Hongera sana Muheshimiwa. Hivyo ndivyo inatakiwa, Lazima tulinde Maadili ya Nchi Yetu.
@SoudHussein-ju8zm4 ай бұрын
Hongera sana kiongozi 💯
@mpjozzegalvanize49265 ай бұрын
Safi sana DC MWENYEZI MUNGU akusimamie kwenye hili.
@malakisilas65234 ай бұрын
Itakua nzuri ikipigwa marufuku nchi nzima,mwanafunz kuchezeshwa ngoma.Itafutwe njia mbadala ya burudani,siyo kuchezeshwa singel.
@edwardmyinga30305 ай бұрын
Magoti ,upo vizuri sana kwenye leadership
@hajiabdalla57723 ай бұрын
Sawa sawa na ndio maana umalaya hawishi mtoto mdogo anaanza mambo ya kishenzi mapema.kujibinua binuwa.na mpaka watoto wa kiume wanachezeshwa ngoma na kukata viuno hii ipigwe marufuku Tanzania mpaka Zanzibar huko nasari skuli walimu wanawaharibi watoto mambo ya ngoma miziki maskulini yaondoshwe
@mrsdeborahurio5 ай бұрын
Asante Sana ,Mungu ! Safi Sana, Mungu awe nawe!
@khamisswalehe5 ай бұрын
nchi itakaa sawa kimaadili inshaallah
@malakisilas65234 ай бұрын
Hongera sana Mkuu,maana maadili yanakua yanashuka.
@allymtito81175 ай бұрын
Hongera sana
@AhmedMtumweni5 ай бұрын
Dh Yani umeongea hii ni kweli wanafunzi wamevaa fomu lkn wanacheza uchi kweli kweli swala hili likaziwe tena tunaunga mkono
@momamishevevo84605 ай бұрын
Dc hongera sana. TYCCO tunaungana na wewe kupinga mimba za utotoni kiukweli hilo la kuanzisha klabu ya Maadili litasaidia sana. Kataa UKATILI Wewe ni shujaa
@IssaIra-j9u4 ай бұрын
Mama mpe Rc na weza sana
@thadeusmarkiminja22824 ай бұрын
Hongera meno mekuu watu wanashindwa au kuongea ulyoyasema
@StAr-yu3vz5 ай бұрын
Yaaani mkuu hapo umenifurahisha
@StAr-yu3vz5 ай бұрын
Yaaani hapo mambo watoto wetu ukifanikuwa tutashukulu maana wenye miziki wakija shureni kuja kuwachezesha watoto segeri
@jennytugara94705 ай бұрын
Is a comedian or the DC wa kweli? Eti unatafuna Watoto wetu 😃😃
@josephlorri4315 ай бұрын
😅😅 mhuni dawa yake unamshughulikia kihuni..lugha za kihuni,mapigo ya kihuni.. sio CD,ni DC (District Commissioner)
@jennytugara94705 ай бұрын
@@josephlorri431 ok asante kunielimisha ndugu
@shaban66445 ай бұрын
@@jennytugara9470 you need to be serious my sister, The Man who speak there is DC.
Kwa kweli hapo nazani kama nimekuelewa kidogo. Maana watt sasa hivi wanacheza singeli wanavyotingisha matako utazani makahaba wa kwa mpalange .daaaaaa
@SamoraAmiri5 ай бұрын
Upo sahihi mkuu
@jacquelinemwakasala95634 ай бұрын
Mkuu hongera
@willygwaikana5 ай бұрын
Hilo ni sawa, lakini mbona bongo fleva zinahalalishwa kupigwa mashuleni wakati wa mahafali! au kuna gongo ya serikali na gongo ya asili. Je, bongo fleva za kina Diamond hazipotoshi wanafunzi!!??? Na hizo bongo fleva zinazooneshwa kwenye mabasi zikiwa na viashiria vya ngono na mavazi ya uchi haziathiri watoto wanaokuwa ndani ya mabasi hayo ya abiria??!!! Hebu macho yetu kama walinzi yaone sawa sawa.
@DuniaAlly-oz4ur4 ай бұрын
Ww Acha kuchezea miracle za watu
@HassanAbdul-xb3dk4 ай бұрын
Good job
@allymbarouk53622 ай бұрын
Jamaa anapiga kaz vyema
@KONDOBANNAHMUSIC4 ай бұрын
Mkuu sasa ushauri wangu hao wanaoshikashika wanafunzi UNGEKUWA UNAPOKEA USHAHIDI WA PICHA INGEKUWA SAFI SANA lakini ushahidi wakuongea tu unakuta mtu ana kisa na mwalimu basi wanamuundia kesi tu kumkomesha skuhizi ni utandawazi mheshimiwa USHAHIDI WA PICHA NDIO MZURI SANA ATA MTU KUBISHA HAWEZI KUBISHA Nafkiri sheria ingelitazama hilo nalo
@hssanrubota38914 ай бұрын
Hapo umeupiga mingi sana lakini walimu nao wanapenda hayo mambo mafano kwenye hafla za kumalizia kidato cha 4 na dar la 7 huo mziki inachezwa hapo ni hatari hayo nayo yapige marufu mashuleni Mutu unaenda kupokea ripoti ya mtoto watoto wavo kata viuno utfili uko baa
@meshackthomas13415 ай бұрын
Waharibivu wa mabinti. Wanao soma serikal iwashugurikie sawasawa wanafanya makusudi Tz inalizefu za wanawake waliokomaa wengi sana hadi. Ukizembea watakwambi ivi we mzima kwel yanini uchezee nyalaka za serikal👉🔥
@gladistaemanueliy63365 ай бұрын
Kweli dc umeongea pont
@HashimSalim-qj7zn4 ай бұрын
DC UKO VIZURI
@YusuphuMakange4 ай бұрын
Namuona afande wangu kimbo
@user133754 ай бұрын
Waziri wa elim yuko wapi?😮😮😮
@ginazngo43174 ай бұрын
😂😂😂hatari sana
@SaidChambi4 ай бұрын
Punguza Ngoma DC.kisarawe
@valenakomba76864 ай бұрын
NA HASA WALE WANAOCHEZA KIFUDIFUDI.
@alphoncewilliam43255 ай бұрын
Watanyooka tu makonda wa 2
@pilatoonlinetv96605 ай бұрын
Jamani CCM wamefirisika kweli Duh... Huyu nae et ni mkuu wa wilaya ila kisalawe haina bahati Ma DC wake wote wanakuwaga vituko tu Mara Bongo movie sas ni zamu ya comedian 😅
@GibsonNtamamilo5 ай бұрын
Umevamia baad ndugu hama.
@ErinestBoniface5 ай бұрын
Mfuatilie vizu jamaa anachapa kazi sana kanyooka mfuatilie
@MohamedAhmada-ie7ke5 ай бұрын
Kwaiyo ww umeona kaongea pumba, kuzungumzia maadili ya wanafunzi, yani kuna watu ata sijui kama sio mawakala wa shetani
@abadimapunda72184 ай бұрын
We ulitegemea aseme Nini ili uone anafaa kuwa mkuu wa wilaya?
@hajiabdalla57723 ай бұрын
Wewe chizi
@robertmahenge36145 ай бұрын
Fuatilia Mambo ya msingi wewe watu washindwe kucheza na kuinjoyi
@GibsonNtamamilo5 ай бұрын
Huo ndio msingi wa mambo ya Msingi. Uwezo wako wa akili ni Mdogo sana.
@yothamlameck29734 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤
@MwananshomaZenzeione5 ай бұрын
Huna kitu wew
@adamyaled17085 ай бұрын
Vilema sio watu wee kweli shetani kabisa na hufai kuwa binadamu,bahati yako mbali,ndio nyie hata kuzua albino! Pumbavu panyaroad mkubwa wee!
@KareemMandela-d5l5 ай бұрын
Hii nchi bhana hata vilema wana mikwara ety kisa mamlaka
@ayububakari99425 ай бұрын
Wewe ndio KILEMA wa fikra UNAAMBIWA MSIKILIZE NA UMTII KIONGOZI VYOVYOTE AWAVYO !! Halafu kabla hujafa hujaumbika
@stellajoseph93345 ай бұрын
Hujafa hujaumbika ndugu ,acha dharau mungu anakuona ohoooo!
@issashekh47265 ай бұрын
Mamlaka ndio inayoongoza sio vile alivyo
@verdianabanabi22055 ай бұрын
Na wewe hujafa unaweza kupata kilema kuliko yeye alivyo.
@KareemMandela-d5l5 ай бұрын
@@verdianabanabi2205 mara hii tu umekua mungu Aisee duh una huruma kweli dada yangu