Kwa kweli Gea na wenzako mnachokifanya Mwenyezi Mungu atawalipa na vizazi vyenu mbarikiwe sanasana mnagusa hisia za watu inafurahisha na kuhuwisha maisha ya watu
@femidayahaya48827 ай бұрын
Nimejikuta tu nalia..Mungu mpumzishe mamaangu pema peponi. Bhoke hongera sana kumpata Mama💖
@Sharmy_027 ай бұрын
Amen
@RamadhanMohamedi-j3d7 ай бұрын
Bint-Habibu na mwenzio Husna wallah kazi munayoifanya kuwaunganisha watoto na wazazi ALLAH atawalipa inshallah
@zachariasimkanzye4454 ай бұрын
Kwakweli kipindi hiki kinaleta faraja sana kwa familia zetu, ila ningependa au kuomba serikali angalau wasapoti kipindi hiki kwa namna yoyote ile maana kinarejesha matumaini yaliyo potea katika familia zetu, salute kwenu clous media na watangazaji wote kwa ujumla mungu atawalipa msichoke kutenda mema
@sarahkinyashi62137 ай бұрын
Mungu tusaidie wamama jamaniii,tusiachane na uzao wetu🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu awabariki sna CLOUDS F.M.hakika m'nafanya KITU kikubwa sna, JAMBO ZITOOOO 😭😭🙏🙏
@anorldmarandu47257 ай бұрын
Wakati Wa Mungu ni sahihi siku zote.
@edsonnelson44647 ай бұрын
Ninawaomba hata wale waliokosa wazazi au watoto mngewaweka kwenye mitandao ili watu waendelee kutafutana maana inawezekana siku kipindi kinarushwa wengine wanakuwa hawapo ili kuwajua
@faridabilly3797 ай бұрын
Jmn tunaomba na Victor atafutwe Mungu awabariki😭😭😭
@alfamgayatv8727 ай бұрын
Hii radio station ni zaid ya radio mungu huonesha nuru palupo na nuru
@mrfashion16877 ай бұрын
Ila Geah anazeeka na uzuri wake
@joycekalago5327 ай бұрын
Hata bamdogo wa bhoke ni mstaarabu sana wabarikiwe
@AminaJuma-r4y7 ай бұрын
Wame fanana sana na mama yake❤😢
@dicksonkilupa22587 ай бұрын
No comment huyo ni mama yake hadi umbile ni mfanano. poleni kwa kukaa mbali kwa muda huo wote.
@missmoona44977 ай бұрын
Mm nasemaga kila siku wa bb wadizain hii wanafungu lao kwa MUNGU laatullah mnatesa watt mnaumiza watt kana kwamba unamkomoa mama bila kumjali mtt anahak za mama yake pia, nahata huyo alie potea itakuwa lengo nikumtafuta mama yake inaumiza sana , sasa bb huko uliko upewe unachostaili kwa huu unyama ulioufanya, na MUNGU alivyo fundi kwa roho zenu mbaya hizo huwa hamuna maisha marefu kwa laana zenu za kutesa watt
@lusticabernad99827 ай бұрын
Nani ananimenyea vitunguu machoni, wamefanana sana
@theonestinamutole85497 ай бұрын
Nshalia sana
@janetmushi46897 ай бұрын
Dah wamemiliza sana, hongereni sana kwa kuwakutanisha Mungu awabiriki.
@abuumohamed70907 ай бұрын
Kuweni na mpangilio mzuuri wa utoaji wa taarifa zenu
@djcashwanakidiry91587 ай бұрын
Jamani kwakweli Mungu aitwe Mungu najikuta natoa machozi 😭🙏🏼🇲🇿
@GetrudeRashid-be8bs7 ай бұрын
Kweli hii redio ni nzur ,,Mungu Wa mbinguni aendelee kuinua,,wakati WA Mungu ni sahihii🎉🎉🎉
@HappyKaboma7 ай бұрын
Hongera dada yetu wa mbamba bay tunakupenda sana dd hongera sana kwakuwapata watoto wako hakika Mungu hunaemtumikia hamekupa kibari Asante Mungu dada kampe Mungu hutukufu wake
@joycekambuga62865 ай бұрын
Hongereni sana clouds Mungu awatunze
@chachawambura40307 ай бұрын
Nilishawakutanisha mtu na dadake walopotezana zaidi ya miaka 35. Ilikuwa hivi, nilienda Moshi kufata Cheti changu chuo nikakosa hifadhi ya kulala, aliyenipa hifadhi ya kulala lazima akuchukue maelezo. Alifurahi kusikia natoka MARA akatamka WEWE KIJANA MUNGU KAKULETA HAPA. Kumbe kule dadake alikoolewa Mimi ndiko nakotokea, niliporudi nyumbani Yani haikupita wiki Moja nikampata dadake mpaka Leo wanawasiliana na dada alokaa miaka zaidi ya 35 bila kurudi nyumbani alienda Moshi kuwasalimia.
@JaneBihagala7 ай бұрын
MNGU wetu ni mwema yote hayo ni makaudi yake ili wakutane tu
@solomondanny-15077 ай бұрын
Baba mdogo hongera sana.
@GetrudeRashid-be8bs7 ай бұрын
Mungu awabarik,,, naomba mumtafute nahuyo victa
@yasminoluoch1697 ай бұрын
Wamefanana sana Mashallah ❤
@pamelafidelis61027 ай бұрын
Nawapongeza sana clouds.Jambo mnalofanya ni kubwa sana naomba serikali itambue mchango wenu kwa jamii.
@abdulkaleemmbarak66707 ай бұрын
Ukitaka jua Sura asili za mtu mwambie alie. Mama Amelia nikaona Sura zimebadilika tofauti na alipokua hajalia.Mungu mkubwa kweli.
@ZekaniS7 ай бұрын
Hongera baba mdogo kwa ulezi❤❤❤❤
@salimngajoga34077 ай бұрын
Nijambo jema sana mlilofikiria la kukutanisha mama na mwana
@maryamtanzania97437 ай бұрын
imeshindwa kuzuia machozi wallah
@KaniOfficio-lk1rk7 ай бұрын
Kiukweli claudhi Mungu awape maisha malefu pia mwezi 1 hautoshi jamani
@caritaskabyemela15307 ай бұрын
Kafanana na mwanae jamani
@OmarySamata7 ай бұрын
Daah clouds kweli inafungua Dunia huu nizaidi ya ubunifu ongereni sana endeleeni kusaidia watu
@marygregory75667 ай бұрын
Mungu awajalie na victor wampate
@jolyPoly-qm9fb7 ай бұрын
Natamani na mimi iwe kama ndoto mamaangu niweze kumuona tena mana napitia maumivu makali bila mama siwezi😢😢
@ABDULShq-wv6st6 ай бұрын
Good job clous
@bintmrisho35267 ай бұрын
Jaman mie hiki kipindi hadi kiishe nitakua nimevimba macho😭😭😭😭
@matridamwalyoyo17357 ай бұрын
Yani we acha atuu😢
@rehemakanyere41887 ай бұрын
Yaaani basi tu
@magidalenarauya42867 ай бұрын
Du walimtesa sana mama huyu kumnyanganya watoto wawili tena wadogo,huyo baba alikua katili,na mama alien muozesha pia,
@nsiamasawe45787 ай бұрын
Baba mdogo Mungu akujalie kwa kazi njema
@HappyAsajile7 ай бұрын
Mda mwingine nawazag nikwel aya yapo asant mung kwakuniwekea wazaz wang daaa
@HusnaSharifu7 ай бұрын
😢😢mi Baba wadogo zangu hata hakuwaleta kwenye msiba wa mama
@Mamas-06k7 ай бұрын
Zingine zina hisia kali wweeeee, lakini kile ule mama wakuumwa ni kifua,,, pamoja na kuugua lakini kuna lakini ,na vile ana watoto warembo, au hanajiurumia kwa kutofikia wanae na ilikua karibu tu, au kujihukumu moyoni, ila watu wameumbika tofauti
@Gloriousministriesforallnation7 ай бұрын
Mungu awakumbuke watt ambayo hajui wazazi wao wako wapi.
@MiriamEzekiel-d1p7 ай бұрын
Jamani na mm namtafuta mjomba angu Toka atoke nyumbn 2018 hadi leo hajui aliko Wala mawasiliano hatuna
@HusnaSharifu7 ай бұрын
😢😢😢gea na wenzako Mungu awalipe kheri
@norakaima16447 ай бұрын
Wanaume ni baba zetu ni watoto wetu tunawazaa kwa uchungu lkn nyinyi ndio mnatufikisha hapa😢😢 naumia sana wallah😭😭
@wamburasungura68127 ай бұрын
Sasa baba anakosa gani na hatujasikia upande wake na Alisha fariki
@IreneMasunzu7 ай бұрын
Duuuuu 😢😢😢
@Denatha_507 ай бұрын
Nimelia mno jamn mungu awalinde wazazi wetu
@abasiabdulabi54307 ай бұрын
Nikimuona malehemu mze nguzo na uyu mwanae nakumbumbuka mbali sana
@ShemsaKiobya7 ай бұрын
Siku zote mungu awalipe Kwa msaada huu
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Bamdogo maashaallah. Allah atakulipa kwa ulexi
@edvinaselestine7126 ай бұрын
Kumbe wakurya wote huwa mnaozeshwa na mama zenu
@zamalisaide32097 ай бұрын
Baba mdogo mauwa 🎉🎉🎉
@AngeKazege-sy1ok7 ай бұрын
Baba Mudogo Katuliya Sana❤
@skilindaissa54417 ай бұрын
Pumnzika kwa Amani Mama yngu
@omanoman20447 ай бұрын
Mtt wake wakiume hayupo mungu wangu
@jamilamsafiri25017 ай бұрын
Jaman naombeni namba namim natafuta ndugu wa baba angu
@Neemaismaily-kb4ho7 ай бұрын
Nimelia kama mm ndo bhoke
@deborahmchona55847 ай бұрын
Yaan Mimi nimelia Mpaka wananishangaa
@nancyg86647 ай бұрын
@@deborahmchona5584😂😂😂ata mimi mpaka nimejiona kajinga
@Peace-x6s7 ай бұрын
Hata mimi❤
@OmarySamata7 ай бұрын
Daaah sana aisee
@SharifaMohammed-el3ug7 ай бұрын
Malia jamani! Mungu awabariku
@sengendotwaha93337 ай бұрын
Asante sana
@valentinamjindo53747 ай бұрын
Wamefanana sana jaman
@IgnasiaNdunguru-hr5ep7 ай бұрын
Asante
@eggysulle79887 ай бұрын
Clouds 🔥🔥
@ibraoman27457 ай бұрын
Nawashukuru san wazaz wang kua pamoja had leo
@RajabJuma-e9e7 ай бұрын
Dahuu naitwa Rajabu Juma nipo musoma mjini, nina umri wa miaka 29 namtafuta babu yangu mzaa mama, alikuwa anafanya kazi gereza la musoma mjini miaka ya 1971 hadi 1974 akahamia gereza la tarime kisha kuamishiwa jijini mwanza, mama angu ananiambiaga babu aliondoka akiwa na miaka minne 4, na anamfaham kwa jina moja anaitwa Lasuri ni mzaliwa wa moshi, kabila lake ni mpare namtafuta kwa muda mrefu sana babu yangu, aswa mama yangu mzazi anahamu sana ya kumuona baba yake
@salmangwila80627 ай бұрын
alhamis hii wewe na mama yako sikilizen leo tena kuna fursa ya wanaowatafuta baba zao,labda mtaweza tuma voice note
@eliudnjenga93857 ай бұрын
Mimi nipo kenya🇰🇪 heko sana tena sana cloud fm kwa kazi mnayoifanya tz 🇹🇿kiukweli mko mbele e mola awabaliki👍👆👆
Mungu mkubwa hata mimi nimetokwa na mchozi sijui niseme ni yafuraha au ya huzuni
@ARAFATVSHOW7 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@lucypatrick78307 ай бұрын
Dah nimejisikia huzuni sana
@EMANUELMgaya7 ай бұрын
mambo ya muhimu lakini bado back stage sauti ipo juu
@JackMalima7 ай бұрын
Mama Bado kijanaa mwenyewe
@MaryamShabani-n2u7 ай бұрын
Mashallah❤
@nashnene63267 ай бұрын
Wakurya, wachaga na wahaya huleta maumivu sana haswa ndoa/mahusiano zinapivunjika, kwa sababu ya mila na itikadi za kipumbavu
@wamburasungura68127 ай бұрын
Mama sisi hatuachi Mali yetu nje acha kutulaumu
@agnesjohn93827 ай бұрын
😂😂😂@@wamburasungura6812
@PendoUrassa-xm7ru7 ай бұрын
Da mungu ni mwema,
@EvaMalijo-wb2vs7 ай бұрын
Wapenda nawapataje na mimi namtafuta baba yangu mzazi sijawah kumuona tangu nizaliwe na mama alifariki naishi na maumivu kwa muda sasa nisaidieni nipate
@wamburasungura68127 ай бұрын
Ulitakiwa ujieleze
@oliviaseth46527 ай бұрын
Wamefanana sana 😢
@azeezaya85107 ай бұрын
Mungu watu nimwema siku zote
@madammbago97877 ай бұрын
Hivi process za kutaft mtu inakuwaj unaenda redion au kweny account zao