Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Ashinda Urais Iran, Aahidi Makubwa Kitaifa na Kimataifa

  Рет қаралды 1,099

The Chanzo

The Chanzo

24 күн бұрын

Tayari nchi ya Iran imeshapata rais wake mpya kupitia raundi ya pili ya uchaguzi uliofanyika Julai 5, 2024.
Uchaguzi huu wa Irani umefanyika baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi kilichotokana na ajali ya ndege aina ya Helikopta hapo Mei 19, 2024.
Katika uchaguzi huo, Masoud Pezeshkian ambaye kitaaluma ni daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mwenye msimamo wa wastani kisiasa ameshinda kwa kura milioni 16.2 dhidi ya kura milioni 13.5 alizopata Saeed Jalili ambaye ni mwanasiasa wa siasa kali nchini Iran kutoka kundi la wanazuoni wa kidini
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 3
@aeshitoyota2499
@aeshitoyota2499 20 күн бұрын
Salamu hizo kwa Marekani na Israel
@mussamalongo8669
@mussamalongo8669 22 күн бұрын
Izilaeli watakiona chamoto ili waache kupanda ndege
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 22 күн бұрын
urasi kama nembo tu pale irani mambo yote ni hayatora khomen
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 97 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
The Chanzo
Рет қаралды 152 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН