No video

DKT SLAA: SIO SIRI CHADEMA WALITAKA KUMPA URAIS SAMUEL SITTA, SIKUMUOGOPA LOWASSA

  Рет қаралды 25,024

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

2 жыл бұрын

Пікірлер: 51
@deogratiasntalindi4200
@deogratiasntalindi4200 2 жыл бұрын
G.O.A.T
@MrBeerlahairoi
@MrBeerlahairoi 2 жыл бұрын
Interviewer unaboa humuachi Mzee ajibu swali!
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Ni kweli Dr slaa Kila kitu kina faida na madhara yake
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
Akili kubwa hii ktk hii nchi. Viongozi akili kubwa ni hayati Mwl. Nyerere, hayati EM Sokoine, hayati Dr Magufuti, Dr. W P Slaa Their mind and vision is/was masterpiece.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
Akili ndogo aliyekubali Muungano.
@charlesnguvava8478
@charlesnguvava8478 2 жыл бұрын
Umemsahau Benjamin Mkappa
@johnsonkiwia6577
@johnsonkiwia6577 2 жыл бұрын
Nawe akili yako ni ndogo au kubwa? Manake hadi umechambua akili kubwa na ndogo nasi tujuze size ya akili yako
@simonmayunga6252
@simonmayunga6252 2 жыл бұрын
Baba karibu CHADEMA I love
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 жыл бұрын
kamkaribishe nyumban kwenu chadema mtaisikia tu baada ya kufail
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwa interview Hii bwana Gangana
@simonmayunga6252
@simonmayunga6252 2 жыл бұрын
Njoo CHADEMA chukua presidential vacant
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 2 жыл бұрын
Mungu akutunze mzee
@nyerere1259
@nyerere1259 2 жыл бұрын
Doctor
@jonathanmwakabuku1931
@jonathanmwakabuku1931 2 жыл бұрын
Unapomuhoji mtu muache aongee kuliko wewe maana tunataka kumsikia unayemhoji zaidi
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
Gangana Leo umekosea. Hukumuacha mgeni wako akatutosheleza kwa majibu ya maswali yako mwwnyewe. Umemuingilia sana kabla wakati anajibu
@jerrywilhelm
@jerrywilhelm 2 жыл бұрын
Asee hata mimi naona gangana hajawa professional... ukiuliza swali moe nafasi mgeni ajibu kama una majibu yako usifanye interview
@johnnzao6460
@johnnzao6460 2 жыл бұрын
Jamaa unauliza maswali ya kipimbi.
@josephatmwesigwa4261
@josephatmwesigwa4261 2 жыл бұрын
Sema tu kwakuwa umekuwa Balozi hivyo unapamba pamba
@teterod8461
@teterod8461 2 жыл бұрын
Maswali ya kina mobeto mwijaku kwa d.slaa??? Ganganaaa😂😂
@wilyfredelisante7991
@wilyfredelisante7991 2 жыл бұрын
Mzee akili nyingi sana
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 жыл бұрын
labda huko ccm
@riahwilly829
@riahwilly829 2 жыл бұрын
Mtangazaji hutoshi wew mpe Uhuru mgeni,kama unataka kuongea bac tafuta mda wako
@lupaprince1229
@lupaprince1229 2 жыл бұрын
Hujui kuuliza maswali
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Kabisa aisee ,njoo umuonyeshe mauwezo
@marcomuhoja5981
@marcomuhoja5981 2 жыл бұрын
We jamaa unazingua xana
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 2 жыл бұрын
Dr anajibu kidiplomatic, haropoki
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 ulioa nini mzee maana mapadre hamruhusiwi kuoa( vatcan mhhhhhh Allah ndo mjuzi)
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Huyu ndiye alikuwa kiongozi bora wa Chadema. Wote waliobaki ni wafanya biashara na wapiga dili kupitia siasa.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 жыл бұрын
endelea kufilwa ccm wewe saiv cement unajua bai yake au mafuta ya magari kuma nyinyi na ccm yenu mnafikir huyo mzee wenu uchwara atawanusuru tunawasubir 2025 ndo mtajua hamjui
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@emmapaul1766 wote tunajuwa wewe ni kichaa wa Chadema. Chama kimejaa vichaa tangi kiongozi kichaa na wafuwasi vichaa eti munataka kuiongoza Tanzania 🤪🤪🤪🤪🤪🤪
@deogratiashaule8958
@deogratiashaule8958 2 жыл бұрын
Presidential candidate for 2025.chadema wamtumie huyu mzee.ni presidential material.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 жыл бұрын
yani tumuache lissu tuchukue mkundu, huo mkundu utumieni kumnadi mamayenu huko lumumba tuwafile vizuri
@sungula100
@sungula100 2 жыл бұрын
Huyu mwandishi mbona anaongea kisera sana na huyu mzee!?
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Halafu kamezeeka sana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Si umri.ulitaka.arudi ujana haiwezekani na wewe ndio huko huko unakoelekea ni swala la mda tu bora yeye amezeekea pazuri wewe je hatima yako🤣
@rokoowilfred2318
@rokoowilfred2318 2 жыл бұрын
Gombea urais
@pascalmakondo7976
@pascalmakondo7976 2 жыл бұрын
Kama tunahiji mtu Kama jpm Ni huyu hata zaidi ya jpm Ni Dr slaa
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 жыл бұрын
Kumbe slaa ana nchi yake?
@josephlegembo
@josephlegembo 2 жыл бұрын
Waandishi wetu wajifunze namna ya kuhoji wasanii na watu wasio wasanii
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Naamini ipo siku mtaelewa maana ya hicho kipindi. Content ya kipindi inataka hivyo narudia tena hata aje Rais tutaenda kwa MWENDO huo. Tafuta vipindi vyote vya Nipe 5 .
@arafaswalehe4660
@arafaswalehe4660 2 жыл бұрын
Anna ki2 apo
@gaspermshiu2453
@gaspermshiu2453 2 жыл бұрын
Kumbe intelligence ya ccm ilimshtukia samweli sita ndyo sababu walikuja kumchomoa kwenye uspika. Ila siasa za tz ni ngumu Sana yaani chama kinaweka mikakati na maandalizi na mafunzo kwa almost 5yrs then kinakuja kukutosa na kumchukua mtu mwingine.
@keffasleo7067
@keffasleo7067 2 жыл бұрын
Mengine anatudanganya hy mzee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Sasa hivi kila kitu kitasemwa
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Huyu hafai kabisa hata kumsikiliza
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
Huyu mzee ndio alinishawishi kuingia na kuipenda chadema sasa chadema hovyo kbs hakuna hoja wala msimamo
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 жыл бұрын
hovyo kuliko wanaokufila huko ccm na huyo mkundu aliyepewa ubaloz akidhan angeiua chadema badala yake anatapatapa na bado mpaka atanyooka tu chadema juuu na 2025 ndo mtaelewa
@paulshija7632
@paulshija7632 2 жыл бұрын
Mwandishi wa hovyo kweli huyu, ujuaji mwingi, umeharibu interview bwege wewe!
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Sijui ni nani aliwakaririsha namna ya kufanya mahojiano, nipo kwenye operesheni ya kuondoa huo ugando wa baadhi ya watazamaji. Mdogomdogo mtaelewa tu ,narudia tena hata aje Rais kwenye Nipe 5 mwendo ni huohuo, kama ni akili nijaji kwenye habari au vipindi vingine. Vipi hutafurahi ukimjua msusi wa Rais, ukiacha mbali stori za kuendeleza miradi kila siku?
@Ambagaye
@Ambagaye 2 жыл бұрын
Rais, jaji, Balozi na maafisa wa jeshi huwa ni vyeo visivyofutika. Cheo kingine kisichofutika ni Profesa, ila siku hizi kumekuwa na maprofesa wengi wa aina ya aka-dabla, ndiyo maana cheo cha uprofesa kimeshakosa heshima hiyo tena,
@gaspermshiu2453
@gaspermshiu2453 2 жыл бұрын
Vp kuhusu waziri mkuu je ni cheo kinachofutika?
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН
JOHN PAMBALU ASIMULIA ALIVYOKAMATWA NA KUSAFIRISHWA USIKU KWA USIKU
9:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 2,7 М.
Lissu kuongoza mawakili kuwashtaki Awadhi, Sisty mahakamani
2:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,4 М.
MCHAMBUZI THABIT AIBUKA UPYA/HAPA NDIPO TUNAPOFELI AFRIKA/AMTAJA KIKWETE
34:39
Gangana Info Channel
Рет қаралды 22 М.
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН