3. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida

  Рет қаралды 35,677

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@CarolineJisandu
@CarolineJisandu 4 ай бұрын
Asante Bwana YESU kwa NENO HILI LA MTUMISHI WA MUNGU HUYU NA MKE WAKE,WABARIKI NA KUWALINDA KILA IITWAPO LEO,KILA SEKUNDE,DAKIKA NA SAA UWALINDE NA KUWAPA MEMA NA AMANI NA KUSIMAMA SAWA NA MAPENZI YAKO BWANA YESU AMEEN🙏🙏🙏🙏
@GloryMakundi-m6z
@GloryMakundi-m6z 4 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunihukumu kwa haki na kunikirimia haki yako Leo tarehe 14.8.2024 saa17:20 umenitendea mema umenisamehe umenifungua na mifumo ishikiliayo familia yangu,uchumi kazi miradi . Pokea sifa utukufu wako umenijalia juu yangu Sijaona kama wewe una nguvu namna hii Wote wajue umenitendea mema kuliko nilivyoomba
@KulwaSamwel-s2k
@KulwaSamwel-s2k 4 ай бұрын
Mungu aimarishe mifumo ya huduma ya Mana ,imebeba Baraka na neno la uzima
@sesilialungu
@sesilialungu 4 ай бұрын
Kwa mara yakwanza leo kuanza kumfatilia mchungaj mwakasege kwa umakin kwakweli roho wa bwana ameniingia nimejikuta moyo wangu umekua mwepes sana. Mazito yote yamenitoka kwenye moyo wangu. Asante yesu
@DAVIDBAHANE
@DAVIDBAHANE 4 ай бұрын
Sifa kwa Mungu wetu ambae anatumiya mtumishi wake kwa kutulisha na barikiwa sana tena sana.
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 3 ай бұрын
Asante Bwana Yesu nimepata chakwangu. Lait viongozi wetu wa inchi wangepata haya marifa aa tungekuwa mbalii❤
@flavianimrod1017
@flavianimrod1017 4 ай бұрын
Mungu akuweke sana Mwalimu, kwa ajili ya mataifa.
@tusamoses3154
@tusamoses3154 4 ай бұрын
May God keep u for this generation.
@GloryDanieli-g4e
@GloryDanieli-g4e 5 ай бұрын
Barikiwa baba na mama C Mwakasege
@terryemmanuel2870
@terryemmanuel2870 4 ай бұрын
Neno la wakati ,asante Mungu kwa mtumishi wako🙏
@VailethMatheo
@VailethMatheo 5 ай бұрын
Mungu akubaliki baba nimebalikiwa sana
@Munguyupo_
@Munguyupo_ 3 ай бұрын
Thank you Lord Jesus🙏
@efgeniasirito4410
@efgeniasirito4410 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi pamoja na familia yako na huduma yote ya Mana. Asante kwa ajili ya maarifa haya ya nyakati za mwisho ambayo Mungu amekupa ili uwalishe watoto wake.
@ruthgreen3274
@ruthgreen3274 4 ай бұрын
Mungu akutunze Mwl 🙏🙏🙏
@rachelpeter87
@rachelpeter87 4 ай бұрын
Hakika Mungu ni baba yet u Asante Mwalimu Mungu akutunze na mama❤
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 4 ай бұрын
Amina
@EstherAthuman-k9b
@EstherAthuman-k9b 4 ай бұрын
Mungu aendelee kuwapigania mwalimu
@DevisRashid
@DevisRashid 4 ай бұрын
Ameen nawapata vizur nikiwa oman muscat
@BerthaRaymond-qv2zn
@BerthaRaymond-qv2zn 5 ай бұрын
Nipo hapa kupona,kukua kiroho,kudumu kazini,kupokea viwango vyangu na uzao wangu Sitaki Tena kulalamika,kutia machozi kuishi Kwa maumivu.. Mwaka mmoja nyuma nipokoea maono ya uponyaji wangu kupitia Mwalimu Mwakasege Leo napokeaa
@esthernkya717
@esthernkya717 4 ай бұрын
Amen baba
@TEDDYmichael-z8f
@TEDDYmichael-z8f 4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 4 ай бұрын
Ee,Mungu unikumbuke na mimi katikati ya gadhabu yako kumbuka rehema
@edistarickmarandu8597
@edistarickmarandu8597 2 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@CNsiaMaletnlema-pr9ri
@CNsiaMaletnlema-pr9ri 2 ай бұрын
Umeahidi Wewe Yesu Huniachi❤
@FelicianNkingi
@FelicianNkingi 5 ай бұрын
Thank you lord
@edinaephraim
@edinaephraim 4 ай бұрын
Amen baba mungu azidi kukubaliki
@RhodaTewa
@RhodaTewa 4 ай бұрын
BWANA akutunze, akutazame kila wakati maana wewe ni chombo chake anakutumia kuponya nafsi na roho za watu kama sisi! Sina cha kusema zaidi ya Asante Yesu kwa ajili ya mtoto wako Mwl Christopher Mwakasege. Baba usinyamaze kwa ajili yake na uzao wake Amen!!
@jimmycliff6977
@jimmycliff6977 5 ай бұрын
Baba anaachaga home work wengi tunasahau kuifanya "anasema kasome Biblia Yako..!!!!"wengi tunasahau ""
@NENO-CHAKULA
@NENO-CHAKULA 4 ай бұрын
Very powerful
@KelvinNaftal-g6i
@KelvinNaftal-g6i 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana sana
@Kidsclothesforall
@Kidsclothesforall 4 ай бұрын
Kwa kweli tuna pending homework nyingi sana
@seugingemyovela7053
@seugingemyovela7053 4 ай бұрын
His Excellence Ruto this message is For you!! And all Kenyas who love your country.
@Kuzarmusic
@Kuzarmusic 4 ай бұрын
💯✊🏾
@Fstqfstq2018
@Fstqfstq2018 4 ай бұрын
Amen
@ELIASMAJALIWA
@ELIASMAJALIWA 5 ай бұрын
Amen Mungu akuinue
@furahasefania5926
@furahasefania5926 4 ай бұрын
Ubarikiwe baba
@sistimassawe8288
@sistimassawe8288 4 ай бұрын
@lilymongi1661
@lilymongi1661 4 ай бұрын
Najiungamanisha ni ibada hii ya meza ya Bwana ninapoenda kushiriki Chakula cha Bwana Kwa Imani ninanachukua uponyaji Kwa Ajili ya mtoto wangu Joan, uchumi wetu ufunguliwe, mume wangu afunguliwe aende kanisani , kipato changu na cha mume wangu kikaongezeke, watoto wangu wafanye vizuri darasani na nipate binti WA kazi mwenye hofu ya Mungu
@MagrethMhina
@MagrethMhina 4 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI BABA. NA MAMA MWAKASEGE KWA HUDUMU YENU
@JaredMrema
@JaredMrema 5 ай бұрын
Asante Baba
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 4 ай бұрын
Yesu nakuomba shuka na utukufu wako, ukanitetee katika mifumo yoyote katika maisha yangu
@DAVIDBAHANE
@DAVIDBAHANE 4 ай бұрын
Jameni ndugu zangu munijulishe mufumo katika ingine usemi mimi Niko Congo sielewe vizuri mufumo
@tusamoses3154
@tusamoses3154 3 ай бұрын
Means system
@edistarickmarandu8597
@edistarickmarandu8597 2 ай бұрын
Kama.unajua kiswahili nipigie mtumishi
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 4 ай бұрын
Asante kwa somo zuri Mungu akubariki sana
@sarahboke9352
@sarahboke9352 4 ай бұрын
Amen 👏🏾
@edinachitenje7495
@edinachitenje7495 4 ай бұрын
NAOMBA MUNGU UTUSAMEHE UKALIPONYE TAIFA LANGU LA TANZANIA KWA DAMU YA YESU
@AlexKijomoko
@AlexKijomoko 5 ай бұрын
So good
@Magrethw-xp4ru
@Magrethw-xp4ru 4 ай бұрын
Asnte Yesu kwa Marudio❤❤🇦🇪🇦🇪🔥🔥🔥🍷🍷💃💃💃
@edinachitenje7495
@edinachitenje7495 4 ай бұрын
AMEEN
@edinachitenje7495
@edinachitenje7495 4 ай бұрын
YESU PITA UTUSAIDIE USINYAMAZE KIMYA TUSAIDIE KUBAKI MAGOTINI MWAKO
@edinachitenje7495
@edinachitenje7495 4 ай бұрын
TUSAIDIE ROHO MTAKATIFU
@dorismfalamagoha3119
@dorismfalamagoha3119 4 ай бұрын
GERMANY
@nellieclifford363
@nellieclifford363 4 ай бұрын
😅😅
@martinelusema1252
@martinelusema1252 4 ай бұрын
BABA BWANA YESU ASIFIWE,KILE KITABU CHA KUOMBEA HAKILI KWA MM NILIOKO DAR ES SALAMA KINAPATIKANA WAPI .
ISHUGHULIKIE SIKU ILE ULIYOZALIWA UBADILISHE MAISHA YAKO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:22:57
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 46 М.
MUOMBE MUNGU SIKU ZOTE WALA USIKATE TAMAA  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:04:52
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 25 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
KUIOMBEA MIKONO YA MWANAMKE KAMA ISHARA YA KIROHO   || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:36:55
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 42 М.
1. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:35:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: UMUHIMU WA MAOMBI
1:27:33
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 37 М.
#UKIJUA SIRI HII OMBA LOLOTE |PR.DAVID MMBAGA|
1:21:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 66 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:45
WEWE UNASEMA UNAOGOPA KUOA HALAFU UNAKULA KWA WAKE ZA WATU "PASTOR MGOGO
1:19:25
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 586 М.
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 60 М.
5. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
3:39:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 37 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН