Dakika 10 za Zitto Kabwe bungeni wiki hii

  Рет қаралды 256,962

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Wabunge wameendelea kuchangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017 uliowasilishwa na Waziri Philip Mpango na hapa nakukutanisha na mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye kwa upande wake alikuwa na haya

Пікірлер: 111
@kabisadu8541
@kabisadu8541 6 жыл бұрын
Mkuu Zitto anaekupinga hana elimu na hana nia nzuri na taifa letu ww ni mzalendo wa nguvu Allah maa barik fii.
@ramadhanihassani707
@ramadhanihassani707 7 жыл бұрын
Hongera sana zitto kabwe mungu akupe maisha marefu
@juliussimon1515
@juliussimon1515 6 жыл бұрын
bado cjaona mp mwenye mchango mkubwa kama ya zitto mungu akulinde zaidi sana nakuombea tena kura kwa wanakigoma
@awardkilave178
@awardkilave178 6 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa wabunge wengine igeni mfano wake hasa katika kutuza takwimu ili mwe mnazungumza vitu sahihi kama Zitto
@missagatha1756
@missagatha1756 6 жыл бұрын
Zitto ww ni kiongozi bora Mungu akupe maisha marefuu
@mgenisana7610
@mgenisana7610 7 жыл бұрын
Africa fani yetu uchawi sio maendeleo aminini hayo ninayosema
@chachanixon702
@chachanixon702 7 жыл бұрын
ZITO YOU'VE ALWAYS BEEN MY HERO.
@dkchannel4697
@dkchannel4697 7 жыл бұрын
Hiyo ndo kaz ya waha, safisana kijna
@shunasajjid2277
@shunasajjid2277 7 жыл бұрын
zitto mungu akulinde maisha yote
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 7 жыл бұрын
Nimekuelewa mh zitto your the best.
@qassim1465
@qassim1465 7 жыл бұрын
sikua nafatilia sana vipindi vya bunge lakini mh.zito umenifanya niwe mtata kama wewe...Asante kwa kutufungua macho watanzaniaaa...fanya mpango wa kugombea urais baadae
@gallerachel9322
@gallerachel9322 5 жыл бұрын
The great thinker. Gifted one. Live long broo. Nimependa sana hoja zako ila pia umemaliza vzur sana 👏👏👏👏👏👏
@kashindisadiki1028
@kashindisadiki1028 6 жыл бұрын
nakukubali sana zito, nawasihi wananchi wa kigoma msiache kumchagua zito kamwe hayu ni tunu kwa taifa letu, mungu akupe maisha marefu braza
@oscarkomu1684
@oscarkomu1684 6 жыл бұрын
Daaah blaza umeongea point sana hongera
@emmanuelessau8128
@emmanuelessau8128 6 жыл бұрын
Mheshimiewa Zitto u have bright mind an you have a lot of detail ......your fellow MPs don't understand .... Big up great Hero
@mnada_56
@mnada_56 7 жыл бұрын
Zitto kabwe👏🏻👏🏻👏🏻
@mashakambugi6730
@mashakambugi6730 6 жыл бұрын
Hongera sana mh. Zitto kwa mchango mzuri
@salum-mkumbila2016
@salum-mkumbila2016 7 жыл бұрын
Hakika ww ni kiongoz bor na sio bora kiongoz
@mosestendwamjingo7376
@mosestendwamjingo7376 7 жыл бұрын
Mh Zitto, nenda BOT angalia wages and sallaries za Desemba, 2015.
@cleomachota351
@cleomachota351 6 жыл бұрын
Nakukubali xana rais wa kigoma
@tatianuspaulin2714
@tatianuspaulin2714 6 жыл бұрын
Naomba siku moja awe Rais japo kwa mwezi 1 bas km hamtaki
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 6 жыл бұрын
upo vizuri xana mkuu mungu nawe xana
@sylvanosilver3898
@sylvanosilver3898 6 жыл бұрын
Mungu akubarikiii mbunge wangu toka Kigoma nyumbanii
@lusingujuma9113
@lusingujuma9113 7 жыл бұрын
dah!!!i like this!as educator you have to think critical
@jumaedward7110
@jumaedward7110 6 жыл бұрын
lusingu you have broken English! just refer
@fatmamsindi1529
@fatmamsindi1529 6 жыл бұрын
Zito my hero, you are excellent
@cleomachota351
@cleomachota351 6 жыл бұрын
Cl kweli uko vizuri
@bxlrona5533
@bxlrona5533 7 жыл бұрын
big up zitto hoja ya msingi
@raphaelmshani3725
@raphaelmshani3725 6 жыл бұрын
nakubari sanakaka tupo pamoja raphael wape ukweri wao
@josephaty9010
@josephaty9010 7 жыл бұрын
dah! hawa ndo wanasiasa walozaliwa cio wa kutengenezwa of coz kila mbunge angekuwa na hoja kama za huyu jamaa ingekuwa raha sana
@ellinokallajhe4192
@ellinokallajhe4192 7 жыл бұрын
maestro kabwe
@hassanallyally3592
@hassanallyally3592 6 жыл бұрын
Sijui kwann hawamteuwi huyuu jmaa serikalini acheni ubinafsi huyoo jmaa kichwaa sanaa
@bosskibiki3741
@bosskibiki3741 7 жыл бұрын
wapake dawa hao hawajielewi. zitto taifa linakukubar sanaaa
@mussaruhamba9225
@mussaruhamba9225 7 жыл бұрын
Together we can act wazalendo
@omarychillo5732
@omarychillo5732 7 жыл бұрын
kweli zitto umeongea point uwez kuwa masomo ya biashara uliona wap dunia nchi inabize kwny sayansi tu je tunaenda wap eee
@thobiasromady5426
@thobiasromady5426 5 жыл бұрын
my brother kuwa makin Yan yote pwent kigoma one
@akidasalim9798
@akidasalim9798 6 жыл бұрын
Hongera Zito
@daybrelimite6666
@daybrelimite6666 7 жыл бұрын
kaka waambie hao wabinafsi
@franaelmbise6594
@franaelmbise6594 6 жыл бұрын
Duuuh mie na zitto miamia forever keep up broo.
