Namuona Mamy kama atapata tabu sana kuja kwa Meena hapo XXL
@aftermath52264 жыл бұрын
Meena Ally mawenge sana for sure hadi inaboa sehemu isiyo muhusu kuongea anaongea tuuu kaah!🤔 at least kwa team ya Xxl maybe itamfaa honestly nilikuwa nachukia kipindi cha Amplifier coz of her, alikuwa hamwachii nafsi ya kuongea General @MillardAyo so then now it's good for her to be in here!
@davidmagundu22854 жыл бұрын
"kwa hiyo Meena ni mtu wa namna gani?" aminia Adam kwa kuulizaga maswali yenye akili 🙌
@DenisErick-sy2wt5 ай бұрын
Iwish wote clous
@happymollel7134 жыл бұрын
Love you meena
@fineboytv14054 жыл бұрын
Lovee you minaaH
@davzlychrispin83953 жыл бұрын
I like u sister meena
@TheTemba14 жыл бұрын
Love you Minaaa na Mammy I wish ningepata namba ya mummy jamani......
@lazarojumanne55644 жыл бұрын
Naelewa Sana I love you meena ally popote ulipo nipo 😂😂😂💜💜
@hadijasalimu18084 жыл бұрын
Meena Ally nakupenda burebure
@aceotz25794 жыл бұрын
Safi Clouds❤🔥
@barkembarak92704 жыл бұрын
Love u miner
@kitumba69164 жыл бұрын
Nimeuelewa usajilii...
@asiajuma83304 жыл бұрын
Vidio yenu mbaya kma mnatumia camera ya tecno
@protasprojestus77944 жыл бұрын
ww ndio unatumia tecno
@comrademlewaisavile3364 жыл бұрын
Mamy baby mnyamwez mwenzangu from Tabora street salmin now Toronto Street
@OmarAli-jc1hr4 жыл бұрын
Huyu mdada namkubali kinoma i say..
@dollamaleko75394 жыл бұрын
Mrudisheni Kennedy meena Ally afiti kabisa hila mamy baby mwenye sauti yake mtu achi please
@kautharsalat64494 жыл бұрын
Kennedy amepata ajali
@isaqislem8724 жыл бұрын
Wapi kennedy
@rehemasalum52134 жыл бұрын
XXL good kipind
@comrademlewaisavile3364 жыл бұрын
Meena ally nakukubal kinyama hasa swaga zako zakichuga
@athumannuru36484 жыл бұрын
Oyooooooo
@godfreymrema46164 жыл бұрын
Mmezingua nyie watu aisee...na nimeamin hii station inaendeshwa kwa chuki na upendeleo... Jana ww bdozen sikuji na hao wajinga wenzako mlisema Leo tutawasikia wale watoto walotoka kingmusic na hiv leo hamna chochote kilichotokea... Mnaendesha vipind kwa hisia na mizuka ndo kinachowa cost icho.. TRY TO BE FINE....goodnght🚮🚮🚮
@MtuSafi4 жыл бұрын
Sasa unawalaum kwa lip mzee hao wasanii Kama wameamua wao wasije wataenda kuwafunga kamba interviews ni makubaliano ya mtangazaji na mlengwa sasa mlengwa akisema kwasasa sihitaji interview utamjibu nn.
@isaqislem8724 жыл бұрын
Watu wengine wana force chuki na clouds bila sababu yoyote ile, sasa hizo mambo za wasanii kutoka 👑kings yanahusu nn clouds
@godfreymrema46164 жыл бұрын
@@isaqislem872 sasa kama hayawahusu jana kwann walitangaza wataleta exclusive interview ya chiq siji Si wangekaa kimya tu🚮🚮
@mishicram3914 жыл бұрын
Saf
@abuuhanifa78814 жыл бұрын
Yan mnam toa Kennedy mna leta uyu chiriku mna akil kwel wachaga wehu nyie