Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
@MangaikwelaMatengo4 ай бұрын
Mama Samia amejua mtu muhimu..Hongera sana Suleiman Abubakar Mombo..Tunakutakia kazi njema
@jamesverdian24456 ай бұрын
Idara yetu ya usalama wa taifa ni kati ya idara bora sana shida imeshikiliwa na wanasiasa wanaitumia vibaya Inaumiza sana
@miltonjohn97796 ай бұрын
Umesema ukweli kabisa
@zonko04886 ай бұрын
Kama imeshikiliwa na wanasiasa basi sio idara bora. Ingekuwa bora ingesimamia malengo mapana ya Taifa na sio matakwa binafsi ya wanasiasa. Haina tofauti na idara nyingine zozote kwenye serikali zetu ambazo zinapelekwa hovyo na wanasiasa wasio waadilifu.
@JemisMolel5 ай бұрын
@@zonko0488u
@MilloWamilonga-ft8ir5 ай бұрын
@@jamesverdian2445 kwani wanausalama hulipwa na nani??
@Rasoulhk984 ай бұрын
Naam inavyotumiwa kisiada ndio inaifanya iwe na picha mbaya mbele ya wengi
@judicatendengerio-ndossi1583Ай бұрын
Uhondo wa historia kutumika kurekebisha yajayo kabla ya kuwa. Ubarikiwe mwandishi.
@ibrahimmaulid27046 ай бұрын
Naomba hii historià iruduwe kusoma ni nzuri sana
@noelmarapachi18086 ай бұрын
Msomaji wa makala hii umesoma vizuri sana, kiswahili kimenyooka, hakuna shida za L na R, safi sana, japo angepatikana msimulizi mzuri zaidi ingekuwa tamu zaidi.
@wechemakambo21826 ай бұрын
Msomaji Mzuri zaidi ni yupi?Huyu kaeleweka vyema tu...
@njeyaduniatv6 ай бұрын
@@wechemakambo2182 unasifia na kuponda, binadamu bhana😁
@nasibuAbel6 ай бұрын
mkuu hata hii Mimi nime ipenda sana tu
@peterkefand78356 ай бұрын
Hongeren sana. yaani historia yetu ni kubwa sana na ipo kizalendo🎉
@alipipijimmy76056 ай бұрын
Hongera chana chawa ni watu wema Sana na hii idara inatusaidia Sana iwapo kiongozi mwenye mamlaka anawatumia vizuri , pia nashukuru sana maana amani tulionayo ni usalama Wana sababisha nchi yetu iwe na amani pia nampongeza sana mwandishi amechambua vizuri mungu ambariki Sana yupo vizuri sana tuandalia na vitabu.
@aziadifukira5 ай бұрын
Hongera msomaji wa makala hii umesoma vizur.Mungu awabariki staffs wote wa TISS
@matthewmichaelsylvester56126 ай бұрын
kazi nzuri sana hii me napenda sana hii kazi
@bakorea6 ай бұрын
Kabisa. na kama ulivyoona, wachambuzi wa Chanzo wamezama na kutuletea madini hasa. toka enzi ya Mwalimu mtu kuwa katika idara hii ulijua anakubalika kwa uzalendo, weledi. Zaidi wamezuia maadui wa nje na ndani. Hata Yugoslavia yenyewe ilisambaratika kwa idara yao kutotabiri mipango ya maadui wa nje. Angalia Somalia, hadi leo vita na mgawanyiko, Somali land ilijitenga na hakuna wa kuzuia. Watu kama Kitine hadi leo anakemea kabisa tabia za rushwa na unafiki.
@athumanimuhammadam36016 ай бұрын
Naipenda saaaana kazi hii,,,inapatikanaje???
@ibrahimmaulid27046 ай бұрын
Kwa kweli ni historià nzuri sana kwa taifa hili ni safi mie nimeipenda big up chanzo
@bobjulieoneheartband6 ай бұрын
Hongera kwake Mr Mombo....Mtu Mpole Sana na Mnyenyekevu
@saimonmkangala76376 ай бұрын
Kazi nzuri pongezi kwenu, Mungu awatunze.
@elibarikikivuyo59466 ай бұрын
🎉 Hongera sana show up
@mosestemi98755 ай бұрын
Hongera sana kweli Kuna kila sababu ya nchi yetu kupanda milima na mabonde
@IbrahimKimath-u9z6 ай бұрын
Hii ni ya kizalendo Zaidi .nimeipenda ila kuna hichi kizazi kipya kichunguzwe sana kimeweka tamaa mbele kuliko uzalendo adui pia anaweza kuwashawishi wakaleta mihemko. Naipenda nchi yangu na nitaifia nchi yangu ya mababu zetu na bibi zetu mungu ibariki tanzania 🇹🇿mungu ibariki Africa 🌍
@bakorea6 ай бұрын
hapo sasa. zamani watu wote wa Usalama walikuwa wanaitwa , Vijana wa Mwalimu, ikimaanisha waliopikwa na kupikika, hakuna rushwa, ubadhirifu, unafiki, nk..sasa wakati wa Magufuli yupo afisa wa Usalama wa Wilaya, nadhani Mkoani Arusha alihusishwa narushwa..aibu..ila wachache hao
@simonwilliam33964 ай бұрын
Amazed by TISS💯
@abdallahmsham-eb7jz5 ай бұрын
duuuuu mungu aninusuru sifahamu
@hansmutta25496 ай бұрын
Sikujua kama tuko vizuri kwenye intelijensia big up sana
@ndukulusudikucho_6 ай бұрын
FBI ,CIA ,KGB na zote zinazofanana na hizo, Ni Kazi nzuri lakini kama una hofu ya Mungu Zina maswali mengi saana mbele ya Mungu, some of careers u learn not to question orders in order to put food on the table, hasa ukiwa mtu wa operation, ukipewa maelekezo tu mfyatue fulani haina kuhoji hata kama Ni mwenzenu, mnaweza mumchome Dawa ya usingizi na kumzamisha kwenye swimming pool alafu mnatangaza jamaa kafa Maji, asilimia kubwa mwisho wao huwa mbaya saaana vifo vyao vinatisha
@suleimansalym75376 ай бұрын
Kazi ngumu sana hii ni kazi ambayo unamjua mkurugenzi tu ila watendaji huwajui kma wachawi tu vile yan kuna watu wanaipenda sana hii ila dahh!!! Inaonekana ni kazi hatar sana hasa ukifikiria mwisho wetu kma binadamu
@Yefta-i2i5 ай бұрын
Hako kamziki kanakopigwa kwa nyuma, tafadhali husikatoe. Safi sana hako
@Dr_Heart.6 ай бұрын
Hii ingewekwa voice na yule shafii ingenoga sana, anajua kusimulia
@noelmarapachi18086 ай бұрын
Au Sky Walker wa SNS
@wechemakambo21826 ай бұрын
@@Dr_Heart. hatupaswi kumdharau aliyefanya tukajua badala yake tumtie moyo azidi kuwa bora...Sasa Shafii hakuyajua haya.
@Dr_Heart.6 ай бұрын
@@wechemakambo2182 Hakuna aliyedharauliwa hapo, kila kazi na mtaalamu wake, haina haja ya kuwa na unafiki kwenye suala linaloeleweka, pongeza panapostaili pongezi....nyie ndo machawa nyie mnataka kusifia kila kitu bastard😎
@jumankumilwa41396 ай бұрын
HONGERA SANA BRO MOMBO
@sir_ENOCKMACHA2 ай бұрын
Story imeeleweka vizuri mno
@jerichoseth41886 ай бұрын
Idara ya usalama wa Taifa ni idara Bora Sana pongezi kwao
@RaphaelMichael-g3x6 ай бұрын
Big up to TISS
@NassoroKulondwa6 ай бұрын
Hongera sana idara ya usalama wa taifa Kwa kulinda amani ya nchi
@Stanlykanwakabos5 ай бұрын
asante
@seifmohammed91676 ай бұрын
Kwa kweli chanzo mpo vizuri kwa stori yote ulioeleza ni kweli kabisa
@officialkyenx47736 ай бұрын
mbwa hyo ange kufa tu na mlengaji haku lenga vzuri angelenga kichwa tu akafa .mbaguzi sana
@HamisiHemediWaguga4 ай бұрын
August Maiga mwenyeenzi mungu ailaze roho yake pahala pema peponi amn, alikuwa mtu mwema sana dani ya Kibo palace Hotel Arusha
@alexdaniel79856 ай бұрын
Kazi iendeleeeeeeeee
@abdulqadriabdallah93325 ай бұрын
Kumbe mzena ni hospital ya viongoz coz mzena alikuwa kiongozi WA usalama WA taifa
@JK-uq1tv6 ай бұрын
JPM aliwatumia vizuri usalama wa Taifa hasa kwenye maswala ya usama wa uchumi wa Nchi.
