Hongera dady hawakupendi maana unasema ukweli wa mungu mungu akuinue tena Mr.N
@mashakambugi67306 жыл бұрын
Wambunge waliochaguliwa kwa sifa na uwezo was akili zao utawaona tu hongera sana
@barakaathanas40306 жыл бұрын
Uko smart kuanzia ulivyovaa na Kichwani uko Smart I appreciate Mwijage anawaza Viwonders na sio viwanda
@queenkhalimaqueenkhalima31746 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏nasalii watapata tabu sana
@benimagaya79666 жыл бұрын
Hongera Mbunge Wetu Kwa Kutetea Wananchi
@simoninzumi28886 жыл бұрын
Duh! Hatari! Watapata tabu sana!
@kevinthadeus25256 жыл бұрын
✌kipigo cha mmbwa koko✌👏👏👏
@dr.rimack84846 жыл бұрын
Safi Sana,
@rosesalukan42076 жыл бұрын
Mwizi ni mwizi tu nassar achana nao
@ggjghh62456 жыл бұрын
Wabunge wa mwendo kasi hao watapata tabu sana yani wabunge wanajitahidi kuikumbisha selkali lakini mm nashangaa selkali hii mbona inazharau sana wananchi na ndio tulio wachagua hali ngumu.kila kukicha yani shida tupu
@cuteaysha12424 жыл бұрын
Kweli
@NeroForte_2 жыл бұрын
tukiacha uvyama taifa litasonga sana. points zote za maana zikazingatiwe. regardless imetoka wapi
@dodoshavu4886 жыл бұрын
nakupenda nasar
@nestorymsacky68386 жыл бұрын
Nasari n balaaa
@officialchox35806 жыл бұрын
Akili kubwa sana
@rajunatikaaya56494 жыл бұрын
Mimi bana uyu jamaa namkubali sana mpaka siku anaenda kaburini atabaki kua mbunge wangu tu mtu akiongea ukweli shida ila kuna siku hii serikali itawatafuta watu Kama hawa awatowapata
@rehemaradhid57165 жыл бұрын
Weacha tuu semaukweli unauma
@israelmhada9234 жыл бұрын
Hongera sana
@jumajasjas29256 жыл бұрын
hii dharau n kubwa mno... yan walichoshindwa kufanya n kuchukua tu bila kuleta sheria maana wamejishtukia kua itawapa sifa mbaya zaid... lkn sheria aifany kaz retrospective ..kwanza wapeleke pesa kwa sheria iliyopo alaf waje na sheria mpya sasa... mm ccm lkn hili limekaa vibaya sana yan apo n kuwatia watu umasikin kwa kitu ambacho kilishaanza kuwaletea neema ata watu wa chini na mikoa mingi itafaidika ili zao lingeweza kabisa kua ndo zao kuu la uchumi Tanzania nzima...kuzd zao lolote kama umakini ukiwepo...