Yesu mnazareti ahsante kwa kuiondoa roho ya uchungu ndani ya mke wangu ahsante kwa kukifungua kizazi chake..eeh Mungu nakushukuru sana ahsante baba yangu..Naamini hili halitavuka na mm mwaka huu
@johnlawrance-pn2gc6 күн бұрын
Eeh Mungu namsimamisha mke wangu na mtoto wangu hapa..najua ipo namna uliwaumba naomba wawe sawasawa na makusudio yao na uwatakase fikira zao..naamini kwako Yesu wangu..Nategemea kwako eeh Mungu wangu Uyajibu maombi yangu unifute na machozi yangu
@ruthnnko362214 күн бұрын
Hakika Mungu umejidhihirisha kwangu. Hallelujah Messiah. Nimekuona Mungu wangu Asante. Asante Mwalimu Mwakasege,Mungu akutunze na kukulinda siku zote.Ameeeeen nina furaha tele kwaajili yako Mungu wangu.
@DerickWaronga-bj4mb16 күн бұрын
All the way from India nimebarikiwa sitokata tamaa🙏🏾 DAMU YA YESU IMENIINGIA
@neliusgosbertbaguma869315 күн бұрын
Amen ubarikiwe kutokea India Be blessed, do you know Swahili?
@DerickWaronga-bj4mb9 күн бұрын
@@neliusgosbertbaguma8693 ni mtanzania nipo kimasomo
@gloriamwalingo969416 күн бұрын
Bwana Yesu nisaidie niombe bila kukoma.
@moses_daniel.00516 күн бұрын
Mungu akutumie zaidi mtumishi Mwl. Mwakasege Kwa kazi njema ya kuujenga ufalme wa Mungu
@johnlawrance-pn2gc7 күн бұрын
Sitomkatia tamaa mke wangu., sitakatia tamaa ndoto za mtoto wangu pia sitajikatia tamaa ya maisha yangu eeh Mungu wangu nitie nguvu..nionyeshe njia ya kweli nisipotee🙇♂️🙇♂️
@nawikemwasamboma55103 күн бұрын
amina napokea kwa jina layesu sitokata tamaa mimi na famliy yangu
@GetrudaJohn-tf1kr16 күн бұрын
Naomba Mungu nisaidie nisikate tamaa
@JonathanElias-z1g16 күн бұрын
Amen Man of God
@GeorgeNanyaro-g3oКүн бұрын
Mungu kwanza ameeeni mungu naiombea nyumba yangu utuinue kiroho nakimaombi
@DeusLukas-i5p11 күн бұрын
Mungu aendelee kukutumia kwa kiwango Zaid.
@hildandumbalo582716 күн бұрын
Amina!!
@DinnaRossana16 күн бұрын
Ahsante MUNGU kwa ajiri ya neno ili nisikate tamaa hakika wewe ni mkuu utaniinua
Hakika imetupasa kuomba siku zote tusikate tamaa usikubali kukatishwa tamaa na watu 🙏🙏🙏
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx16 күн бұрын
Amen Amen Alleluyjha glory to Jesus
@GetrudaJohn-tf1kr16 күн бұрын
Najiungamanisha na madhabau hii kwa damu ya yesu
@Adeline-n4w16 күн бұрын
Ameen sana mwalimu 🙏🙏🙏🙏
@ElizabethMaimu-k8h16 күн бұрын
Never fight leave, God "ll fight for you
@maryatu79016 күн бұрын
Yesu unastahili kwenye maisha yetu
@GetrudaJohn-tf1kr16 күн бұрын
Naomba Mungu ukaseme nami
@EsthermlongoEsther16 күн бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@johnlawrance-pn2gc7 күн бұрын
Precious john
@GeorgeNanyaro-g3o2 күн бұрын
Akuna kama wewe mungu❤
@janelunanilo16216 күн бұрын
Glory to God
@therezamajinge159115 күн бұрын
Hallelujah
@mattyhappy158116 күн бұрын
Mungu naomba nisaidie nipate shift kazin
@JoshuaHilgath16 күн бұрын
Amina
@TERESIAYOHANA16 күн бұрын
Amen
@gatimwita286516 күн бұрын
Mungu tuponye familia
@gatimwita286516 күн бұрын
Mungu tusaidie
@evarisaernest214616 күн бұрын
AMEN
@JeniferKatama16 күн бұрын
Hakika sijaona kama YESU
@nancyraphael942915 күн бұрын
👏👏
@GaspalMgassa14 күн бұрын
Ni mimi pia, ninandoto ya kufanya kazi na kuhamia Marekani
@maryatu79016 күн бұрын
kweli baba kama umejua vile nimekata tamaa
@catherinemnuga244016 күн бұрын
Baba huyu ni mimi kabisa Nina ndoto kubwa mno wa kupiga hatua n nimepewa assignment kubwa ya kupresent kwenye management. Mazingira yananikatisha tamaa walionitangulia wakisema kazi hii ni ngumu nawe ni mgeni hutaweza naomba leo nivuke na ninakiri nafanya kwa weledi na Niko njiani kuielekea ndoto yangu
@MaryProches16 күн бұрын
Mwalimu huwa ananisema mimi kila siku, Najiona nimekata tamaa.
@johnlawrance-pn2gc7 күн бұрын
Asteriah mathias desdery
@johnlawrance-pn2gc7 күн бұрын
John lawrance
@JeniferKatama16 күн бұрын
Naomba namba ya Mwalimu
@jacquelinempondela589515 күн бұрын
hauwezi kumpata mwl. piga namba za huduma yao au mtafute mke wa mwl.