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@JK-uq1tv mbona viroba vya maiti kila siku coco Beach ktk utawala wake, hao TISS walikuwa wapi??
@EmmanuelJoshua-yn8ly5 ай бұрын
😊
@EdwardRweyendera3 ай бұрын
Bado sana inaendeshwa kizamani inabidi iendeshwe kiteknolojia
@athumanmapunda6 ай бұрын
Okay
@nasibuAbel6 ай бұрын
Upo sa sahihi kabisa naamini hivyo na mimi mwenye ndoto za kuwa kwenye hicho kitengo
@SEBASTIANBEKKO-ni8nn4 ай бұрын
TISS
@overplantv216 ай бұрын
morning tiss 3:40 3:44 3:47
@Nedjadist6 ай бұрын
Hii ilikuwa Idara kabambe sana. Siku hizi nashuku majukumu yake ni kuwakomoa Watanzania kuitumikia CCM. Haijui hata jinsi rasilmali za Tanzania zinavyoibiwa! Hivi wanaweza kuwaambia Watanzania Magufuli alikufaje?
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@Nedjadist wewe ukitaka afe vipi kwa mfano? Siku yako ikifika hata ashuke yesu utakufa tu. Acha kuuliza uozo kama huo jiongeze?
@Nedjadist4 ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir Hizi no akili za mfuasi wa dini kimajaka. Yaani hakuna kuuawa kwa dhuluma, 'kifo ni kifo' eeeh?
@NixonJohnson-r4m6 ай бұрын
Huyo mama waisulamu ndio kwenye hii nchi miaka yote. Yakwake.......
@nelsonnikodem11006 ай бұрын
Lakini serekali yetu Haina dini
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
Wewe ndio mpumbavu kweli pimbi wewe. Unavyosema muislam una maana gani? Unaijua history ya nchi hii vzr? Pwani ya waislam ndio chimbuko wa kila kitu nchi hii. Nani alifahamu mikoa ya huko porini? Hata uhuru umedaiwa mikoa ya pwani na sio mikoa ya mbugani. Acha ujinga waislam ndio vinara wa kila kitu bongo mzima
@suleimansalym75376 ай бұрын
Wewe ulitaka vp Kwan wanahubir au wanafanyakazi tu? Kazi yao ni utendaji hakuna hata siku moja uliosikia wanahubir ..watu wote wapo huru makanisa yapo na misikiti ipo hakuna siku huyu mama amezuia watu kwenda kanisani wala msikitini sio vzur hata kidogo kuhusisha Serikali na mambo ya kidini ...akili zako Zina ujauzito wa mawazo
@richardmwandanji656 ай бұрын
Kazi yao ni mhimu mno Ila kuna halufu mbaya na minong' ono mhimu kujilekebisha maana idara hi kisheria ni nyeti Mungu awapefikra za uweredi katika majukumu yenu.
@hazygardmericho95716 ай бұрын
I wonder where you guys get infomations
@peterchristopher52166 ай бұрын
Habyarimana alionywa na Mkuu wa usalama wa taifa Tanzania Luteni jenerali Imran Kombe, Mobutu na Rais Moi hawakuja Tz, walikubali onyo la Kombe, lasivyo habyarimana asingetunguliwa kwenye ndege mwaka 1994 na hatimaye mauaji ya kimbari Rwanda yasingetokea.
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@peterchristopher5216 Acha kutupeleka peleka wewe, Kombe atawaambiaje hao marais wasije kwani kulikuwa na tatizo gani Dar? Huyo Habyarimana na mwenzake wa Burundi wametunguliwa wakiwa wanarudi kwao baada ya kuhitimisha mkutano na sio ndani ya Tanzania, walitunguliwa ktk ardhi ya Rwanda huko.
@peterchristopher52166 ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir hujaelewa mantiki yangu, najua kuwa hawajatunguliwa Dar, ila Kombe alivujisha Siri ya assassination kwa mmoja wapo, Hadi wengine hawakuja, waliambiana, Habyarimana alishauriwa asiondoke hiyo tarehe, badala yake akalazimisha, yakamkuta.
Idara hii nyeti isipokuwa inayumboshwa n'a kuingiliwa na chama cha CCM.
@JayItsquare3 ай бұрын
Our Intelligence agency needs enough cyber security experts who ll be trained in advance to protect our nation.
