Dizasta Vina - Nobody is safe 3 (Official music video)

  Рет қаралды 203,262

Dizasta Vina

Dizasta Vina

Күн бұрын

Category - Music
Song - Nobody Is Safe 3
Artist - Dizasta Vina
Writer - Dizasta Vina
Music - Ringle Beatz
Studio - MV09
Official music audio
Mdundo - mdundo.com/son...
Audiomack - audiomack.com/...
Soundcloud - / nobody-is-safe-3
Other Musical contents
Audiomack - audiomack.com/...
KZbin - / dizastavina
Deezer - www.deezer.com...
Apple music - artists.apple....
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Genius - genius.com/Diz...
Boom play - www.boomplay.c... - artists.spotif...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter - / dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.o...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizas...

Пікірлер: 688
@edwardkimario7460
@edwardkimario7460 4 жыл бұрын
I respect and most definitely love what you do....this is what rap means...delivery 100...ryme scheme 100... Bless bro bless
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Amen, please share
@mustaphasolyambingo5851
@mustaphasolyambingo5851 11 ай бұрын
​@@dizastavina dizasta unaishi wap
@johdanny7816
@johdanny7816 15 күн бұрын
ukuje ufanye ngoma moja na khaligraph kaka
@oswaldnyamaishwa183
@oswaldnyamaishwa183 11 күн бұрын
Hatuwezi kumruhusu aimbe Na wabana pua tulishampaga mikakati yetu na anaifata ipasavyo
@Belle9Nine
@Belle9Nine 4 жыл бұрын
wewe sio msanii wa kawaida 🙌🙌
@RosecocoRose
@RosecocoRose Ай бұрын
Dizasta ndo jinaaa😂😂 Kudadekii mpakaa rose mie namsikilizaa huyuu uncle🎉🎉🎉 na ni katoto cha 2004 tyu Real lifee 💪🏿💪🏿🤝❤❤❤
@RosecocoRose
@RosecocoRose Ай бұрын
Nipongezenii basi kwa like apaa jamn khaaa😂😂😂
@dizastavina
@dizastavina Ай бұрын
Let's go #Hiphop
@RosecocoRose
@RosecocoRose Ай бұрын
@dizastavina 🤝
@SamuelKisonga
@SamuelKisonga Ай бұрын
Gachuu Vina from Mbeya like hapa
@SamuelKisonga
@SamuelKisonga Ай бұрын
Like apa mbeya boys.hii ni hazina ya Taifa
@buhagabuhaga4318
@buhagabuhaga4318 4 жыл бұрын
Naikamata dar Kama daudi wa kolomije ,,,nipeni hata like moja wajuba
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 жыл бұрын
"nishavunja mwamba kaskazini, Tanzaniaa hakuna mroma mwenye stamina yaku rap na mm" Who else got this line?
@mselemamsomba6561
@mselemamsomba6561 4 жыл бұрын
Hahah niko apa...daaaaah hili jamaa aisee
@VacSeen_N
@VacSeen_N 4 жыл бұрын
Asee🤣🔥🔥🔥,, nashindwa nielezee vipi huu ujuzi
@barakaedwin176
@barakaedwin176 4 жыл бұрын
“..........Na Km ndo unafika sasa...karibu centre ya tenzi...uone bidhaa bila ya Expire Date, kubwa kushinda Hata empire state...so My single line is like your entire verse.....” 🔥🔥🔥
@idrisakugwile4852
@idrisakugwile4852 4 жыл бұрын
I got! Balaaa
@mrundumo1326
@mrundumo1326 4 жыл бұрын
Hiz nyimbo ndo vyakula vyetu wengine
@b9media144
@b9media144 4 жыл бұрын
Lufufu kafufuka, vina upo makini kushinda Joh! Umevunja mwamba wa kaskazini 💪💪💪💪
@therealdL188
@therealdL188 4 жыл бұрын
wacha wacha!!!Weka mbali na watoto asee track imeshiba kwa kila barz big up sana D vina
@morantyagala7853
@morantyagala7853 4 жыл бұрын
Fundiiiiii!🔥🔥 unavyotema vina unanikosha kwel we ni rap messiah
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Thank you for watching!!! Hip hop 💪🏽💪🏽💪🏽
@pmfour2648
@pmfour2648 3 жыл бұрын
Q
@richardmweri7918
@richardmweri7918 3 жыл бұрын
Uko juu sana
@sekakozisadat7171
@sekakozisadat7171 4 ай бұрын
Yo the fuckin bestest bro
@sekakozisadat7171
@sekakozisadat7171 4 ай бұрын
Una rusha neno kuriko wote Africa
@SaidiMkinga
@SaidiMkinga 4 ай бұрын
Elimu kubwa hipo kwako vina ✊👊 . Hatuchoki kukusikia CONTENT NI NYINGI SANA RESPECT TO YOU 🙏
@ZioDrop
@ZioDrop 2 жыл бұрын
home boy we ni noma kaka we ni HOMA🌡🌡🌡🌡🌡🌡 sasa🌡
@thelivingwelltv6399
@thelivingwelltv6399 4 жыл бұрын
WEWE NI Mungu wa rap sina shaka nawe,as hip hop we real proud of you
@millenniumtot4565
@millenniumtot4565 4 жыл бұрын
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Ivyo hii imekuwa zawadi moja nnzuri sanaa nauanza mwaka na ngoma moja kali sana
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Happy birthday
@nelsonmahenge7551
@nelsonmahenge7551 4 жыл бұрын
Kali sana Dizasta
@dastanjonathan2942
@dastanjonathan2942 4 жыл бұрын
Shida ni tunaishia kusifia and then support ya msingi hatutoi kesho mtu ksscha mziki ooh tumemiss floor zako, kitu knatakiwa ujue ukipenda lipia thamani ya upendo mwana katoa Album tukanunue sasa cause vyuma vipo vya kutosha
@shaddyqualityfurniture3595
@shaddyqualityfurniture3595 4 жыл бұрын
Nusu mtu, Nusu rap machine 🎶 DIZASTA MAISHA 🎶
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Dizasta Vina ni 🔥🔥🔥
@ritchiedon6808
@ritchiedon6808 2 жыл бұрын
Unaandika sana mkali 🔥 hakika toleo la mwisho la viumbe wa aina yako
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Nobody is safe 3 (Official lyrics) on July 05, 2020 Ah eyo kutoka Panorama nasukuma ringi kisomi, maana wa kufanya hivi simuoni, na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni, kwa mistari mingi kushinda hata nzi sokoni Dizasta ndo'jina logo ya mtaa ina-shine kuta, na-type lugha usongo kushinda mdai fuba, nuksi kama asili iliyo-design kufa, shwain kaa kando uone game nai-define upya, yoh! na usawa ndo' huu sikosei, mnapotea kwa sababu hamna basics, na hapo ndo'mnayumba, ndio maana mkienda juu siongei na vikundi vyenu utafikiri crew za ma-gay, Ski'za mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu, kwa maana hii miruko ni imara, niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo nachora beyond normal muulize Dubo Dibala expansion to the hyperspace, nakaanga mawe yanaiva ma-verse, unaweza 'dhania ni Complex Ngwair ama utadhania Langa rebirth, material deep huku diver haendi ni kama mufti aliyelamba haramu, tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu, sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi kina Ngugi wanawapa salamu ukifika uliza