''PANDA MBEGU SADAKA UVUNE MAAMUZI YA KIMUNGU JUU YA KESHO YAKO'' || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

  Рет қаралды 33,291

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Semina ya Kupanda na Kuvuna mkoa wa Mbeya // 26 January 2025
............................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
AU UNAWEZA PIA KUTUMA MOJA KWA MOJA KWENDA BENK YA
CRDB:-
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

Пікірлер: 37
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 11 күн бұрын
MBEGU SADAKA huge reveal thank you JESUS🙌🙌kweli tusitoe kichoyo 📌📌📌🙌🙌🙌TUNAPONA MWL💃💃💃
@SuzanaAloyce
@SuzanaAloyce 3 күн бұрын
yuko Mungu mwenye nguvu ninazidi kubalikiwa kila kukicha nimeshapewa somo la chakula kinachokuja daima napambana somo liwe kwaajili yangu linitoe atuamoja kwenda nyingine
@neemamalagala7653
@neemamalagala7653 Күн бұрын
Barikiwa sana Baba yangu wa Imani🙏🙏🙏
@paulinedhahabu6587
@paulinedhahabu6587 10 күн бұрын
Amen baba nimekusikiliza ukiwa na Dar es salam na sasa nakusikiliza ukiwa mbeya naamini Arusha tutakua na siku ya kupanda na kuomba.Nimejifunza hii ni shule iliyoshiba maisha ya kitaifa na kimataifa.Mungu anipe ufahamu na niwafundishe wanangu angalau wasikie habari hizi.Nimebarikiwa baba
@ericavumi1546
@ericavumi1546 12 күн бұрын
Mungu akubalik akuongezee siku za kuishi baba
@revocatuslubalema9442
@revocatuslubalema9442 9 күн бұрын
Huyu Mzee ni Nguli wa Injili -Tanzania Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@GetrudeJoyce
@GetrudeJoyce 12 күн бұрын
amen asante baba kwa neno hili mungu azidi kukuongoza
@agnessmkane3674
@agnessmkane3674 11 күн бұрын
Mungu nisaidie niweze kukutumainia Wewe tu wala si wanadamu Na ombi langu kuu mwaka huu usiishe pasipo kuwepo na seminar au mkutano wa mwalimu Christopher Mwakasege katika mkoa wa Simiyu
@helenashemndolwa750
@helenashemndolwa750 10 күн бұрын
Najiungamanisha na madhabahu ya Mungu, Eeee mungu kupitia sasdaka yangu ndani ya madhabahu ya Mungu mwanangu ufahamu wake ujafunguke na akafaulu mitihani yake yote ya form four. Ee mungu naomba kwa ajili ya ndoto yangu ya kwenda KUSOMA UGHAIBUNI, NAOMBA MUNGU ANIPE UZAO MWINGINE,
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx 12 күн бұрын
Amen Tanzania tumebarikiwa mno hona ujumbe huu baba umenifundisha kitu hapa kupanda mbegu ni kitu moyo wangu ufanya Sana sikuwa najua kupanda mbegu juu ya ukoo wangu na nchi , makabila, watu wengine, kupanda mbegu vizazi vijayo na baba niko Dubai na ili somo umenifundisha kitu kikubwa Sana Nilikuwa na uliza Mungu nchi nilioko ni nchi ya mafanikio mno nawezaje kuigiza kitu ktk nchi inikonect na nchi yangu katikati nimepata majibu yangu nitatendea kazi na nimeshuhudia, UAE ni nchi ambayo imebeba makabila zote Dunia nikawa natafuta nini watu hawa walipanda mbona hii nchi hii watu upigaNia Kuja Sana na akuna kabila Duniani utakosa hapa UAE nikawa na uliza mno nikaenda history na vile wanavyo fanya mambo Yao kiimani Yao nikagundua nguvu ya sadaka ya mbegu, mbegu inawaleta watu Kila upande mbegu ilipandwa inaongea na Kila kabila ya watu Duniani oh si ni zaidi ya hii mbegu tunayo panda juu ya mwamba Yesu nimejibiwa kabisa ndani ya mbegu inabeba wengine oh Asante baba ooh Asante Yesu kwa hii neno imenipata nimechukua yote🙏🙏🙏🙏
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 11 күн бұрын
THANK YOU JESUS 🙌🙌🙌😭😭😭THANKSGIVING 🙌🙌THX 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿SADAKA MBEGU📌📌📌
@DamaryShitobelo
@DamaryShitobelo 12 күн бұрын
Imefunguka nashukuru Mungu
@pascalmbosso7384
@pascalmbosso7384 11 күн бұрын
Hakika MUNGU wa mbinguni azidi kukuinua zaidi ktk huduma.
@ChristinePhilipo
@ChristinePhilipo Күн бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@yohanakawogo661
@yohanakawogo661 12 күн бұрын
Amina
@DamaryShitobelo
@DamaryShitobelo 12 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe haina sauti
@oforodidaskimaro4266
@oforodidaskimaro4266 3 күн бұрын
🙏🏽🙏🏽Amen.
@JacquelineRaphael-y2q
@JacquelineRaphael-y2q 9 күн бұрын
30/01/26 Hallelujah 😊
@BeingRealOne
@BeingRealOne 12 күн бұрын
Bwana Yesu Asifiwe sana
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 11 күн бұрын
God ur faithful and just📌📌🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@BwikemoMwamgunda
@BwikemoMwamgunda 12 күн бұрын
Thankyou God for another chance
@Shija_Lucas
@Shija_Lucas 12 күн бұрын
It is so heavenly
@sportsmantv8397
@sportsmantv8397 11 күн бұрын
Mungu atusamehe bure😢
@laita8218
@laita8218 12 күн бұрын
Ameeen
@Maua-y2c
@Maua-y2c 11 күн бұрын
Amen Amen 🙏
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 12 күн бұрын
Bwana apewe sifa naomba namba nitume sadaka ya kupanda Mungu wangu mwaminifu
@charlessamuel8602
@charlessamuel8602 12 күн бұрын
Namba zinapita hapo kwenye screen
@Nehemiaally
@Nehemiaally 11 күн бұрын
AMEN
@surayammanga8190
@surayammanga8190 12 күн бұрын
Amen
@MagrethMadila-nz4vo
@MagrethMadila-nz4vo 11 күн бұрын
Hakikaaa baba mafundisho yako yanafundisha kupata cash m 1 na kujijua njia ya kuitafuta m1 na kuipata hapo umenifungua zaidi baba ubarikiwe millennium yote
@nyembadamace6127
@nyembadamace6127 12 күн бұрын
sauti ilekebishwe iko chini sana
@Mobmob2013
@Mobmob2013 12 күн бұрын
Hizi ni Siri za ufalme hallelujahs
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 12 күн бұрын
amina nipo tunduma nafunguriwa moyowangu heee baba wewe watosha pekeako
@winfridakimweri
@winfridakimweri 12 күн бұрын
Haina sauti
@ChristianSwordofthespirit
@ChristianSwordofthespirit 11 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/pZSWfYSLjb59rKcsi=-p5BHKsZu4ZUw94V
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc 9 күн бұрын
Amen 🙏
@julianapaul5072
@julianapaul5072 9 күн бұрын
Amen
UMUHIMU WA KUPATA WATU SAHIHI WA KUKUSAIDIA UTIMIZE MALENGO YAKO   || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:26:30
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 119 М.
''SEMA NA KESHO YAKO KWA KUPANDA SADAKA YA MBEGU  YAKO LEO''  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
4:56:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 56 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU
1:59:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 831 М.
Boaz Danken-USINITOE HAPA #lovesongtoJESUS
12:34
BOAZ DANKEN
Рет қаралды 72 М.
1 -KUONDOA MAZUIO YA KIROHO YANAYOKWAMISA KIPATO CHAKO  || Mwl Christopher Mwakasege || Mwanaza 2023
2:44:04
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 61 М.
Agape Gospel Band - Simuachi (Live Music Video)
14:05
Agape Gospel Band
Рет қаралды 128 М.
NDOA NI WITO WA MUNGU || Mwl Christopher Mwakasege
1:52:29
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 129 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: UMUHIMU WA MAOMBI
1:27:33
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 40 М.
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 64 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 3 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН