NDOA YA DIVA YAFIKA TAMATI/ALINIPE VITU VYANGU

  Рет қаралды 24,238

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

Пікірлер: 173
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 ай бұрын
Diva unapenda misifa, mwanzo ulivyomganda Mganga mpaka alivyokupiga Matukio ndo umenyoosha mikono juu. Pole yako Mbibi. Kuna mali gani ulizochuma na Mganga. Umevurugwa Diva.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 ай бұрын
Et nilikua nafuta madirisha yan unavyoongea hzo mambo km mtt 😂😂😂😂
@balthazershayo8250
@balthazershayo8250 4 ай бұрын
Ww ni mkubwa sana,unaelimu na ufahamu mkubwa. Vitu vingine unatakiwa usiseme. Unajipunguzia heshima.
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 4 ай бұрын
Huko kujidai kujivuna, anajifanya na anajifikiria brand. Kumbe hana chochote njaa tupu
@ibraa1157
@ibraa1157 4 ай бұрын
Ndoa ya vipindi Twasubiria season 12...😅
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 ай бұрын
Umesikia abdul ana nyumba umeanza tamaa ww si ulisema Abdul hana lolote ni muongo sasa unataka mgawane nn😂😂😂
@RoverRoom
@RoverRoom 4 ай бұрын
Hongera Diva❤❤❤❤❤❤❤❤I love you Nairobi and supporting you.
@SilaNjeri
@SilaNjeri 4 ай бұрын
Mhuni mwenzie
@tygatest525
@tygatest525 4 ай бұрын
Hapa hakuna mwanamke -- Kuolewa na kukaaa na mume hapo ni ndoto
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 ай бұрын
Diva kumbe unajichubua??cheki huo mkono mwisho😂😂😂😂😂
@mankaminja683
@mankaminja683 4 ай бұрын
Ana swali saana
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
🤔🤔kumbe ukiswali vigingi vya mikono vyagusa chini? 😂😂​@@mankaminja683
@solomtz7049
@solomtz7049 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@catherinekanono4298
@catherinekanono4298 4 ай бұрын
Ata mikono aki na kizungu kiingi na pronunciation is wrong ghai
@shabanizena2612
@shabanizena2612 4 ай бұрын
Kwani ye ni wa kwanza kujicubua!aca ushamba
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 4 ай бұрын
Eti niliombewa na mashekhe na.wachungaji.... Diva muogope Mungu
@lingakalibule1420
@lingakalibule1420 4 ай бұрын
Unaongea sana mpe mwandishi nafasi ya kuuliza maswali..
@asmadotto
@asmadotto 4 ай бұрын
Sasa unataka vitu vyako na jee hivo vitu vyake ulivovitoa ukawapa watu kama ulivosema na yy atavipata vipi😂😂😂😂 my dear ukiamua kuachana na mtu wee samehe kila kitu qnd start a fresh 😂😂😂😂😂
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 4 ай бұрын
Diva mdogo wangu ukitaka AMANI YA MOYO NA MAISHA YAKO YA BAADAE, samehe vitu vyote kaanze upya.La msingi pata talaka zako 3 zote na kwenda kuanza maisha mengine mapya. Otherwise utapoteza muda mrefu kufuatilia material things for nothing. Sahau yote mliyochuma na Abdul ,bado ww mazuri yanakusubiria mbele yako.Vyote ulivyotoa kwa familia ya Abful,ulitoa kwa UPENDO for good na sio wakurudishie tena.
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 4 ай бұрын
Mimi sioni chaajabh dada diva wewe ni mtu mzuri sana vitu vinanunulika acha utapa vingine
@allykirunginyamka9171
@allykirunginyamka9171 4 ай бұрын
Mungu anisamehee, simpeeendi hata kidogo
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Nani Sasa upeeendi😜
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 ай бұрын
Hivi nyie huyu mwenye afya ya akili mnamuhojigi wa nn? Mganga akimpigia tu simu anapagawa kiufupi huyu nimgonjwa mpelekeni hospital
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 4 ай бұрын
😂😂😂😂 kilichobaki ni kuingia tinda kutafuta mzungu 😂😂😂😂 maana wabongo hawakuwez
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Jane-fi8on
@Jane-fi8on 4 ай бұрын
😂😂😂
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 4 ай бұрын
Samahani naomba unisaidie tinder unalipia shingapi?? Harafu kulipia nikwamwezi au nimuda gani.samahani nisaidie
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Dah nimeandika na kudelete naogopa 😂😂😂jamani diva kwahiyo kumbe jina lako la ndoa ni diva liyhana😂😂
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 4 ай бұрын
Rayhana sio layhana🤪
@lingakalibule1420
@lingakalibule1420 4 ай бұрын
Brand😂😂😂
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 4 ай бұрын
Hv weusi wa viwiko hauna mkorogo🤣🤣
@gloryprotas1043
@gloryprotas1043 4 ай бұрын
Mkorogo au cram kali😅
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Diva ansongea sna na wla haendi iyo holiday 😂😂😂😂 kazi kweli kweli
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Nyie huyu Diva akapimwee alikuwa anafua anapika na kufuta madirisha as a woman eeeeh mbona akina Esma wamemove on huyu anamtaka bwana kwa mali gn walizochuma
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 ай бұрын
Diva kwa misifa jamani🤣🤣🤣🤣
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 4 ай бұрын
Kwani ukizungumza kiswahili na mwenzio utapungua nini Si rahisi kupata mume kwa mtu mwenye tabia hio
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Jamaica mwache mrembo wetu
@jacquelinejohn7821
@jacquelinejohn7821 4 ай бұрын
Yaan watu ambao hamjasoma mna shida sana huyu dada ana shuda lkn huwez mjudge kwa anavyoongea babake alimsomesha na ada haijaenda bure
@TichaSabah
@TichaSabah 4 ай бұрын
Hapo anapunguza machungu kwani haujui😂😂😂😂😅
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 4 ай бұрын
Wataka kulipwa kwa kufuta madirisha lile vumbi limekupa pumu 😢🤣🤣🤣🤣😂😅
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 ай бұрын
Teheee ukitaka kugawana bwana mwenyewe ana njaa huwez achana miaka mia
@hidayakhamis936
@hidayakhamis936 4 ай бұрын
Kwenye uislam hakuna kugawana Mali
@hamisaabdalah6232
@hamisaabdalah6232 4 ай бұрын
Siyo kwa kiingereza hicho hatukuelewi...wenzio washwahili
@WardaSalehe
@WardaSalehe 4 ай бұрын
Muongo uyu dada eti 36 muongo ww 40na kwenda mbele uko
@TatoOman-s5t
@TatoOman-s5t 4 ай бұрын
Nani alokua hajaekewa kama Mimi sasa hawa wamefunga ndoa gani ya kikiristo au ya kislam sijaelew ndoa gani
@vickyitenyo.
@vickyitenyo. 4 ай бұрын
Delulu is the solulu😂😂😂😂
@minaeli5989
@minaeli5989 4 ай бұрын
Si huyo Delulu atanunua vingine si anapesa
@fatmaallyfatmaally385
@fatmaallyfatmaally385 4 ай бұрын
Ila diva kila siku niliolewa ndoa ya sheria na cheti kwani kuna ndoa isiyo na cheti?
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 4 ай бұрын
American English with a twist. Huyu dada upuuzi utammaliza. Sijui kwa nini anajidanganya kiasi hiki. Ati brand; mara big star; mara nataka respect kama diva, kusafiri Marekani, ulaya. Hizo ndoto za kijjnga katika umri huu dada umechelewa. Ulijitosa kwa mganga kwa sababu ya kukosa walio bora zaidi sasa leo utapata wapi? Hebu shut up mara moja moja usituchefue.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
namshangaa sana sijui anaota au
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
Kinachonishangaza ni waandishi WA habari wanaomfuata kumhoji
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 ай бұрын
😂🤣😂🤣😂🤸🏽‍♂️😂🤣😂🤣🥁🥁🥁
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
🏃🏃🏃🏃🏃
@EstarMichael
@EstarMichael 4 ай бұрын
Sanamu lako tunaliweka Posta mkuu umeongea vyema Mimi nilishasemaga haya mandoto yakushiba sana miksa nakaugonjwa ka afya ya Akili nitatizo kubwa❤
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 4 ай бұрын
Kwani Diva hajui kiswahili? Kwa nini anaulizwa kwa lugha yetu ya taifa, na analjibu kwa english Hovyoo
@AminaMwanaid
@AminaMwanaid 3 ай бұрын
Diva nakupenda sana mdogo wangu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Mtangazi anasema 26 /diva they boss 36 jamen tusomeni sna😂😂😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 ай бұрын
Brand ni nini kwenye ndoa? Beyonce mwenye brand amekuwa kwenye ndoa kutoka 2008
@umfahad2609
@umfahad2609 4 ай бұрын
Ukija Oman karibu kwangu Diva. Nakupenda saana. Mimi ni mama wa wtt wa5.
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Utaambiwa na diva wamuibia nyota shauriako
@FatumaAli-e9y
@FatumaAli-e9y 4 ай бұрын
Jaman eti38 hahahaha.hamtak kuzeeka but anyway.is none of my business.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Hawezi kuvua miwani kwani 😂😂😂😂 adi usichu
@sheikhaabbas8680
@sheikhaabbas8680 4 ай бұрын
Mtangazaji mkono umechoka😂
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 4 ай бұрын
Diva anasema alikuwa anafuta hadi madirisha😅😅😅😅😅
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 4 ай бұрын
Huyu dada ana tatizo la afya ya akili, I pray that one day atajua hilo atafute msaada kupona😅
@susans4490
@susans4490 4 ай бұрын
Alokwambia hizo unoziita ndoa za udi hazina cheti nani?
@mummy-Ak
@mummy-Ak 4 ай бұрын
Kwenye ndoa hakuna udiva mama
@mnllyboy_tz9107
@mnllyboy_tz9107 4 ай бұрын
Hii ndoa Kila siku inafika tamati inafufuka
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Wagombanao ndo wapatanao🤪😜
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Nimexhekaaaaaa sana Diva karogwa suo bure mara simtaki mara Abdul ni cute presentable mara mhuni wa Dunia anipe talkative mara nsoa yangu ipo kihalali kihalali huku unapigwa matukio si ukimbie au karogwaa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Kwan hao wanaolewa kwa udi / uban sio ndoa? Kwa taarifa yako ndoa za udi /ubani ndio ziko na furaha kuliko ndoa yao unayojisifia misukosuko kibao mungu anakulani 😂ww una manyanyaso sana kusaidia ndg wa mume ni kiherehere chako kwan ungekataa wangekushikia panga? Tulisaidia ndg wa mume lkn hatukuwanyanyasa wala kutangaza km unavyotangaza ww mfyuuu ndo mana huzai 😂
@nadianyamuraka
@nadianyamuraka 4 ай бұрын
Myaka 36 baado mtoto sana Diva...wazungu wana kwambia myaka ni just namba tu....
@minaeli5989
@minaeli5989 4 ай бұрын
Ulaya ipi ulaya where huyu kwa ulaya ni mzee huku ukifika miaka 18yr ushakuwa huyu kwa ulaya ni mtu mzima haswa yes Age is number but kisheria ni mtu mzima na angekuwa ni mtoto kamaliza O level
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 ай бұрын
🤔😂🤣😂Kwishaaa Habariii umri umekwenda shost 🫵🏾🤔hapo ulipo unaonekana kama mama na watoto watano 🤔na kumpata huyu bwana unaemuota 😂🤣😂🤣😂Umechelewa 😂🤣😂😂🤣Eti Mr Luuuuu 😂🤣😂🤣😂🤪🤪wacha ndoto za abunuasi 😏🤔Umesha dataaaa 🫵🏾🫵🏾🫵🏾🫵🏾🤪Unahitaji Maombi kanisani ✍🏽
@SaadaHassan-qw7vn
@SaadaHassan-qw7vn 4 ай бұрын
hahahah nalo neno
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
hakuna mwanaume ataweza ishi na d8va..never ever
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Kuishi na diva ni kazi😢
@TumainiSawee
@TumainiSawee 4 ай бұрын
Na maringo Sasa looo kwisha wewe
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 4 ай бұрын
Apo njo tunapo jidanganyaga sisi wanawake tunasahahu juwa mwanahume yeye azeheki sisi mapema tu kama ujapata mwenziwako kwishahabari wengi wanapata bahati wanazi chezea wana sahahu kuwa myiaka inavohenda umbri unazidi kuwa mwanahume ata humri uzeheke anawaza kumu howa yoyote
@AlaikaHassan
@AlaikaHassan 4 ай бұрын
Weee eti Diva hapendi interview usimjaze anapenda kulko kitu chochote
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂nakojoa
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Sawa😂😂😂
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣yaan nimeanza kuisikiliza tuuu najikuta nacheka.......kuna vitu anaongea hata hajaulizwa dah
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Eti toka Uislam kwenda Ukristo😅 nyieeee Diva tumeshampoteza
@umfahad2609
@umfahad2609 4 ай бұрын
Kumbe unamdai Abul. Ndio maana hataki kutoa talaka.
@BimHamdi
@BimHamdi 4 ай бұрын
Kwa hio diva nikki minaj ni dada yako sanaaa eee asante bongo
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Mtangazaji anachoka na huo mkono wajameni
@beauty2239
@beauty2239 4 ай бұрын
Nyie diva kusema kwwli kweny swala la ndoa yako huwa sikuelew kabisa yaan we deal na maonywsho ndyo ndoa zako
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 4 ай бұрын
DIVA THE BAWSE❤
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 4 ай бұрын
Ujana kwaheri
@spreadlove5300
@spreadlove5300 4 ай бұрын
Kumbe walirudiana tena jamani 😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Wagombanao ndo wapatanao 🤪🤪
@SimonBinde
@SimonBinde 4 ай бұрын
Kuhusu kuwa na biashara mijengo siyo rahisi kama unavofikiria-hata nyie hamna siyo vzr kumsema mtu kwa kukosa maendeleo hamjui kipato chake.
@judithemanuelmnyanginila7958
@judithemanuelmnyanginila7958 4 ай бұрын
Jmn uyu diva mmmme mckia vzr kasema kaaanza utangazaji akiwa n miaka 21 nasahv anatimiza miaka 16 y utangazaji jumla na 21 cyo 37 mbn anasema Ana miaka 26
@munirahassan5013
@munirahassan5013 4 ай бұрын
Hajasema 26 kasema 36 labda masikio yko Yana matege
@umfahad2609
@umfahad2609 4 ай бұрын
Lkn mimi nampenda saana huyu mdada jamani. Natamani nikuone dear Diva. Mimi nipo Oman. Karibu kwangu utembee. Mimi ni mama wa wtt wa5.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 ай бұрын
Mpe mumeo amuoe bas😂😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Karibu wapi unakurupka tu kama mkojo wa asubuh hata Kenya asije🤣🤣🤣🤣
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 4 ай бұрын
Sasa we utajipanga na Beyonce?😅😅
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 ай бұрын
Nachekaga nahiyo kitu bland kkkkkkkk lol duh waandishi kazi mnayo make kusikia ushuzi wanamna hii nikazi kubwa sana inatakiwa uwe namoyo
@DalhaAbdi-xf3gp
@DalhaAbdi-xf3gp Ай бұрын
Mnaekti movie nyie
@AyishaEidi
@AyishaEidi 4 ай бұрын
Ivi huyu dada ht akifa atajibu malakatlimaut mm ni mrandi
@davidkisinini8855
@davidkisinini8855 4 ай бұрын
Diva sio mzima hata kidogo
@queenlinda255
@queenlinda255 4 ай бұрын
Una taka mali kwa bwana mganga si ulisema mganga hana mali mnja mjanja mbona ww diva kama umechanganyikiwa
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Huyu kaka akirudi anamoyo
@alsam4881
@alsam4881 4 ай бұрын
Diva ni muongo hana miaka 36, Ungemuuliza shule na chuo kamaliza mwaka gani? na pia ungemuuliza kazaliwa mwaka gani? kwasababu katika uongo ukweli utajulikana tu,ungempiga maswali huyo basi ni lazima angekosea kwenye kujibu hapo. Haswa hao watu wanaojulikana yaani ni maarufu ni waongo sana ktk kutaja umri wao wa ukweli, Yaani kila siku huwa wanajirudisha miaka nyuma tu , utawaona wanasheherekea birthday zao na kila mwaka wanasema wana miaka chini 40, Yaani Waangalie tu akina Shilole, Dida, kajala, aunty ezekiel, Jackline wolper, Wema sepetu n.k wote hao tunawajuwa zaidi ya miaka 18 iliyopita, lakini wao wanasema bado wapo chini ya miaka ya 38 yaani hawajavuka miaka 40, na wengine wana mabinti wakubwa wapo chuo kwa mfano mabinti wa shilole wapo chuo, na kajala keshapata mjukuu, lakini wao kila mwaka ni wanasheherekea miaka chini ya 40, Yaani miaka yao haisogei mbele ila inarudi nyuma. Na wengi wao wanasema tulianza kufanya kazi bado tukiwa wasichana wadogo au wanasema tulizaa tukiwa wadogo kwasababu hawataki kuonekana ni watu wazima na umri umeshaenda, Na wanataka wapate wapenzi wavulana wenye umri mdogo. Kwa kweli ni aibu sana wana-date wavulana wadogo hata haipendezi kwenye jamii.
@janethalley4046
@janethalley4046 4 ай бұрын
Jamani huku kwenye mitandao watu huwa hawajui kuandika kiswahili vizuri, ila nimesoma comment yako umeandika umeeleweka. Hongera sanaaa😂❤❤❤
@cocorita8367
@cocorita8367 4 ай бұрын
Bora hata Loveness 😂
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 4 ай бұрын
Dinn mbea shoga yangu nakuona unavolishia hapo izo poz bi mzr
@angelmdee4586
@angelmdee4586 4 ай бұрын
Grow up
@kibouttv7148
@kibouttv7148 4 ай бұрын
Yani kwa umri wa huyu dada alitakiwa saizi kuwaza Kuwa na mjengo, kuwekeza biashara na future yake na mume ukiishi Maisha yako ukajipenda ukajijenga atakuja mwanaume wa kufanana nae tu on her way ila akikaa hivi anawaza tu kuolewa mume ndo wanakuja hao makapi mana you are desperate na mume na kuolewa ladies sijui lini mtaishi kwa kutumia akili
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
Wanasaga usipokua na mtoto mpaka age karibia na 40 akili haikui kikubwa inakua kijinga na ni kwel nishaobserve hii kitu
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 4 ай бұрын
Bac hutaki talaka😂aliye choka na anataka talaka hua hadai chochote…vitu vinataftika
@SuiBegasha
@SuiBegasha 4 ай бұрын
Me, Me,Me...Ego,Ego, Ego.
@Sage-o4q
@Sage-o4q 4 ай бұрын
38 bhanaaaaaaaa!
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Jamani 😜37🏃🏃🏃
@Mb0g0z
@Mb0g0z 4 ай бұрын
36 mdogooo😊😊
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl 4 ай бұрын
jmn msimshambilie sana huenda wapo wengn ni yf material na hawana furaha kwny ndoa zao na wanavumilia unyanyasaji tuache kumuandama sana jmn
@fbfabien4709
@fbfabien4709 4 ай бұрын
Uyo dada ana akili
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Ukiona mtu anaongea kwa kukosea kwa kujiamni ujue kuna tatizo kubwaa toka uislam kwenda uislam
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 4 ай бұрын
Yaani huyu hana nyota ya ndoa.tumechoka mambo yenu tulia bwan
@athumankagoro4187
@athumankagoro4187 4 ай бұрын
Dada unafanya watu,, wakuona kama limbukeni"" ongea kiswahili basi
@sumeyabakabshabakabsha8050
@sumeyabakabshabakabsha8050 4 ай бұрын
Huyu pesa pesa na yeye hajiombei hata pepo yeye ni pesa tuuuuuuuuuuu
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Huyu ni Beyonce hataki Pepo😜😜😜
@huseintajo8113
@huseintajo8113 4 ай бұрын
Mpole utampata ukifuata sheria za dini
@shanifambaraka-v6y
@shanifambaraka-v6y 4 ай бұрын
Kaa tailaa 😢
@pilihassan4351
@pilihassan4351 4 ай бұрын
Mmmh!!
@BrayaniMethodi
@BrayaniMethodi 4 ай бұрын
Semaaa ungntmia n zkoo
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 4 ай бұрын
Uyo mume wa ivyo umuumhe
@umfahad2609
@umfahad2609 4 ай бұрын
Birhday yako km bint yng. 25/5.
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Utaambiwa wamuibia nyota shauriako🤣🤣🤣
@FaridaFaridaseif
@FaridaFaridaseif 4 ай бұрын
Umechoka kwenye midia ? Wakt wewe ndio wa mwanzo kukimbilia huko. Sema mama hakutaki umeshindwa
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
🙄🙄
@اينيايني-ب2ف
@اينيايني-ب2ف 4 ай бұрын
Hl❤❤❤❤🎉🎉🎉
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 ай бұрын
U know u know ndio inakuponza
@celinapeter9474
@celinapeter9474 4 ай бұрын
Hehehe 😅
@maryammagembe5553
@maryammagembe5553 4 ай бұрын
Vingeleza vya nini
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
​@@maryammagembe5553maringo tu nfo maana drama zinakua nyingi hata kwenye ndoa
@catherinekanono4298
@catherinekanono4298 4 ай бұрын
It seems that diva don't need a man as a husband she needs to a sponsor so just marry a bank otherwise you will die single no man will allow that .
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Lakini diva hata wewe pia sioni kama unafa kuwa mke...juyanini kila siku maneno yako kuya towa inje sio sawa hauna heshima ninavyo kuona wewe😏😏😏
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
You'r correct anaongea upuuzi sana huyu binti
@josephkiwale374
@josephkiwale374 4 ай бұрын
Hv nyie wakenya,kwenu hakunaga wasanii kutwa ku comment on what happening on Tanzanian's stars,this amaze me 😆😆
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Babake ni mkenya wewe ni muarabu wa lamu mobasa tena pia anachembechebe za kioman
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Babake Abdul sawa😏
@spreadlove5300
@spreadlove5300 4 ай бұрын
​@@josephkiwale374kwani kuna limits?
@NasraRama
@NasraRama 4 ай бұрын
Umezeheka bila hata mtoto
@singleparent7483
@singleparent7483 4 ай бұрын
Nae huyu mmmm
@MisMona-oo6zk
@MisMona-oo6zk 4 ай бұрын
Unajieleza sana unalolote
@susans4490
@susans4490 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@wimranpatrick
@wimranpatrick 4 ай бұрын
Zaa wako
Mume wa Diva Amtolea Avivu Diva/Nimefata Mali/Amwanga Siri Zake
20:12
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 55 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
Empowered Women | Family & Work Dynamics: Are Men Ready?
23:50
Easier said than done
Рет қаралды 176
NDOA MPYA YA SHAMSA FORD CHALI/UCHAWI/PART 2
24:45
Dizzim Online
Рет қаралды 24 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 31 М.
Lady Jaydee: Tanzania mtu akifanikiwa sana huchukiwa na kupigwa mawe
25:08
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 55 МЛН