DEREVA WA ROLI MKONGWE ALIYEKUTANA NA FREEMASON ATOA MACHOZI NAUMIA NIKIKUMBUKA USKU MZITO NILI....

  Рет қаралды 74,365

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

#Derevamkongwe#MKASAWAKWELI#SUBSCRIBE

Пікірлер: 79
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 11 ай бұрын
Master,master nyani mzee
@remyShabani-s2e
@remyShabani-s2e 11 ай бұрын
Dunia inamambo mengi sana tumrudie mungu
@kadewelejosef4319
@kadewelejosef4319 8 ай бұрын
Mtangazaji naomba muulize kama anamfahamu Babaangu Mzee Ali Majeshi nayeye pia alikuwaga dereva kwenye kampuni ya Zafanana lazima atakuwa anamfahamu
@MaksMedia1
@MaksMedia1 8 ай бұрын
Ok endelea kufatilia #MaksMedia utapata jibu pia Bonyeza SUBSCRIBE
@EsterMbise-pj4vd
@EsterMbise-pj4vd 4 ай бұрын
Ongera sana kijana wa zamani nimecheka una kipaji Cha kuzaliwa ongeraaaaa
@halimaabdul7543
@halimaabdul7543 11 ай бұрын
Si huyu mume wa mtu ni handsome,very funny na a good story teller
@khamisathman7171
@khamisathman7171 10 ай бұрын
Hongera mzee ata babangu ameanza 1987, Mungu awalinde na kuwakinga na mabalaa ya barabarani Amiin🤲
@HawaaYaa
@HawaaYaa 5 ай бұрын
Allah ndo kila kitu chetu❤❤❤
@bonifacewachira2080
@bonifacewachira2080 5 ай бұрын
Kwa kuhadithia huyu nambari kweli❤
@Satier47
@Satier47 11 ай бұрын
Mzee nakukubari sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@joviasein4195
@joviasein4195 11 ай бұрын
This guy is s comedian
@hassankilonzo2420
@hassankilonzo2420 6 ай бұрын
Nakuamini sana mkongwe lete darasa
@khamisathman7171
@khamisathman7171 10 ай бұрын
Huyu mzee achana nae ni comedian😂😂
@stevenkiwia
@stevenkiwia 5 ай бұрын
Tanzania nchi yenye heshima tutunze heshima yet mkongwe
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 11 ай бұрын
Pole baba muludie mungu
@allyopi6101
@allyopi6101 11 ай бұрын
Mnubi namfahamu amestaafia iringa miaka kadhaa
@abubakarmago2623
@abubakarmago2623 11 ай бұрын
Daaaaa hicho kilio xaxa yan hapa mbav cna kwel tanga vipaj vipo km king Majuto
@ayshanuur9746
@ayshanuur9746 10 ай бұрын
Jaba inaweza shika na story zake
@davidcharlesi3570
@davidcharlesi3570 11 ай бұрын
Duhh mchesh sana huyu bwana uko vzr
@KenedyGodwin
@KenedyGodwin 4 ай бұрын
Kama hutaki kumskiliza mzee tuachie,pita usitukane
@MbayaOmmy
@MbayaOmmy 8 ай бұрын
Vipi
@JaffariMzee
@JaffariMzee 5 ай бұрын
Nakubi dealer mkongwe😂
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 11 ай бұрын
Kuna shemeji yangu alikuwa anaendesha fiat badae akawa anamuendesha wazili mkuu 1985 kawawa tukiwa dodoma enzi izo
@martinkarega4219
@martinkarega4219 10 ай бұрын
Jameni ati hatii mbingu kiraka😅😅😅
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 9 ай бұрын
Mtu kama huyu ni hazina.Nchi za watu angepewa tuzo.Mfano uingereza ukiwa na kukifanya kwa uadilifu unapewa tuzo.Ndio hao Kina Sir David Beckam mcheza mpira
@Halima-wy7to
@Halima-wy7to 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka kweli
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 11 ай бұрын
😂😂😂😂 hapo kwenye kulia unanifurahisha sana 😂😂😂 Afu mzee una mikwala
@rahmasalim-k2f
@rahmasalim-k2f 11 ай бұрын
Moshi mwingi ila yote 9 anayo yasema ni yakweli binadamu wabaya
@dominiccossan5505
@dominiccossan5505 11 ай бұрын
Huyu mzee ni package, kwa sisi tuliopitia udereva tunamuona kama chuo, anafaa kuwa mmilik wa shule ya udereva
@naimajeddara8687
@naimajeddara8687 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SimonKibabila-jj4ck
@SimonKibabila-jj4ck 5 ай бұрын
😢😢😅😅😂😂❤ Mukongwe 10:33 🇨🇩
@CanaTzKawonga
@CanaTzKawonga 10 ай бұрын
Apo kwenye kunyakua taili umetupiga 😂
@MwanaPolo
@MwanaPolo 10 ай бұрын
😂😂😂Mchovu anayitwa nyani tena
@chrismaswali3704
@chrismaswali3704 11 ай бұрын
😂😂😂 from Kenya
@JamaalMallo
@JamaalMallo 11 ай бұрын
Mkongwe ukoo juuu me nimekuja hapa ju yako tu... 😅😅😅
@moneymane1082
@moneymane1082 10 ай бұрын
😂😂😂😂 wee mzee
@husnakussila693
@husnakussila693 7 ай бұрын
Kambai huko nakujua ila pole kwa misukosuko
@fawziyahassan5714
@fawziyahassan5714 11 ай бұрын
Huyu baba ni kiboko😂Wanao Comment huku wakisoma comment za wengine tujuane😂😂😂Tupa like yako apa
@VivianiKessy
@VivianiKessy 4 ай бұрын
Wakati mwingne ni muongo
@mikasatv1870
@mikasatv1870 10 ай бұрын
Duuuu
@jacintajoseph4580
@jacintajoseph4580 11 ай бұрын
Ongera dere
@fawziyahassan5714
@fawziyahassan5714 11 ай бұрын
Eti Lugha ya vidole😂😂😂jamani
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 11 ай бұрын
Mbn cjui analia hahahahahaaaa sioni chozi!!!
@chifmonger
@chifmonger 11 ай бұрын
Nikiyakumbuka nabaki hoi hela yangu naweza nikajenga msikiti😂😂😂
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un 11 ай бұрын
Anajua Kenya sana
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 11 ай бұрын
😂😂😂😂nalia!!!! ila machozi sikuona nimeona macho tuu
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mutukundila5351
@mutukundila5351 11 ай бұрын
My kenyan is Tzg 968😂😂
@mamohamed1252
@mamohamed1252 7 ай бұрын
Roli au Lori? Lori Lori Lori siyo Ro ni Lo
@youngroti733
@youngroti733 11 ай бұрын
kwa udereva wako njoo tu lol
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 9 ай бұрын
kumbe miji huijui nairobi na malaba ni tanga na morogoro
@SimonKibabila-jj4ck
@SimonKibabila-jj4ck 5 ай бұрын
😂Mukongwe
@RitaNiniva
@RitaNiniva 11 ай бұрын
Jaba hilo😅😅
@MusitafaMohamed
@MusitafaMohamed 11 ай бұрын
😮
@MarliusMajani-q4w
@MarliusMajani-q4w 11 ай бұрын
Muulize mademu wa Zambia
@geeva99
@geeva99 11 ай бұрын
Kilio cha mwendo kasi 😂😂😂😂
@ruu6592
@ruu6592 11 ай бұрын
Machakos mpoo?😂😂😂😂 Kongowea karama mpooo?
@johngachina3030
@johngachina3030 11 ай бұрын
Tupoo
@NzoaSaid
@NzoaSaid 11 ай бұрын
Mhongo bwana deleva wapi
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 11 ай бұрын
Wewe ndo sio dereva ila derere
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
Mpaka umekosea kuandika 😂😂😂😂acha makasiriko
@HuseinAlly-p2y
@HuseinAlly-p2y 8 ай бұрын
😅😊😅😅😊😅
@IshaaMdoe
@IshaaMdoe 11 ай бұрын
Wabondei wanaongea kama cherehani asilimia kubwa wako hivyo
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 6 ай бұрын
Huyu muongo lamu hakuna ngamia ni punda tu
@issackdube4449
@issackdube4449 11 ай бұрын
Bongo your talking 2much
@rosehaule6765
@rosehaule6765 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Satier47
@Satier47 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@KhafidhSeifmohamedi
@KhafidhSeifmohamedi 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@HamisiHemedi-u8k
@HamisiHemedi-u8k 11 ай бұрын
Mkongwe zamani kulikua hakuna Fuso Fuso nizajuzi bana zamani kulikua na isuzu kichwa ya ng'ombe leilandi CD Fiati 682 maarufu kama mbaura scania 111 mitsbishi praimuva isuzu direct injection n.k
@justinhokororo9147
@justinhokororo9147 11 ай бұрын
Kama kaanza udereva 1987 fuso mayai imetoka 1992
@allyopi6101
@allyopi6101 11 ай бұрын
Kakuambia nisani siyo fuso
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 11 ай бұрын
😂😂😂
@samuelmichwaro9681
@samuelmichwaro9681 11 ай бұрын
Pia Tanzania kuna malaya wewe
@solomonadams6337
@solomonadams6337 11 ай бұрын
Tanzania na kenya ni nchi hio hio wote malaya watupuuu.💯👌
@pandaman4302
@pandaman4302 11 ай бұрын
Unatafuta kiki
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 11 ай бұрын
Wewe ndo unatafuta kiki dereva wa Carry mwizi wa ndama mjini nyau wew😂
@KenedyGodwin
@KenedyGodwin 4 ай бұрын
Jamaa Chunga kauli Yako pita heshimu Mzee wetu
@martinKarega-od4hh
@martinKarega-od4hh 7 ай бұрын
Kilio cha mwendo kasi😂😂😂
@KwizeLee
@KwizeLee 11 ай бұрын
😂😂😂
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 38 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 28 МЛН
Новости дня | 30 ноября - вечерний выпуск
4:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 70 М.
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 188 М.
UTAPENDA DEREVA MKONGWE AKISIMULIA MAISHA YA MGODINI MAMBO MAZITO.
28:11
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 29 М.
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19