Dakika 10 za maangamizi - Medani the One

  Рет қаралды 205,033

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер
@EastAfricaRadio
@EastAfricaRadio 2 ай бұрын
Kama unaitazama hii 2024 gonga like hapa
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 2 жыл бұрын
Toka ianze kumi za maangamizi. Huyu mwamba ni shida. Kathibitisha Uandishi, styles na flow. Anajua.
@samwelichalyeta8031
@samwelichalyeta8031 3 жыл бұрын
Huyo mtu ndo msanii yan huyo hatar ebu jaman mumuangalie sana huyo mtyuuuu,,,,sna cha kusema zaid ila mungu akupe baraka zako hongera sana
@eliamsopokingkola890
@eliamsopokingkola890 3 жыл бұрын
Sina shaka na MBEYA #kinasawazi #Medani Oiiiii
@OwenHabel
@OwenHabel 3 жыл бұрын
Kali sana. Nidondosheeni hizo likes basi.
@tumbually3293
@tumbually3293 3 жыл бұрын
Kwan ww ndiye uliyekua unachana mpk upewe like 🤪🤪🤪🤪
@begaca
@begaca 3 жыл бұрын
Hahaha hii Bhannaaaa....
@JamalOthuman-ko5nl
@JamalOthuman-ko5nl 4 ай бұрын
Jamaaa anajuaa sana
@OwenHabel
@OwenHabel 4 ай бұрын
@@tumbually3293 🤣🤣🤣 kudadeki
@motivationalimpactstories8102
@motivationalimpactstories8102 3 жыл бұрын
noma sanaaaa hahaha bars after bars -- ukiamshwa na konda ujue ushapitishwa kituo kali sanaaaa
@ramcymosungu4700
@ramcymosungu4700 3 жыл бұрын
Oyaaaa kama mbeya boy chumaaaa alivyoanza agaaa we lala,, watot wa kitanga wapi wapi hah hah hah huyuu born with it...daaaah
@gwakisaanthony8033
@gwakisaanthony8033 3 жыл бұрын
Daaaah since day one classmate umekua kinara . From class of talent 2013-2012 God awe nawe malengo yatimie.
@mzurumzuru6122
@mzurumzuru6122 3 жыл бұрын
Kitampooooo
@lenjimachristopher8600
@lenjimachristopher8600 2 жыл бұрын
Mwamba TALENTED REAL Akina Ngwear yani fundi tu automatically.....mpe Hi mwana namkubali sana nairudia hii Session yalikuwa maangamizi halisi
@mussamadulu760
@mussamadulu760 2 жыл бұрын
Bk sande
@mussamadulu760
@mussamadulu760 2 жыл бұрын
Pol
@mussamadulu760
@mussamadulu760 2 жыл бұрын
@@lenjimachristopher8600 Stamina
@paccopreto3604
@paccopreto3604 2 жыл бұрын
Humble man ....narespect na lots of love from Kenya
@simonsweka7305
@simonsweka7305 3 жыл бұрын
Nakumbuka sku moja tulivolewa pale mbeya pale night na broo big up xanaa mxalimie shemjiii........ukadata unahitaji maiki uonyeshe uwezoo noma san born bush boy mpangwa ngoxhaa Mie zangu mwanza now mzeee....
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Oyaaaa Medani Ndo Ulimchora Magu kwenye Necta🤣🤣, Tulikuwa tunakutafta Sana😎
@mzurukilaka876
@mzurukilaka876 2 жыл бұрын
Tumempataaa
@nickminja704
@nickminja704 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jblackqbbb
@jblackqbbb 3 жыл бұрын
Oyaaaa motooo sana Mwamba Anaundugu na Tungo Tata 💪💥Salute Kwake
@iddmlenga1034
@iddmlenga1034 3 жыл бұрын
Oyaaa medan sana mwanang mwenyew nakubali bado harakat zinaendelea ...Nzii Msafi apa ..iringa town
@Davidsylivester
@Davidsylivester 3 жыл бұрын
Nasikia mnakula ujana..kuna sehemu ziko wazi msisahau kubana..bars heavy sana🤚
@satoshi_mkenya
@satoshi_mkenya Жыл бұрын
Traveling long journey for the love of hiphop mad respect from KENYA🇰🇪
@JamalOthuman-ko5nl
@JamalOthuman-ko5nl 4 ай бұрын
Leo muokota makopo nimeokota ujumbe kwa huyu jamaa🔥🔥🔥jamaa anajuaaa🔥🔥
@hamicthabiit7661
@hamicthabiit7661 3 жыл бұрын
We ni mkali since day one Shout out to mwanangu medan
@emmanueldrawerhq7526
@emmanueldrawerhq7526 3 жыл бұрын
Namuona Dizasta Vina ndani yake huyu mwamba
@raphaelrajugita6696
@raphaelrajugita6696 3 жыл бұрын
Jamaa anajuabmpaka anajua tenaaaa big up,hip hop for life
@mohamedrajabu2923
@mohamedrajabu2923 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni levo ya one incredible
@davidcholo2321
@davidcholo2321 3 жыл бұрын
Aliposema katokea Mbeya nikajua tu ni mkali. Mbeya rappers are talented sana
@januarymtega6092
@januarymtega6092 3 жыл бұрын
Mtu wa iringa uyu
@sinaivaladega8291
@sinaivaladega8291 3 жыл бұрын
Hkn msanii wa mbeya amewah alibu
@boyjopar8717
@boyjopar8717 3 жыл бұрын
Moyo wangu unavuja damu! Kwa nn watu km hawa hawatoboi? Maujinga ujinga ndo yana pata nafas! Mara kudambua dah😩😩😩😩
@JagaSon5302
@JagaSon5302 3 жыл бұрын
😀brother
@msakagroup1695
@msakagroup1695 3 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@seleiputa9450
@seleiputa9450 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ErickRichard-kh7tj
@ErickRichard-kh7tj 7 ай бұрын
2024
@abbymasto2309
@abbymasto2309 3 жыл бұрын
Flow hizi za kuimbia kwenye koo na kwenye tumbo, hazijawahi kuboa. #midevu kama zavala saluuti sana mjuba
@bottudida9561
@bottudida9561 3 жыл бұрын
Medani the one 👏🏾👏🏾 unahatar sana mwanangu....Born bush boi
@furahamwakilami4939
@furahamwakilami4939 3 жыл бұрын
Dah mwana anawezaaa salute sanaaa
@officialsamsilver
@officialsamsilver 3 жыл бұрын
Nomaaaa sana mwamba kama mwana mwakavuta mojaaa
@josenaphmwara9739
@josenaphmwara9739 3 жыл бұрын
Oyaaaaaaa........hilo jina umetunukiwa kabisa jamaa....unajua hadi unakeraaaaaaaa...........sasa wengine waflow kipi....oyaaaaaaa We lala tu.....kabebeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josenaphmwara9739
@josenaphmwara9739 3 жыл бұрын
Mwanamke anamuogopa mbwa ila anapenda style zake siooooooo.......oyaaaaaaaa unajua unajua unajua
@samwelichalyeta8031
@samwelichalyeta8031 3 жыл бұрын
Hahahahahahaha nakubal
@hassanidrisankingilea8827
@hassanidrisankingilea8827 3 жыл бұрын
Power by himself,..... @medani_the_one umetisha sana
@hansissa3677
@hansissa3677 2 жыл бұрын
Punch.... Lines...uko...Vizuri...m2...wangu...✌️#frm... Capetown...!
@sagothebest
@sagothebest 3 жыл бұрын
Mbuzi akigoma kwenda Mimi namtoka kafaraaaaaa huyo ndio born bush boy wasio mjua wengi Ila Ana maflow laaanaaa na mipanchi ya kwendraaaa
@harunahozzah5847
@harunahozzah5847 3 жыл бұрын
Jamaa anajuaa sana sema presenters mmepooza sana cyo fresh
@daniikirunda7113
@daniikirunda7113 3 жыл бұрын
Daaah kabisa...JR aLikuwa anaamsha sana
@ignasmuyaya7027
@ignasmuyaya7027 3 жыл бұрын
Kwl man
@frankmsigwa6674
@frankmsigwa6674 3 жыл бұрын
Big up sana mkuu wa mtaani kwetu
@officialdeosoultz9361
@officialdeosoultz9361 3 жыл бұрын
Nawapenda watoto washule ila nangoja mkuwe 🔥🔥🔥
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 3 жыл бұрын
Medan then one. Microphone killa. Kinasa wazi mbeya on fire
@edwinlawi1103
@edwinlawi1103 3 жыл бұрын
Noma Sana mwamßa unajua Sana 🔥🔥🔥
@salumchuku180
@salumchuku180 3 жыл бұрын
Uko vzur sana mwanangu,flo yenye ladha na maandishi mazur
@evancemwasifiga7811
@evancemwasifiga7811 3 жыл бұрын
Jamaa katisha saizi ya mwaisa home boi bravo
@mickeytv3691
@mickeytv3691 3 жыл бұрын
AISEEEEEEE MBEYA CITY BOYS N HATAR KWA MICHANO AKIII
@charleschanjarika9309
@charleschanjarika9309 3 жыл бұрын
Jamaa mkali sana... na kuamini wanasiasa nakuamua kujichosha
@aminakangwile1020
@aminakangwile1020 3 жыл бұрын
Medani the one ndo mkali wa hizi vtu safi Sana mwamba
@hussein0757
@hussein0757 3 жыл бұрын
Nmesema ngoja niangalie dk2 tu Lakn nmejikuta namaliza clip yote Mwamba noma huyu
@asherymwande5644
@asherymwande5644 3 жыл бұрын
Hta mm jamaa
@emmanuelntemi2752
@emmanuelntemi2752 3 жыл бұрын
daaah moto sana mwambie kumekucha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@camillomakongwa8308
@camillomakongwa8308 3 жыл бұрын
Qmamake medani ni fundiiiiiiiiiiiiiii barz🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@allyhussein6363
@allyhussein6363 3 жыл бұрын
Daaah we kiumbe ni hatar xnaaaa
@salumhafidhi3323
@salumhafidhi3323 3 жыл бұрын
Huyu jamaa. Ni Next level
@yattatuneproductions14
@yattatuneproductions14 3 жыл бұрын
'Salute!! Salute! £aalute!! #Maangamizi halisi Yani. Big Up mchizi @Medani_The_one #Medani_The_One #EastAfricaRadio #DreamsAlive254 #YattatuneProductions'
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 3 жыл бұрын
Awooooteeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kutokea tanga dondosha comment apa
@victorclement3463
@victorclement3463 3 жыл бұрын
Noma Sana hii dk 10 za maangamiz
@sallyzanzibar2817
@sallyzanzibar2817 3 жыл бұрын
Nakukubali sana bro🔥💪🏾🇹🇿
@mnyalu.workspaces1251
@mnyalu.workspaces1251 3 жыл бұрын
Medan the one,, it's a marvelous rap.. mzee anajua no one like you,, hatariii
@johnizoboy
@johnizoboy 3 жыл бұрын
Ukimtoa Mbeya Boy Chuma huyu jamaa wa pili kwa ukali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@regankisoma8685
@regankisoma8685 3 жыл бұрын
Uyu jamaa nimesoma nae chuo namjua ni zaidi ya huyo chuma
@goodlucknziku6309
@goodlucknziku6309 3 жыл бұрын
Kamsililize toxic fuvu..☺
@regankisoma8685
@regankisoma8685 3 жыл бұрын
