PART2:MWANAJESHI WA JWTZ ALIETOROKA NA SARE NA SILAHA KAMBINI NA KUAMUA KUWA JAMBAZI ALIETIKISA

  Рет қаралды 21,593

Davistar Media

Davistar Media

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@LadislausOdilo
@LadislausOdilo 11 ай бұрын
Ulikuwa muhuni sana sema Mungu Jehova ni kiboko ya uchafu wote
@onesmomashembo8495
@onesmomashembo8495 11 ай бұрын
Nakukumbuka uliwahi kuja shule ya msingi Lusahunga miaka ya zamani kweli kati ya 1993 na 1994 tulilipa sh10
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
Hapa kuna kitu tunajifunza waislam wengi kama sio woote wanapenda sana sana kusikiliza maneno ya watu hasa mashekh alafu wanapenda kuwaamini sana sana mashekh.. aliesambaza uvumi kuwa nyerere alimpiga idd amin kwasababu za kidini ni shekh Ilunga.. waislam bila kujua bila kujadili wamelichukuwa kama walivyo ambiwa mwanajeshi wa uganda wanakili kuwa kweli waliuwa raia wa kitz kwahiyo ilikuwa sawa idd amin kuuwa watz ila kwenda kumkabili ni kosa kwasababu tu ni muislam...hii sio sawa waislam wengu huwa wanapandikizwa chuki na mashekh wanaofanya mambo kwa maslah yao binafsi.....
@JamesKahamba
@JamesKahamba 11 ай бұрын
Story nzuri sana davister fanya kama ofa uweke hata mala mbili kwa siku kaka
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 11 ай бұрын
Yaani hii Ni nzuri Sana nacheka muda wote
@stephanofyulla8448
@stephanofyulla8448 11 ай бұрын
Huyu jamaaa anauwezo mkubwaa sana kichwa ukiangalia hata remembering capacity ni very very huge
@ASALABOY
@ASALABOY 11 ай бұрын
Mungu atuinue sana sisi vijana
@IYEGU-p3n
@IYEGU-p3n 11 ай бұрын
Nilikuona zamani mzee wetu
@jamesswai6583
@jamesswai6583 11 ай бұрын
Hatari mzee wa mastori.
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 11 ай бұрын
Hakuna science ulkuwa unatumia huo ulikuwa uchawi( mazingaombwe) hakuna vile uneza washa moto kwa kichwa afu ukaange chakula na ukose kuunguwa
@matthieulugerero9355
@matthieulugerero9355 11 ай бұрын
Huyu mtumishi anazungumzia ukweli kabisa! Mimi niko Entebbe kwa sasa. Mimi ni mkongo na mambo ya kongo anayo sema ni kweli
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 11 ай бұрын
Nice story ❤
@nyaticarriersllc3075
@nyaticarriersllc3075 11 ай бұрын
Muhhuni kweli, good story teller
@FaridaOngala
@FaridaOngala 11 ай бұрын
😂😂😂 story nzuri
@shashemuzyo4537
@shashemuzyo4537 11 ай бұрын
Kaka. Unachelewa kuzimwaga KZbin... tupe mwendelezo wake mapema
@edwardleonard5793
@edwardleonard5793 11 ай бұрын
Huyu jamaa nqmkumbuka sana kule kusini alishavuruga mno kwa mazingaombwe sarakasi na michezo ya nguvu. Si ndio wewe ulijiita Sambali magulu😂😂😂😂😂 Kumbe ulikuwa jambazi. Ashukuriwe Mungu aliekuokoa
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 11 ай бұрын
Anasema ukweli kabsa kipindi Cha Vita hiyo baba mkubwa alikuwa mwanajeshi alikuja na katheti kutoka huko Uganda aliwahi kuniambia
@franciskobelo
@franciskobelo 11 ай бұрын
Yani mjomba anajua kuhadisia hauchoki kumsikikiza kwa kwel..
@LoFi_120
@LoFi_120 11 ай бұрын
End of season one, Story ianze sasa.
@tututz100
@tututz100 11 ай бұрын
JBOYS 1999
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 11 ай бұрын
Iyo njo kiswahili sasa is 😂😂
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
Baba yangu aliniambia kuwa alinunu injini ya boti shilingi 15 jonson ..mwaka 1985
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
I mean 15000
@JoramKasenga-ig2gk
@JoramKasenga-ig2gk 11 ай бұрын
Swali langu kwanini mwanamke akilala mwanzo wa kitanda majambazi hawawezi kufanikisha zoezi lao na kuondoka je nishariti la waganga au hali ya kibinadamu tu
@fadhili2293
@fadhili2293 10 ай бұрын
We ulijuaje?
@danrevelian
@danrevelian 11 ай бұрын
Msela wa zamani 😂😂😂
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 11 ай бұрын
Hahhahahaaa yaan
@matheothomas1891
@matheothomas1891 11 ай бұрын
Ni sprit moto wake auchomi
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 11 ай бұрын
Power mabula alikuwa msukuma alikuwa ana act kama mzambia
@sukisa1234
@sukisa1234 11 ай бұрын
Samahani davistar muulize huyu mtumishi ndo alikuwa akijiita power mabula akija sumbawanga...?
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 11 ай бұрын
Sawa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
No sio huyu power mabula ni mzambia
@sukisa1234
@sukisa1234 11 ай бұрын
Ok sawa
@expert5898
@expert5898 11 ай бұрын
@@jesusislord9190 alikuwaga msukuma na aliokoka.
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn 11 ай бұрын
Huyu alikuja shule kwetu
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 8 ай бұрын
Acha ufala wewe, msondo iliwahi kufa lini?
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36