Roho Mtakatifu naungana na fundisho hili ktk Roho(kwa IMANI) najitenga na mazuio yote maishani mwangu; kwenye ndoa,kwenye ajira,kwenye kazi,kwenye UTUMISHI/HUDUMA , na maendeleo yangu yote kwa kila eneo......... Ameeeen
@avitrujweka21132 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa somo zuri 🙏💯👏👏👏
@ambindwilehosea68372 жыл бұрын
Amen amen penda sana baba Mungu mwema kwakunipa wewe nafundishwa sana na wewe mpakwa mafuta wa Mungu ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@jescambembela2011 Жыл бұрын
Amen❤️
@ambindwilehosea6837 Жыл бұрын
@@jescambembela2011 🙏
@jaqueeen12 жыл бұрын
Nilitoka kwenye hili kongamano nikapata channel ya kazi aisee ... Mungu ni mwaminifu sana
@kizammasa63882 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Naitaji vitabu vya ndoto na tafsiri tafadhali. Nitavipata kwa njia gani maana niko nje na Tanzania 🇹🇿. Asante.
@marryasantemunguawapemaish17555 ай бұрын
Amina mafundisho yako yananihusa baba
@goodluckmartin41012 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na hili somo Utukufu na heshima zirudi kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
@erickvenance5717 Жыл бұрын
Masomo ya Mwal. Mazuri sana, yana tusogeza mbele katika maisha. My God bless you more and more and give you more good food for us.
@joyceenock47562 жыл бұрын
BwanaYesu asifiwe, Mungu akutunze mwalimu .Nabarikiwa sana na mafundisho yako.
@DeogratiusLushanga3 ай бұрын
Mtumishi ubalikiwe Sana kwa huduma bora kabisa
@Openchequecarservices Жыл бұрын
Amen 🚦 I will go
@christinephilip50432 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu ubarikiwe mwl christopher 🙏🙏🙏
@ElizabethJumbe-ch7xn Жыл бұрын
Damu ya agano la kristo iambatane na huduma ya mana duniani pote 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@TheophileMibambwe8 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu kwa mafundisho inayotubarika kila Siku.
@narggdhdv7652 жыл бұрын
Asante Bwana YESU kwajili ya hiii huduma na kwajili ya ujumbee huu. Nimefunguliwa macho na akili yangu imeelewa.Mungunipe neema yakutekeleza maelekezo haya.
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
Asante Yesu mmerusha hii part two ni kwa ajili yangu niliiwaza mno
@MerceySamson8 ай бұрын
Amen mtumishi wamungu nakupenda sana mungu amekipa kipawa kizuri ubarikiwe
@dorcuskennedy11182 жыл бұрын
Bwana apewe sifa tunabalikiwa sana
@blessedtumaini5162 жыл бұрын
Mungu Baba wa rehema nyingi unisaidie nisikupokeee kimazoea bali kwa kuongozwa na Roho wako Mtakatifu. Asante Mwalimu Christopher Mwakasege na huduma ya MANA kwa huduma njema. Mungu awabariki sana.
@stevejumbe9355 Жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu kwa somo hii imenifungua kwa kweli🙏
@ndatoyeaspert67452 жыл бұрын
Amina!Mwalimu karibu Burundi
@DoriKalangula Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu aliye hai
@zebedayomyengi23122 жыл бұрын
Am blessed with your teachings
@ME-qe8ui2 жыл бұрын
Shalom baba,namtukuza Mungu kwa ajili yako kwa mafunuo haya. Nina maswali yasiyo na majibu sababu mimi ni muhanga wa haya baba. Katazo au zuio la miungu. Natamani kutoka huko, natokaje baba????? Nimeomba mda mrefu bila mafanikio kamili, naamini ni wakati wangu umefuka wa kutoka.naomba nisaidie baba namna ya kutoka usipuuzie baba nakuomba pamoja na majukumumengi uliyonayo naomba unisaidie.barikiwa mno
@kingnikhmanay27072 жыл бұрын
Lord Jesus thank you for this massage I blessed your name
@alfredkuria76732 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu; walipomega mkate macho yao yakafunguliwa
@marryasantemunguawapemaish17555 ай бұрын
Amina mchungaji karibi Moshi makutini
@tansianashirima28432 жыл бұрын
Barikiwa baba, nijifunza kwa habari ya kujitenga na Miungu.
@mielmianda27802 жыл бұрын
Sifa zimurudie mungu.
@shalomtv18032 жыл бұрын
Amen, MUNGU akutie nguvu Sana Man of God, Nakupenda 🙏🙏
@elkanaiizack9319 Жыл бұрын
Amina utukufu kwa Mungu
@GeorgeUlemak Жыл бұрын
Asante mt kwa mafundisho mazuri
@BeatriceModest-vx7sr Жыл бұрын
Asante baba Mungu awatunze.
@shallonjoel46822 жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@jenjuma6255 Жыл бұрын
❤❤❤❤Amina mtumishi wa mungu
@mashuvekivaria8867 Жыл бұрын
Ubarikiwe mwalim
@NaimaChatanda Жыл бұрын
Amen
@rhodanangoma73862 жыл бұрын
Amen Mwal !
@MarcoPeter-y5n8 ай бұрын
Amina
@SmerahBelquiz3 ай бұрын
Hii Ina maana sana , mbona wengine tunashiriki Kila siku inakuwaje
@marryasantemunguawapemaish17555 ай бұрын
Ututoe gizani
@LindaSalvatory-v2o8 ай бұрын
Amen 🙏
@KephasKayanda Жыл бұрын
❤❤❤❤
@isayamlimbila15222 жыл бұрын
Msaada.
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Amen Amen
@mariamramadhanwafungehaomazemb11 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu mungu aendeleee kuku tunza wakati wote ameen.!
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Thank-you Lord Jesus Christ, for your grace and mercy.
@ME-qe8ui2 жыл бұрын
Shalom baba, nabarikiwa sana tena sana ila maswali ni mengi na sina majibu.yote unayoyaongea baba ni kweli juu ya katazo la miungu ktk maeneo mbalimbali.baba ntaondoaje hayo mazuio??? Naomba msaada nini cha kufanya
@datydon66762 жыл бұрын
Amina Baba
@rehemamwampiki86032 жыл бұрын
Good
@prisca46122 жыл бұрын
Amen Amen Amen!!!!
@ericavumi15462 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu baba mwakasege
@georgeulema91188 ай бұрын
👃
@bilugwemwanzije Жыл бұрын
Nuru na maarifa zikuangaze mtumishi !!?
@mielmianda27802 жыл бұрын
Kila wakati nikuona mwalimu mwakasege Christopher. Ninajiuliza ndamuonaka jee. Kama unapata nafasi yakumuona nisaidie umuambie kwa niabayangu.
@linkreuben3108 Жыл бұрын
KWANINI BAADHI YA VIDEO MNAFUNGA COMMENTS???? Pia sijaelewa kwanini mika yote masomo ni sadaka tu, kweli hakuna masomo mengine tunaweza kujifunza?!
@producerflorizy23659 ай бұрын
kwasabab ina umuhim ambao bado haujauelewa siku ukiuelewa utawafundisha wengine hilo na sio kukosoa