Hii inanitokea sana mimi na wanataka hata niludi chini zaidi na kiukweli kaka toka siku ya kwanza nakusikiliza clouds fm kwenye kipindi cha terminal miaka mitano iliyopita sijawai kubaki nilivyo. Napiga hatua na ninakufatilia kila siku kaka Mungu akutunze na akupe maisha marefu ili ukomboe vijana wengi kama mimi
@godfreygerase87138 ай бұрын
Aaam mwalim kupuuza jwa lugha nyingine tunaweza kusema kukaa kimy!! Mtu ukimwona kimya unaweza kusema uyu ni mpole, uyu hanaga akili yupoyupotu kaka/dada sio kila aliekimya ni mpole wengine wapo vitani wanaogopa kumchangamkie wakashindwe vita! Mm kwa upande wangu siraha kubwa kwenye maisha ni mwenyezi MUNGU nikimuomba naisi nakua nimeshinda vita. Asante mwalim mungu akubaliki❤🙏
@JohnMwambope7 ай бұрын
Hakika unacho kisema. Mimi nimekutana vita juu ya mawazo yangu kuona siwezi. Nashukuru kwa kututia moyo najua tupo wengi.
@upendokiza60618 ай бұрын
Asante sana kaka, MUNGU akubariki unacho ongea ni sahii kabisa kaka. Watu ni wanafiki sana kabisa. Hila tuzidi kumuomba MUNGU tu hili azidi kutuongoza katika Ali hiyo.
@aminasaid65554 ай бұрын
Nyingi sana nimekutana nazo na nimefanya ulivyo sema hata kabla sijakutana na hii clip kwa hivyo nasema Alhamdulillah
@BaisaMohamed-fj3vf8 ай бұрын
fact kaka joel from mtwara,, napita katika wakati huo sasa hivi nashindwa kuelewa kabisa,,
@SophiaMteleke8 ай бұрын
Asante kaka, nimejifunza kitu leo, nakushukuru mungu🙏🙏
@ElishaMandike-qv2dv8 ай бұрын
Mungu akubariki sana tangu nikufatilie umekuwa mchango mkubwa sana kuokoa maisha yangu
@monicakauky89148 ай бұрын
Nitakuwa mjanja kuliko wao,sitawapa airtime.
@erickmhanza73978 ай бұрын
Asante Somo limenikolea
@AshaJuma-s7l7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@angelmollel20028 ай бұрын
This is great 💯
@monicakauky89148 ай бұрын
Ilishawahi kunitokea,sitapigana Kila vita.
@khamismuhammad8 ай бұрын
Kaka nna kama mwezi mmoja tangu nmwanza kukufatilia hongera sana upo vizuri unatufunza mengi Mungu akupe umri na afya njema tuendelee kujifunza toka kwako.
@mahambagislain96187 ай бұрын
Dunia ina omba Kukua makini, asante kwa somo 🎉🎉🇨🇩
@HalimaAmadi7 ай бұрын
😊😊kwenye haya maisha unakosaje vita kaka, tena nyingine hutokea kwenye familia zetu, kikubwa hekima, asante sana ubarikiwe❤
@musapeter33377 ай бұрын
Thank you for life wisdom teaching
@MrSamejy8 ай бұрын
Asante kwa somo zuri mwalimu
@imanimwashiuya2237 ай бұрын
asante sana kaka joer. inanitokeareo hiyo iratangu nirpoaza kukuskrza nimejifuzamengisana mungu akurndezaid
@shukranjulius95268 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka kiukweli hili somo nimepata kitu
@AssaniMwakapiia-qd3oz7 ай бұрын
Shukran mimi mdauwakosana bro
@janetmbwana5538 ай бұрын
Kweli kabisa 🙌🙌🙌Yan wakuchoshe na wanakutoa kwenye reli Asante sana kwa ukumbusho
@gaspermbawala12987 ай бұрын
ili somo linaniusu mimi Asante sana ticher
@JohnMwanjala-b8i7 ай бұрын
Bro umegusa Maisha Yangu Leo Mungu akubariki sana.
@Victoria-bv6xu2 ай бұрын
Amina👏
@tsongokauta59118 ай бұрын
Kweli kabisa Ila tujifunje ku nyamaza kimyaa
@brackskinyozi32808 ай бұрын
Asante kw... ujumbe muzuri kaka Joel mungu azidi kukubariki 🙏🙏
@MdYeasin-xx1gm7 ай бұрын
mungu azidi kukubariki
@faudhiasalum72797 ай бұрын
🎉🎉Joel nanauka ❤
@VeronicaYenga12 күн бұрын
Shukrani
@faudhiasalum72797 ай бұрын
😂😂😂😂Kichaaa 😂😂majinuni😂😂il.. Brother ❤
@EliasGwaya2 ай бұрын
Asante Dr
@jacobshukrani63748 ай бұрын
Mungu akubaliki je OFA ya vitabu lini kwa mwaka huuu?!! Sijawa nauwezo huo wa kuweza kununua vitabu japo nimejitahid kila nwez nisome kitab chak kiish shida uchumi
@jacobshukrani63748 ай бұрын
Nafunguliwa kwel kwel kabisa mungu naakutunze me sikuwahi.kuwa msomaj wa vitabu pia nipo.na uhitaji uwe menta wangu boss