hizo ndio nyimbo za kufikirika,,kwa aliyekua na akili timamu
@darmillionaire5 жыл бұрын
Safi sana jembe. Naomba uwe unaweka data zote muhimu basi kama vile wimbo ulitoka lini na producer ni nani. Haya ndo madini ya gold yenyewe yaliyopoteaga.
@ibrahimmsanif4457 Жыл бұрын
Safi dani msimamo, nimeielewaa sana tu, Old Is Gold. 🔥🔥🔥
@edwinakusama20064 жыл бұрын
moja ya nyimbo ninazopenda
@yohanayohana1935 жыл бұрын
Noma dani msimamo
@nelsonnmwaipaja69804 жыл бұрын
huu ndo ulikuwa msimamo wa dani na mashabiki kuzipenda nyimbo zenye akili kama hizi