@ruahakennelsandvetservices65676 ай бұрын
😮😢😢
@allyngoda7616 ай бұрын
Mmmh
@khamisjohn76396 ай бұрын
Uchambuzi mzuri saana na Idara yetu ina historia ya kizalendo saana. Kazi kwao viongozi wa sasa nao kuweka historia nzuri kwa kutenda haki kwa watanzania wote na kulinda rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa
@meshajohn87136 ай бұрын
Idalayenuee
@King_Of_Everything6 ай бұрын
✌️👊👍.
@JosephKapunda-m1w4 ай бұрын
Hiki ni chombo muhimu saana kwa Usalama wa NCHI dhidi ya uovu,ufisadi,ugaidi na ubadhirifu wa Mali ya umma. Uzalendo,uadilifu ,utii kwa serikali ndio Siri pekee ya mafanikio ya Idara hii MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@elibarikimollel71496 ай бұрын
Historia ni kitu kizuri sana,tunaomba irudiwe,na kurudiwa tena na tena. Kumbe chanzo cha TIS kuwa chini ya Rais ikulu ni hii iliyopelekea Idara hii kuwa chombo chini ya Rais na chama kimoja na ulinzi wa viongozi wa serikali na chama pekee na sio chombo cha usalama wa nchi na maadui kutoka ndani na nje pekee na Polisi kubakia mambo ya ndani ya ulinzi wa wananchi na mali zao!
@chaulachaulaya52596 ай бұрын
Itoshe kusema 'madingi' walikua ni watu wenye akili, wabishi, wenye maono pia wazalendo, tuna kazi kubwa ya kuyaishi yaliyoanzishwa
@naimame7636 ай бұрын
Dahh mung nijalie na mim hii kazi natamni siku moj na mm niwe TISS
@JohnMlimira4 ай бұрын
Idara nyeti
@goodluckandrew33926 ай бұрын
Twalipo , KAMBI YA TWALIPO IKO KALIBU NA UHASIBU
@N.T.KDigitalCreation5 ай бұрын
Hawa ni watu wanaojua nini kinachoendelea Tz.
@MohdMohd-fv1my6 ай бұрын
Amani na Usalama tunajivunia...
@ChristmasMaheri6 ай бұрын
Hii ndiyo Idara iliyo na watu wasiojulikana? Mbona watu wasiojulikana hawajaweza kujulikana hadi leo? Hii Idara haiwezi kuwajua?
@peterchristopher52166 ай бұрын
Edwardo Mondlane wa Msumbiji alikufa mwaka 1969 na siyo 1965
@mosesmagubira37006 ай бұрын
Niliwahi kutuma maombi lakini sikufanikiwa . Kisa kikubwa cha kutuma maombi ni uzalendo .
@boscofidelis62236 ай бұрын
Tafadhali nijulishe namna ya kuomba maombi tafadhali
@ismailmasanilo70183 ай бұрын
Unatumaje maombi kaka sisi tuliopitia jkt
@shabanikimeru84096 ай бұрын
Kwaiyo Tiss ni jwtz au polis???
@ShabaniSudi-d1x6 ай бұрын
Mwamba hapa alikuwa laurance Gama na Imran kombe. Kuuawa kwa kombe ni hasara kubwa
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@ShabaniSudi-d1x kuuwawa ka Kombe haikuwa hasara kwa taifa, bali ilikuwa kwa faida ya taifa Ndio maana unakuta yeye aliuliwa na polisi live kwa pengine malengo flan.
@frankkinyaiya.82175 ай бұрын
Huyu Laurence Gama mwanae ndio Leonidas Gama aliyekuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro kwa sasa ni marehem??
@gregoryntibani66406 ай бұрын
Msomaji ameeharibu kiswahili. "HICHO" na siyo "Hiko"
@OmarMohamed-bs2hf6 ай бұрын
Hapa ndio utajuwa vp muungano huu tulonao m zanzibar hakuekwa hata mmoja kwenye itara hii
@lovenessvisent94086 ай бұрын
Kikao cha maraisi 2015 au 2005
@OmarMohamed-bs2hf6 ай бұрын
Hii idara hakuna m zanzibar anaewe kuongoza sindio
@NeemaKisinga-q2l6 ай бұрын
Kujiunga unafanyaje napenda pia
@hamzangakola88226 ай бұрын
Kuna mmoja anaitwa lilungulu umemsahau kwenye hiyo orodha
@Dj2nyi4 ай бұрын
Mbna inagoma kupray
@selemanichimogo47896 ай бұрын
Mbona marehemu ng'itu hayupo
@clementiddi57086 ай бұрын
Hakuwahi kuwa mkurugenzi
@wechemakambo21826 ай бұрын
Hapo kwenye gazeti la 1965 la nationalist linasema watatu zaidi wakamatwa ni juu ya ile uasi wa jeshi inaonekana picha ya huyo afisa Wayne Mbwambo na J.T.Zangira sasa huyu Zangira baadaye 1977 alikamatwa tenaa na kufungwa kwa kusidiana na Wazungu wa Southern Rhodesia(Zimbabwe),hii imekaaje?
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@wechemakambo2182 uasi wa jeshi ni 1964, Nyerere alifichwa Kigamboni na matokeo yake Julius hakumsaidia lolote hadi kifo chake. Julius alikuwa ni kiongozi mwenye roho ya kwa nini halafu roho mbaya nature
@AFRICA_D66913 күн бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir mnazijuwa historia kwa kweli ndugu
@ElibarikiEliud6 ай бұрын
Mbona uteuzi umeegemea udini zaidi..tumeshuhudia matumizi mabaya ya madaraka ya ukiukaji wa katiba na viongozi kuingiza nchi kwenye mikataba isiyonufaisha nchi idara ikiwa kimya maana yake nini. hizi ni nchi mbili zilizouungana.idara inawajibika vipi kuhakikisha viongozi hawatumii nafasi zao kuhamisha rasilimali za upande moja. Isiieshie kushauri tu. Pia ichukue hatua
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
Huna akili kama ni udini basi huyo Julius. Kuanzia TISS wa kwanza hadi wanane na hakuna mtu alieliongelea hilo coz hatuna udini, umefahamu wewe pimbi?
@helladeogratias76306 ай бұрын
Udini unakuja baada ya kukosekana hoja zenye mashiko.
@suleimansalym75376 ай бұрын
Kuna sheikh kateuliwa kwani? Acheni mawazo finyu sidhani kma ni uzalendo kuhusisha Serikali na mambo ya dini. Siku zote mbona hamjasema kwann? Au sababu ni huyu mama tu je umeona sehemu yoyote kiongozi wa Serikali anahubir dini ? Mbona LUKUVI alipoenda kanisani na kuongea udini hukusema lolote?
@MilloWamilonga-ft8ir6 ай бұрын
@@suleimansalym7537 wakristo huwa hawajiamini, na wengine hujiamini kutokana na dikteta Nyerere kuwa rais wa kwanza lkn hawajui bidii zote zilifanzmywa na waislam wa pwani na ndio wenye pwani yao rasmi, kuanzia Mtwara, Lindi, Pwani. Dar na Tanga. Hata uhuru haujapatikana huko porini bara ndani. Kila kitu kwa wastaarabu pwani (DUR AL SALAAM) ambayo ndio Dar es salaam ya sasa.
@mussakantumba99146 ай бұрын
Ndugu ukisema Udini kwa kuwa aliyechaguliwa ni Muislamu, Basi Waislamu nao wataanza kusema, mbona Wakuu wote wa jeshi la wananchi ni wakristo toka uhuru isipokuwa mmoja tu Abdallaah Twalipo? Kiongozi anatakiwa aingoze vizuri bila kujali dini
@abelabba78094 ай бұрын
Huyu kibaka wa kunyima haki za kuishi anapata wapi jeuri hii. Nonsense
@herrygeofreykilasi86586 ай бұрын
😅p
@MuhammedAli-q2l6 ай бұрын
mbn kam umechanganya apo kweny diwan athuman msuya mbele yake hakuja uyo uliemuek badala yake alikuj moj kw moj Ali iddi
@antonyezekiel92603 ай бұрын
Taarifa hizi na wewe umetoa wap
@MansoorShomari2 ай бұрын
wewe utakuwa io
@ga2revocatus916 ай бұрын
Nifanyeje ili niwe members TISS
@henrymjema16856 ай бұрын
Kuwa 🐞
@Daniel-g2f6v6 ай бұрын
We zombie haujui😂 shughuli kaka
@josephjulio61126 ай бұрын
Kazi siipendi kabisa
@BrysonKaduma6 ай бұрын
😂@@henrymjema1685
@clementiddi57086 ай бұрын
Umeshaikosa tayari
@preciousmoshi33925 ай бұрын
Muongo wewe
@alexdaniel79856 ай бұрын
Kazi iendeleeeeeeeee
@NeemaKisinga-q2l6 ай бұрын
Kujiunga unafanyaje napenda pia
@WILFREDCHUMI2 ай бұрын
Kama huna ndugu mwenye nafasi kubwa serikalini. Ngumu sana