Mume wa Diva Amtolea Avivu Diva/Nimefata Mali/Amwanga Siri Zake

  Рет қаралды 23,673

Dizzim Online

Dizzim Online

11 ай бұрын

Mume wa diva amtolea uvivu diva/nimefata Mali/amwanga Siri zake

Пікірлер: 69
@Aminafamau_
@Aminafamau_
Huyu kaka ni tapeli mbunifu ...
@user-iv4sf7yl4d
@user-iv4sf7yl4d
Mwenykit wa matapeli
@hanifa9153
@hanifa9153
Hyu dada mtangazaji anackia kcheka 2 masikin uongo wa hyu bwanaa
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g
Diva huna mume hapa,fanya tu kuongeza maombi Mungu akutafutie mwingne😂😂😂😂😂janaume ongo mbk shetan anamuogopa😂😂😂😂😂😅😅😅
@abdultandala6576
@abdultandala6576
Jamaa yuko sawa tu kama demu mwenyewe kamwelewa mwamba wivu wa nini?🤣🤣🤣🤣🤣
@yeslord2276
@yeslord2276
Diva ulimuokota wp uyu mwamba loh 😢😢😢😢 mbna kituko jmn
@fatimahaji8560
@fatimahaji8560
Kwenye dini ya kislam hakuna 50 50 mwanamme kaamrishwa ndio provider kwenye ndowa sasa yy kasoma dini ipi hataki kukubali kama kafata kitu kwa mkewe ila ukweli upo wazi
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990
MTU muongo Huwa anaonekana akiwa anaongea so huyu jama ni muongo
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g
Kaongo haka kakaka jmn,,,halafu sijui kanajikutan Nan??🙄😏😏
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047
Hivi nashangaa sana huyo Diva mwenyewe karidhika akijua amepata mume wa kufa na kufaaana hapa! pole diva bado una mwendo hujafika bado
@nururaymond5
@nururaymond5
Kweli mapenzi upofu...mbona jamaa anaonekana Kbsa muongoooo Diva haoni jamani...anatumika Diva
@kazkaz1943
@kazkaz1943
Kwel kwenye maisha usijali hata watu wasipokuelewa 😂ukweli mimi huyu kaka simuelewiiiii😢😢
@sovajulius3870
@sovajulius3870
Ukiona mwanaume anaoa oa Sana ujue ipo shida.Jirekebishe
@scollantandu2350
@scollantandu2350
Mh jamani dah pole sana, mana uongo mwingiiiii 😢
@NatacollectionMushi-ux2xm
@NatacollectionMushi-ux2xm
Huyu kaka nilikuwa namuheshimu sana ila saivi namuona kitu chaajabu sanaa
@lucasernest6012
@lucasernest6012
mbona alikua anajiombeleza msaada hii juzi,acha fix kiongozi
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336
Shehe wa wapi,huyo ni mganga wa kienyeji msanii wa mjini wanaitwa Diable
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712
Wasanii au watu wa mitandaoni mkitaka kuowa su kuolewa tafuteni watu walokuwa sahihi msitafute matapeli huyu jamaa anaonesha ni tapeli na ni mzuri kwa mazingumzo kuweni makini na ndoa au mahusiyano au mapenzi ya kweli halafu ni uchafu tu huyu katembea na huyu ambapo huyu mtu wake huyu naona mapenzi ya dhati hamna jirekebisheni
@sovajulius3870
@sovajulius3870
Jamani Huyu jamaa ni Boss wa Matapeli ona anavyoongea .Sasa angekuwa na pesa ni wewe ulisema Analipa nyumba ya milioni 5 tana kwa kuungaunga Sana which hukupenda Yaani hapa anasema hivyo ili mahakamani Diva akose ushahidi ukweli kaoa Binti na hapo anamchezea AKILI Dada wa watu ili azidi kuwehuka
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr
Mie namuelewa sana pia namkubali shemela wangu 🎉🎉🎉
NDOA YA DIVA YAFIKA TAMATI/ALINIPE VITU VYANGU
19:13
Dizzim Online
Рет қаралды 22 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Siri za Kanumba Ray naJohari nje/siogopi Mtu/ MAINDA
18:33
Dizzim Online
Рет қаралды 3,4 М.
Mume wa Diva Afunguka | "Mwanamke Kuacha na Mimi ni Mjinga"
25:45