇹🇿 CASSIAN
38:41
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 37 М.
HUYU MCHUNGAJI NILANGO LA KUZIM SHETANI ANMTUMIA EV PASCHAL CASSIAN
52:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
KANISA TAG KUPOTOKA CASSIAN ALIONYA NA ASIKOFU MTOKA MBALI EV PASCHAL CASSIAN
1:27:19
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 50 М.
ROHO ZA MIZIMU  |  SEMINA DAY 3 TAREHE 27-10-2023 FULL VIDEO HD
2:03:30
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 39 М.
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 46 М.
CASSIAN  NA NABII MKUU VITA YA PAMBA MOTO MADHABAHUNI EV PASCHAL CASSINA
1:10:46
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 64 М.
CASSIAN ALIONYA CANISA LA WASABATO LIMEPOTOKA KUJIUNGA NA MNYAMA 666 EV PASCHAL CASSIAN
1:02:18
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 22 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН