TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHWA NA SABABU HIZI

  Рет қаралды 133,137

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

5 жыл бұрын

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39

Пікірлер: 51
@brhchannel6618
@brhchannel6618 5 жыл бұрын
Asanteeeee Sana Dr Mitimingi kwa Ushauri wako, Stay blessed.
@victormurunga2486
@victormurunga2486 3 жыл бұрын
>
@kanyamagaraabdallah8300
@kanyamagaraabdallah8300 4 ай бұрын
Asanteni tuwasikiliza mr. Dr . Peter M. et nawangine
@user-ii4jc3wo4i
@user-ii4jc3wo4i 5 жыл бұрын
Hongera mchungaji kwa kutuhamasisha haya mafundisho mazuri
@joelylimon38
@joelylimon38 5 жыл бұрын
Asante sana kwa Elim
@robertmakuukabwali9488
@robertmakuukabwali9488 3 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea sana ,mwachie Dr afundishe.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 4 жыл бұрын
Narudia tena,Hassan ANAKERA
@nuruhossein6144
@nuruhossein6144 3 жыл бұрын
Uyu kaka anachanganya docta ajamaliza anaoji swali lingine
@emmanuelamonique7308
@emmanuelamonique7308 3 ай бұрын
Tunashukuru kwa mafundisho safi
@mosesneckmiah9385
@mosesneckmiah9385 4 ай бұрын
Wahaya wanafahamika kupiga katerero❤
@huldamichael4445
@huldamichael4445 4 жыл бұрын
Daah,kiukweki Hassan ANAKERA,hana maana kabisa,mpaka Dr anapoteza mtiririko wa swali analolijibu au kuelezea.....amegeuza mazungumzo ya kihuni
@johnmamilo1326
@johnmamilo1326 5 жыл бұрын
Tatizo huyu jamaa anaongea sana anamchanganya doctor. We jamaa jarib kuji control katika kuongea. Control haiba yako (Sanguine)
@jkitebo6548
@jkitebo6548 4 жыл бұрын
Nimerudia na mungu ampumzishe mahali anapostahili
@marijanikhalifa7445
@marijanikhalifa7445 4 ай бұрын
mnamada zuri hmpatii muhusika aweze kuongea vizuri
@mushken65
@mushken65 Жыл бұрын
Silazima alinganishe. Mke yuko nawewe kila siku na anaona hata mashini haisimami na hingurumi vile ilikuwa inafanya. Kwanini mke asiseme nguvu zimepunguka? 🇰🇪
@godfreydaniel6818
@godfreydaniel6818 3 жыл бұрын
R.i. p mitimingi 2020
@stanleygeorge6638
@stanleygeorge6638 5 жыл бұрын
Hasani ngoma alivyo ruka sasa
@thedon8467
@thedon8467 4 ай бұрын
DOCTOR KUONGEZA UUME HAKUNA MADHARA
@jacksonmasirika
@jacksonmasirika 3 ай бұрын
Naneno yanavuja nguvu zakiume
@thedon8467
@thedon8467 4 ай бұрын
Doctor Kwa wale ambao hatuna wake wala mademu jee tukijichua Kwa mwezi mara moja Kuna mazara pia ?
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 3 ай бұрын
Bwana habari hizi tunaambiwa kuwa mwenye sukari ugonjwa inamsababishia kukosa nguvu
@thedon8467
@thedon8467 4 ай бұрын
DOCTOR MIMI NAOMBA DAWA YA KUACHA KIJICHUA
@evansjohn7766
@evansjohn7766 2 ай бұрын
Kalanga unakula ya kukalanga au isokalanga,nisaidie hilo
@ntakobatagizeodette6876
@ntakobatagizeodette6876 4 ай бұрын
Muna weza kutupa namba ya simu ya Doctor
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 3 ай бұрын
Hivi wanawake wao vipi ?yaani wao niwazima tu,hawawi katika wenye kukosa nguvu.?
@hossenomari2983
@hossenomari2983 3 жыл бұрын
Doctor ili mwanamke afike kileleni inahitajika muda gani kwa tendo
@kadarahbeshop5403
@kadarahbeshop5403 5 жыл бұрын
Dr, kuna kipindi chako moja inaniumiza sana sana inafanya niwaze mara mia, eti mimi nlikosea mungu nini? Dr, jambo langu ni hili, mkewangu yuko kenya mimi yuko Zanzibar, tatizo haniamini mimi, sababu nkiwa bado nko kenya nlikua nkiiewa transfer kikazi naenda sehemu nyingine tunaenda sote pamoja, c kwa nataka akae mbali na mimi, kwa sasa hivi nlikuja kupelekwa zanzibar kikazi, cha kwanza alikataa ni siende baadaya kakubali, nikaenda, tangu niende zanzibar ndoa yangu na yeye haiko vizuri, sababu ni, nkiwa kwa nyumba tunipigiana simu through imo video, nikimuona na yeye pia ananiona, kuna siku alinipigia simu ingala data ilikua on, simu ikaita sikupokea sababu nlikua bafuni kuoga, nlipo rudi kutoka bafuni nikaangalia saa kwenye simu, nikakuta amenitafuta, kwa dadika sio mingi, nkampigia mara hio hio akapokea, kupokea kaniambia henda hummalizie hio doz, ndio baadaye ukimaliza unipigie, nlidhani kama ananitania kumbe yuko huakika, nikamjibu aa wacha hayo nlikua bafuni mkewangu nlikua naoga, Dr akunielewa kinijibu kamalize kwanza, nkamwambia nisha maliza kuoga na nkiwa bafuni ndie umenitafuta! Hio shida mpaka sahivi inasumbua roho yangu zaidi mkewangu ananichukulia vp? Na vle ninampenda, bado si kati tamaa nampigia bado lakini hapo kei, nikimtumia ujumbe ammna jibu ata, Dr kuaminiana imeni shika sana hio kipindi, kuna kipisi hapo imeni guza sana hadi nikaumia roho, KUNYOA JUU ADII CHINI KANI KATAZA MIMI, kuna wakati nlinyoa nkasema wacha niende nyumbani nkapitia saluni nkanyoa vizuri nkidhani nitampendeza, kufika nyumbani alini pokea baadaye nkatoa shati nka baki na vest, kanichunguza uko juu kapata nmezitoa nko safi, Dr hapo hapo, maneno zake kanza kua tafauti, nkimuliza kitu jibu mbaya mbaya dah, nlishangaa kwani nmefanya kosa gani tena, saa ya kulala ikafika nkaona ana shuguli na miki ata, nikambemveleza pole pole, akani jibu alieni nyoa akanipa si yeye, nika shanga sana, akaniambia tena nilie kuanaye akinipigia simu ndio nkatae kupokea niende kwake, Dr sina la kusema hadi kwa sasa, ilibidi n rudi Zanzibar makavi hivyoo, bado namtumianga meseji na hajibu, asubui na jioni kila siku na tuma mimi, kwa sasa narudi kenya tareh 18 nifanye nini ndio anielewee jamani? Wenye watasoma haya meseji yangu jamani naomba ushauri! Asanteni sana
@user-te4no2di1s
@user-te4no2di1s 3 ай бұрын
Nauriza wakati mwanamke ana uterezi mbegu za kiume zinatoka haraka kwani zinafutana,
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 4 жыл бұрын
anaerudia kuangalia hii leo baada ya mchungaji kuaga dunia nani? rip
@bhangolyangwa7449
@bhangolyangwa7449 3 ай бұрын
Nafanya marudio
@bhangolyangwa7449
@bhangolyangwa7449 3 ай бұрын
Topic nzuri kurejea
@user-gw3sf2pm8r
@user-gw3sf2pm8r 2 ай бұрын
O
@judithmbwilo1194
@judithmbwilo1194 5 жыл бұрын
Huyo mtangazaji wa kiume anaongea sana hadi anakela, kwani yeye ni doctor au mtangazaji?
@yasinselemani56
@yasinselemani56 3 жыл бұрын
Kaselini ndionn
@stephanoiddi568
@stephanoiddi568 3 жыл бұрын
Jj
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Hairuhusiwi chiinii ya umri wa miaki kumi na nane
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
Dr hapo kwa Multiple relationship ni uwongo.
@marijanikhalifa7445
@marijanikhalifa7445 4 ай бұрын
mpe nafasi anongee sas dokta
@isatewa4418
@isatewa4418 2 жыл бұрын
Mm naweza sema mke ambae si bikra siwezi toa mali
@isatewa4418
@isatewa4418 2 жыл бұрын
Dokta kiukwer ndio mana Kuoa mwanamke ambae sio bikra niharamu xana kiukwer
@hasanoshohilali10
@hasanoshohilali10 2 жыл бұрын
Imeandika WAP ni haramu
@hubman6780
@hubman6780 4 ай бұрын
Shida ni Sindano na vitanzi vya kupanga uzazi
@user-yb6qc4bk3h
@user-yb6qc4bk3h 4 ай бұрын
Mafundisho mazuri naomba number yenu
@davidawet3214
@davidawet3214 4 жыл бұрын
Hata huyo dada mtangazaji anaonyesha hajawahi kufika kileleni
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 spare my ribs
@hasanoshohilali10
@hasanoshohilali10 2 жыл бұрын
Kashapata mwingine,,achana nae
@madharayakuachaimaniyadini5066
@madharayakuachaimaniyadini5066 3 ай бұрын
Lakini pia wanasahau kwamba wanatupa lawama sana kwa wanaume wakati pia wanawake wengi wamekuwa malaya yaani wametumika sana kiasi kwamba hawaliziki kabisa na wameshatumia matango, artificial penis, chupa za soda nk. Sasa huyo wewe binadamu unamlizishaje? Nashauri wataalamu wafanye utafiti wa kutosha kwa jinsi zote ili wapate namna ya kusaidia watu wote.
@nuruhossein6144
@nuruhossein6144 3 жыл бұрын
Uyu kaka anachanganya docta ajamaliza anaoji swali lingine
@user-te4no2di1s
@user-te4no2di1s 3 ай бұрын
Nauriza wakati mwanamke ana uterezi mbegu za kiume zinatoka haraka kwani zinafutana,
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 137 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН
MITIMINGI # 885 UKITAKA MKE WAKO AKUPENDE WEWE TU ZINGATIA HAYA
20:51
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 128 М.
MITIMINGI # 675 JIFUNZE KUKATA KIUNO KUBORESHA TENDO LA NDOA
15:41
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 567 М.
CHAKULA HIKI NI MUJARABU KWA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
16:22
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
Fanya haya kwa bibi kuendelee kuwa mdogo,usiachike.
14:55
The XO
Рет қаралды 200 М.
MITIMINGI # 579 UKITAKA UPENDWE NA MKE/MUME FANYA HAYA NDOA YAKO ITAKUWA BORA
30:21
Dawa tatu bora za asili za nguvu za kiume - Dr Bihizi
3:25
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 137 МЛН