Kama maneno yamegusa life lako gonga like apa tujuane tukayafanyie kazi🎉
@Fikra-onlineКүн бұрын
From Dubai nakupata kwa uzurii over🎉❤🎉
@salmazwallo872013 күн бұрын
Yaani kama umeniongeleaa mm kabsaa kaka kama watu tuiopo nchi za watuu aisee hiz do changamoto zetu
@allyway9995 ай бұрын
From here Capetown Hii changamoto imekuwa kubwa mno kiasi kuanzia kwa ndugu mpaka wazee wangu kiasi mpata sijui nn chakufanya yaan mtu anajimaliza kiasi kwa bila mm no way out tena after that Yoh so sad 😢 man
@BalumileMataba5 ай бұрын
Kaka nimejikuta ninacheka sana maana hao watu wawili WA mwanzoni katika maisha yangu ninao na wamekuwa wakiniwazisha sana bro kuanzia leo naachili aisey daah . Asante sana brother
@VeronicaYenga14 күн бұрын
Ni hatari sana, Ni athari kwa jamii na Taifa, maana aliyebeba, majukumu akichoka na wao huoshia kukata tamaa ya maiha
@HasanHamis-d4h20 сағат бұрын
Asante kaka manake nimeteseka sana
@JohnPatrickKasokota-qw6ep5 ай бұрын
Asant sana broe kwa elimu nimegundua na ndo inavyo nitokea mm kwa watu wangu wakalibu sana mwalimu vitu gani nizingatie il na mimi nifanikiwe hizi changamoto ilizo sema zote ndo zinazo nitokea mimi
@AlexKayuni-on2eq4 күн бұрын
Asante kwa ushauli
@khadijaamour76545 ай бұрын
Wazee wetu pia wako hivo hatuna jema zaidi ya kuapizwa km huna hela za kuwapa
@ninjaisma79832 ай бұрын
Wanatamaa sana nkama wanataka kujilipa vile walikulea 😅
@HusseinHamisi-on7ct28 күн бұрын
Broo nakuombea maisha mema
@FarajaMkumbo-pc3ft5 ай бұрын
Asante kwa mafundisho yako tangia nianze kukufatilia nimebadilisha maisha yangu hakika mungu akubarik kaka joel
@denismabuye22825 ай бұрын
Kaka Joel hii mimi imenikuta sana, tayari nimejifunza namna ya kukabiliana nao., wengine ni ndugu kabisa. Asante sana kwa life wisdom... Mungu akubariki sana.🙏
@leticiampeka14885 ай бұрын
Asante sana kwa somo nzuri sana, hawa watu huwachukulia wenzao kama fursa vile, bila kujali kuwa kuna kujinyima mpaka yanaonekana anayoyaona kwako. Nimekutana na wengi ila huyu wa hivi karibuni amezidi ana sifa nyingi tajwa, kwangu naona ni bora kumkwepa au kumwambia siko vizuri tu.
@AmaniRashidi-i9b5 ай бұрын
From south Africa Durban ili tumuunge mkono kwa nguvu zote mwalimu wetu usi skip tangazo linalo pita liache liishe nadhani hii itampa faida sana na uta Kua umechangia kwa nguvu kubwa please 🙏 wanafunzi wenzangu❤❤
@paschalmasanilo26175 ай бұрын
Okay 🎉
@YusuphRashidiSimoni5 ай бұрын
0
@IbrahimuRamadhani-nc4mr5 ай бұрын
Alaaah kumbe sijawai jua ii mm ni mhanga mkubwa wa ili 😢😢😢
@IbrahimuRamadhani-nc4mr5 ай бұрын
Nitafanya hivyo kwakweli maana ❤❤❤
@mahmoudmtanga84485 ай бұрын
inasaidia nn
@blackeagle44415 ай бұрын
Kaka #joelnanauka barikiwa mnoo najifunza mengi sn kupitia ww🙌
@MajaliwaMhungati5 ай бұрын
Ni kweli tupu...watu hao kwa sasa wataisoma namba maana kwa sasa itabidi nibadiri mwelekeo Bora peke yangu.
@ZainabIssa-v5u5 ай бұрын
Habari , mm naona ndio walio nizunguka katika maisha yangu 😢 dah Asante sanaa
@timothykengere25353 ай бұрын
Huu ni ukweli mtupu Mkaka'tunawajua tushawaona hadi inabidi tuepukane nao......
@cocotz18925 ай бұрын
Nimejifuz kusema NO na SINA hiyo ni silaa tosha Mimi nimenuniwa paka leo na rafk yangu na Mimi nimetulia zangu kashanisema pka kwa ndugu zake 😅na mama yake ameninunia pia 😂😂😜Mwanzo niliumia ni kajikumbusha kujipenda 😅kwahiyo jifunze NO NA SINA 😊
@neemadaudisospeter82115 ай бұрын
Asante
@ENOCKDANIEL-jo3ed5 ай бұрын
Kaka hawa watu binafsi ninao marafiki zangu na ndugu pia , asante san umenifundisha somo kubwa mno 🙏🙏
@AllyJuma-fy2is5 ай бұрын
Asant kaka hawawatu wapo atamm niponae lkn nimejifunza kwa somohili
Mh hatari kwamba yuko hapa.....😅😅safi futa on system kabisaaa
@MaryVerda21 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@monicakauky89145 ай бұрын
Ndiyo Kuna mtu nikimpa mara nyingi harudishi na nikimwambia Sina anakasirika,Kwa sasa nimeamua nikimpa sitarajii kurudishiwa.
@TumainiChengula-dn5vx5 ай бұрын
Yaani kaka mm nishakutana nao sana wanachosha sana wanataka kusaidiwa wao tuu ila wew ukipata shida kama hawakuoni alafu wakizipata Sasa wanakula bata na watu wengine zikiisha ndio wanakuja tena kwakooo Aloooo kiufupi mm ngoja niwapoteze tuuu siwataki hata bureee popote walipo najua wanajijua wapite kuleeee
@NickGamba-ft8tl5 ай бұрын
ASANTEE SANA MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER
@gosbertrutayega45465 ай бұрын
This is very true. Yaani kuna mtu haamini hata nikimwambia sina hela
@hawahamza10855 ай бұрын
Nimeipenda iyooo
@tullymwakatuleme5525 ай бұрын
Nimejifunza ...mpaka saiz nimekutana nao na wanasema mm mchoyo
@FilbertMkoma12 күн бұрын
Watu hawa wanapenda kutunyonya kutaka wasaidiwe bila kujali unapambana na magum yanayo kuhusu,
@masungamichael511720 күн бұрын
Very impressive you're best life coach
@yvettembavu93062 ай бұрын
Yani tangu leo October hara simu zawo sitaki tena ninawo wengi sana Mungu anirpushe nawo kabisaaa
@edinachami43185 ай бұрын
Mpaka waseme😂😂😂 Asante broo Joel ulikonitoa nimbali mnoooo❤❤❤
@FELISTERPETER-jf9jv5 ай бұрын
Umenigusa kwa kiasi kikubwa sana, barikiwa sana mtumishi.
@brackskinyozi32805 ай бұрын
Imenitokea sana marafiki hta kw ndugu....lakin kw hili somo nashukur nimejifunza kitu Joel asante sana
@mwanaomary30345 ай бұрын
Duuh wapo wengi,Asante
@KelvinMmari-fp7zx5 ай бұрын
Wako wengi mkuu
@EstherKhamisi5 ай бұрын
Hongera sana, maana hiyo ndiyo familia yangu yaani umepita mlemle
@stanleyandrea51535 ай бұрын
Mimi nilisha kubali lawama kuliko fedheha, Tena bila kupepesa macho
@ahz69075 ай бұрын
Kama mimi 😂
@stanleyandrea51535 ай бұрын
Safi sanaa
@MohamedSarahani-gk6jx5 ай бұрын
Watuu kamaa haooo wapooo wengi hasaa katikaa familiaaa zetu
@ambakisyemwakinunu20025 ай бұрын
Hawa nimekutana nao wengi sana
@tukaesanatu27544 ай бұрын
Asante kwa ushauri mzuri. hao watu wapo baba ila tumejifunza. ubarikiwe
@olivermkuni82325 ай бұрын
Ahsante sana kwa somo nzuri nimezungukwa na watu wengi wenye tabia hii
@kalengashoppingcenter11085 ай бұрын
Wapo wengi sana na wanatuzungukA kaka😢😢
@lincolnkimambo37445 ай бұрын
Kiukweli ni Ndugu zangu.
@Fikra-onlineКүн бұрын
😂😂😂ila mm nimechek hapo ....kanisema mpka nikezimia😅😅😅😅Daaah ..ppl noma
@zahraalbaloochi28412 ай бұрын
Wapo wengi sana tunaishi nao wao ni maslahi tu!
@amonkaiza98765 ай бұрын
hawa watu tupo nao Sana wengne tumesoma nao chuon pia wengne ni rafik zetu kabisaa kiukweli wanakera sans
@brunomwimanzi60745 ай бұрын
Daaah Asante sana kaka,wapo mtaani Kwangu hadi unajuta kuwafahamu yaani
@LeahVlogstoday5 ай бұрын
Kabisa yani nikama unanizungumzia mimi changamoto hii nimeipitia
@alsam48815 ай бұрын
Yaani hapo umenigusa mie kabisa ,yalinikuta hayo na siku hizi nimeachana nao kabisa kwasababu walinitumilia mimi kwa miaka mingi na sasa nimewaepuka, tena huwa wanakuwaga hawana shukrani wala fadhila kabisa, wao kutwa ni kutowa lawama tu na shida zisizoisha.
@zahraalbaloochi28412 ай бұрын
Wapo wengi tumepatikana
@judithlugongo88045 ай бұрын
Ni sahihi kabisa Barikiwa kwa mafundisho mazuri nimejifunza mengi na umenisadia sana
@Winie-ht3zq5 ай бұрын
Imenikuta hii Ni kwel kabisa kaka
@magrethpaul22073 ай бұрын
Umejuaje especially wapenzi wanatufilisii
@mariamndikumana-nn9ly5 ай бұрын
Yaani huyo ni mam yangu nimechoka
@TRACEMOURICE4 ай бұрын
🙏🙏🙏❤️🔥
@westoninyema83435 ай бұрын
Naanza kuwaepuka nana ninao wawili awajal ninao itaj msada wao
@cocotz18925 ай бұрын
Jifunze kusema NO na SINA hiyo ni silaa tosha Mimi nimenuniwa paka leo na rafk yangu na Mimi nimetulia zangu kashanisema pka kwa ndugu zake 😅na mama yake ameninunia pia 😂😂😜Mwanzo niliumia ni kamekumbuka kujipenda 😅kwahiyo jifunze NO NA SINA 😊
@SephaniaLucas5 ай бұрын
Kiukweli watu hao wanaumiza sana. Ubarikiwe mwalimu.
@SelfathumanMisere-te6kg5 ай бұрын
Wapo wengi mm wananisumbua sana
@emanuelmlingwa94085 ай бұрын
Ahsante mentor Joel nanauka you made me a winner,, watu wanamna hii niko nao kwenye cycle nitatumia mbinu hizi kujinasua
@victoriakaroli69955 ай бұрын
Dah iyo mimi nilikutana nayo kwa boss wangu baada ya kunipeleka ofisini kwake na nikaanza kufanya kazi ikawa kama nafanya kazi bure, hata usipolipwa mshahara ukiuliza tu anaamua akulipe au asikulipe au anakufanyia chochote anachoamua na ukiuliza utaumia.. kiukweli watu wa aina hii ni wengi sana ni bora hata kukosa kazi lakini ubaki na amani vinginevyo utaumizwa sana na watu wa aina hii.. unatengenezewa hata skendo ili tu wawaonyeshe watu kuwa wewe ni mkosaji
@everlyneiminza57225 ай бұрын
Yani umesema ukweli kabisa bro, hayo mambo mi nayaona sana kwenye maisha yangu🤔🤔🤔
@rahimyahaya57765 ай бұрын
Wapo sana kuna mmoja alinikopa laki 5 mwisho wa siku nilirudishiwa laki 1 mpaka leo ikabidi nisamehe maana ukimdai anaona kama unamsumbua
@nwntz5 ай бұрын
Thanks man❤
@rehemabakari30325 ай бұрын
Thank you so much ❤❤❤❤❤
@HamzaSelemani-rt8jt5 ай бұрын
Ihii imenitokea Sana daah binahadamu
@MaryamHaruna-f3r5 ай бұрын
Huyo ni mwanaume wangu tabia zote anazo na kujitilisha huruma yan wewe ndio kila siku umsaidie na umpe moyo yan anaona ni wajibu wako kbs na hata watu wakimuazima harudishi wakichukua hatua anaona kaonewa nimeamua kumuacha aende zake yani nikipata shida imekuwa ni ngumu kusaidika kwa sabab ya kuambatana na yeye wanadhani nina tabia kama zake yan simtaki kabisa kwenye maisha yangu ATOKE
@HaniyaKisingo5 ай бұрын
Kimbia hapo Huna mtu ni mzigo huo🙌
@edwiniluther3263Ай бұрын
@Maryam pole sana ,Mungu atakupatia Mbora zaidi ya huyo ❤
@MaryamHaruna-f3rАй бұрын
@ Amiin Inshaallah ❤️
@PriscaMwamakula5 ай бұрын
Nimekutana nao sana kwa kweli wanaumiza sana halafu wanakatisha tamaa
@AishaMohamed-q3l2 ай бұрын
Eeh
@FaricevitusiNkane4 ай бұрын
mm ninae mt wa mtindo alaf mtu wangu kalb sana
@rhabrhab17975 ай бұрын
Ameen Asante sana kwa mafundisho mazuri
@neemadaudisospeter82115 ай бұрын
Nimekutana nao saà
@suleimannationy-ln1wu25 күн бұрын
Je kaa n mzazi wako wakike ama wakiume una fanyaje
@UtnessMlimakala5 ай бұрын
Ukweli mtupu
@TabiaChibwana5 ай бұрын
Usiombee uyo mtu awe mwenza wako😢
@saay42735 ай бұрын
Wapo sanaa wametuzunguka katika Maisha yetu
@ninjaisma79832 ай бұрын
Wazazi ndio wanatumwakisha wanalazimisha mshahara wako uugawe kila mwezi lazima uwape usipolipwa kwa wakati watasema maneno mengi mabaya hawajui ukweli
@vumiliamgingu15795 ай бұрын
💯
@jameshirima5 ай бұрын
Asante sana 🎉 KAKA
@RamadhanMtaki-sw1gx5 ай бұрын
ni rafiki yangu kabisa Yani yupo hivyo kaka.
@shukranjulius95265 ай бұрын
Hii imenikuta kwenye familia yangu ,yani kuna ndugu yangu akikuomba pesa ukimwambia huna anakasirika,naukimkopesha kurudisha lawama
@dysonmligite34825 ай бұрын
Yan mm dadaangu amenikasilikia hd leo nikimpigia cm hapokei kisa ss hv akiniomb hela namwambia cn
@kelvinemmanuel86165 ай бұрын
BRO LEO UMENIGUSA MNOOO YAAN AINA HII YA RAFIKI NILIKUA NAE.
@brianisack76735 ай бұрын
Be blessed brother 🙏🏽🪜
@brianisack76735 ай бұрын
❤
@marykweka42475 ай бұрын
Asante
@MwanaishaHemed-xi6rj5 ай бұрын
Asante Sana.
@shukranjulius95265 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka @Joel ❤
@tullymwakatuleme5525 ай бұрын
Ubalikiwe na Bwana
@neemadaudisospeter82115 ай бұрын
Wengi saaana
@HalimaAmadi5 ай бұрын
😭😭😭Kaka Joel huyu nini kabisa unaemuongelea nipo gulf huu mwezi wasita Sasa tangu nifike mishahara niliopokea ni mitano hadi Sasa, lakini sina hata akiba nilionayo, familia baada ya kuskia nipo uku wote wamejazana kwa mama hawafanyi kazi wote wananiangalia mimi, na hapo na mimi nina watoto wangu 3, najitahidi kubalanc pesa kila mwisho wa mwezi lakini hawakosi kunibebesha matatizo yao, asante sana leo nimeongeza kitu
@rosesimon46305 ай бұрын
We dada wewe tuma hela inayotosha watoto wako tu aisee utarudi kwenu huna chochote pole sana anza kuwa na roho ngumu usipofanya hivyo Kaz yako utaiona chungu
@zahraalbaloochi28412 ай бұрын
Pole… lkn jikaushe sema hauna!
@salvatorypeter40802 ай бұрын
Mueshimiwa saluti kwako brother yamenikuta Sana aliye kuwa mke wangu
@AishaMohamed-q3l2 ай бұрын
Mm mume wangu hawsa ana hio shida
@dativerdionese80995 ай бұрын
Asante sana,, ubarikiwe kwa kazi nzuri 🙏
@khdj-x3w2 ай бұрын
nimemuhifadhi kwa jina mana yupo ni ndugu yangu 😂😂😂😂
@BonfriInsuranceAgency5 ай бұрын
Kweli, nashukuru
@mariammanyama63905 ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu lakini mambo mengine inabidi tusamehe kwa sasa ili tuendelee kupambana zaidi watu wa hivi au marafiki ya hivi ni wengi sana
@Saranabwire5 ай бұрын
MM nimekutana nawo kwa sasa wanasema ninaringa
@faudhiasalum72795 ай бұрын
😅😂😂😂😂Ila 😂😂Joel 😂😂mpaka. Jasho limenitoka😊😂😂
@justinekereri74455 ай бұрын
Uko sahihi mno mimi nina ndugu zangu wenye tabia ya kukufanya kwa makusudi kabisa kitega uchumi ya fedha zao ni vigumu kujua kama wanayo lakini za zinahitajika wakati wote.
@winifridamalila60615 ай бұрын
Yan kuna watyu wengine ukiwapa pesa sema tu nimetoa sadaka
@iizalaw66745 ай бұрын
Hakika yameshawahi kunikuta na najitahidi nirudie makosa na wana tabia ya kurudia kukopa hata kama hakulipa lililopita, ukiazima vyakwao wanadai balaa
@vitarismujuni68895 ай бұрын
Hawa ni ccm na raia wake
@Fantastic.-gm1eo5 ай бұрын
Kuna mmoja ni best wang friend sijui nimu avoid kwa njia ip
@HaniyaKisingo5 ай бұрын
Mimi ni ndugu zng kabisa wa damu ndio wenye kunididimiza na mpaka sasa kaka yng tena mdogo Ana mke na watoto wawili amenifanya km baba yake baada ya mm kuchoka na kumwambia simama km baba wa familia yako imekuwa Kosa kisa ni mm nipo nje ya nchi wanadhani muda wote ninanyo pesa