MR. BLUE AFUNGUKA ALIVYOMKIMBIA DIAMOND "NILIMZIMIA HADI SIMU, KANIPA ZAWADI NYINGI KUTOKA MAREKANI"

  Рет қаралды 254,992

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@hassankhamis7380
@hassankhamis7380 11 ай бұрын
Yani Mondi tuta mdisi ila mwamba ana moyo safi sana na ndio maana hawezekani akiamua anakua kenge wa blue ni blue akiamua kua kenge wa njano ni njano kwa hio tz huyu hana mpinzani
@ashaali2853
@ashaali2853 10 ай бұрын
Diamond ana roho safi sana mungu amzidishie
@bonfilsmassi4686
@bonfilsmassi4686 10 ай бұрын
Diamond ni mpambanaji. kazi haitaki uvivu👏👍👌🤝💪💪
@Mezd-g8g
@Mezd-g8g 11 ай бұрын
Hii song inahisia za kweli mzee wa blue blue kauwa kwenye verse 💙
@abelhilonga1095
@abelhilonga1095 11 ай бұрын
Huyu mondi anafanya kazi kweli
@ecadiesel2155
@ecadiesel2155 11 ай бұрын
𝑼𝒏𝒂𝒖𝒍𝒊𝒛𝒂 𝒔𝒘𝒂𝒍𝒊????
@GodwinFrancis-x8s
@GodwinFrancis-x8s 11 ай бұрын
Hakika ni wivu tu
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 11 ай бұрын
Wivu tz ndio viwanda,,wapo tayari kusapoti lugha ya kinaijeria wasioilewa,,wakati wana wanawakilisha kiswahili safi
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 11 ай бұрын
Video ya alikiba masaa t unashoot , mond unyama sana
@JohnnyFumbo-ml3bx
@JohnnyFumbo-ml3bx 11 ай бұрын
Bongs moja la Ngoma
@Mlasidunia
@Mlasidunia 11 ай бұрын
Simba lamasimba dangote ❣️
@KOBABoy-xt6ug
@KOBABoy-xt6ug 11 ай бұрын
Noma saana❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Yn simba ww ni hazina ya Tz❤❤❤🎉🎉🎉
@StarMerinyo
@StarMerinyo 11 ай бұрын
Mr blue nae yuko vizuri
@GozbertJames-j6g
@GozbertJames-j6g 11 ай бұрын
Nipe❤❤❤❤
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 11 ай бұрын
Haujui ❤❤
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 11 ай бұрын
Mr Bluu ❤
@HashirJuma-r2o
@HashirJuma-r2o 11 ай бұрын
simba mungu akubark sana msanii pekee anzania nobar moja kila.pande tz
@JumaWaziri-z3v
@JumaWaziri-z3v 11 ай бұрын
Ongera sana mondo big up kwako kaka
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 11 ай бұрын
Blue 💙
@ZainabuIsmail-fm2ey
@ZainabuIsmail-fm2ey 11 ай бұрын
Binadam wana shida yani wanatamani watu wote wamnunie mond kitu ambacho akiwezekani wasanii wenyewe wamejitafakali wameona upuuzi mashabiki mnasababisha wanamziki wasipendane kwa maslai yenu wameshajielewa atabakia yule alieapa kwa mungu kwamba ataongea na mond akijua mond atkia mdogo molele alivyobaniwa midia walifulahia awkujua mungu anamuandalia nn mtu wake kwa vile alikua mjnja katumis mitandao kajuliksna bila tivii atimae kaleta mifia yakwake tunawapongeza wale wote walioamua kuumgsna na mond wanajieleea wengine waliongea maneno mazito wanaona aibu ila wanatsmaniawna jinsi awmeamua kujiweka kwa konde wantamani usafin daimond mungu kakunyima roho mbaya ndio mana unafsnikiwa ongera wcb mboso zuchi lavalava v voic na wale watakao kuja hii ni yetu soteongera mama mond mungu akujazie afya uzidi kumuona manao anapepea asnte wanafamilia ya wasafi atuyumbishwi ngvu moja ongera wafanyakazi nawatangzaji wote wa wasafi usafini raha kumshabikia mtu snaejielewa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 11 ай бұрын
