Mmejitahidi kuruka kwakweli. Mungu aendelee kutupigania. Nilibanwa toka siku ile kifua leo Mungu kaniponya kwakweli
@nurungole39612 жыл бұрын
Tunamshukuru.Tunamshukuru Mungu kwakutuheshimisha
@daggerslick3 ай бұрын
Hii mechi ni historia kwetu halooo 😢
@juniorwilliam63382 жыл бұрын
This is Young African, God bless my team
@khatibumwalumbunga68932 жыл бұрын
Kuwa yanga raha, tunaiman na yanga mungu imalisha clab yetu
@kapondamsita4762 жыл бұрын
Sisi ndoyanga mungu awalinde mashujaa wetu
@jumaharoun4007 Жыл бұрын
Nawamba viongozi mrejesheni feisal kikosini ila hatuna pengo ila ni mchezji mzuri tumieni busara
@nestorymapunda45962 жыл бұрын
Yanga TV sasa mkooo vzr sn💚💚💚
@skynerabdulkadir60982 жыл бұрын
Yaani Morrison ni sheeeda🤣🤣🤣🤣 kashikwa bega ameumia jicho sijui......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔰🔰🔰
@bleezytalentmusic59122 жыл бұрын
Sisi ndo yanga💛💚💛💚
@dianajeremiah15472 жыл бұрын
Ss ndo yanga 🙌🙌🙌
@farajasilungwe55292 жыл бұрын
Jana nilifurahi sana mana makolo waliteseka afu YANGA tukashinda 😁😂😂
@josepeter80332 жыл бұрын
Jana team yang wamecheza vizur
@athumaninyituki70112 жыл бұрын
Yanga tamu sana
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
Prof:Nabi Ahsante saaaaana kwa kupanga kikosi kizuri na imara! Wananchi wenzangu tuendelee kuwa na imani na NABI Na tuendelee kula MIHOGO yetu! Makolo tuongeze sauti au inatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🗣🗣🗣🗣🗣🗣
@freegospel2 жыл бұрын
Nimefurahiiii sanaaaaaaaa
@hagtheug8678 Жыл бұрын
I hope Us Monastir came and watched the game ⚽ Saw how our team played ? And in away ? That's it, we didn't make out of lucky we deserved it. Be warned we will haunt at this same stadium 🏟️ we haunted your brothers. This is Yanga Africans and we are gonna make Africa proud 🦚
@Samalextz2 жыл бұрын
Yangaaaaaaaaaaaaaaa 💛🔰💚🇹🇿
@athumaninyituki70112 жыл бұрын
Yanga tamu jamani
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Mungu awalinde vijana wetu
@filemonkwaja61812 жыл бұрын
Timu yetu kwa ujumla iko vizuri sana, ni timu ambayo inaweza kupata matokeo kwenye kiwanja chochote kile,Sure boy amecheza kwa kiwango kikubwa sana,lakini pia, bwana Kibwana amecheza vizuri mno alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri.Kitu kimoja nilicho gundua lomalisa anapenda sana kushambulia na ndiyo maana mashambulizi ya club africain yalikuwa yanatokea upande wake,alikuwa anachelewa kurudi kwa wakati.Ila kwa ujumla mmetufanya tuvimbe mtaani,Rai kwa mashabiki wa yanga tuwe na uvumilivu,tusipende tu matokeo ya timu tupende timu kwanza. Kwenye mpira lolote linaweza kutokea
@adammkinga93332 жыл бұрын
Asante YangA
@michaelndabalinze13762 жыл бұрын
Asante mungu muumba mbingu na nchi na kwenye nchi ukaiweka Yanga SC nami nikaipenda sasa inanifrahisha usiku huu, nina shukuru endelea kuibariki Yanga yangu uwape nguvu na utulivu wachezaji wetu na benchi la ufundi pia uongozi wote wa Young Africans.
@alicenice17112 жыл бұрын
Leo hakuna kulala ni ku enjoy mpaka kesh
@sumahtanzania49912 жыл бұрын
💚💛💛💛💛💚💛💚alihamundulilah
@nurungole39612 жыл бұрын
Nimependa miguu ya wachezaji wetu kuwa na maamuzi ya haraka ndicho nilijua kitafanya kitu
@samirally45832 жыл бұрын
Ya mungu mengi
@mayelemedia Жыл бұрын
Yangaaaaaaaàaaaaaaaaaaa❤❤❤
@hawaissa7498 Жыл бұрын
Rwandaliñijaman
@daudimmary39652 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa kutuheshimisha shabiki zenu..
@josephdickson90902 жыл бұрын
💚💚💚💛💛💛
@kassimomar75892 жыл бұрын
💚💛💛💛⚽
@guccij62362 жыл бұрын
Sure Boy akienda Man City ana anza moja kwa moja
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
Haikatai bro ,jamaa fundi
@josephkapinga6522 жыл бұрын
Yanga hiii itatuua kwa rahaaaaa
@nbwchannel49972 жыл бұрын
Sisi ndo mihogo original
@anethbayona8312 жыл бұрын
😂😂😂 me kwa yote nimeona alichokifanya Morrison any I 💛💚 yanga
@munawwarbashir26802 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂💚💚💚💛💛💛💛💚💛nilizn nimeona mm tuuu
@daudkhatib46782 жыл бұрын
Leoo. Mtazomea. Mikunduu. Yenuu. Nyie. Makolo tako
@maulidiisihaka8522 жыл бұрын
History
@fatmasuleiman38852 жыл бұрын
Vijana woto msikubali kuyumbishwa na maneno ya mtaani naimani vijana upo vizuri sana wote kola pea itakayo pangwa moto nimependa mlivo cheza jana hongereni sana2 nawapenda wooote! Watoto wangu mwenyezimungu awalinde na mahasid wanje na ndani kila mnapo cheza Allah awahifadhi Aamiin nawapenda.sana natamani siku moja nikutane nanyie watoto wangu niwape nasaha. In sha Allah mwenyezimungu awahifadhi Aamiin
@christophersaidy8307 Жыл бұрын
Viki
@christianjohnmwalugaja80902 жыл бұрын
Hivi na 33 za jezi Morrison zipo sawa kweli. Angalieni ya kwenye jezi na bukta. Huyu jamaa ni matatizo sana.
@alimohamed57572 жыл бұрын
Yanga ya peponi
@seiphomary8342 жыл бұрын
Hii ndio yanga sasa tupige mpira kwa spirit hii mpaka mwisho wa lig ya caf na NBC kocha upange kikos kwa namna hii
@yasrikomba78742 жыл бұрын
Asante yanga umetueshimisha
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Merci Aziz ki
@Shafii_Namyundu Жыл бұрын
I remember de game, it' was very taff 🔥🔥
@gracealbin1555 Жыл бұрын
Ikotokea kushindwa ni mambo ya ushindani tu,lkn Yanga wapo vzr
@ntanilanjema042 жыл бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@nsumbaboy3549 Жыл бұрын
Hiii ndo ya ya gsm anae kubaliana na mimi gonga like
@OmanOman-iu7jf2 жыл бұрын
Mpira kuza roho jamani acheni masihara daaah
@princessndangeji90662 жыл бұрын
bora highlight ya waarabu hii mmh azam wametubania
@officialriclaud67522 жыл бұрын
Jana kibwan kapiga shuti nje ya 18😂😂
@geofreymongi54032 жыл бұрын
Pamoja na usimba wangu Hongera Yanga mmecheza mpira mkubwa
@lightnessabdallah23402 жыл бұрын
🙏
@ismailmasoud60012 жыл бұрын
Hii ni game ya KIBABA sana, limepigwa sana NDIKI, Jamaa wa KIKOLO wanakubali kimoyomoyo...!
@mrishoyassini2 жыл бұрын
Waoooooo
@allymngwaya28312 жыл бұрын
Kibwana Shomari hii ni lulu ingine kwetu
@delimachesa50072 жыл бұрын
Kweliii
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
Akae hapo hapo namba mbili
@habariyaostudiomedia8699 Жыл бұрын
Mimi Wacha niwambie ukweli wananchi kiujumla jana tulikuwa tunauwezo wakishinda ira jana wachezaji wetu walikuwa wanasita ira naimani mkibadilisha fomla yakuto kusita tutashinda..😊
@willymzazi41322 жыл бұрын
Raha sana
@mesekwerwa45922 жыл бұрын
Yanga nashukuru mkeka umetiki
@zulfikakalumba19772 жыл бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO WANANCHI
@anrelyltv37572 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@drvaxminja21332 жыл бұрын
Michezo ya nyumbani Yanga wachezee Kirumba Mwanza siyo kwa Mkapa, makolo wana roho za korosho kama Jemedari
@mustafaiddi70852 жыл бұрын
Ni sawa na kwenda msituni na kuokota dodo
@bensenlukumai46912 жыл бұрын
On 🔥
@happinessjohn75782 жыл бұрын
Hapana chezea mwananchi utaumia ww hii ndo yanga bhana aina mpinzani
@moonmoon97952 жыл бұрын
Jezi zimewaponza😂😂😂
@naomysalumu18589 ай бұрын
💚💛🔰🔥
@MbuyaJrAlvin2 жыл бұрын
Nilivyomuona tu mwamba kageuza jezi bac nikajua tu leo waarabu wataita maji mma mma…. na kwl waliita *mmaaa* 😂
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Fiston ame umia ame pigwa kichwa. Morrisson ana nini lakini! Hu muamuzi kama namjuwa ville😂
@mutulaclarence69702 жыл бұрын
Mmmmmmh🧐🧐🧐 weyeeeee unamjuwa wapii🙄🙄🙄🤔🤔🤔😏😏
@fremwamedia19762 жыл бұрын
Uchezaji wa YANGA waendelee hivyo hivyo watafika final,ila wakilewa sifa tutashka nafasi ya mwisho kweny group
@asyashariffu77172 жыл бұрын
Singida oyee
@labisonburegea1635 Жыл бұрын
Yanga vc kagera
@yangacongosupporter60512 жыл бұрын
Na mshukuru nabi kwa ki niskia na kwanzisha yanga bingwa ilé yanga ilio tshukua ubingwa Tanzania ilé yanga isio kuwa na aziz ki, twisila, na Morrison atakama ari anzishia na Morrison lakini na mshukuru kwa ilé na tuna ona kama coacha anasikia wa shabiki juu ilé yanga bingwa ya kwanza ilé ni yanga ya ngufu sana, mana abikweleweki ku baridisha ki ovio timu iri kuletea ubingwa, apa tuna mi omba nie ôte wa ongozaji wa timu yetu yanga mushimishé ku nunua wa cheza ju timu ibaki na stability moja juu kongeza wa chezaji iku na libu time mu ki ustability yao
@ngukumasheri52002 жыл бұрын
Simba wanalia😂😭😭😭😭 Simba walichezee na kombe la nyumbani 2 narudi na Moto uleule na nyumbani
@sylvestercameo62632 жыл бұрын
Umesema vizuri Sana, unajua vizuri mpira. Ni kweli timu uliyopendekeza ina wachezaji wenye bidii Sana na moyo wa kishujaa na ushindani. Nimependa Sana maoni yako. Asante Sana!
@hawaissa7498 Жыл бұрын
Tuko vinzuryanga
@feisalselevester14052 жыл бұрын
ukiwa yanga unalala bila kula
@wardaluambano21772 жыл бұрын
Walijuwa yanga kipanga nn
@fatmasuleiman38852 жыл бұрын
Asanteni sana viongozi wetu na benchi lote la yanga jana mmenikumbusha miaka ya 1974.....1975 yanga yamiaka ile ilikuwa haikubali mpaka firimbi ya mwisho hata uki tangulia atakufunga tu hakika nimerudi nyuma nikiwa shule naimenikumbusha marehemu bb.yangu mwenyezimungu Amihifadhi Amiin..yanga tushikamane naiyona yanga ile Daima mbele nyuma mwiko mwanachama yanga Damu.
@sylvestercameo62632 жыл бұрын
Nikukumbushe Yanga unayoisema 1971- 1975 Golikipa ELIAS Michael au Muhidun Fadhili, Beki wa kulia Athman Kilambo, Beki WA kushoto BOI Idd (wickens), Beki na 4 Hassan Gobos, Beki WA Kati OMARI Kapera, Kiungo na.6 Abdalahman Juma, winga kulia LEONARD Chitete, Na 8 SUNDAY Manara (computer), Na.9 KITWANA Manara, na 10 GIBSON Sembuli, 11 MAULID Dilunga (Mexico). Kikosi hiki kilimdunda Simba miaka 5 mfukukizo. Pia hawa wote walicheza Timu ya Taifa. Haijawahi kurokea kikosi cha dhahabu ambacho Yanga ilipata kuwa nacho zaidi ya hiki.
@isdorchuvu62802 жыл бұрын
Yan hao waarabu izo fujo ,wangempasua uyo Mayele kibichwa chake ili aache kimbele mbele siku nyingine.
@dicksonherman10562 жыл бұрын
Ao ndowala mihogo kazikazi mbele ndo mwendo nyuma mwiko