DK 25 ZA USTADH SHAFI MBELE YA WAINJILISTI MADA: JINSI KITABU CHA BIBLIA ILIVYOHARIBIWA, PART ONE.

  Рет қаралды 35,891

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@jameswambugu517
@jameswambugu517 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah awajalie na awazindishie imani pia naawalipe na wema nduniani na ahela inshallah
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 жыл бұрын
Shaffi namashekhe wengine msichoke endeleeni kuelimisha lakini watu wagumu kuelewa wapingaji wa mungu wa kweli walipingaga tangu kale mungu awa ongowe wakiristo Kama Mimi nilivyo kuwa nawashukuru Sana waalimu wa kiislamu🙏
@mahmudmaganga9407
@mahmudmaganga9407 Жыл бұрын
MAASHALLAH ALLAH AKUZIDISHIE ILMU
@hamzaforogo
@hamzaforogo 3 жыл бұрын
Msomaji yupo vizuri Maashaallah hapotezi muda
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 3 жыл бұрын
Duh hatari. Mkono kwa mkono hadi peponi. Hakuna njia nyingine.... TumuombeMw. mungu atujaalie tusife isipokuwa ni waislamu.
@jumashabani8474
@jumashabani8474 3 жыл бұрын
Amiyn
@mirajihamidu4370
@mirajihamidu4370 3 жыл бұрын
Allah awalipe kila la heri
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 жыл бұрын
Allah akulipe shkh shafii Maulana Mazinge Yahya Na wote Amin
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
Amiyn
@gashenoor1953
@gashenoor1953 3 жыл бұрын
My favorite sheikh, masha Allah
@juniorjuma2562
@juniorjuma2562 3 жыл бұрын
Hatali Sana Yan umefanya vizuli
@seifmziray2551
@seifmziray2551 3 жыл бұрын
Mashalakh aalahakbar
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 жыл бұрын
Mashallah ALLAH BARIIK always my brother shomali
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Mashallhaaa shekhe walufiji
@mkatudynasty7459
@mkatudynasty7459 3 жыл бұрын
Huyu Shekh ALLAH amuhifadhi
@alimira8050
@alimira8050 3 жыл бұрын
Ust, awe anatumia neno Allah itakuwa ni vyema kuliko kutumia Mungu
@mickdaduhuru9191
@mickdaduhuru9191 3 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@chiefvillage7530
@chiefvillage7530 3 жыл бұрын
Allah Hafiz
@abasiramadhani6457
@abasiramadhani6457 3 жыл бұрын
Wafundishe shekh
@francaassumane7200
@francaassumane7200 3 жыл бұрын
Masha Allah
@mabaazizitigermnyama5254
@mabaazizitigermnyama5254 3 жыл бұрын
Mashallah......!!!!!
@Anasa-m2q
@Anasa-m2q Жыл бұрын
❤❤❤❤😂😂😂😂Shafiii
@amenaallahawazidishieumrin6235
@amenaallahawazidishieumrin6235 3 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Allah
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Kwakweli Quraan ni kitabu cha haki na hakijabadilishwa na Allah alisema atakilinda hakito badilishwa na kweli makafiri hawakuweza kukibadilisha Washajaribu mara nyingi kukibadilisha lkn hawakuweza wala hawatoweza kabisa kwasababu quraan ni kitabu cha mwisho na Muhammad ni wamwisho haji mtume mwengine ndio maana quraan iko safi tumeamrishwa ifuatwe hio mpk mwisho wa dunia.
@muhalakibwana4026
@muhalakibwana4026 3 жыл бұрын
Unaelezwa kitu ya wazi unaleta matusi ina maana huelewi ama ufahamu
@frederickamayo2885
@frederickamayo2885 3 жыл бұрын
Takbirr
@binahmedjuma8681
@binahmedjuma8681 3 жыл бұрын
Allah akbar
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 жыл бұрын
Shafi wamuache tu😂
@tecqween9509
@tecqween9509 3 жыл бұрын
Naomba kuuliza huu mdahalo ulikua lini?
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 жыл бұрын
tangu miaka mitano nyuma
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
jameni jameni,ivi nabii Lut (a.s) atie mimba wanawe? subhanaAllah,Mola awafungue macho wakristo waione haki na kuufata Uislam
@chingomkonde9651
@chingomkonde9651 3 жыл бұрын
tatizo makafir hawajuwi wakija wao lazima watoke nje ya mada
@KH-on8pp
@KH-on8pp 3 жыл бұрын
Enyi Maahmadiya mnaishi chini ya uangalizi Wa makafiri Wingereza ndio makao makuu yenu, na wapi Quran imesema yatateremshwa baada Mtume Muhammad SAW Nani Kampa amri Mtume Mjazi Mirza Ghulam-Ahmed kuandika, vitabu ?Acheni kuzidi kupotea
@baddykambona3144
@baddykambona3144 3 жыл бұрын
Hakika kitabu kisichokuwa na shaka ni (QN)
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Naam quraan haikubadilishwa iko vilevile
@FaraKeys-sz6mb
@FaraKeys-sz6mb Жыл бұрын
Hahahahahah ahha hahahaha…. Alo wanzungu wame waalibu watu yan paka hapo watu wata bisha pia
@selemaniyabbi5942
@selemaniyabbi5942 3 жыл бұрын
....
@waytvtz2549
@waytvtz2549 3 жыл бұрын
Kila kitabu kwa Iman za watu huwa na mapungufu quruan yenyewe inamwonyesha mtume lazima atie mguu wake kwenye Moto wa jehanamu na bado wakati wakusali Kuna Kuna kupulizwa matakoni jingine inaonyesha maka ilikuwa sehemu ya makoreshi ambapo mtume amepigana akachukua kwa nguvu na hilio jiwe liliko maka jiwe nyeus ilikuwa ni ibada ya makoreshi .
@F.j84
@F.j84 3 жыл бұрын
Mukielezewa ukweli munaleta matusi kawaida ya makafiri km hao makureshi walikua km wewe sema wewe mweusi tu lkn tabia moja.
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 3 жыл бұрын
dalili??????
@swadakatiponda895
@swadakatiponda895 3 жыл бұрын
Mlishatabiliwa, hivyo hatuna shaka kabisa, kuleni bata duniani ila mjue mtaenda kula mbwa akhera
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Inna lillahi waina ilahi rajiun,,,,hivi ndivyo mapasta na makoronya yenu walivyokudaganyeni 🤮🤮🤮🤮🤮🤮
@MesaidaMatano
@MesaidaMatano 10 ай бұрын
Jiwe lilishuka kwa upendo n kumfata mamayetu Hawa♥️ pindi ALLAH alipomshukisha kutoka peponi kuja duniani ..n kama kuna kitu huelewi heri uulize bila kukurupuka ila quran haina mapungufu yyte mana n maneno ambayo yanaeleza kila kitu ambacho hakikua n kilichopo n kitakachokuwepo kweli kitakua n shaka gani vile ?
@majaliwaalbert971
@majaliwaalbert971 3 жыл бұрын
Makafiri nyie wenyewe tuacheni na biblia zetu wakristu Kila mtu na dini yake kibaya uongo mwingi acheni kupotosha watu na Nina maswali yangu ambayo nikiwauliza hamna majibu ufunuo wa yohana unawaumbua
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
wew
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
ww motoni
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
uliza ayo maswali wacha jazba,ukweli unauma
@cityhunter6858
@cityhunter6858 3 жыл бұрын
Ukiwa umepigwa chapa ya motoni ni ngumu saanaaa kujinasua,,,kuwa macho ndugu yangu achana na starehe za wakristo
@pnrserviceslimited3089
@pnrserviceslimited3089 3 жыл бұрын
Wewe huna hata moja kichwan Mungu na kitabu hauna sasa wewe tukuiteje kafir jina hili lina kufaa sana ndugu yangu ukiwa na swali uliza hapa hakuna hasira ni elimu tu huna kitabu wala Mungu hauna
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
SHUHUDIA DHAFA YA AINA YAKE (MAULIDI YA MTUME CHUO CHA MAAHADI NUURIL MAARIF KAHAMA
6:45
Wachungaji wavamia kiwanja ya daawah mwisho watoroka by Salim
50:15
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 44 М.
SHEIKH  MUHAMMAD AYUBU
3:53
AHLUTWARIQA WALHAQIIQA ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.