Kama lilivyo jina lako yaani Christopher (mbeba Kristo) ni kweli umembeba Kristo. Ubarikiwe Sana kila siku iitwayo Leo na kila saa na kila dakika na kila sekunde na kila micro-sekunde.
@nancykigamwamureli91974 жыл бұрын
Sifa na utukufu kwa mungu. Hakika nimepokea ujumbe wa maombi haya na mungu akuzidishie viibali na vipawa vingi pia uzao waku ubarikiwe milele na milele nimepokea amani ya rohoni na mwilini. Mungu akubariki sana mtumishi mwakesege Amen Amen from Germany
@nemaodhiambo72744 жыл бұрын
Amen!! Baba na mama Mwakasege Nawapenda sana Mungu awabariki sana huwa nawafuatiliaga kutoka Spain
@jovinmutakumwa96112 жыл бұрын
Asante Mungu kwa maombi haya nimebarikiwa Sana Mungu hatabaki kuwa mungu vibali vikamiminike kwangu 🙏🙏🙏🙏🤲🤲
@augustinomayunga4924 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwl na mzaliwa wa kwanza wa Tanzania ktk huduma ya Ualimu wa Neno la Mungu, kila kuomba kwako uambapo ni soma tosha.
@MaryKyoma5 ай бұрын
Mungu Akubariki sana kwa mafundisho na maombi haya mazuri sana, nimefurahi sana.
@euniceelikana98902 жыл бұрын
ahsante yesu maana maombi haya y amekuwa baraka ktka maisha yangu 😂😂😂nairudia sara hii kila muda hasa nkiwa kwenye biashara yangu lazima niuze namshukuru mungu imeogezeka
@lynelee58464 жыл бұрын
AMINA AMINA Baba na mama nawapenda yan sema hamjui tu🤸🤸♥️🇰🇪🇰🇪
@jescabrown74994 жыл бұрын
Amina
@dorryjames55274 жыл бұрын
Ameen baba na mama nawapenda sana watumishi wa Mungu.
@juliasitarimo16483 жыл бұрын
Mungu nitie nguvu na wabarick watumishi wako wanaotupa Cha kula Cha kirohoo
@sedekiabilijite55164 жыл бұрын
Mwalimu nimekuwa nikikufatilia sana na Mungu amekuwa mwema sana nimekuwa nikihudumiwa sana ,sina cha kukulipa Mungu azidi kukutunza wewe na familia yako ili watu tupate yale Mungu aliyokutusudia kupitia wewe
@edwigemwigha15424 жыл бұрын
Naseme tu aksanti na ombi langu ni kwamba nimupate huyu Yesu Kristo wa Nazareth kupitia mafundisho ya Mwalimu Christophe na Diane shukrani!
@neemajonathan69684 жыл бұрын
Amina baba, barikiwa
@luhekelondelwa97144 жыл бұрын
Home for my son
@tumpemwaijande21174 жыл бұрын
Asante sana. Bwana wa Majeshi azidi kuwatunza ili muendelee na huduma hii. Kyala ajeghe nanumwe.
@kilifaithadventures Жыл бұрын
HAYA NI MAOMBI YANGU NINAPOIENDEA MEZA YA BWANA LEO. AMEN
@jimmymbisse9994 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa na Bwana wetu Yesu Kristo
@emmanuelomarichuma93334 жыл бұрын
Hakika Utukufu ni wa Mungu...one of the very powerful prayer
@angelanaftael79654 жыл бұрын
Amen mwl wetu wa neno la uzima.pamoja na mama mwl
@agnessmungy46803 жыл бұрын
🙏
@cliffodhiambo28054 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi,uwa nabarikiwa sana na mafundisho hakika natamani niwe chini yako ili nizidi kupata upako,
@jostinedaud58594 жыл бұрын
Barikiwa mtumish wa Bwana
@reubenbuchege85774 жыл бұрын
Amen Mungu atukuzwe sana
@saidjulius73114 жыл бұрын
Hakika mungu awabariki sana watumishi maana myanenayo hayatoki kwenu bali yanatoka kwa baba yetu aliye mbinguni
@tumainchigeso50224 жыл бұрын
Wewe hakika unaneema ya kipekekee Mungu anipe afya ya roho yangu nikawe na maono kama uonavyo wew Mtumishi wangu
@abdulmeddytz41714 жыл бұрын
Mwakasege mungu akubaliki sana mafundisho yako yananibaliki sana maana sichokagi kukusikiliza mchana na ucku
@Checkers_Tz Жыл бұрын
Bwana Yesu niponye vidonda vya tumbo hivi
@rechomsuya3524 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwl na Mama yetu mpendwa nawapenda saaana
@careenevans4 жыл бұрын
Haya Maombi yamekuja wakati sahihi kwangu. Asante Yesu.
@nahoomosha11904 жыл бұрын
Sauti ya Bwana inatikisa Miamba. Ameen
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
@@nahoomosha1190 Amen Amen Amen 🙏🏿
@geofreyliya38714 жыл бұрын
Endelea kuinuliwa mtumishi wa Bwana You are a blessing to many
@watchnew7648 Жыл бұрын
Jina la YESU KRISTO litukuzwe milele
@happinessndumizi4534 жыл бұрын
Amen mtumishi 👏
@anessabinery56544 жыл бұрын
Mungu aliyehai akukumbuke mwalimu pamoja na familia yako ktk ufalme wa milele
@mackymneney99354 жыл бұрын
Teacher nakuaminia amen
@lupyanamarande39534 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumish was mungu
@z.shondezshonde56634 жыл бұрын
MUNGU wetu asante kwaajili ya mtumishi wako huyu nafrahia mahubili na maombi yake🙏🙏🙏
@ayubumwalunenge49802 жыл бұрын
Sifa na utukufu Ni kwa Mungu.
@jeysonysamwel773 жыл бұрын
Thanks mwalimu mwakasege
@seciliapaul18144 жыл бұрын
Mungu akubariki babaangu 😍😍😍
@winnernoel94424 жыл бұрын
Amen mtumishi
@SofiaKirenga4 жыл бұрын
Mungu wetu tunashukuru kwa ajili ya zawadi hii nzur ya mwalimu huyu
@alicethobias9323 жыл бұрын
God bless you man of God
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Amen 🙏
@obadiafredy44994 жыл бұрын
Amen Amen 🙌
@luhekelondelwa97144 жыл бұрын
Amin mtumish
@benjaminpatrick63644 жыл бұрын
Mungu awabriki
@brightmollel66984 жыл бұрын
Powerful prayer
@hawamkongwa81813 жыл бұрын
Jamni nakushuru sana mtumishi
@rosemarypaul91822 жыл бұрын
Amina kubwa barikiwa sana na bwana
@maliammaiko52243 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi
@sarahlyimotv13804 жыл бұрын
Amen, all Glory to God. So powerful 🙏
@agnessmungy46804 жыл бұрын
Amen Glory to God 🙏
@apolinabahati21683 жыл бұрын
Amen ,amen🙏🙏🙏🙏
@asiimwejseptsept66894 жыл бұрын
Papa unakuwa Dani kabisa kwa kiroho naipeda sana isipokuwa mbs Yana nikosaka
@fredyamosi72593 жыл бұрын
Ameeee nabarikiwa San sana nikimsiki mtumishi wa mungu mwalim mwakasege
@samwelgodwin98334 жыл бұрын
Hallelujah be blessed servant's with your families
@henrytarimo98022 жыл бұрын
Ameni
@hawardmashoke36784 жыл бұрын
Amen
@emmanuelmedy4361 Жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeeen
@isacklwechungura60674 жыл бұрын
AMEN IM BLESSED
@yonamatowo4 жыл бұрын
Amen amen
@rosecharlz11164 жыл бұрын
HALLELUJAH HALLELUJAH
@hamurabani53864 жыл бұрын
Amina
@francismfinanga25884 жыл бұрын
Thank you Jesus Amen
@elisariapallangyo11514 жыл бұрын
The human being life has got so much challenges but the most precious moment is to live on divine purpose
@peninahnyabonyi93314 жыл бұрын
Ameeen
@judithshoo43234 жыл бұрын
Ameeeen
@hurumasalyanda20874 жыл бұрын
Ameeen baba
@nasramajid67164 жыл бұрын
Mungu awe pamoja na wewe
@agnessmungy46804 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@nyarijastine21234 жыл бұрын
Hakika mafundisho yako yananibariki uzidi kutuombea maana niagizo ulilopewa mtumishi
@mariamaroda3204 жыл бұрын
Ameen Ameeen Ameeen
@naanely22474 жыл бұрын
Ameeeeen
@ruthshalua58504 жыл бұрын
Emeeeeee .
@ruthshalua58504 жыл бұрын
🤚🤚🤚emeeeeee ubarikiwe mtumshi
@fredyamosi72593 жыл бұрын
@@ruthshalua5850 ameeeee
@mwesigwamichael28434 жыл бұрын
🙏🙏🙏🇹🇿
@mariamambo5 ай бұрын
Sarafari ya mbinguni kzbin.info/www/bejne/mJa1n6VmppeJbq8si=pyensbxkCCRVVupC