Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allah Akupandishe daraja kwa kazi yako nzuri ya kulingania waja Wake katika dini ya haki,Sheikh. Huwa wanifurahisha sana,Imam Shafi.😅😅😅👍👍
@tanzanian88473 жыл бұрын
Alhamdulillah kuumbwa muislam. Allah atuhifadhi n atupe mwisho mwema. Allah awalipe kheri nyingi masheik wetu
@abbaimran41223 жыл бұрын
Allahu Akbar,Mashekhe wetu Allah awalipe kheri hapa duniani na kesho akhera maana juhudi mnayofanya ya dini sio kidogo. Alhamdulillah kuwa neema ya Uislamu
@yahyanduwayo62094 жыл бұрын
Ustazi Shafii iko vizuri kwakweli Allah akuzidishie elimu sheikh wangu
@hassanmirambo5645 жыл бұрын
Ibrahim Bakonzi ndani ya nyumba asanteni sana ALLAH awajaalie kila lakheri wahadhiri wetu wa Kiislam
@rashidmohamed19493 жыл бұрын
Shkh SHAFII MMEWAGARAGAZA JAMAA ILE MBAYA Takbeer
@rashidmohamed19495 жыл бұрын
Alhamdulillahi Alhamdulillahi Alhamdulillahi Alhamdulillahi Alhamdulillahi x infinity kuwa Mwislam
@yusufathman24783 жыл бұрын
Wallah ..nmekumbuka aya "khatama llahu alaa kuluubihim wa alaa sam ehim wa alaa abswaarihim ghishaawatun"
@muksinally21445 жыл бұрын
Ninacho kiona hapo n kwamba wakristo wana tafsiri biblia kwa kichwa chao wakati biblia inajitafsiri kwa biblia yenyewe,. Ahsante sn Allah kwa kunipa neema ya uislam
@frankjohn85705 жыл бұрын
Muksin Ally biblia haijulikani kwa watu wamataifa hilo halibadiliki mtu asiekuwa na ROHO wa Kristo hajifunzi kwa Kristo ndimana wanasema wapotoshaji eti ulimwengu ni Israel pekee ,sasa wasubirie mwisho wa ulimwengu YESU atakapokuja kuhukumu kama itakua kama wanavyodhani bora umwamini Bwana YESU uwe mtoto wa Mungu usjetupwa jehanam
@sokakilumbi92934 жыл бұрын
@@frankjohn8570 yesu hawezi kuhukumu kwa sababu yeye sio mungu na wala hajui iyo siku ya hukumu itakuwa lini na saa ngapi Matayo:24.36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. na yesu sio mungu nikiumbe kama wewe anakula na kunywa kama binadamu wengine Luka:7.34 Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi. na kiumbe dhaifu kama mimi na wewe Matayo:26.39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. ..umeona hapa yesu anaomba sasa kama yeye mungu vipi aombe!!!! na ukiona kiumbe anaomba basi ujue icho ni dhaifu hakiwezi kujikidhe haja zake chenyewe.. so yupo anastahili kuabudiwa na ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mshirika katika maamuzi yake uyo ndie atakae hukumu baina ya watu wooote mimi na yesu pamoja na wewe na wengineo tutahukumiwa na yeye.
@alliabdullah61803 жыл бұрын
@@sokakilumbi9293 mfundishe huyu sisi Allah katupa elimu ya maandiko👍
@fatmazullu49334 жыл бұрын
Very clean sound! Sheikh Shafi all the best and Allah bless you!
@handenitakuru66963 жыл бұрын
+255684371516,I have things with you please text me
MA SHA ALLAH SHEIKH SHAFI MAY ALLAH GUIDE AND PROTECT YOU AND YOUR DA’AWAH GROUP ALLAHUMMA AMEEN.
@yia7311 ай бұрын
Kweli ulimwengu lakini kwa mayahuudi tuu
@arafatkhalid43914 жыл бұрын
Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya "ELIMU" Na "AKILI" Kibaya Kuliko Vyote Ni Mtu Kukosa Vyote Kwa Pamoja!
@rahmakishiwa15283 жыл бұрын
😀😀😀
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂
@omg20263 жыл бұрын
MashaAllah! Great debate. Waislamu wameweka elimu sawa kabisa. Mungu awezidishiye.
@oscarramazani12893 жыл бұрын
Wakirsto maneno mengi yasiyokuwa na msingi, wasio waisrail wajing'ang'anizao kwa Yesu , Yesu kawaita Mbuwa.
@salimalmahrizi3955 жыл бұрын
ustadhi Shafi Allah akubariki yaani wewe tishio kwa Wakristo wooooooote.
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Alhahu.akbaru
@sosdododo56533 жыл бұрын
Mashaallah hii ni yakitambo sijawahi kuiona kama alivyosema ustadh shafi huu ni mtahani lakini kwavile wao niwalimu watafundishwa tu nawame fundisha vizuri kabisa hata kama ni mtoto wamiaka 6 ataelewa manake wanafundishwa neno kwa neno one by one vizuri mungu awape subra masheikh wetu
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Bado nibilia inazidi kuonekana upungufu nusu yete ya bibilia ni akili zakibinadamu kwamwenye kuzingatiya nakufwata haki na kweli
@husseinshaban71814 жыл бұрын
Nafurahi mtiririko ndani saudi Arabia mada safi undugu katika elimu salama mungu ajalie WAPate Dini na imani kamilifu
@HassanAli-eq8ko3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿mashaallaah mola tuhifadh ss sote...pamoja na mashekh wetu wote.....🇹🇿🇹🇿yarab wahifadh wahadhir wa kiislamu amiin yaarabaliaalaamiin 🤲🤲hongra sana ust shafii mola azidkusaidia 🤝🤝🤝
@athumanihimbawe44345 жыл бұрын
Maasha allah,allah awaongoze wahaadhiri wote waisilaam.
@mrconfusedj96204 жыл бұрын
Kama kitu unakijua hakikupi shida wakristo wagumu kuelewa
@ismailyussuf18055 жыл бұрын
Shk.Shafi,ALLAH ATAKULIPA KHERI INSHAALLAH.Huyo akiliyake iko KISOGONI.
@hassandormkeyo48672 жыл бұрын
Mashaallah sheikh shaffi 🙏🙏🙏 Allah akupe maisha marefu sana lakini pia aufanye mwisho wako kuwa mwema
@عليحمد-ح8ث4ح4 жыл бұрын
Mashaa ullah shekh shafii Allah akuzidishie
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Ustadh shafii nampenda Sana yaani katulia tuli akijibu yuajua Bible and Qur,an
@fetrishakaza14735 жыл бұрын
Mungu aziilishwi kwamaneno bali kwa nguvu
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
@@fetrishakaza1473 lyo yako peke yako
@fetrishakaza14735 жыл бұрын
@@rehemaahamadiahmadi566 uondoukweli mungu simaneno bali ni nguvu nyikilasiku niwatuwaneno nguvu kwenye majini kwenye falaki
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
@@fetrishakaza1473 haaya
@sokakilumbi92935 жыл бұрын
@@fetrishakaza1473 Nyinyi makafir ndio mna majini..
@hassanounAbdul2 ай бұрын
Al ustadh Shafii Mashaallah Allah akuweke mpaka vizazi vya 2000 vizae na vipate wajukuu vije viimgie katika Uislam
@ashtube13332 жыл бұрын
Very clear Speech
@anicetnahayo24834 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awalaisishie kwa kila jambo ma sheikh zetu.
@111dudi3 жыл бұрын
Ustaafh Sharon, Mungu akulinde na akufanikishe.
@samwelbunzali19142 жыл бұрын
Shafii uko vizur Sana inn-shallah mungu akujalie mwisho mwema amiin.
@hassnakhamis34893 жыл бұрын
Kama una penda mawaiza ya mashekhe wetu wa TANZANIA sema tak bir
@alibell52463 жыл бұрын
Najivunia kuwa muislam alhamdullah
@hamisihassan36345 жыл бұрын
Mashallah shafii umetulia kweli kweli
@hemmedrashid7854 жыл бұрын
Masha Allah ustadhi shady wape Darsa hao wapotevu
@abujamalaalghammawiy74704 жыл бұрын
Nilichojigunza hawa wachungaji wanajibu na kuchambua maandiko kwa maoni yao na mitazamo yao, ila waalimu wa Uislam wanatoa maandiko kama yalivyo bila kupepesa andiko kivingine
@Bosskasimu01 Жыл бұрын
Masha Allah
@harithwhite5895 жыл бұрын
Mpiga picha nakulaumu sana, wakati Ustadh Shafi anawachamba unashindwa hata kutuonesha nyuso za hao maaskofu wanavyodhalilika ili tuone wanavyo react.
@keazi96385 жыл бұрын
Harith White majafili nyie
@jamaldinhamady86875 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@zachariabin54004 жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaaaaaa
@najmagudeh2034 жыл бұрын
😂😂😂
@ashajuma86864 жыл бұрын
😆😆😆
@عبداللهباحميد-ت7ج3 жыл бұрын
MASHALLAH. SHEKHE. SHAFI. M/MUNGU. AKUHIFADHI. NA AKUPE. ELIMU. VIZURI. YAARAAB.
@andanesalimoandanesalimo17854 жыл бұрын
Sheikh wangu ALLAH awazidishiye
@jumaamsuya52644 жыл бұрын
Shafii bg up malim ukovinzuri Allaah akupe umri mref isha Allaah
@HassanAli-lt4xm3 жыл бұрын
Wallahi shafi anafurahisha na anaelimisha
@apolloorao41103 жыл бұрын
Yes your are right mwalimu .. Christ come to save Israel but later he turned to the whole world ... Those are two house hold to be united in one .
@عبداللهباحميد-ن4ق2 ай бұрын
Mbona Maelelezo Yko Ustadh Shafi Saafiii Kabsaa MASHA ALLAH pole Pole Hata Kizuwii Ata elewa Tuu
@alialghaithi25544 жыл бұрын
Kipindi kizuri shukran shekhe Sharif Shomari
@kimoyochemokos69084 жыл бұрын
Hakika maswali hayo na majibu, yatatujenga sisi kiimani. Allah awajalie hawa mrengo mwingine, waelewe maandiko na tuwe wote waisilamu moja, dini moja.
@abdallahissa26174 жыл бұрын
Mazinge alishasema maswali yetu sis waislaam hayajibikii huyo bwana anajikanyaga tu Allah awalipe kila la kher mashekhe wetu mnaowaonesha din ya hakii.
@aminakidunda89813 жыл бұрын
Mashaallah akiwepo ustadhi shafii hakuna kinacho haribika watakuelewa to allah azidi kukupa afya ili ndug zetu wazid kuielewa din ya.haq
@rayaali75513 жыл бұрын
Daaaah chezea SHAFI WEEE 🙆♀️
@popod1775 жыл бұрын
Kwani huwa hawayaoni haya maandiko, hadi waislam wawaonyeshe kila siku.. Ukristo ni shida
@ikramtryphon14865 жыл бұрын
Safii ostadh shafii nimekuelewa sana umemaliza hoja
@jeanmubemba12045 жыл бұрын
Shafi maana ya aya hizo mbili,sikutumwa ila kwa ajili ya kondoo waliopotea waisrael,huwezi ielewa maana huamini kama alikufa na alifufuka,hujui nini maana ya kifo,chake,aliwakataza kwa sababu bado alikuwa hajamwaga damu yake,alipoimwaga damu yake ndipo alipoununua upya ulimwengu wote,ndio maana anajiita mwana wa adam.Baada ya kuununua ulimwengu wote ndipo anawaagiza akisema enendeni ulimwenguni wote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe, aaminiye na kubatizwa ataokoka na kuurithi ufalme wa mbinguni. Shafi,kubali mtume aliposema yaa isa in mutwafiki'hakika sisi tutakufisha,ndio maana mtume amemwita neno la mungu aliloliweka kwa mariam hahah hayo yote hamyajui ninyi ni abiria wa yesu, wote waislam,ndo maana anarudi kuihukumu dunia na kuamua nani aingia mbinguni na nani asiingie,shauri yako batizwa unachelewa muda umeisha.
@fatmanasornasor90475 жыл бұрын
@@jeanmubemba1204 shafi hawez kuamini kama yesu hakufa maana hakufaa
@OmanOman-bh4yh3 жыл бұрын
Eee mungu nashukuru kuzariwa muisram na unipe mwisho mwema
@nasibodaudi2135 жыл бұрын
Sheki shafi MUNGU akubariki kwa elimu zaidi
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Mchungaji umeelezea vizuri sana kwakua waislam nipasua kichwa hawawezi kuelewa maandiko
@mohammedamour92815 жыл бұрын
Maashaallah shafii Allah akuongoze akuepushe na Upaku
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@mohamedrashid86152 жыл бұрын
Shaffi Allah akulinde na hasad za binadamu in Sha Allah
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Allah akbaru wajaliea mashekhe wetu kuieneza dini yako imshallah
@abiseniyaboyethiopianboy55533 жыл бұрын
Mashaalah
@kijanahodari20804 жыл бұрын
MashaAllah hawa watu lazima waelimishwe ili waukubali uislamu
@raiswamaraishalisi84265 жыл бұрын
Raha wallah ! Nabivunia uislam Na kua muislam
@mwakajohn18194 жыл бұрын
Usilojua ni usiku mnene. Unajivunia njia ya upotevu, pole sana.
@najmagudeh2034 жыл бұрын
Mwaka john... pole ww ambae unaingia kanisani na uchafu wako
@mwakajohn18194 жыл бұрын
@@najmagudeh203 nakuonea huruma, sala za kinafiki ni zile zinazoagiza kuosha kikombe nje. Sala ya kweli unaanzia kusafisha ndani, kisha nje. Matendo ya mwili ni agizo la shetani. Unapotea kwa kutojua ukweli halisi wa mungu.
@salehesengiyanka53973 жыл бұрын
SHAFII UNAFUNDISHA VIZURI SANA AMBAYE HAKUELEWI ANA KICHWA KIGUMU SANA
@asilesaid92633 жыл бұрын
Shehe shafii hatar hongera
@hawasshibbyalfalasi85514 жыл бұрын
Mashaallah waumini wa kislam Allah awaongoze inshaallah kweli dini ya haki ni uislamu
@haydarhamad65323 жыл бұрын
Ostadhat Shafi yuko vizuri Masha'Allah!
@issamohd99554 жыл бұрын
Mashaallah kila lakheri masheikh wetu kwahakika twajivunia sana juu yenu Allah awape umri mrefu na mwisho mwema kwasote waumini wa kiislam tuko pamoja masheikh wetu mkono kwa mkono hadi peponi
@omarabeid13634 жыл бұрын
Tatizo shule kama sh shafi anavyo sema
@ashtube13332 жыл бұрын
Shafi speech inaeleweka clear
@rashidodinga20535 жыл бұрын
Jaazzaka LLAH kher
@doopaq8043 жыл бұрын
Isaiah 42:6 Verse Concepts “I am the Lord, I have called You in righteousness, I will also hold You by the hand and watch over You, And I will appoint You as a covenant to the people, As a light to the nations
@yia7311 ай бұрын
Nations of 12 tribes ONLY. 😅
@moanamohammed14064 жыл бұрын
Alhamdulilllah..masha Allah
@seniorcade17843 жыл бұрын
Mwalimu shafii amefunza ya kutosha ....asante mwalimu 🤝
@سعدياقوت-ت2خ2 жыл бұрын
Alafu namuona ustadh wangu bakonzi hapo katulia makiiini
@rbagha52802 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@fishhamza16485 жыл бұрын
Wanajuwa ukweli ila ustazi Allah akulipe katika kazi Allah unafanya
@hassani.ikondo.77534 жыл бұрын
Mashekhe fikisheni ujumbe kuclimu Mungu atawachagua awatakae dhima itatutoka inshallah
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah.