utaambiwa mimi ni nani, utaonyeshwa mtiti kilo nyingi haipimi mizani, ukishindwa ita wabishi waje wahiji imani waeleze naurudisha mziki nyumbani na kama ndo' unafika sasa karibu center ya tenzi, huh! uone bidhaa bila ya expire date, kubwa kushinda hata empire state, so my single line is like your entire verse, nigga usinishike mkono nikipake, hatuhitaji shobo, ni vina na mishono ka zuria, tofauti na midosho ya kipambe, tofauti na ngono au drama za domo na wenzake nishavunja mwamba Kaskazini, Tanzania hakuna Mroma mwenye stamina ya ku-rap na mimi, mizuka hewani utadhani anaye-rap ni jini, nusu mtu nusu rap machine najua ushasikia tenzi bro ebwana utenzi huu noma, ita wanafunzi waje waperuzi ngoma, we don't play good ukija tuna-execute ujuzi kama Sherryl Woods naandika zaidi ya Daily News soma panda safina imefunguliwa mito, na kingo ni mbovu ukioga tu umefunguliwa mito, wenzio wameacha mtindo wa kunichukulia simple, sikudanganyi hamna hewa huku nilipo kwa maana ni juu sana hata ukibebwa kusogea bado, kwa hisia za ushairi napotea angani kama vile jangwani zinavyopotea nyayo, Ah! pesa inaongea nami naongea nayo single nzito utafikiri na-double, nafoka kwa roho mbaya kama dingi wa kambo, muulize Fifi niko real kiasi sili na sharo, ripoti kutoka kilele cha ubora Kilimanjaro ngoja tu-diverge, thanks to rap I won't die virgin, mwandiko utasema kau-design shorty, sura ya kazi utahisi mdai kodi, rai ya uhai mashakani siku hizi Emcees hawakai road maliasili mama'angu anailinda kama mtoto wa majini, unaziamini ndoto? mi'ni kwa mama'ako ndoto kwa demu wako, hata baba'ako anatamani kuwa na mtoto kama mimi sahau kuhusu chips kwenye foil, hiki chakula cha ubongo cha ku-feed kids kwa lugha ya ku-twist kama coil, na maisha yangu myth mpaka naenda deep unaweza hisi nai-discover oil code zinafanya wazungu wanazunguka, mafungu wanafunguka, mazuzu wanazuzuka, nilikuwa mtupu nikaokota buku nikabukuka, leo nasimulia tungo tukufu ni ka Lufufu kafufuka Legend kama Koffi Olomide, naikamata Dar kama Daudi wa Kolomije, nawalaza doro si-follow bata na-follow mishe, na ufundi ni controverse utasema Apollo mission misele hapa mjini, natembea na begi la maiti nachinja bila kwere wala nini, busara tele utasema Nyerere ama Mwinyi, nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa, niko underground na huku ndio mitutu inakofichwa, walikuja na gubu walizikwa kama wafu mbongo tubu, wazungu wanasujudu hiki kichwa we ni player unasifika? mi' ni game, kitambo kama Zinja kwenye plane za Afrika nasikitika hamjui, messages n'nazo-pack kwenye pictures n'nazo paint, niki-reveal scriptures kama saint uh! ni kama big hulk kwenye mini-bus, sitoshi kwenye skinny vazi gani lita-fit, ma-emcee wana-sound kama injini yenye hitilafu, mi'ni king wa Swahili rap get't? (yeeah!!) wanasema i am too real for the industry, Stockhom mpaka Italy, ka' cruise yatch, groove hii ni concord focus kama msongo ama mnoko anaye-solve murder mystery (ama' G.O.A.T you can see that) look at my family tree, look at the chemistry i have, look at my pedigree, you talk about being competitive? being authentic or having body of work or longevity? cheki hizi rythms cheki silabi, wananiita trickster cheki ma-trickery, ma-emotions passion love hope sympathy, uh! utahisi mkono wa Mungu umeandika hii na-spit holly ka' n'nam-bite Masihi, kwa heshima namnyang'anganya mic Madee, hii ni fact hakuna emcee wa ku-rhyme ka' D, shorwebwenzi nenda uka-bite na hii ni deep sana na ndio maana wanaita ngumu ku-rap, deep kama chumvi kwenye uvungu wa ny@p, kabla hujani-book nitoe kwenye hayo mafungu pumbavu, mi' sio malaika mi' ni Mungu wa rap Haleluyah!
@daniikirunda7113
@daniikirunda7113 4 жыл бұрын
😂😂 naikamata dar ka daudi wa koromije
@rajabmwanansoga8430
@rajabmwanansoga8430 4 жыл бұрын
Hapa ulipofika kiuandishi ukiongoza hata step moja yatakuwa maafa
@idrisakugwile4852
@idrisakugwile4852 4 жыл бұрын
Nakosa maneno ya kutosha ya kuelezea ukali wa hii joint! Dizasta unaipa heshima inayostahili HIP HOP!
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 4 жыл бұрын
Baba hii noma sana aisee
@meshackjackson3262
@meshackjackson3262 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@kilimapozimuvinajr.
@kilimapozimuvinajr. 2 жыл бұрын
Tuliovutiwa na BEST FRIEND tu'comment wapi?
@blessingsblessings9573
@blessingsblessings9573 2 жыл бұрын
Rapcha ni mlemavu tu......
@kilimapozimuvinajr.
@kilimapozimuvinajr. 2 жыл бұрын
@@blessingsblessings9573 hehehe!!!
@deviceboykifaa5985
@deviceboykifaa5985 4 жыл бұрын
yan kwahapa nimeipata fraha iliyo kua imeanza kupotea kuk Hus wew mwamba kizaz mzeee
@ibrahimmbatta9229
@ibrahimmbatta9229 4 жыл бұрын
Daaaah huyu jamaa noma Sana
@nestoryemmanuel210
@nestoryemmanuel210 4 жыл бұрын
Pure definition of definition to define Salute sn mwamba mkuu
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@eliudytafawa4648
@eliudytafawa4648 4 ай бұрын
Wenzio wameacha mtindo kunichukulia simpel 🙌🙌
@MOHAMEDMWAMBAJI
@MOHAMEDMWAMBAJI 12 күн бұрын
Niliko hakuna hewa koz niko juu sana.....
@NurdinKisuti
@NurdinKisuti 6 ай бұрын
Inshu Siyo beat Wala mdubdo angalieni tarihi , sitiari, tamathali za semi, soga na fukra kubwa zilizotumika kufikisha ujumbe kupitia lugha ya picha ya chupa ya ziada huyu jamaa ni next planet 🎉 mungu amuweke sanaa azidi kuokoa hiki kizazi🙏
@paulothadei3844
@paulothadei3844 4 жыл бұрын
Nakubal mkal Dizast vina we ni 🔥🔥
@barakakiyora6476
@barakakiyora6476 2 жыл бұрын
wejamaa ninoma kabisa
@mantheherohero767
@mantheherohero767 Ай бұрын
This guy is a true Genius and this track is maaaad AF!!!!!
