Dr Ipyana umecheza karata safi ya kuteka baraka....unaitwa uimbe...unakimbia na bahasha....na hakuna namna usingewekewa mikono ya baraka. Give and you will be blessed. Big up!
@fredricklema303910 ай бұрын
Kweli ni tendo la kujua kuchota baraka
@ZelaZelaelisha9 ай бұрын
Mungu akubariki sana ,nilipokea uponyaji mkuu
@tujajackson814210 ай бұрын
Ipyana mpakwa mafuta wa Bwana Nyimbo zake zinafungua wengi.Haleluya
@barakamwangunda10 ай бұрын
Doctor Ipyana Mungu akuinue sana.Zidi kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari
@Moseskatindi10 ай бұрын
Wahoooo, kabisa Mungu azidi naku bariki huu mtumishi aleye juwa ku nyenyekeya mbele ya Mungu naku heshimu mwalimu
@siprianopiusmakanyaga280610 ай бұрын
waoooh kuna kitu nimejifunza mahali hapa.Kuna level tofauti tofauti za MAFUTA YA ROHO MTAKATIFU
@AlfredYusto-sc8yv10 ай бұрын
Daaaah!! 🤔🤔 Dr. Ipyana MUNGU AKUBARIKI SANAAA 🙏🙏🙇🙇
@RosemaryNdanshau-qz7ko10 ай бұрын
Mungu akuongezee mafuta zaidi na zaidi
@donathasimon929210 ай бұрын
Safiiiii Dr umejua kuteka baraka 🙏
@andrewkisonga567710 ай бұрын
Amen Mtumishi wa Bwana, tembea na Bwana katika kila hatua zako. Zab 119:105
@HendryLema2 ай бұрын
Amen Amen Amen barikiwa sana wa tumishi wa Mungu nina barikiwa sana
@lidyajohn590210 ай бұрын
Dr ipiyana Mungu akupe kuinuliwa kila Leo
@rachelpeter8710 ай бұрын
Mungu azidi kukinua nyimbo zako ni ufunuo wa Roho Mtakatifu.❤
Baba Nina kushukuru Uliyoyatenda Kwangu ni mengi Also najivunia nimeiweka kama ringtone Kwa phone yangu❤
@josiacharles277810 ай бұрын
Uwa Mimi siyo mpenzi sana wa waimbaji wengi, ila uwa nikimuona muimbaji akikaribishwa Kwa Mwl Mwakasege basi naelewa uyo anakitu apo tu naanza kumfatilia.😂
@fredricklema303910 ай бұрын
True
@patrobamalema863110 ай бұрын
AMEEEEEEEEEEEEEEN
@edwinmahela764910 ай бұрын
Amen
@estermwakibete815510 ай бұрын
Mung azidi kukubarik
@GodfreyKisinga-xz3ob3 ай бұрын
Aminaaaaa
@santebnassary74118 ай бұрын
Ameen
@leverimlaki566710 ай бұрын
Kweli moyoni mwangu nilijiuliza lini Dr Ipyana, ataitwa kuimba katika huduma hii. Kumbe ni agenda ya mbinguni.
@fredricklema303910 ай бұрын
Daah acha tu
@busarakibentelove383010 ай бұрын
Nikwa neema
@endtimes98509 ай бұрын
NYWELE BANDIAA NYWELE BANDIAAA NYWELE BANDIAAA AHHHH NASIKIA KUCHEFUKA NA HIZO TAKATAKA ZA YEZEBELI, KWANI NI LAZIMA KUYAVAA ALIYESEMA MNAPENDEZA MKIVAA HUO UCHAFU NI NANI???? 2 Wafalme 9:30 Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.
@NickolausHappy8 ай бұрын
Ndicho ulichozingatia naona
@hurumakonga81816 ай бұрын
Muhubiri Yesu
@AbelshedrackNnko10 ай бұрын
Amen
@endtimes98509 ай бұрын
NYWELE BANDIAA NYWELE BANDIAAA NYWELE BANDIAAA AHHHH NASIKIA KUCHEFUKA NA HIZO TAKATAKA ZA YEZEBELI, KWANI NI LAZIMA KUYAVAA ALIYESEMA MNAPENDEZA MKIVAA HUO UCHAFU NI NANI???? 2 Wafalme 9:30 Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.