@aishamaulidi46795 жыл бұрын
Masha Allah Wakristo munakwama wapiii Mungu akubariki shekhe shafii
@OmanOman-bh4yh3 жыл бұрын
Shehe shafii wape awoo
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Mwenye injili sahihi iko na 12 kbilazakwao tu wangine watafute mulango mapema
@hemedmasoud93064 жыл бұрын
Kweli skio lakufa kamwe aliskii daaw.yani pamoja namifano yote iliyotolew na Ustadh shaffi lakini bado amuamin.sis kaz yetu waislam.nikuwatoa kweny giza wakristo.
@shabamuhidin6342 жыл бұрын
kumbe uokozi Mungu amewaahidi waisrseli peke yao,lakini kuna watu wanasema hapana Mungu alikosea..duh wanang'ng'ania John 3:16 ambayo ata Mungu anasemewa (reported speech) na wala halijataja jina la Yesu
@nasymchuzi86674 жыл бұрын
Shafi Allah akulipe
@jjtm1642 жыл бұрын
Yohana 3 17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
@samwelbunzali19142 жыл бұрын
Shekh: shafii hakika umejaliwa busara na hekima mdomon Mash-allah:
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Uisilamu ndio dini ya haki 2
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Amin
@AllyHilal3 жыл бұрын
Sheikh Shafi hujawahi kuniangusha.
@salehhemed93884 жыл бұрын
Mwendelezo plz
@samwelbunzali19142 жыл бұрын
Umetulia Sana kwenye maongez kama maswahaba wa mtume.
@sngrafx3 жыл бұрын
Rafiki zangu wakristo msichukie mkiona waislam wananukuu Yale mliokuwa mkiyasoma bila kuyaelewa kiundani ila chukua muda wako soma kwa undani bila kutanguliza mapenzi kwanza ingali mnachangamoto ya kuelezwa kuhusu uislam katika negative way kitu ambacho kinafunga fahamu zenu kuhusu ukweli tunaoelezwa ila kikubwa mwenyezi mungu humuongoa amtakae, nalipa pongezi hili kanisa
@abaslegera98414 жыл бұрын
Alhadulillah kwa kuwa muislam Dah hawa jamaa hawawezi kujibu bali kulalamika tuu
@alhajimadada7914 жыл бұрын
ALLAAHU AKBARU
@MkgmailcomSaidi4 жыл бұрын
Allah awaongoze waijue haki waweze kifuata kila kitu kiko wazi tatz cjajua ni nn kwa wenzetu,
@arnoldlucas69094 жыл бұрын
Hongera sana mchungaji
@jjtm1642 жыл бұрын
Ust ashindwa kujibu swali je Tanzania ni ulimwenguni?
@swaleheamri23033 жыл бұрын
Shafii uko vzr hadi raha.
@nazonahdi99935 жыл бұрын
Mashallah ma shekh mnajuwa kuwapa wakiristo ila wanajifanya hawaelewi kumbe wanajuwa sanaaaaa ukweli
@jamaldinhamady86875 жыл бұрын
Makafiki wana nyota ya moto..
@jamaldinhamady86875 жыл бұрын
Jahanam inawaita...
@jjtm1642 жыл бұрын
Asante mwalimu wa kikristo kwa maelezo ysnayo kuwa sana
@novismgeni47985 жыл бұрын
Nice wachungaji ume wafundisha waislamu somo zuri
@sokakilumbi92935 жыл бұрын
ukiristo ni picha la kihindi star kafa then kafufuka sasa anajiandaa kuto scene nyingine..
@nohatredbutlove57865 жыл бұрын
#NovisMgeni unafurahisha ati kawapa somo waislamu. Wachungaji vilaza sana hawa, yaani hata mimi mwislamu wa kawaida tu naweza kudebate nao, watawaweza masheikh hawa? 🤣🤣🤣
@khamisfaki46404 жыл бұрын
Hawa wachristiano wanakwanga tu cjawakubal hata kdogo
@amorabdallah9085 жыл бұрын
mashaallah ust shaf ukosafi sana jiepushe na maulidi tu