my no. 1 bongo artist....unafanya maneno tamu bro keep it up.
@ackyoodavid89305 жыл бұрын
Nakubali history zako Babaako.
@ramaahmatitu83457 жыл бұрын
Nakukubali sana bro..Mungu akuongoze brazaa
@fredkimanthi51455 жыл бұрын
Aaaaih! Umetulenga kaka kuhusu hizo jeans bana
@zainabbakari36037 жыл бұрын
Kumbe baraka muislam ndo najua leo kwenye now you know and now I know thnx jonijooo
@asiajumanne80927 жыл бұрын
nakuelewa xn jonijooo hana cha kumshauri Hamisa noma xn
@nikizadidier40694 жыл бұрын
Nowadays they know us hooligans
@saidothman65296 жыл бұрын
Nakukubali xana jonijooo uko vzr broo
@izackkimario71555 жыл бұрын
Eh bahna kaka eeeeh umetisha sana mm nimeanza kukufwatilia ulivyo muuliza Roma swali la kingereza likamchanya BG up Sana'a bro
@naj52287 жыл бұрын
me nakupenda baraka kwa sababu huogopag kusema ukwel na unakibur ukiona mtu anajisikia
@TheOne-fi6cs6 жыл бұрын
wauhuni sio watu wazuri..... nakuelewa sana bro.... @Jonijooo 👊👊👊
@ndayisengasergdine88126 жыл бұрын
nakupenda sana Baraka napenda kazi zako Mwenyezimungu akubariki
@abdudullah68156 жыл бұрын
Nakubariii baraka da princeee👍
@priscajacob63597 жыл бұрын
Jamani tuache chuki mbona baraka yupo humble alafu napenda sana mziki wake yaan mi ni shabiki wake no 1
@nobertnebo2127 жыл бұрын
Prisca Jacob nchek 0621050522
@chemsachouchou30877 жыл бұрын
Prisca Jacob yap ninikweli nam na nishabiki wak saana
@tabuleduncan60307 жыл бұрын
Prisca Jacob
@cyzatv53806 жыл бұрын
Miller Media hahhha
@amanipeace60076 жыл бұрын
kwaio prisca km ww shabiki yake unataka hata mm niwe shabiki ake?
@meshackhengamales69555 жыл бұрын
Yani wakwanza kuiga. Itakua mm kwasabu dah jamaa namkubali sana na hajawahi pita siku bila kuangalia kipindi chake na ukiona watu wanaiga kitu chako maana yake wanakielewa na uko vizuri sasa basi wakiiga ww unatoka ulipo na kuendelea mbele zaidi kaka Jonijooo nakukibali sana natamani sana nikuone kuna vitu nikuulize viwi vitatu itakua poa sana I like it
@iddatysupergirl65817 жыл бұрын
Kizazi jeur nahuyo unae zungumza nae jeur 😆😆
@jarmalharssan9423 жыл бұрын
Niaje
@marcymbegab90666 жыл бұрын
baraka uko juu nakupenda Sana like my brother
@vjmtv13116 жыл бұрын
Salute kwako baraka
@emmanuelzao7 жыл бұрын
Baraka anaongea point sana
@asiamussa36376 жыл бұрын
mi namuhisi he is very humble... mashallah mwenyewe 👍😘... move on bro nakupenda sana... you have nice voice
@bongovibe14277 жыл бұрын
Jamaa Nakukubali Sana Mzee Baba na EnterView zako
@magdalenayinza14187 жыл бұрын
Official Platnumz I love u
@peterkassed23116 жыл бұрын
Gud
@juliusshaban24436 жыл бұрын
brother show zako zinachukua cku nying bila kutoka had tunakusahau
@rosemarybenjamin43337 жыл бұрын
Baraka unajua kiukweli wew ni handsome unaweus mzuri na mziki wako naulewa na nimzuri saaan ila kitu kimoja tu unadharau afu kiburi sasa 😂😂😂yan ungekuwa km hawa waarabu sjui machoyetu yangetazam wapi
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Rosemary Benjamin 😅😂🤣
@anasiamacha25434 жыл бұрын
Rosemary Benjamin Hahaaaah
@rosefelix24997 жыл бұрын
wahuni siyo watu wazuri tunapiga lock ndo inapendeza kuliko lock nene baraka hana maringo yuko kawaida kama wanaume tu wa mtaani jonijooo unaweza asee
@a.j99646 жыл бұрын
Hongera sana.. Baraka ni msmart sanaaaa huyu jamaa
@simanjilo57 жыл бұрын
mtu African boy mwenye kibuli kubali sana kaka
@lucaslaurent76127 жыл бұрын
"Ukipoteza smart phone,muombe Mungu akupe smart brain"...teh! #WAHUNI SIO WATU WAZURI
@rahmaninoh74347 жыл бұрын
So nice show ya kibabe big up sana barack
@laurentprochess82785 жыл бұрын
Umetisha sana brother kwenye vitambaa hp
@Mjukuuwanombo7 жыл бұрын
Iko good
@naimaneema22796 жыл бұрын
napenda sana Baraka dapric tena nijina la bebe wangu
@musanjama22117 жыл бұрын
Napenda show yako brother
@onesmokilendu49916 жыл бұрын
kutafutie Emmanuel Joseph msanii wa film namkubali sana
@emanueladamayubu99407 жыл бұрын
big up jonijoo #napenda izo view
@salomecomedyofficial4 жыл бұрын
Baba LA baba Jonijooo,, rudi uendeleze channel yako, manze,, tunakumiss interview zako zilikuwa Kali,, ulikoenda sijaelewa kinachoendelea humo
@zenasalumu25607 жыл бұрын
Leo nimekupenda kidogo kumbu hauna dharau
@tishmangodfrey43367 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mzee jonii jo kwenye now you now pindi Kali sana hiloo
@omarymbalala62247 жыл бұрын
pa1
@hansramadhan89457 жыл бұрын
Yap yap uko pouwaaa sana mwambaaa
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
Nimekubali interview hii daaah
@officialj.dollatz44605 жыл бұрын
Dah nilikuwa sijui kuwa jinsi jenye kacha ni meno ya simba bless you
@marcomwaimu39796 жыл бұрын
Namkubali sana Baraka tena nimezidisha kumfuatilia zaidi baada ya kwenda kumtembelea Tundu Lissu Nairobi
@muyasalo48806 жыл бұрын
Watu wanasema hawampendi baraka lakn hawaachi kumfatilia hahahah wabongo bna
@andrewamos68876 жыл бұрын
John joooo bna we kichwa broooo
@rehemahakizimana14066 жыл бұрын
nakupenda sna ww jonijoo
@ramadhanimadanga92534 жыл бұрын
Baraka thanks
@kelvinwilliam51457 жыл бұрын
Jonijooooooo wew nomaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
@حميورمضان6 жыл бұрын
Nakupenda bure brother baraka
@salimdogorasta68086 жыл бұрын
Hahaha hapa kwa simba umenifunika😂😂
@jacklinepatrik91047 жыл бұрын
Amina abuu umenichekesha sana
@mariamangel12647 жыл бұрын
Wahoooooooo leo unenifuraisha umeskia ombi langu bgup my jooo
@dswaggztz26913 жыл бұрын
umetisha mzee
@daimavlog6 жыл бұрын
In love with the show
@hamisijuma19007 жыл бұрын
like twende sawa
@noelymadele44194 жыл бұрын
Nakubar jonijoo
@ruqaiyahali80556 жыл бұрын
Maswalii mazuri snaaa joninjoo
@berthachacky7977 жыл бұрын
Kwa kuimba unaimba vzr sana
@worldstartz7 жыл бұрын
barakah shukuru mungu umetoka kimziki tu vingnevyo kazi ipo ahahaha... piga kazi sana uwekeze tu kwenye vitu visivyo tumia akili nyingi sana