@simonsweka7305
@simonsweka7305 4 жыл бұрын
Hahah uvungu wa nyap....loh...hApo mpoo wazee
@Rickson-t8o
@Rickson-t8o 4 ай бұрын
Hii ngoma dizasta ilitetemsha hip hop ya bongo haitawai sahaulika ripoti toka kilele cha ubora kilimanjaro iyo line nilikubali❤❤
@khamikal
@khamikal Ай бұрын
Common wa bongo
@kherisalum6304
@kherisalum6304 4 жыл бұрын
Nakuzimia sana mwanangu 💥💥
@SamuelKisonga
@SamuelKisonga 24 күн бұрын
Ayoo kutoka Panarama nasukuma lingi kisomi na wakufanya ivi simuoni
@fixmor7003
@fixmor7003 4 жыл бұрын
wewe ni janga (disaster) kwahiyo janga limetokea hakuna aliesalimika ,yaaaap 💯💯
@youngmillar4110
@youngmillar4110 4 жыл бұрын
Huu moto sio wa kawaida🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jozefuedmund2126
@jozefuedmund2126 4 жыл бұрын
Nimekua nikifatilia sana nyimbo za #dizasta kwa kipindi kirefu lakini bahati mbaya hivi karibuni sijaweza kufatilia sana na inaonyesha nimepitwa na nyimbo nyingi zilizotoka. Niliwahi pia sema jamii forums katika waandishi wa hip hop na flows dizasta kwangu ni best. Mimi ni mpenzi sana wa mashairi na flows. Napenda mashairi ya kufikirisha sio mepesi mepesi na dizasta kwangu yupo level ya juu sana kuliko anavyoona yeye. Keep up good work. #dizasta
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Appreciate the love and support, please share
@jozefuedmund2126
@jozefuedmund2126 4 жыл бұрын
Dizasta Vina muhimu sana
@balqhisroshan5492
@balqhisroshan5492 2 жыл бұрын
Sema we jamaa unajua sana aseee daaah ni nomaaaa
@rusarock3024
@rusarock3024 4 жыл бұрын
Nakubal sana ujawai kuniangusha
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 жыл бұрын
Rappers kama hawa walipoteaga kitambo... he's the real meaning of Rapper
@dambwelahiphop
@dambwelahiphop 4 жыл бұрын
Bro walipotea vip na unawaona ?
@dambwelahiphop
@dambwelahiphop 4 жыл бұрын
Hip hop inaishi ndani yao waaminio.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 жыл бұрын
@@dambwelahiphop huja nielewa nini namaanisha... Gold is hard to find. Kupata ma rapper kama hawa ni vigumu. Jamaa ni noma huyu
@idrisakugwile4852
@idrisakugwile4852 4 жыл бұрын
Emcee
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
@@dambwelahiphop true
@anorderastonyondo3726
@anorderastonyondo3726 4 жыл бұрын
No body is safe for sure broo🙌🙌🙌
@westonchibwete3006
@westonchibwete3006 4 жыл бұрын
Profesa tungo 🙌🙌🙌🙌🔥🔥💯
@hamisinyondo161
@hamisinyondo161 Жыл бұрын
Genius..weh ni bidhaa bila expired date🔥🇰🇪
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 4 жыл бұрын
Aiseee hii Namba 3 Ni ya Moto kushinda jua 🔥🔥🔥
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@Salehe.Asumile
@Salehe.Asumile 11 күн бұрын
❤❤ MUNGU AKUTUNZEEE
@fredrobnson4599
@fredrobnson4599 3 жыл бұрын
Hiki kichwa ni hatari sana asee!
@issackdavid8595
@issackdavid8595 4 жыл бұрын
Unyama Dizasta vina since day onee nakubaliiii
@johnshangwe1515
@johnshangwe1515 4 жыл бұрын
Nilikua mtupu, nikaokota buku, nikabukukaaa.....Dizasteeeeeeer
@hassanrabii1102
@hassanrabii1102 4 жыл бұрын
Kaka umezaliwa na kipaji maan hujawai kuhalibu dah
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Duh uyu mtu wanasubiri wengi sana maana sayansi ipo yakutosha
@joshuasanga8387
@joshuasanga8387 7 ай бұрын
E Mwenyezi Mungu Uketiye Mahala matakatifu Nakuomba uipokee roho Ya mtoto Asimwe aliye Uwawa kinyama😭😭 Hii inaumaa sana Uwafanyie wepesi wote Watanzania walio guswa na haya mauaji .😭😭 Amina 🙏🙏
@x-barz3075
@x-barz3075 2 жыл бұрын
Tuning from Kenya big tune 🔥🔥🔥
@ikoziboy4488
@ikoziboy4488 4 жыл бұрын
Waoooooo huyu jamaa ni genius
@humphreyalbano3349
@humphreyalbano3349 4 жыл бұрын
Dah..Muziki n chakula Cha Roho sas ii ndo lishe Bora sio kung'a ng'ania Manyimbo ya urimbo kwa zetu Dada
@simbaforex
@simbaforex 4 жыл бұрын
Aiiiseeee The best mc kwenye hii Rap ya bongooo
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@privernnorens23
@privernnorens23 2 жыл бұрын
Niishie kusema tu kichwa cha Dizasta ni kizima sana......Thats how Rap is....
@victorcharles1092
@victorcharles1092 4 жыл бұрын
Kaz nzur
@patrickhauletv7263
@patrickhauletv7263 Жыл бұрын
Dahhhhhh nilikuwaga wapi????😢😢😢😢
@skm1143
@skm1143 4 жыл бұрын
Imefukia ngoma zingine zote
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@anthoniosure5438
@anthoniosure5438 3 жыл бұрын
Wee ni nomaaaaa big up bro
@adolphishengoma7496
@adolphishengoma7496 Жыл бұрын
Always your different bro. ⭐
@el-hajjel-shabbaz8078
@el-hajjel-shabbaz8078 4 жыл бұрын
We mtu ni balaa, salute kwako
@azardyjumah9381
@azardyjumah9381 4 жыл бұрын
Mung yupo kaza mzee ipo cku dunia itacmama kwa tenz mahili walimwengu wackie One love mby boy
@jumahasani245
@jumahasani245 4 жыл бұрын
Hakuna mroma mwenye stamina ya ku rap na mm🙉🙉😂😂
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@evancengowi6965
@evancengowi6965 4 жыл бұрын
Kikubwa tukubaliane ya kwamba ni no body is safe🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@JordanSolomon-mj6dn
@JordanSolomon-mj6dn Жыл бұрын
🎉🎉🎉 sio mchezo mchezo
@AhmedIbrahim-zu5tv
@AhmedIbrahim-zu5tv 4 жыл бұрын
kwl D zasta wa moto kushnda jua
@wazi7719
@wazi7719 4 жыл бұрын
Cjutii kabsa kukusikiliza Dizasta Vita
@jameschumbula2344
@jameschumbula2344 4 жыл бұрын
Ahaaaa😂😂😂😂😂 brother akika cxemi
@winfredykahwili1513
@winfredykahwili1513 4 жыл бұрын
Vina umeuwa 🔥🔥 🔥 Sana
@kibahaonline8817
@kibahaonline8817 4 жыл бұрын
umetisha mzee baba
@kelvinchuhila3780
@kelvinchuhila3780 2 жыл бұрын
Hakuna mroma wa kurap na dizasta vina
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma home boy🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@harunahozzah4130
@harunahozzah4130 4 жыл бұрын
Daaaaah nothing can say brooh!! Mungu wa rap #hallelujah
@fizzozimba
@fizzozimba 4 жыл бұрын
We jamaaaa yani natamani nikufiche ila sitaweza aseee🙌🏾🙌🏾🙌🏾Ni Konyooo nyokooo😄
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Thanks, please share
@adamc2311
@adamc2311 4 жыл бұрын
Hujawahi nipoteza kwa hii road ya fikra,,,, rapGod
@dowgguerrila9503
@dowgguerrila9503 4 жыл бұрын
Heshima sana King Dizasta
@AlexNoah-ks8we
@AlexNoah-ks8we 9 ай бұрын
Mi nakulewa saana kaka, nyimbo zako zote ninazo.
@fikirimpweleleomari3916
@fikirimpweleleomari3916 4 жыл бұрын
Makini home BOY on fire
@tomelaman6827
@tomelaman6827 4 жыл бұрын
Mtu mwenye vina vyake
@stanleymwaikambo1460
@stanleymwaikambo1460 4 жыл бұрын
Damm. ... deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyap hahah
@afyandogo
@afyandogo 4 жыл бұрын
vina na mishono kama zulia🔥🔥🔥
@officialmanji4438
@officialmanji4438 4 жыл бұрын
Mwamba 👊
@stevegeraldcc6063
@stevegeraldcc6063 2 жыл бұрын
Mwanangu kinyama from southern High as dream is my therapist through heavyweight punchline Dizzyzasta
@hd255tv2
@hd255tv2 4 жыл бұрын
You kill it bro daaah yaani mpaka nashindwa cha kusema
@yasinijoeli3405
@yasinijoeli3405 4 жыл бұрын
Huyu jamaaa ni nomaaa kati ya wale nomaaa ,endelea kukaz boy
@ronaldoromly8295
@ronaldoromly8295 4 жыл бұрын
DizastaaaaVinaaa #hii kwelii Nobody isSafe
@joelywakati1536
@joelywakati1536 4 жыл бұрын
"The next big thing Tanzania will ever see" ualisia ni the right now and 4ever big thing ambacho wachache tumekiona #soldier_in_dizastavinaz_army
@VacSeen_N
@VacSeen_N 4 жыл бұрын
Kwa heshima Namnyanganya mic madee😂🔥🔥
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@edwardkimario7460
@edwardkimario7460 4 жыл бұрын
Ummm ey bro...uko vizuri from A-Z ....i swear i flow with it.... This the best on my fav list.....
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 4 жыл бұрын
Dizasta vina bad killer ,noma mzee salute
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Thanks man.. Please share
@MariamMfaume-kr7pb
@MariamMfaume-kr7pb Жыл бұрын
Unyama mwingi vina
@solalegahinfo4407
@solalegahinfo4407 4 жыл бұрын
inabidi tuwaite mcee's waje kujifunza utunzi 🙌🙌
@josephmkuye4490
@josephmkuye4490 4 жыл бұрын
Tofauti na ngono au drama za domo na wenzake....nishavunja mwamba kaskazini, TZ hakuna mroma mwenye stamina ya kurap kama mimi#dizastautaua🙌
@yusuphmasare3555
@yusuphmasare3555 4 жыл бұрын
Hip hope..Milele hii ngoma full nimeielewaaa sanaaaaa
@abouseleynzisabira5875
@abouseleynzisabira5875 4 жыл бұрын
Unajua bro
@babuukilah1489
@babuukilah1489 4 жыл бұрын
Nakubal sna
@josepheliasi1533
@josepheliasi1533 Жыл бұрын
Nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi dizasta vina bwana
@kudrabaruti5164
@kudrabaruti5164 4 жыл бұрын
Legend kama Koffi Olomide, naikamada Dar kama daudi wa Korormije !! Huu moto wa Disazta hauzimwi kwa fire extinguisher !!
@dizastavina
@dizastavina 4 жыл бұрын
Please share
@Nanjaboy-hk2yc
@Nanjaboy-hk2yc Жыл бұрын
😎🦂hiphop sana 🍾
@simonsweka7305
@simonsweka7305 4 жыл бұрын
Hakunaa mroma mwenye stamina ...namunyang'anya mic..Madee
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 153 М.
Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Official Music Video)
5:15
Dizasta Vina
Рет қаралды 244 М.
1%🪫vs 100%🔋
00:36
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Делаем с Никой слово LOVE !
00:43
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 4,5 МЛН
2030
6:34
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 11 М.
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 264 М.
Hiki ndicho alichomanisha Dizasta Vina kwenye "MBUZI"
2:01
Swahili dictionary tv
Рет қаралды 6 М.
WAKADINALI PRESENTS "THE RONG CYPHER" (Official Music Video)
5:04
Wakadinali
Рет қаралды 2 МЛН
Dizasta Vina - Wimbo usio bora (Official Music Video)
5:13
Dizasta Vina
Рет қаралды 266 М.
Dizasta Vina - Nobody Is Safe 3 (Official Lyrics video)
6:21
Dizasta Vina
Рет қаралды 29 М.
Dizasta Vina - Muscular Feminist
9:05
Dizasta Vina
Рет қаралды 117 М.