DEREVA AFARIKI NDANI YA GARI AKIWA NA JIKO LA MKAA, MKE AFUNGUKA "ALISEMA ANACHAJI RADIO"

  Рет қаралды 10,610

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@AbuufawzanaSalafiy
@AbuufawzanaSalafiy Ай бұрын
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Ай бұрын
Poleni kwa wafiwa, sumu ya moto wa mkaa ni muuaji kimya kama kuwa kaboni monoxide ni gesi isiyo na harufu wala na rangi, na ni gesi yenye sumu ambayo inaweza kuwaua watu bila onyo lolote.
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 Ай бұрын
Inna lilah wainna ilah rajiuun
@MercyHamis
@MercyHamis Ай бұрын
Mmh inamaana aliingiza jiko ndan gar jmn 😳😳 🤔 hakuogopa hata kulipukiwa au nia yke alitaka ajiue tu mbna cjaelewa hapa 😢 akalock na milango kabisa daah 🙌
@AUGUSTINOUYAMBA
@AUGUSTINOUYAMBA Ай бұрын
Angechoma gar la watu cjui tungalusemaje hapa,,,,pole familia
@user-qw3yi6hy6d
@user-qw3yi6hy6d Ай бұрын
Kheee gari linaumuhimu kuliko maisha yke jamani??anyway ndio ubinadamu wa leo
@HalimaAhmady
@HalimaAhmady Ай бұрын
Mmmh 🙆 jiko la mkaa ndani ya gali😢😢
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Hapo sasa kali ya mwaka
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Ай бұрын
Jamani unalala fofo kiasi hicho mpaka asubuhi hujui kama mume wako hayupo kitandani daa hii ni shida
@AdelaMasawe-ir4xs
@AdelaMasawe-ir4xs Ай бұрын
😂😂😂ni shida
@annagesura8375
@annagesura8375 Ай бұрын
ndoo ujuwe ndoa hizi nichangamoto usione watu wanaishi pamoja ukadhani kuna upendo
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i Ай бұрын
Sku yake ilikua ishafika tu hamna la kupinga wala kukwepa pole sana mama
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Mbele yetu nyuma yake 😢
@user-cc5bs9sf5h
@user-cc5bs9sf5h Ай бұрын
Maajabu ya dunia hakuna siku imefika wala shetani eti kafanya hili hapana
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Moto unatabia ya kutoa carbon monoxide + carbon dioxide. Carbon Monoxide hii ni sumu ikivutwa na mtu inachanganyika na hemoglobin kutengeneza carboxyhemoglobin ambayo itapelekea kifo. Hivyo pamoja na baridi Kali acheni kabisa kutumika majiko ya mkaa.
@GloryNazareth-pb2jj
@GloryNazareth-pb2jj Ай бұрын
Kwa iyo uyo mama mwanaume akachukua maji yeye amekaa tu anachukua kigae na shuka unamuangalia tu hata kama tuna ugomvi mme wangu hawezi fanya majukumu yangu aise Pumzika kwa amanii😢😢😢😢 😭😭😭
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Ай бұрын
Nyumba Zina mengi usipende kuongelewa mambo ambayo hujui undani wake watu tumetofautiana
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j Ай бұрын
@@ireneshao7950Asante
@annagesura8375
@annagesura8375 Ай бұрын
nyamaza kimia wanaume hao wew huwajui tu hivi ulishakwazwa na mwanaume mpaka ukatamani ahame ndani wew
@AUGUSTINOUYAMBA
@AUGUSTINOUYAMBA Ай бұрын
Ungechoma gari ya kaka yangu nakwambia ungelimwa fimbo hata kama umekufa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
We lichawi
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
Jaman unadhamin gar kuliko uhai na mtu kafa khaaa
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Ай бұрын
Hujui usemalo ukute kaka Ako Hana ata bicycle
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Ай бұрын
😢😢😢
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs Ай бұрын
Nyokooo
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 Ай бұрын
WANAUME WANAPITIA MANYANYASO MAGUMU MNO
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x Ай бұрын
Sasa hapa umesikia manyanyaso gani ndg?
@bushbabytz
@bushbabytz Ай бұрын
sitakuja sahau siku moja nimetoka kula pombe yaani niko njwiii nikapaki gari hata kabla sijashuka nikalala yaani nilichonisaidia ni kuwa kioo kimoja hakikuwa kimefungwa mpaka juu...ningefia huko usingizi
@Njeriii536
@Njeriii536 Ай бұрын
Uache pombe sasa
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga Ай бұрын
Tena aache Sanaa coz haina faida yyte
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 Ай бұрын
Hapana inaoneka hawaelewani namke wake nalifanyakisuli iliajiue wewe fikilia mtu yuponyumbani halafu alale kwenye gali anaachamke ndani hapohapo anasema alikuwa anafanya kazi nyingine zanyumbani inaonekana alikuwa anapelekeshwa Sana na mwanamke
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 Ай бұрын
Nsimsingizie mama wa watu
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 Ай бұрын
Mshaambiwa alikuwa anachaji simu na Songea Kuna baridi. Watu wenye magari wanajua sehemu zabaridi wanawasha AC joto. Hayo majiko ukiwa unatumia unapaswa uache madirisha wazi ili sumu itoke nje.
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 Ай бұрын
Songea tena?​@@gallusmbaga5522
@HalimaAhmady
@HalimaAhmady Ай бұрын
Mmmh 🙆 jiko la mkaa ndani ya gali😢😢
@AUGUSTINOUYAMBA
@AUGUSTINOUYAMBA Ай бұрын
Ungechoma gari ya kaka yangu nakwambia ungelimwa fimbo hata kama umekufa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Mtegemea vya nduguye ufa masikini umekazana kaka huna haya inawezekana wewe mchawi
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m Ай бұрын
Umemujibu vizur ubarikiwe
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 728 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
WASTARA ASIMULIA MAISHA BILA SAJUKI, AMUONESHA MTOTO WAO
10:32
Millard Ayo
Рет қаралды 2,7 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН