Dawa Zinazosababisha Upungufu wa Nguvu Za Kiume

  Рет қаралды 10,661

Topten Tv

Topten Tv

Жыл бұрын

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara.
Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume.
Unaweza kupata maelezo mengine ya ziada kutoka kwenye ukurasa huu wa BBC
www.bbc.com/swahili/articles/...
MADHARA YA DAWA ZA KUTULIZA MAUMIVU
• Long term use of paink...
..........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
E-mail : info@toptenherbs.co.tz
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram / toptenherbs
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / toptentanzania
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.toptenherbs.co.tz
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 31
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 Жыл бұрын
Asante sana bro
@DrNatureclinic
@DrNatureclinic Жыл бұрын
Ubarikiwe dr
@Toptenherbs
@Toptenherbs Жыл бұрын
Ahsante Sana doctor kwa kutumia muda wako wa thamani kutazama video zetu
@darklove358
@darklove358 Жыл бұрын
@@Toptenherbs Sorry kwa usumbufu Dr tunaomba tiba ya Gono na allergy hakika tunateseka sana ahsante
@beatricemgoyee948
@beatricemgoyee948 Жыл бұрын
barikiwa sana doctor maana tunajifunza mengi
@joachimmrosso9477
@joachimmrosso9477 Жыл бұрын
Thanx for your precaution doctor
@lydiakagai5808
@lydiakagai5808 Жыл бұрын
Nashukuru Sana Asante
@davidnkongoki8679
@davidnkongoki8679 Жыл бұрын
Asante sana 🙏 doctor
@henryodaro8511
@henryodaro8511 Жыл бұрын
Daktari Asante sana kwa masomo yako yote
@patrickgathemba2521
@patrickgathemba2521 Жыл бұрын
Thank you Doctor I have learned a lot from your channel.may God bless you.
@francisferdinand1970
@francisferdinand1970 Жыл бұрын
Nakubali
@emmanuelaimant2556
@emmanuelaimant2556 Жыл бұрын
Ok ,kwangu nikutumiye zile Sawa kwasasa nifanyanje
@darklove358
@darklove358 Жыл бұрын
Kaka tusaidie dawa ya Gono tafadhali kwa sababu hili ni gonjwa la taifa na sugu tusaidie Doctor tafadhali
@Muganyizi
@Muganyizi Жыл бұрын
Acha kuzin ndo dawa hiyo
@gracepius3209
@gracepius3209 Жыл бұрын
Mimi napeda sana dalasalako nafatilia ili nipate ujauzito
@esperancesudi2842
@esperancesudi2842 Жыл бұрын
To be continued
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 Жыл бұрын
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️Leo ngoja tu nipite
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 Жыл бұрын
Mmi napafom vizur tu mpka jinsia yake nahakikishaa inakauka lakin juz mpka nmejishangaa nakwenda moja ghafla mtambo umezima nilijihisi kuchanganyikiwa na hapo tumegombana anahisi nna mchepuko akati Niko bize na kazi lakin hapo baadae ghafla nguvu hisia zikaja Tena za juu na wakati huo ameshaondoka hvi huwa hii hali inatokana na nni DOCTOR
@lenagb8064
@lenagb8064 Жыл бұрын
Dr. Samahani kitqbu chako ulichotoa mwanzo nimesahau pw yake kukifungua nisaie
@poisonkillerofficial648
@poisonkillerofficial648 Жыл бұрын
Daktari kama mtu hujafanya mapenzi muda mrefu miez 3 au mi 2 hivi kuna weza kusababisha siku ukifanya uwahi kufika kileleni
@stephanowilliam833
@stephanowilliam833 Жыл бұрын
doctor hadi dawa za kuchua
@stephanowilliam833
@stephanowilliam833 Жыл бұрын
dah sjui kwann nikiwa na mpenz wangu mtalimbo unasumbua ila nikiwa na hawala unasimama vzur2 cjui ndo nguvu chache
@eliackimsimon1890
@eliackimsimon1890 Жыл бұрын
Sijui kama umeeleweka
@Toptenherbs
@Toptenherbs Жыл бұрын
shida ipo kwa huyu ambae ukiwa nae hupati mzuka.... inawezekana hana MAAJABU 😀😃😃😃
@stephanowilliam833
@stephanowilliam833 Жыл бұрын
@@Toptenherbs hapana huyu ambae mtalimbo una Goma nampenda sana ila aliwah niambie kimasihara kuwa mm ni mvivu kwenye tendo
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
@@stephanowilliam833 hiyo ndio sababu mwambie apunguze ukali wa maneno
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 Жыл бұрын
@@stephanowilliam833 maneno ya bila kuchuja ni kisu cha hisia kila mkiwa kitandani lazima neno lile hujirudia kichwani so huezi kuwa na hisia naye vizuri jaribu kujitibu kisaikolojia na ukemee maneno yake
@khamishosea4285
@khamishosea4285 Жыл бұрын
Nini maana ya kutokua na nguvu za kiume Yaani
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 Жыл бұрын
Mhhhhhhhhhh nini sababu au nn. Maana sasa hapo
@khamishosea4285
@khamishosea4285 Жыл бұрын
Yaani kutokusimamisha vizuri ndo upungufu wa nguvu za kiume au kutokua na uwezo wa kutungisha mimba
@johariabubakari9841
@johariabubakari9841 Жыл бұрын
Kwakweli nabalikiwa na vipindi vyako naomba no yako
TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHWA NA SABABU HIZI
55:53
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 133 М.
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 22 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,4 МЛН
Simba Yaibwaga Yanga, Wasaini Mkataba wa Bilioni 26 na MBET
4:54
BM TV TANZANIA
Рет қаралды 18 М.
Mambo ya Kuzingatia Unapotumia Dawa Za Asili
12:41
Topten Tv
Рет қаралды 4,5 М.
What To Do When You Are Confused | Sadhguru
9:24
Sadhguru
Рет қаралды 334 М.
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni Mwanzo wa Kisukari
3:00
Dr Nature
Рет қаралды 472
CHARGING METHOD FOR CARDBOARD iPhone!#asmr
0:31
HAYATAKU はやたく
Рет қаралды 9 МЛН
My family Orchestra groups performs
0:10
Super Max
Рет қаралды 2,2 МЛН
My family Orchestra groups performs
0:10
Super Max
Рет қаралды 2,2 МЛН