CHETI KUTOKA KWA BARAZA LA MITUME NA MANABII TANZANIA AKABIDHIWA NABII MKUU - GeorDavie TV

  Рет қаралды 7,484

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 28
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Жыл бұрын
Glory be to God 🙏🙏
@saidswaz3643
@saidswaz3643 Жыл бұрын
Baba yangu Mungu akutunze Sana ninatamani kukuona baba yangu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Extremely gratifying! Amen
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Amen...Amen...Glory be to God for the honour
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 4 ай бұрын
Amina
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Hongera kw cheti cha heshima, unafanya kindness,kuliko nabii ,yoyote , Tanzania, hongera nabii mkuu, sahivi, nafatulia sana vipind vya youtube channel, yako, nice God bless more Nabii mkuu ,me Peter Mathias from Tanzania Dodoma,
@sirgcomedian4499
@sirgcomedian4499 Жыл бұрын
Well done...kwa kweli Mitume na Manabii wametambua Kazi yako na mchango mzuri, Hongera sana NABII MKUU Mheshimiwa Dr.Geordavie
@sirgcomedian4499
@sirgcomedian4499 Жыл бұрын
Kwakweli moyo wanguuu umesuuzikaaaa, Asantee sana Baba
@MariaMollell-gy7zd
@MariaMollell-gy7zd Жыл бұрын
Kazi kwaoo walee wasio tambua kazi unayo ifanya Nabii wa viwango Tanzania MBinguuuu imekubali. Umefanyaa mazuri utumishi wa viwangoo Usiogope songa mbelee Nabii Ata yesu Ali yapitia haya wakina yudaa wapo hawa kosekani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Ameeeeen barikiwa baba George Davi
@sirgcomedian4499
@sirgcomedian4499 Жыл бұрын
Najifunza vingi kupitia wewe maan umekuwa na moyo mzuri wa kujishusha kila wakati...I wish to you Long life 👏👏👏
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 Жыл бұрын
Eeeeeeemen,hongera kwa cheti Babà Nabii Mkuu Mungu azidi kuwa nawe daima.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Baba una heshima kubwa all of the word
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Жыл бұрын
Umestahili Mheshimiwa Baba Nabii Mkuu Dr Geordavie Balozi wa AMANI. 🥳🎉kheri ya siku ya kuzaliwa Daddy 🥰
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Amen
@lucymtui6712
@lucymtui6712 Жыл бұрын
Yeye ndio Nabii wa kwanza hapa Tanzania. Baada ya yeye kupewa Unabii na Bwana Yesu na Kuanza kutumia jina lake ndio wengine wakaanza kufuata kutumia jina la Nabii. Kwa taarifa...yeye ndio Nabii Mkuu hapa Tanzania...wengine ni wadogo sana. Ikimbukwe madhehebu/ dini hazikuwa zikiamini manabii wapo. Wanajua tu wachungaji na wainjilisti. Hata yeye Ali kuwa anajiita mchungaji...Yeye ndio kaonyeshwa njia na akaambiwa yeye ni Nabii Mkuu wa hii nchi....wengine ndio tukajitambua. Sasa Hivi manabii kibao....wakati hawakuamini hiyo nafasi Kama inaexist. Geordavie hoyeeeeeeeeeee!
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Savi sana
@MariamKimola
@MariamKimola Жыл бұрын
Ongera baba
@zahranomar8523
@zahranomar8523 Жыл бұрын
Wakristo samahanini...hv huu unabii na utume mnapewa na nani?
@michaelkivaria6011
@michaelkivaria6011 Жыл бұрын
Kwann unawauliza wakristu muulize huyo Nabii na Mtume
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Yesu huwa anawapa watu chewo ata wewe Unaweza kuwa nabii mungu hakitaka
@zahranomar8523
@zahranomar8523 Жыл бұрын
@@michaelkivaria6011 Ww jibu swali...uloulizwa..
@zahranomar8523
@zahranomar8523 Жыл бұрын
@@ashatybella8641 kw hio hua anawajia ..au vp?
@sirgcomedian4499
@sirgcomedian4499 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Nimekuona hamolapa kwa mbali
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 Жыл бұрын
Kipekee nilikuwa NAJUA geordave anajiita NABII MKUU Kwasababu labda Ndo mwenyekiti wa mitume TZ. ...Mmmmmmmmhh... kumbe YEYE siyo mwenyekiti ..Sasa nani kam hagua/kampa ukuu,, apa Ndo naanza kujua vizuri....? Kuna jambo nyuma ya pazia..... Juu ya huyu JAMAA.
@lucymtui6712
@lucymtui6712 Жыл бұрын
Kama wenye fani Yao wamemkubali.....wewe nani unauliza? Haya soma comment yangu huko juu unajua why ni Nabii Mkuu.
@mukiwabaraka9771
@mukiwabaraka9771 Жыл бұрын
Mimi natamani kifika kwanabii Tazania
MSANII 20% AFUFULIWA , MASHABIKI WAPAGAWA UPYA - GeorDavie TV
10:39
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 32 МЛН
UCHAWI WA KISUKUMA UKO HIVI-REV MOSES MAGEMBE
11:25
NY TV
Рет қаралды 81 М.
MANENO MAGUMU ALIYOAMBIWA RAIS MAGUFULI NA NABII MWINGIRA
4:58
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 207 М.
VIZUIZI VIKUBWA VYA BARAKA MAISHANI MWAKO
47:46
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 198 М.