JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 33
@barakagwata23782 күн бұрын
Kisugu ongelea mpira,achana na siasa,mama suluu anaingiaje hapo,au unataka cheo
@user-qw9zu3ly8mКүн бұрын
Safi Kisugu Nakubali maneno kuntu
@MussaEnock2 күн бұрын
Nakupata kutoka geita hongera kwa kuwaerewesha watanzania
@GEORGEKASOTE2 күн бұрын
Uko vizuri Dogo Kisugu
@MchungajiMwamengoКүн бұрын
Well done Kisugu Kuna mtu anaumwa eti ulivyo mpongeza mh.Rais kwake Hilo kelo achana naye hanitambui
@MchungajiMwamengoКүн бұрын
Wewe ni mgonjwa wa kufikiri nyamaza kimya wanaojua kuchangia waendelee.
@user-gp7es3sg3k2 күн бұрын
Acha kujikomba komba kwa mama huna erimu ya kukupa cheo chochote hata ujumbe wa nyumba kumi hupewe alafu bakisha maneno
@brucardkomba6162 күн бұрын
Ongerea mpira mambo ya siasa yatakupoteza.
@DonatelaSanga2 күн бұрын
Kweli kabisa kaka kisug
@SulemaniNassor2 күн бұрын
Kisugu upo vizr sana
@georgegregory84142 күн бұрын
Kisugu anajiwa sana
@rubenntiyaga3358Күн бұрын
Huyo ni Rais wa nchi ana haki kuiweka picha yake hapoo!!!
@davisbwatwa1152 күн бұрын
ni kweli kisugu japo hawataki ukweli uto
@LeonardMayala-gv1yxКүн бұрын
Hapa dinga misugwi
@FraziaGeorgeКүн бұрын
Itakuwa ww ndo unaumwa Acha simba ipendeze bana
@user-ib2ew9ec3d2 күн бұрын
Toa iyo picha hapo pembeni niilikua nakukubali ila kwaiyo picha nakuona unapigatu makelele huna lolote
@AmosiSimbeye-ll8pg2 күн бұрын
Kisugu uposai kabisa mwabiye
@danielramadhan11172 күн бұрын
😢😢😢😢
@user-oc6ff9yg1c2 күн бұрын
Kombanisheni😅😅
@selemankajonjo16382 күн бұрын
Chawa mpiga debe wa viongozi
@HamisiMnuwe2 күн бұрын
Kisugu ongela kwa bek mpya
@user-ji1mq4sk1n2 күн бұрын
kuwa kataa ni swala la muda
@salehnassor95532 күн бұрын
Si ananunua goli moja Tsh.millioni 5 hadi 10.
@davidndungu86192 күн бұрын
umeanza kuusifu uongozi wa simba mbeleni uliwaponda kalipwa huyo
@ThePlants-zc3rp2 күн бұрын
acha kumponda ikiwa ww mwenyew na utopolo yako amna kitu
@SamiriWahab-ue1wy2 күн бұрын
Yanga bingwa Mara 5 ngao ya jamii yanga anachukuwa safari hii bila pingamizi
@khadijahussein52982 күн бұрын
😂😂😂
@user-tm7nt8wm1x2 күн бұрын
Wewe uwezi kuifunga simba bila figisu na milija yenu yote tumeiacha yote saido ,chama,aishi manula,inonga hao wote ndio waliokuwa munawatumia bc waleteni mama zenu mwaka ili mushinde
@khadijahussein52982 күн бұрын
@@user-tm7nt8wm1x 🙉😂
@user-kt3fr1xg7f2 күн бұрын
Mkund wako ww kwel tege
@davidndungu86192 күн бұрын
siku hizi hata umenona uliwashambulia uongozi hadi wamekuita wakakulisha sasa hata sura imerudi
@VitalessGalus2 күн бұрын
uyu jamaa ni muongo xana anaga pweti
@MrishoMindu-zq7mz2 күн бұрын
Rudi shule ukajifunze kuandika na kusoma kiswahil. Ujue unapo anza kuandika unaanza vip. Wewe kila siku pwet pwet kirusi gani hiki?