Umeongea vyema sana Masha biki wa TANZANIA ni tatizo sana, wanashindwa kuangalia jamaa alivyowainua wenzake wanampiga majungu. Kuna shida kwny vichwa vya watu
@IdarousPossy
@IdarousPossy 10 ай бұрын
Usilolijua nisawa na Usiku wa giza...unamjua diamond kwa nje,ila nyuma ya diamond huijui
@yvesyveldinhomzee.5682
@yvesyveldinhomzee.5682 10 ай бұрын
Mr blue ❤
@vanessajames2192
@vanessajames2192 11 ай бұрын
Mr blue noma sana
@julienbirere8310
@julienbirere8310 11 ай бұрын
Nice ❤
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 10 ай бұрын
Inatakiwa watizedi tupendane sana
@HozaYusufu
@HozaYusufu 10 ай бұрын
🎉woosh blue
@GodwinFrancis-x8s
@GodwinFrancis-x8s 11 ай бұрын
Simba ni noma
@ETemba21
@ETemba21 9 ай бұрын
Daaahhh hiyo ni bonge la shoo
@tigejuma9865
@tigejuma9865 11 ай бұрын
Blue n mkali xna toka zmn...yye ndio kafunika wote...michano ...alafu cwajua Ngoma aliishaiimbaga toka utotoni...xai ilikua anairudia ukubwani...vnye ilikua inafaa atie hio verse
@tonyi6807
@tonyi6807 8 ай бұрын
Masimba mawili yanaungurumisha East Africa....Blue anachana sio kidgo ila nadhn mondi alipaswa kuchana nahisi ipikwe season three
@rajibabalao001
@rajibabalao001 11 ай бұрын
Chibu😮😮 kama 😮😮chibu
@jackisrael.I.B.E.X
@jackisrael.I.B.E.X 11 ай бұрын
Blu alitoa wapi jina Bysa jamani 😂nampendaga bure❤
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 11 ай бұрын
Kuna watu wako serious na kaz zao
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr 11 ай бұрын
Kabisa
@othmanmusilm
@othmanmusilm 11 ай бұрын
Byser ❤❤❤
@GuezBoy
@GuezBoy 11 ай бұрын
🎉🎉Uyuni Ombi dagote
@elisafikarigo5978
@elisafikarigo5978 10 ай бұрын
Byser ndo mrithi wa King Albert Mangwea..aka kaobama
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 11 ай бұрын
Nakubal sana simbaaaaa
@aymanbinyumen3747
@aymanbinyumen3747 11 ай бұрын
What a perfect re do
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 11 ай бұрын
Mapoz#habar ya mjini
@fpmissguyalbertor209
@fpmissguyalbertor209 11 ай бұрын
Blue ❤
@bigletterletter3113
@bigletterletter3113 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 10 ай бұрын
Diamond acha tu afanikiwe mana kila msanii anamuongeleaga jinsi gani alivyo seriaz kweny kazi zake
@vincentmvuyekure5920
@vincentmvuyekure5920 10 ай бұрын
🎉🎉napenda hii channel🎉😂😅
@highcancara1993
@highcancara1993 11 ай бұрын
Siyo lazima watu wote wampende mond,kiba wala harmonize kila mtu na chaka lake
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr 11 ай бұрын
Kabisa
@IlhamUlaya
@IlhamUlaya 10 ай бұрын
Sawa bhana
@NicolousPeter
@NicolousPeter 11 ай бұрын
Nikwere la baba
@omarykimamure7656
@omarykimamure7656 11 ай бұрын
Babilon Bz
@mattjr4206
@mattjr4206 11 ай бұрын
Byser anaoneka mtu poa sana
@FECFAMILYWORLDWIDE
@FECFAMILYWORLDWIDE 11 ай бұрын
IDEA GANI AMA IO NGOMA NI YA MR BLUE 13YEARS AGO
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 11 ай бұрын
20 year mzee kwa kifupi ni remix
@mdachiog5211
@mdachiog5211 11 ай бұрын
Si ndiyo wanyooshe maelezo
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 11 ай бұрын
Ni Idea pia ya muendelezo na ubunifu na sio Remix Labda kama haujui maana ya remix Beats tofauti kabisa Arrangements, tone na mpangilio wa kuimba na blue alivyo flow...ila tuuu ni yale maneno ya Mapoz.... Ndio hivyo mashabiki tulivyo Kama haumkubali mtu hata upewe dhahabu.. lkn Simba ni mmoja tuuu...hapa kamrudisha mr.Blue Na blue amedhihirisha kuwa bado yupo sana....na J melody kaonyesha kuwa yy ni mtaalam wa hizi beats.. ngoma ni tamu kwa kweli...kama hamuamini subirini matikiti kudondoka au kudondokewa😂😂😂
@m-tatu1050
@m-tatu1050 11 ай бұрын
Tungekuwa na akina Mond 10 wasanii vijana ambao wangepita mikono yao wangefika mbali sana
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 11 ай бұрын
Blue
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 11 ай бұрын
Blou unajua
@marcosgicher7818
@marcosgicher7818 10 ай бұрын
zawadi zote ni toka huku Uchina....hata akinunua New York, zipo kutengezwa huku napoishi Uchina
@darlenedada651
@darlenedada651 11 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@masoudjuma8974
@masoudjuma8974 11 ай бұрын
simba apewe nauwa kwaupendo
@shatepsofficial170
@shatepsofficial170 10 ай бұрын
🎉🎉🎉
@vanessajames2192
@vanessajames2192 11 ай бұрын
Mtu anakesha alaf akifanikiwa anaitwa freemason mnaujua usingizi wa usiku ulivyo mtamu?
@antibiotic7238
@antibiotic7238 10 ай бұрын
Diamond alishindikana ako na nyota zake
@saidissa4741
@saidissa4741 11 ай бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 11 ай бұрын
Yani blue umerudi Tena kwenye music? Mmmm
@Ashmondash-k7w
@Ashmondash-k7w 11 ай бұрын
Mi bana mikono juuu mwendo wa mateka juu ya goma ya mapoz yaan huku mtaan ni fire, made it ni nyimbo ama???
@msdmambosawa3125
@msdmambosawa3125 9 ай бұрын
Mrblue
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 11 ай бұрын
Huyu dada mwenziwe mchaga anaguna tu yeye hana maelezo
@wonderkid_tz
@wonderkid_tz 11 ай бұрын
Hahahahaha ila watu
@danyakala
@danyakala 11 ай бұрын
Mr blue hazeeki
@Adeen.1
@Adeen.1 11 ай бұрын
Jesus piece
@yasinikimaro264
@yasinikimaro264 11 ай бұрын
Kwan uyo dada anashika nn uko😂
@berryxmsanii
@berryxmsanii 11 ай бұрын
Akabysaa anapendeza Sana kwenye mwonekano vile vile majibu yake yamefika cheo kingine
@RamaNgari-b1d
@RamaNgari-b1d 11 ай бұрын
Buyser
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 11 ай бұрын
Bayser
@PiusSaid
@PiusSaid 10 ай бұрын
Anae jua Maana ya Kokoto Msaada jamani😂😂
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 11 ай бұрын
Mwanaume unajiramba rambà midomo alafu unalegeza viungo kama HANITHI
@PatrickMwamba-p7w
@PatrickMwamba-p7w 11 ай бұрын
MAPOZ has stopped counting views on KZbin ⚠️⚠️⚠️⚠️
@Paris_Dept.
@Paris_Dept. 11 ай бұрын
6:00 😅😅😅😅😅😅
@jee9473
@jee9473 11 ай бұрын
Kokoto ndio nini 😂
@thomasaugust225
@thomasaugust225 10 ай бұрын
matingas😅😅😂 blue uwaga anapenda Sana pombe kwsas😅😅ila jamaa nimkal kinyama
@KalenjeMasoud-vg3om
@KalenjeMasoud-vg3om 11 ай бұрын
Kwan aliyah kaenda wap kwenye hiki kpind
@falialawelole565
@falialawelole565 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂💐💐💐
@carloskallomo7953
@carloskallomo7953 10 ай бұрын
Ana roho yake huyo jamaa
@hyramkusenha
@hyramkusenha 11 ай бұрын
Babylonia bz mikazo mwanzo mwinga
@ConnectDaily
@ConnectDaily 11 ай бұрын
SET SIYO NZURI HATA KIDIGO
@microfirekst3084
@microfirekst3084 11 ай бұрын
Hakuna kitu hapo😅
@minabuelysee8
@minabuelysee8 11 ай бұрын
Wivu😂😂😂😂
@microfirekst3084
@microfirekst3084 11 ай бұрын
@@minabuelysee8 wivu mi sina hila sina imani🤣🤣🤣🤣🫂
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 11 ай бұрын
Masikini wee tafta hela
@microfirekst3084
@microfirekst3084 11 ай бұрын
@@Tanafa-j9q mashabiki wa Mondi bana, ukiwazidi akili wanakuambia tafuta Hela 🤣🤣🤣🫂
@PaulNdauka
@PaulNdauka 11 ай бұрын
Roho mbaya.....tunajua hukuzaliwa hivyo.....Umaskini tu unaokusumbua!!!
@rashididdi5140
@rashididdi5140 11 ай бұрын
kashakua chawaaaaaaaa huyooooo
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 11 ай бұрын
Daa! Mtu akihojiwa akaeleza vile anafeel chawaaa😂😂 hii nchi ngumu sana
@CassianMorris-gl2qe
@CassianMorris-gl2qe 10 ай бұрын
Uwakika
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 10 ай бұрын
tatizo blue umekua kama umechotwa akili mond kawashinda akili mwenzenu anafanya biashara nyie kazi yenu kumsifia ujiulizi zamani mbona alikua afanyi colabo na wasani kutoka tz sasa anafanya na wasani kama wote sasa hivi tz sababu kaona Hana dili tena kaona arudishe game home fasta kuwashika maskio mashabiki
@EzraCpeace
@EzraCpeace 11 ай бұрын
Mondi music
@NicolousPeter
@NicolousPeter 11 ай бұрын
Bongo langoma iyopipi yakijiti nicheche mzebana
@ماجكموزجوني
@ماجكموزجوني 11 ай бұрын
Did anyone knew this chap before his collab with Diamond? I bet his own family knew him. When someone tap on your shoulder, show some respect. Same clothes from the vids and you talk trash. I don't understand anyway
@RsPhotography-c1x
@RsPhotography-c1x 11 ай бұрын
Unaliachaje kokoto wewe😂
@GodwinFrancis-x8s
@GodwinFrancis-x8s 11 ай бұрын
Mondi mkali nyie wivu tu
@neemammbaga227
@neemammbaga227 11 ай бұрын
Kokoto ni familia😂😂
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 11 ай бұрын
Kokoto ni nn?
@RamadhaniRajabu-yp7qs
@RamadhaniRajabu-yp7qs 11 ай бұрын
Huwezi liacha kokoto lonely...😁😁.
@msafirifabian2143
@msafirifabian2143 11 ай бұрын
Kokoto ni nini hivi asee kaniacha hapo na mm asee 😂😂😂
@MRPREDICTION21
@MRPREDICTION21 11 ай бұрын
I THINK BANGI??@@msafirifabian2143
@mjungatv8172
@mjungatv8172 11 ай бұрын
Kokoto lile familia😁😅😅😅
@britiusrugemela7318
@britiusrugemela7318 10 ай бұрын
Kokoto ndo nn
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 481 М.
MR  BLUE FT  ALI KIBA - MBOGA SABA (OFFICIAL MUSIC VIDEO )
3:43
Mr Blue
Рет қаралды 2,3 МЛН