kumkaribia YESU c mchezo njia inamiba kali misukosuko kibao..ila atakauevumilia tu ndio atashinda vumilia kaka ang mkono wa MUNGU u juu yako endelea kumkili YESU kuwa ni BWANA na MWOKOZ wako😍😍😍😍
@geofreymulei56959 күн бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Kenya big up Mr everything
@Monika-cp2gk9 күн бұрын
Hongera kwa ushindi....Jesus has finished on the cross 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪watching
@Esthermordecai9 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde siraj,usirudi nyuma.mwishie Yesu Kristo.😢 mapepo walinuia kukuua,lakini Yesu Kristo akakutetea.
@femidayahaya92939 күн бұрын
ucmuite siraj bhana😢😢..saiv anaitwa PAUL😘😘😘😘
@lilhydon4529 күн бұрын
😢😢umepitia magumu sana ndani ya siku kumi..Mungu akulinde sana
@damarisnjeri78209 күн бұрын
Following 🎉🎉🎉
@williamuphilipo21209 күн бұрын
Shetani hovyo sana
@samsonipaul40688 күн бұрын
Jamaa Bado hajapona ana mix madesa kwenye kuelezea
@femidayahaya92939 күн бұрын
huyo co kaka ako..ni hizo roho chafu ndio zimeivaa sura ya kaka ako kwajina la YESU naikomboa hiyo sura ya kaka ako wakija kujibisha hiyo sura wakutane na miyale ya moto iwaunguze kwa JINA la YESU
@feizalmas5 сағат бұрын
Vijana tafuteni pesa za halali hizi sadaka za bure mnazotaka bila kufanya kazi acheni ndomana mnaongopa sana mungu awahurumie
@LispafulgenceSimon-rs1zg9 күн бұрын
Alikuwa kwel muislam anabonge la sijida
@samsonipaul40688 күн бұрын
Anaomba arudishiwe kitabu Cha Tiba Cha nn tena au ndyo anakarbia kuokaka
@cosmasshauri90028 күн бұрын
Kitabu cha Farak wataka cha nini tena? Wataka uendelee na uganga!
@neemajoel36816 күн бұрын
Very boring story 🥱
@brendajadevera95977 күн бұрын
Davistar this young man is not fully delivered why can’t u advice to go to prophet David Richard daa atasaidika
@RubenMtuwaMungu-bz8ee7 күн бұрын
Ogopa sana watu wanaojiita prophet 90% ni wa uongo wachache sana wakweli.