@imeliciousnjau694
@imeliciousnjau694 6 жыл бұрын
Saf xana jembe letu .
@revocatusanthony378
@revocatusanthony378 3 жыл бұрын
your my hero
@sauidrashid3304
@sauidrashid3304 6 жыл бұрын
Zitto Zuberi Kabwe safi sana
@samwelndabila6630
@samwelndabila6630 7 жыл бұрын
Namkubal sn Ztto
@makorisasi9050
@makorisasi9050 6 жыл бұрын
mungu wape guvu
@godblesskyangala3785
@godblesskyangala3785 6 жыл бұрын
Great thinker of the year
@vailethyasint4612
@vailethyasint4612 6 жыл бұрын
ukosahihi sana bb
@sammswita716
@sammswita716 7 жыл бұрын
nimemuelewa sana zitto sema nn tz mipango mingi utekelezaji mdogo
@onesmomwacha1592
@onesmomwacha1592 7 жыл бұрын
Sana mh zito
@onesmomwacha1592
@onesmomwacha1592 7 жыл бұрын
Sana mh zito
@emanueljtluway1265
@emanueljtluway1265 6 жыл бұрын
sam mswita zito anauwezo
@mgenisana7610
@mgenisana7610 7 жыл бұрын
kwasababu hatutaki kushaurika
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 6 жыл бұрын
Jamaa akiongea ubongo wangu huwa unakuwa wazi
@yonamwaweya8517
@yonamwaweya8517 6 жыл бұрын
daaah, kataa usikatae upinzan ndio chanzo kikubwa cha maendeleo ktk nchi kwa kutoa ushauri.
@yonamwaweya8517
@yonamwaweya8517 6 жыл бұрын
ccm yenyewe inamkubali Huyu jamaa!
@mtosimbakwetu130
@mtosimbakwetu130 5 жыл бұрын
Big up broo
@bazirlukowo418
@bazirlukowo418 6 жыл бұрын
Msukuma bigup
@Bbwaoy
@Bbwaoy 7 жыл бұрын
Na ndio mbunge pekee ambae huwa akiongea watu wanakua makini kumsikiliza coz jamaa ana dig deep into details... binafsi namkubali sana jamaa.
@landoinvestment6062
@landoinvestment6062 7 жыл бұрын
Si wanasema ni msaliti!
@geofreyjohn1039
@geofreyjohn1039 6 жыл бұрын
uyo ni Mbunge wa dunia popote akigombea lazma atoboe
@martinekallimbu661
@martinekallimbu661 6 жыл бұрын
Chrispine Charles acha kusema pekee kwasababu anayoongea Tundu ni makubwa kuliko akili za wengi kuelewa na wewe ni mmoja wao
@emanuelgoliama71
@emanuelgoliama71 6 жыл бұрын
Martine Kallimbu
@athumanchipapula5473
@athumanchipapula5473 6 жыл бұрын
Chrispine Charles zito kichwa
@gabrielluambano7067
@gabrielluambano7067 7 жыл бұрын
Critical thinking
@gwassaelisha791
@gwassaelisha791 6 жыл бұрын
Ukisema ukweli unaitwa mchochezi, ongea kaka zitto tujue ukweli mana kila siku zinatangazwa ajira hewaaaa.
@amedeusfrancis6645
@amedeusfrancis6645 6 жыл бұрын
mweshimiwa ukovizuri.
@michaelvenance6665
@michaelvenance6665 6 жыл бұрын
Kigoma kweli wanajua sana
@jacksonzabron6057
@jacksonzabron6057 6 жыл бұрын
Mbunge mwenye akili was kigomaaaa
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 6 жыл бұрын
upo xawa mkuu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 7 жыл бұрын
huyu ni miongoni mwa wabunge makini sana....
@yafumbikedugueldadi3223
@yafumbikedugueldadi3223 6 жыл бұрын
zitto the staring of the Parliament of Tanzania
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
zitto wewe ni mkweli na kila unachosema ni point tupu sijawahi kusikia uliposema pumba kamaTundu lissu. nakushauri uachane n.a. siasa. bora uwe mchungaji utapata waumini wengi namie nitakuwa kondoo wako. unatoa hotuba.hoja hadi inaingia kwenye mifupa.waache n.a. dhambi zao wanaojiita chama tawala. ni vigumu kuwashinda wengi itakupotezea muda wako. fungua kanisa achana siasa.
@michaelsannah4349
@michaelsannah4349 7 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe
@charlesmichael3775
@charlesmichael3775 6 жыл бұрын
hujielewi
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 6 жыл бұрын
Hapo sawa
@joselendena2448
@joselendena2448 6 жыл бұрын
wewe...yani, binadam....ambaye _haujawahi. kuongeaga' pumba pumbah ***** saloot sana ,minajua kuwa umebalikiwa_cyo wewe_icho kipaji_mungu anahuka sanaaaa. kila siku yabunge..natamani uwe una ongea ....na napenda sana kuku, angaliaga sanaaa you tubur sijaona ..meme mbunge kama wewe
@shunasajjid2277
@shunasajjid2277 7 жыл бұрын
ongela san m
@eliasmchomvu9731
@eliasmchomvu9731 7 жыл бұрын
zitto at his best!!
@charlesmelkiory910
@charlesmelkiory910 7 жыл бұрын
ayo umezngua saut zinaingiliana
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 6 жыл бұрын
strong mind
@yonamwaweya8517
@yonamwaweya8517 6 жыл бұрын
safi
@nuhubalandya9164
@nuhubalandya9164 6 жыл бұрын
mh unaakili sana( constructive views / ideas)
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 6 жыл бұрын
ukifikiria kdg tu utajua izo pesa za mishahara hua zinaenda wap....
@dadiibrahim9828
@dadiibrahim9828 6 жыл бұрын
zitto nakukubali
@adamkenedy1444
@adamkenedy1444 7 жыл бұрын
siku zote tunajua kuwa "mpango si matumizi" ila "matumizi ndio mpango"ss bac serkal kli bunge mnapanga ila n yalyale kwnn ?
@mukamamuyengi5757
@mukamamuyengi5757 7 жыл бұрын
Adam Kenedy
@jafariakili2360
@jafariakili2360 4 жыл бұрын
Zitto hakuna kama huyu
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 жыл бұрын
Sinema zimezidi tz , nawasema kweli ndio wanaochukiwa ZITTO SEMA UKWELI NDIO UHURU WAKO zitto definition of a leader unaongea points alafu kwa steps na vitu vinaeleweka
@jumakisuda4158
@jumakisuda4158 6 жыл бұрын
Heri kufa na kuacha kumbukumbu kuliko kuacha historia.
@michaelhenjewele6687
@michaelhenjewele6687 6 жыл бұрын
Juma Kisuda haaa\à
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 7 жыл бұрын
hayo ndo madudu ya sisuemu shika hatamu
@nkotankota1841
@nkotankota1841 6 жыл бұрын
Live
@dkchannel4697
@dkchannel4697 7 жыл бұрын
Du, hakika zitto unajua mkopo Ni nn
@geofreybernard7313
@geofreybernard7313 7 жыл бұрын
shikamoo zitto
@eliyanyongajanikila4120
@eliyanyongajanikila4120 7 жыл бұрын
Zitto mi nakuelewa kinomaaaa yan.
@jameswankuru7657
@jameswankuru7657 6 жыл бұрын
perfect zitto
@noiseman5300
@noiseman5300 6 жыл бұрын
ongea mtuwawatu
@ibrahimmeshack1055
@ibrahimmeshack1055 6 жыл бұрын
kweli kaka nakuelewa sana duuh!
@yonamwaweya8517
@yonamwaweya8517 6 жыл бұрын
jamaa anaongea ukwel mtupu. baadae ataitwa mchochez
@kidibuledickson2059
@kidibuledickson2059 6 жыл бұрын
no one like zitto
@dulaisalim617
@dulaisalim617 7 жыл бұрын
zito tumekufaham wewe unachuki tu
@meddyyassin7272
@meddyyassin7272 6 жыл бұрын
Dulai Salim Jitathimin br
@seifmkumba8668
@seifmkumba8668 6 жыл бұрын
dulai.huoni aibu?
@shunasajjid2277
@shunasajjid2277 7 жыл бұрын
zitto mungu akulinde maisha yote
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 6 жыл бұрын
upo xawa mkuu
@jameswankuru7657
@jameswankuru7657 6 жыл бұрын
perfect zitto
@jameswankuru7657
@jameswankuru7657 6 жыл бұрын
perfect zitto
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 28 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,1 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 791 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 320 М.
Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji
10:57
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
Tundu Lissu Kaliwasha Tena Bungeni
7:46
Global TV Online
Рет қаралды 96 М.
Sikiliza Hekima na Busara za Riziki Shahari na Zitto Kabwe Bungeni
15:31
Global TV Online
Рет қаралды 359 М.
Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'
5:47
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН