After 50 years of independence ndio imekuwa harmful
@kemboichesimet18106 ай бұрын
Ipepetwe pole kwa safari!!!!!whaaaaaat
@josephkimani20896 ай бұрын
Gavana hakufikiria alikurupuka na county yuadhani ni kwake
@winniesafi6 ай бұрын
Green gold ni bhangi pia Rapcha 🤣🤣🔥
@learnwithngangangaruiya86476 ай бұрын
Mboga imezidi unga.
@BryanK2546 ай бұрын
@gideonwanjau4286 ай бұрын
Miraa haiaffect ngono kwa kukulana but low libido
@Sharikshariksharik6 ай бұрын
Hii ni siasa hakuna kitu ya hii magnitude inaeza fanyika by chance.
@ianmusee6 ай бұрын
Mchele/ maini
@kipkoechkosgei1046 ай бұрын
i don't like mugukaa but Mombasa case is political. there are so many other drugs that are more harmful than mugukaa and no one is touching it. why only mugukaa and not miraa? why mugukaa and not alcohol and cigarettes?
@King_Dan16 ай бұрын
Gwethe tv live😂😂 first aluta station should be in this clip 😂
@bridge.f6 ай бұрын
😆
@bryanmigot89436 ай бұрын
Big fan but leo kidogo mko under informed.... The biggest issue in coast ni mogaka is cheap and accessible to kids. Finally the rehabs and mental institution in coast have 50% of patients being mogoka users.
@jaydenmaura4576 ай бұрын
But vile unaongea nikama muguka ni excuse ya ukabila
@josephkimani20896 ай бұрын
Watoto kula mogoka ni kusema wazazi wamezembea . Mtoto akinywa pombe na sigara tutaban pia hizo. Kisha nani yualaximishwa ale moguka. It's a person choice. Protect ya kids educate them and advice em not to chew khat. Kisha vijana wa coast wapewe kazi waache kuwa idle.
@triplebeans41596 ай бұрын
Serikali sio mzazi wa MTU let people be.I don't abuse any form of drugs but I don't want anyone controlling my life choices as an adult.
@kabuthakabutha94726 ай бұрын
I can't believe it, you guys are being insensitive on this crucial matter. Nyinyi hamuko Mombasa so you know nothing about its effects, the research+ statistics since 2019 behind the same. Sometimes fanyeni ka research kiasi before airing issues. But hey this is a comedy show and its your space. 😀"Wabara munajua zaidi kutuliko sisi watu wa Mombasa wenye hatujasoma" 😀😀😀 wacha tuendelee kukaa vibarazani and being lazy, but you still come for our money for the sale of that mboga ya sumu. 😀😀😀😀😀
@Play_Streams6 ай бұрын
Exactly, this ghetto mindset will ruin the country. People are easily addicted and leave their normal way of life, wanaharibu kazi na family.
@eugeneokoti28996 ай бұрын
Some of the hardest drugs have a big market in the coast, why are we not hearing of raids on heroin, cocain etc.....Miraa is actually a legal sabstance .....the others are straight up illegal ....Put your leadership to task on this ...ask yourself who benefits
@njo97456 ай бұрын
Kwani inakuliwa coast pekee, it's political
@dennismukoyatv6 ай бұрын
@@njo9745 Na mbona watu wa Embu na Meru hawana uraibu wa kutafuna matawi na majani hayo? Huu ni uchoyo na ulafi wa hali ya juu kutoka kwa wauzaji ikizingatiwa kwamba wapwani wenyewe wanalalamikia vijana wao kuacha shule, uhalifu, shida za kiafya (meno na ndimi) na isitoshe kulazimika kulipia Rehab kwa watoto wao. Ndio twaweza fanya mzaha juu ya watu kutengeneza donge nono kutokana na muguka lakini pia tukumbuke kwamba Pablo Escobar pia alikuwa kwenye Forbes list ya watu tajiri zaidi ulimwenguni wakati biashara yake ya uuzaji wa Cocaine ilikuwa imenoga ulimwenguni kote. Je, unafikiria Cocaine au Heroin ni kitu cha manufaa jamii, sababu ya pekee ikiwa kinamletea muuzaji faida?
@kipkoechkosgei1046 ай бұрын
this thing is purely political bro. so you mean mugukaa imeharibu watu wa coast but miraa iko sawa? you mean miraa is more harmful than alcohol and cigarettes? nionyeshe one person in rehabilitation because of mugukaa,.