Boy huyo jamaa ana mistari hatari halafu anajua ku switch mashindano yote ya voda huwa anashinda yeye na pia ni super nyota
@nadula7390
@nadula7390 3 жыл бұрын
Muangalie mtu mmoja anaitwa Yededee
@bensonsanga3471
@bensonsanga3471 2 жыл бұрын
Yupo Nyenza the mc
@wachugypsumtz5089
@wachugypsumtz5089 3 жыл бұрын
Mnyama sanaaa huyu jamaa..Muda utaongea
@kwoma_tz3334
@kwoma_tz3334 3 жыл бұрын
Hii ndio tafsiri ya 10 za maangamizi
@tejawamuziki8560
@tejawamuziki8560 3 жыл бұрын
Dah Huyu jamaa ni HATARI BANA AISEE 🙏🏻 🙏🏻
@dedsecmalis2005
@dedsecmalis2005 3 жыл бұрын
Upo kwenye daladala usilale muda huo, Maana ukiamshwa na konda ujue umepitilizwa kituo, 🔥🔥🔥
@RapNzolo
@RapNzolo 3 жыл бұрын
Imekubalika humu kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@husseindatto8359
@husseindatto8359 3 жыл бұрын
Hawaja wah kukosea yaan tangu mbeya boy Chuma wote balaaaaaaa
@sagothebest
@sagothebest 3 жыл бұрын
Wanangu wa chuoooo medani kawapa ujumbe konkiiiiiii Sana imeisha hyo
@djsulumusicanalyst
@djsulumusicanalyst 3 жыл бұрын
Bro DJ Sulu from Kenya namukubali sanaaaa hatari we lala
@bonnysure8706
@bonnysure8706 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kaua kinohma yani Bongo tupo wenye vipaji dah #Ngera sana king
@dicksonmusango8078
@dicksonmusango8078 3 жыл бұрын
Kijana hatari huyu.....🔥🔥🔥🔥kutoka kenya
@kaimuMtutuma-pu2uv
@kaimuMtutuma-pu2uv Жыл бұрын
Oyaaaa nimeludia zaid ya mala 10 salute mzeeeee
@msemakweli371
@msemakweli371 3 жыл бұрын
Mkali sana hiki Kichwa. Next level kaka
@obedigeorge7986
@obedigeorge7986 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa born bush boy ni motoooo
@lenjimachristopher8600
@lenjimachristopher8600 2 жыл бұрын
Huyu mwamba anajua EARadio mlimuachaje arudi mbeya...........
@dimajura4492
@dimajura4492 3 жыл бұрын
Kaliiiiiii sana hebu like kama wew ni was kutoka mbeya
@meshackkyungu4338
@meshackkyungu4338 3 жыл бұрын
Broo toka school unajua sana nakubal sana #mwax
@yusufusule1856
@yusufusule1856 3 жыл бұрын
Mzeee nomaaaa zaidi ya nomaaaaa 👊👊👊
@stewartnairo4897
@stewartnairo4897 2 жыл бұрын
Born bush boy ni wamoto🔥🔥🔥🔥
@nabilwazir3360
@nabilwazir3360 2 жыл бұрын
Oyaa huyu fund wangu💯💯💥💥💥
@nadula7390
@nadula7390 3 жыл бұрын
Big energy Big brain Big tune💥💥
@festontandu3596
@festontandu3596 3 жыл бұрын
Moto wa kuote mbali 🔥🔥🔥🔥
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 3 жыл бұрын
Hawa jamaa sijui wanajifichaga wapi
@futurecannabino513
@futurecannabino513 2 жыл бұрын
Unajua mwanangu 🔥🔥🔥
@BrantonixAfrica
@BrantonixAfrica 3 жыл бұрын
#medani the one kweli Kali Sanaa mistari zilizoenda shule🔥🔥🔥 nipeeni likes🙏🙏
@AhmedShukri-b3c
@AhmedShukri-b3c Жыл бұрын
Mtaa unataka maninja sio madegree holders ❤❤❤🎉
@jollityjorgan5920
@jollityjorgan5920 3 жыл бұрын
Mi nalala kanisani naamshwa na sala na mapambio 🙏🙏🙏💙🖤🖤
@morgandonee5412
@morgandonee5412 3 жыл бұрын
asee nomaa sanaaa real kabisaaaa
@kingrasdee445
@kingrasdee445 3 жыл бұрын
Nomaaa sanaaa jamaaa anawezaaa!
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
Jamaa alichana sana but nashangaa studio walilala saaana! Sijui walikuwa wamekunywa nini!
@josephchaula8884
@josephchaula8884 3 жыл бұрын
Nakubal born bush boy from njombe. God have somethng with you this year be read bro
@josiahmwarori01
@josiahmwarori01 3 жыл бұрын
Daah... Sawa mwana. Kazi yakubalika hii.. 🔥🔥🔥🔥🔥
@geraldmushi4445
@geraldmushi4445 3 жыл бұрын
mwamba katsha sanaa..💥
@rajabuomy487
@rajabuomy487 3 жыл бұрын
Ameanza,powaaa,saaana. Ngona tuendeleee
@adambboybagooo8238
@adambboybagooo8238 Жыл бұрын
Nakubali broo ww ni shidaaah. Tisha sana
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
mwana mkali sana kama vipi dula mlete tena yaani katulia sana
@mzurumzuru6122
@mzurumzuru6122 3 жыл бұрын
Show show hatuna bayaaa we ni mkalii San tena sanaa
@richardmweri7918
@richardmweri7918 3 жыл бұрын
Uko vizur sana mzee
@eliamsopokingkola890
@eliamsopokingkola890 3 жыл бұрын
Oiiiii Sana mwanangu Umeuumiza
@Goka-Dizzy
@Goka-Dizzy 3 жыл бұрын
Humu Namskia Kadgo, Pia Namskia Disaster Vina Pia Namsikia Born Bush Boy...Ni Kwere! Keep Up The Good Work Bro...!
@mdentertainmenttz124
@mdentertainmenttz124 3 жыл бұрын
Really but disaster kasikika Sana humo amejitahid
@charlesndauka335
@charlesndauka335 4 ай бұрын
Umetisha sana medani 💥💥💥💥🙌🙌🙌
@antonygregory997
@antonygregory997 3 жыл бұрын
Noma sana nakubali mkali
@Msuyafinest
@Msuyafinest 3 жыл бұрын
We lala tuuuuu😂😃😃 anajua sanaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 23 күн бұрын
"Nikiwa Jamdown, Caribbean na amshwa na ngwai."🔥
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Jamaa kaua sana like kwake iringa ,njombe moja hiyopo
@jamesmhema8077
@jamesmhema8077 3 жыл бұрын
Wakunyumba kabisa huyu...bigup sana cc huku tunaamshwa na kuku cio redio🥳
@aidaniluoga3922
@aidaniluoga3922 2 жыл бұрын
Amini wakunyumba uyu yaani kila kisiku lazma nimchek nafrah sana na flow zake mungu azidi mpa afya telee💥💥💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥
@Kivumbisports
@Kivumbisports 3 жыл бұрын
Anajua huyu mwamba 🔥🔥🔥🔥🔥
@wachafyasteve9183
@wachafyasteve9183 3 жыл бұрын
Sana sana bon bush boy
@ubaldjoseph7783
@ubaldjoseph7783 3 жыл бұрын
Kinyamaa sana ankolii
@BBMBonnie
@BBMBonnie Жыл бұрын
Mungu amlinde, wazidi kunipa sababu ya kumwimbia 🙏🙏🙏🎺
Dakika 10 za Maangamizi na Dee Oneten Vs Poison
14:37
EastAfricaRadio
Рет қаралды 61 М.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 761 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Nikki Mbishi X Wakazi - PRICELESS Official Video
6:04
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 292 М.
PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA YOUNG KILLER
9:54
WAZO TV
Рет қаралды 427 М.
Shaulin Seneta Dakika 10 za maangamizi
10:18
Shaulin Seneta Mwanazuoni
Рет қаралды 2,5 М.
Dakika 10 za Maangamizi : Duga Mawe
11:30
EastAfricaRadio
Рет қаралды 220 М.
Dakika 10 za Maangamizi - Nyenza | Planet Bongo
12:29
EastAfricaRadio
Рет қаралды 190 М.
Medani_Freestyle (official video)
2:15
medani_bbb
Рет қаралды 125 М.
roho saba - nakupenda hiphop.flv
4:48
kaloka64
Рет қаралды 345 М.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - UNTOUCHABLE
11:11
EastAfricaRadio
Рет қаралды 154 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН