Mungu awasaidie kaka zangu hawa mliopewa neema hii kubwa,msije mkauza Urithi wenu mkuu namna hii,kwa maana Yule Mwovu halali usiku na mchana,Dr Ipyana,Chunga ulacho,chunga marafiki,Chunga Mialiko,na Promotion,na zaidi Mungu akuongoze akakufanikishe
@presidentofafrica.50382 ай бұрын
umeongea vyema sana.. wengi huwa wanaanza vzr baadae wanatingwa
@user-ul4cv4vy2z2 ай бұрын
🎉
@user-mr3qg9iq5kАй бұрын
❤ umeongea vizur sana ubarkiwe
@bettymwango5272Ай бұрын
Hallelujah, Mungu aendelee na kukutumia.
@sheckycobb5240Ай бұрын
Mungu amuonekanie
@user-vz1jv8lt7d2 ай бұрын
Natamanii ningejua hii mapemaa..napenda sana Ibada ya kusifu na kuabuduu
@SuzyMarrochАй бұрын
Kuna wakati niliimba nakusifu nilifanyiwa delivence Moja kwa moja Hakika Mungu ni halisi na anaishi Ndani ytu
@Mercykfavored2 ай бұрын
Asanteni sana waumini wa kristo Tanzania Kwa kuusikiliza wimbo wangu wa kwanza,UNAWEZA BWANA.Hii Ibada nitaifuatia maana Ina neema nyingi . After listening to this upendo wangu Kwa MUNGU unanizidi
@anethmadete2822Ай бұрын
Uñaweza
@elifarajajosephat86052 ай бұрын
Dr. Ipyana wewe ni zaidi ya mwimbaji. Namtukuza sana Yesu kwaajili YAKO. Atukuzwe sana Yesu kwa ajili ya nafasi YAKO
@aiseamboja12802 ай бұрын
NIKO MBAYE NIKO
@annamnyampala750Ай бұрын
Barikiwa sana sana
@ladyjk1173Ай бұрын
Psalms 34, Zephaniah 3, Luke 11:3, psalm 100, psalm 47
@jasinthakalemera95052 ай бұрын
Dr ipyana you are such a blessing in Tanzania and in East Africa it is my prayer that when jesus will come you will be among the chosen one😢
@obadiamathayo74492 ай бұрын
Dr Ipyana Nakufurahia hakika upo kwa kisudi maalumu Mungu akutunze hakika Umeongea vitu ambavyo vikundi vingi vya Praise huchukulia easy sanaa na ndio vinavyowaangusha hili somo nawapelekea naamini watabadilika Amen
@lynettenjeri9519Ай бұрын
Dr Ipyana You are a Blessing to This Land of the Living..Amen Learning So much from Your Sermons..May Our Good Lord Keep You.
@nursechunga44702 ай бұрын
Mungu akubariki sana Kaka Ipyana, Roho mtakatifu amekutumia kunifungua kwenye eneo hili la namna ya kusogea uweponi mwa Mungu🙌
@DIGNAJASTIN-dl8yj2 ай бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi mimi ni mwana sifa yaani nipo lwenye huduma ya kusifu na kuabudu naomba uniunge kwenye kundi lako mtumishi.
@JovitaRwelamiraАй бұрын
Mungu yupamoja na wewe. Naweza vipi kumpata Je, huyu Dr ipyana japo ata kidogo
@beatricecherdiel92992 ай бұрын
Wow this is so powerful. Nayaheshimu mafuta yaliyopo juu yako Man of God. Hossana ndiwe Mungu wetu.
@faridabenard69572 ай бұрын
Asante sana nimebarikiwa sana
@user-lz2wu5mr8f2 ай бұрын
I do worship in the morning before going to work and one morning the holy spirit directed me to certain place in my house what I found My God is a story for another one if God gives me strength to open up
@vickymoshi60382 ай бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Christo..Asante Dr kwa mafunzo haya mazuri.. Glory to God.
@user-jb2uy1eu5r2 ай бұрын
Kaka nabarikiwa naq nyimbo zako zinabariki naomba maombi na mimi nipate hushuda wa kutembea By jescra
@user-jb2uy1eu5r2 ай бұрын
mung akubarik sana
@Saint-PaulFavour990Ай бұрын
You are a blessing to this genaration man of God thank you coz u hv teached me hw i can worship the one Who created me,God is music ❤🎉🙏💪
@elizabethnchalla92002 ай бұрын
My everlasting ringing tone with thanks giving to God every single day of my life. Niseme Nini(Baba Ninakushukuru ) This song is a blessing.Be blessed Dr and we give Glory to God.
