DAKIKA 55 ZA ASKOFU DKT. BENSON BAGONZA KATIKA THE BIG AJENDA, AZITENDEA HAKI HOJA ZAKE BILA UKAKASI

  Рет қаралды 34,464

Star TV Habari

Star TV Habari

2 жыл бұрын

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 68
@ErasmusMakavery
@ErasmusMakavery 7 күн бұрын
Ahsante cn baba askofu Benson bagonza unatimiza wajibu wako kama kiongozi kwa jamii pia kwa taifa kwa ujula hasa kwa mtanzania mtawaliwa.
@sixmundstephen8042
@sixmundstephen8042 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kutoka kwa mwandishi, ahsante Dr. kwa majibu yakuridhisha.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 2 жыл бұрын
Ahsante sana Baba Askofu. Nimeipenda hii ya polisi kulazimisha "utii wa shuruti bila sheria". Excellent explanation of the current state of affairs. Umeitendea haki - haki yako ya kutoa maoni.
@ndevaulwagideon6375
@ndevaulwagideon6375 2 жыл бұрын
Kesi ya mboe leo tarehe 4
@nyotanjemazuhra6487
@nyotanjemazuhra6487 2 жыл бұрын
Ubarikiwe baba Askofu. Kweli unafanya kazi ya Mungu
@joycemagessa350
@joycemagessa350 2 жыл бұрын
Barikiwa Baba Askofu kweli yako itakuweka huru🙏
@dismasmtui729
@dismasmtui729 2 жыл бұрын
Namkubali sana Baba Askofu Bagonza
@joaneskailembo4485
@joaneskailembo4485 2 жыл бұрын
Kila mtu anatakiwa apige kelele kila sehemu kwenye siasa ,kwenye msikiti, kanisani, shuleni, vyuoni ,makazini ,WASIOFANYIA KAZI HILI JAMBO watajuta mda si mrefu
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 2 жыл бұрын
Taifa letu linahitaji Viongozi wa Dini kama Askofu Bagonza ili watoe Elimu kwa Waaumini husika! Mungu akubariki Askofu Bagonza!
@kulwaa.utwagani3101
@kulwaa.utwagani3101 2 жыл бұрын
Baba Askofu, Ubarikiwe sana. Unafaa sana Kuongoza nchi hii
@joelypaulo8341
@joelypaulo8341 2 жыл бұрын
Ukosawa baba askofu Mungu akulinde utuelemishe tujue mengi
@RodricRwechungura-qx7ul
@RodricRwechungura-qx7ul Жыл бұрын
Ahsante baba askofu hakika tunakuitaji Sana watanzania katika ukombozi wa kifikira kwa watanzania mungu akutunze.
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Asante baba mtumishi wa Mungu
@LaurentEmmanuel-zb3cd
@LaurentEmmanuel-zb3cd Жыл бұрын
Kipendi kirudiwe hamchushi Wala Mungu amubareki Askofu
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 2 жыл бұрын
Hongera Sana Baba Askofu Bagoza
@odilomagungu8803
@odilomagungu8803 2 жыл бұрын
Ubarikiwe baba askofu
@salvatorykimbori7091
@salvatorykimbori7091 4 ай бұрын
Namkubali sana Askofu
@brunokidasi7750
@brunokidasi7750 Жыл бұрын
Hii kichwa ni sawa na maprofesa 100 wa kitanzania. Huyu bagonza nitakutafuta nipate ujuzi zaidi. Nampenda Sana huyu PHD Bagonza.
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 2 жыл бұрын
Akili mingi Sana maisha marefu Sana nchi inakuhitaji Sana
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Alikua I.G.P Said mwema
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Huyubwana anafaa Sana kuwa askofu wawatu wapendahaki mungu akulindedaima ilituendeleekujifunzamengikwako, asante Sana mh bagonza
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 жыл бұрын
Sio kweli kwamba watu wana chukia na viongozi wa serikali bali kama kiongozi hafanyi vizuri lazima watu watamchukia yeye. Pia kwenye corona mnajifanya kama hamjui kwamba serikali ilichukua tahadhari sema tu haikuunga ile takwa la kujifungia.
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Safi.sana.sijawahi.kuona.viongozi.wa.bakwata.wakitoa.michango.kama.hii.sijui.wana.matatizo.gani?
@AlexKAudax
@AlexKAudax 2 жыл бұрын
Ndio maana mwanangu nimemuita BAGONZA
@rabielulomi6716
@rabielulomi6716 2 жыл бұрын
Wanaokusikiliza sijui kama wanakusikia Baba Askofu.
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 2 жыл бұрын
Yani dakida zote hizo umeongea pont tupu kwakweli maneno yako bando imenitendea haki kama ni chakula ni wali na kuku nimeshiba kwelikweli
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 Жыл бұрын
Nyanda upoviri unajenga hoja vzuri Sana unafaa kuwa bbs au dw
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 Жыл бұрын
Askofu huyu ni Hazina ya Taifa
@hoseakatesigwa220
@hoseakatesigwa220 2 жыл бұрын
Ongera munyambo mwenye msimamo
@robertbutahe2835
@robertbutahe2835 2 жыл бұрын
Huyu ni Mhaya Mnyambo...imeandikwa katika historia ya Mkoa wa Kagera ya wakati wa ukoloni, wahaya ni watu wanaokaa wilaya za Bukoba mjini, Bukoba vijijini, Misenyi na Muleba.
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
😂 Etia anasema anaifungua nchi ilikuwa imefungwa na nani tusiulizane hahahahah
@abrahamelias9665
@abrahamelias9665 Жыл бұрын
Ubarikiwe askofu
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Mungu kutupa lasilimali ni wajibu wake lakin kuzitumia ni jukumu letu huu sio wakati wa kwenda kilalamikia Mungu kanisani juu ya njaa,nvua,na hali mbaya ya kiuchumi wakati kuna nchi Mungu hajazipa lasirimali za kutosha na wengine wako jangwani lakin hawalalamiki kuhusu njaa kwan wana chakula cha kutosha na wanamiundombinu mizuri kias kwamba wanafikiria maendeleo makubwa zaidi ya kitaifa
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Hiki Kichwa ni Noma sana tena mno akili kubwa
@joaneskailembo4485
@joaneskailembo4485 2 жыл бұрын
Anayejua anajua
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Sir.
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Жыл бұрын
BABA ASKOFU MUNGU AZIDI KUKUTUNZA,TAIFA LINAKUHITAJI SANA
@thomasjohn3499
@thomasjohn3499 2 жыл бұрын
NI BORA UWE NA HAHABU KAMA HUYU ASKOFU KULIKO KUWA NA MADINI AU DHAHABU INAYOCHUKULIWA NA CCM ISIYOJALI UHURU WA WANANCH.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Kama viongozi wote wa kidini wangekuwa wanajitihada kama askofu Bagonza nchi ingebadilika kabisa
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Dini na siasa? Basi inabidi kuchagua! Je hali ilivyo sasa unaionaje?
@thedoctrinebell
@thedoctrinebell 2 жыл бұрын
Bado hapo ukakasi upo sana tu, SI RAHISI HIVYO.
@Kanyawela
@Kanyawela 2 жыл бұрын
Askofu Mungu asiyebadilika asiyeshindwa asiyezimia asiyeweza kusema uongo atakuinua na kukubariki
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
ccm wanataka kuhodhi mawazo ya watanzania
@abrahamelias9665
@abrahamelias9665 2 жыл бұрын
Askofu bagonza uko sahihi kabisa
@marinyajulius4983
@marinyajulius4983 6 ай бұрын
Baba na askofu Bagonza ni mwana falsafa na theolojia mahiri mbobezi makini mwenye maono ya kuzuia kulinda na kuhifadhi maadili bila kujali ili mradi lina lenga kuleta maendeleo na uhuru wa wannanchi wote. HONGERA SANA BABA.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Nchi hii kana Viongozi wa DINI wachache waliopo pamoja na kusimamia kwa kudai haki ya Mwananchi wa Kitanzania, basi ni pamoja na Baba Askofu PhD. Benson Kalikawe Bagonza.
@jeradiparapara8852
@jeradiparapara8852 Жыл бұрын
Askofu namfananisha na meshak na bezinego na shedrack Yuko tayari afe rakini aisimamie haki hakika nimtumishi wa.mungu kweli
@WebyNgogo-nj3fx
@WebyNgogo-nj3fx Жыл бұрын
Mpp L
@abrahamelias9665
@abrahamelias9665 Жыл бұрын
Askofu uishi milele
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
RIP mzee baba Magufuli 😭🙏 hawa ndio wale vibaraka vya wazungu 🤣
@jonathanmindolo61
@jonathanmindolo61 Жыл бұрын
ASKOFU HUYU ANAFAA KUWA WAZIRI WA SHERIA
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 жыл бұрын
Huyu Askofu ni mtumishi aliyetumwa na Mungu lakini ni kama Yesu ambaye watu wake hawakumkubali
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
MUNGU NI MKUU KULIKO WAKUU WOTE TUHESHIMU VIUMBE VYAKE
@sashawambura
@sashawambura 2 жыл бұрын
It wasn't an impressive Interview...poor questionnaire planning..lack of intriguing questions...
@patrickbatenga2645
@patrickbatenga2645 Жыл бұрын
That also is your personal observation!
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 2 жыл бұрын
Huyu askofu ni mnafki, Amekili mwenyewe kuwa Jemedali JPM alikuwa na uthubutu
@leinagavuma6110
@leinagavuma6110 2 жыл бұрын
Jitahidi kuelewa, ametumia lugha ambayo inahitaji kufikiri nyuma ya pazia ndo utaelewa
@tihobestltd8582
@tihobestltd8582 2 жыл бұрын
Rais hakusema hakuna covid hiyo ni tofasiri yako Nyanda. Alisema hatuwezi kujifungia ndani tumuombe Mungu wetu kila mtu kwa dini yake huku tukifuata maelekezo ya wataalam wa Afya. Tena akasema tuendelee kuchapa kazi ili siku wakitoka wale waliojifungia tuwasaidie kwa kuwauzia chakula. Hakusema covid.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 2 жыл бұрын
Huyu askofu ni mnafki, Amekili mwenyewe kuwa Jemedali JPM alikuwa na uthubutu
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 жыл бұрын
Ooh Kefa hukumuelewa Askofu mtafute upya akufafanulie
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Hivi ukijipima na wenzako ktk comment unadhani mnafiki kati yako na Baba Askofu PhD Bagonza ni mnafiki!
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 Жыл бұрын
Wewe je
@alfredkabalinge3089
@alfredkabalinge3089 Жыл бұрын
Kama hujamuelewa askofu bagonza unatulia askofu yupo sawa na mungu ambaliki
@alfredkabalinge3089
@alfredkabalinge3089 Жыл бұрын
Hujamuelewa yupo sawa
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 16 МЛН
Watawala wanasisitiza Amani kuliko Haki : #Askofu #Bagonza
20:26
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 573 М.