@lydiapeter8782 ай бұрын
Nimepata kitu kipya Asante sana Dr
@Hadija-sq5my9 күн бұрын
May God bless you man of God
@stephanosospeter17092 ай бұрын
Asante Bwana Yesu Kristo, ilikuwa kila nikipata, nisisikilize, Roho ananisukuma tu kusikiliza thanks so much LORD
@melinawilson1383Ай бұрын
You ignited my spirit, my spirit has liften up more and the love for Jesus increases
@mghoicatherine76852 ай бұрын
Nimejifunza mengi,I was struggling in my worship,but now I know what to do,be blessed man of GOD
@BESTAMAHENGE21 күн бұрын
Hongera kwa kukitumia kipawa ulichopewa sawasawa na kusudi la Mungu na kuwarithisha wengine ujuzi.
@okiyandeta28592 ай бұрын
Oh Glory unto the Living God, asante sana Dr. Ipyana kwa haya maneno ya nguvu, umenijenga sana na kunitia moyo. Sifa kwa Mwenyezi Mungu
@millyarapta69332 ай бұрын
What a wonderful teaching doctor.part 3 twangoja,Kenya massive.
@user-om3jd6kq4pАй бұрын
DR. IPYANA MUNGU AKUBARIKI SANA. 🎉🎉🎉🎉🎉 Umenirudisha Mafunzo mazuri ya Msingi nikiwa Primary School kule KAPENGURIA ( WEST POKOT ) , KANISA LA FULL GOSPEL CHURCHES OF KENYA ambapo nilipata Mafunzo Hadi na UBATIZO WA MAJI MENGI.
@walowengeti85512 ай бұрын
Great insights man of God, will put them in practice, Kenya we love your ministry
@emmanuelhumph2 ай бұрын
from o level nilikuwa nasikiliza ur songs sana they lifted me up much And they breath until today May God bless your ministry Tanzania is blessed to have you!
@user-xk7vt1ic4m8 күн бұрын
Mungu wa Mbinguni akubariki milele aendelee kukulinda na kukuhifadhi katika kumtumikia yeye aliyekuita kwa jina Lake umtumikie yeye
@VumiDavid-lo1cl2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nikisikiliza wimbo wako ule ulioimba umefanya hili umefanya lile machozi huwa yananitoka sana sana mwili unasisimuka
@gloryeliab16322 ай бұрын
Kupatikana uweponi wa Mungu❤❤❤, consistency matters.... Mungu tusaidie kupatikana uweponi mwako
@atupokilendendya76552 ай бұрын
Nimejifunza kitu, Mungu akubariki
@andrewkszinza70472 ай бұрын
Nakushukuru MUNGU kunionesha video hii kweli nashuudia uwepo wako ASANTE.
@naomindulu2306Ай бұрын
True and Amen. God first,,,God remember us to remain faithful to you 🙏 Keep fire burning for God, s glory my brother.
@user-cu9yv9wu8e10 күн бұрын
Mwanangu Mchungaji Mungu akutuze ktk utumishi wako umenibariki kwa jinsi unamtumikia Mungu ungali kijana.
@raysjames1776Ай бұрын
Amen mtumishi, Mungu azidi kukuinua na watu wamjue yeye aliyehai, ambaye yupo na atakuwepo mpaka ukamilifu wa dahari.
@everlyneshiyoya7422 ай бұрын
Very powerful message man of God glory to His name
@ashaclaudine26749 күн бұрын
Quelle profondeur, suis inspirée par ce témoignage
@RoseMkonge16 күн бұрын
Mungu azid kukutmia kama chombo chak
@TumainiENgasa15 күн бұрын
Najifunza mambo makuu sana mr dr ipiyana❤🎉🎉🎉❤❤🎉🎉
@moryn0412 ай бұрын
God let me here! I am learning about worship
@isaacmutunga509Ай бұрын
from 254🇰🇪 Dr Ipyana we ni wa baraka sana kwetu ,MWENYEZI MUNGU na akuzidishie tele
@AllanMasakiАй бұрын
Kaka yangu Mungu aendelee kukufungua zadi maana ufundixhaji wako mtu anapokea kwaharaka kamakweli mtu anaiman naroho mtakatif anamwingia mtu kwaharaka kwaxabab kwakupitia mafundixho yako anaachilia aharakahara vyote alivyo navyo kwenyemoyo wake nakuachilia nguvu za Mungu zimtawale nandio maana vinywele vinaxiximka mpaka kumpelekea kutoa machozi kwaxabab roho wabwana amexha ingia ndaniyake Xoo kaka yangu Mungu akupeneema uzidikutoa chakula chakiroho atamimi natamani xikumoja nijekua kamawewe na Mungu aniximamie
@mirriamkambua2855Ай бұрын
Napenda kuabudu ata wakati huu unaongea nahizi nguvu za Roho mtakatifu ndani yangu. Glory to God.
@ChristopherMungure27 күн бұрын
Barikiwa sanaa Dr., Kiufupi sipajui nakupatia wapi lakin skumoja natumaini utakuja manyara kiteto..
@miriamluvutse942Ай бұрын
Oh my God, the presence of God in this ministration is overwhelming. More grace to you servant of God. Am revived.
@AikaClassic2 ай бұрын
Nimrbarikiwa sana sana Mungu akubariki sana. Roho Mtakatifu azidi kukufunulia mafundisho mengi zaidi
@Vivituma2 ай бұрын
Amen 🙏 Abarikiwe Bwana, Mungu wa Israel, Tangu milele hata milele. Zaburi:41:13
@kissamwamunyange1018Ай бұрын
Mungu nakushukuru Kwa ajili ya huyu Mtumishi wako. Asante Kwa ajili ya huyu Mtumishi. Sifa na utukufu ni kwako Mungu. Ninasema asante na niseme nini Kwa Wema na fadhila zako Mtakatifu🙏🙏
@user-in6cc8ub8kАй бұрын
Namshukuru Mungu sana sana kwa mafundisho haya Dr Ipyana. Yamenifikia kwa wakati sahihi kabisa. Nimejifunza kitu kikubwa sana sana ktk maisha yangu. Mungu azidi kukutumia kwa utukufu Wake. Bwana Yesu ni Bwana.
@happydaniel2062Ай бұрын
Utukufu Kwa Mungu juu Mbinguni
@JemaMbwiloАй бұрын
Mungu wa mbinguni Akubariki umeniamsha ndani roho ya kukaa uweponi mwa Bwana hata nikiwa kazini kwangu 🎉❤
@anethmadete2822Ай бұрын
Whwh
@enockrwezaulaАй бұрын
Alleluiyaaaa God bless you brother,nimejifunza mambo mengi sanaaaa
@adeladaudi2047Ай бұрын
Nimejifunza kitu hapa, Mungu akubariki Mtumishi wa MUNGU.🙏🙏
@JonsonJohn-ts5ovАй бұрын
Namshukur kwa kunipa maarifa hakika sipo kama nilivyokuwa
@Mercykfavored2 ай бұрын
Thank you Jesus.i really needed this today Mimi muimbaji ila tu ilinibidi kwenda mlimani maana nilihisi napungukiwa na imani.ila nashukuru nimepata neno hili hapa ,neno la Mungu ni chemichemi na maji ya uzima.nisingetaka kuimba tu Bali kuimba na ufunuo ili nihisi uwepo wake katika sifa.
@salvatorybakilana23782 ай бұрын
Ibada maisha Mungu aendelee kukubariki mtumishi wa Mungu Ipyana
@user-wz6ob8tn8jАй бұрын
amen glory be the name ofJESUS AMEN
@carolus983128 күн бұрын
God bless you Dr. Ipyana
@user-mz9nx3pw3zАй бұрын
Amina mtumishi nime kusikiza mwanzo paka mwesho yani sijutii kumtumikia uyu MUNGU umenibariki sana kaka 🙏🔥
@IsraelStanley.26 күн бұрын
Hakika MUNGU ni mwema atuwaziaye mema haachi kutufundisha kupitia watumishi wake🙏
@joycembago69462 ай бұрын
God wants consistency kwenye kumtumikia... umenifundisha kitu kikubwa sana Dr.
@naomindulu2306Ай бұрын
Hallelujah nduniani kama vile Mbinguni❤ 🎧
@user-gz6nk8zw5jАй бұрын
Ipyana ubarikiwe sana
@neemaTido7 күн бұрын
Bless you my brother 🎉
@isackstanslaus89732 ай бұрын
Asante Yesu
@user-wn1tc4jz9hАй бұрын
Mungu akuinue zaidi Mwana wa mungu,,kwa kupitia mafundisho yako umefufua kitu ndani yangu nimesikia nguvu ya ajabu ndani yangu nimebubujika sana,
@KAWIRIADOREENАй бұрын
Nakupisha bwana mungu kwa kila kinachonihusu..
@MeshackKaminyogeАй бұрын
hakika Mungu ni mwemaaa sana ubarikiwe
@user-pv2en9um6tАй бұрын
Am blessed servant of God. From Kenya
@PERISCHEPCHIRCHIRKOSGEI2 ай бұрын
God bless you Dr.Ipyan am also in a team of praise and worship en you're my mentor
@esthermmary91722 күн бұрын
Amen
@AnthonySospeter29 күн бұрын
Broo umegusa sana moyo wangu naomba useme neno kwa ajili yang.
@user-zk2cg9yx4v2 ай бұрын
Mimi ni mu Burundi 🇧🇮 niko nairobi nimependa sana hao mafunzo may the Lord bless you mtumishi
@lydiamuricho52842 ай бұрын
I tap this grace. Mungu nisaidie
@MAMEAMJAONA18 күн бұрын
WOUNDERFUL MESSAGE
@RuthSheeАй бұрын
Wat a message imeniguza itabidi nirudi kwa right track of Jesus because am lost
@roselinerotich6642Ай бұрын
This message has uplifted me❤
@AyubuSamson-hq2zz12 күн бұрын
Nimekuerewa
@joycewafula935Ай бұрын
I have received something important, thank you LORD JESUS CHRIST 🙏
@anethkasaseАй бұрын
Oooh haleluya
@mpokimwambeta54922 ай бұрын
Bless you Man of God 🙌
@maureenanyango947025 күн бұрын
From part 1, i have been rejuvenated.God bless you MOG.
@RizikiMartinАй бұрын
Balikiwa sana mtumishi maana ushuuda wako unazingua kiwango changu cha iman nimebalikiwa mno
@joabmsengwa410917 күн бұрын
Very inspiring testimony, MUNGU nisaidie
@josevumilia7262 ай бұрын
AMEN, AMEN GLOIRE SOIT RENDUE A NOTRE DIEU 🎉🎉🎉🎉FROM DRC KINSHASA
@heavenlight50842 ай бұрын
GOD BLESS you much man of GOD,kumbe ! Twapaswa kuimba kwa akili. Umenifundisha mengi mtumishi. Barikiwa sana
@user-bw9br4fw8f2 ай бұрын
God bless you so much man of God. Hapa unanifundisha kiti kipya.
@PillyWemaАй бұрын
Asante MTUMISHI MUNGU AKUBALIKI Umenifungua AMINA
@user-ks9im3cw1s2 ай бұрын
Napenda sana haya mafundisho amen doctor
@happiness_713Ай бұрын
Asante. Umenijenga kwelikweli! Amen 🙏 🙏 Am following from Kenya
@asifiwefungo1632 ай бұрын
Kuna kitu Mungu kaeka ndani yako cha Ajabu sana.Azidi kukikuza Daima.
@user-ql5bo7bn7s2 ай бұрын
Nikisikia unaongea habari ya Kusifu nakuelewa sana sana! Barikiwa sana.
@susanmwangi7642Ай бұрын
Fahamu zangu zitie nguvu Mungu,Amen
@priscapaul1022 ай бұрын
God bless you, Dr Ipyana umeimanisha kwa MUNGU wetu aliye juu, usirudi nyuma
@gwamakamwasongwe8053Ай бұрын
Mungu anaishi kesho kabla ya kesho kuwepo
@AminaBukuruАй бұрын
Amen Amen
@annaamadeo-ge2dd18 күн бұрын
Hii ni nzuri sana, atukuzwe Mungu wetu
@pendaelpeter86912 ай бұрын
MUNGU akutunze sana mtumishi nyimbo zako zinanibadilisha siku baada ya siku