MCHAMBUZI THABIT AIBUKA UPYA/HAPA NDIPO TUNAPOFELI AFRIKA/AMTAJA KIKWETE

  Рет қаралды 22,735

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

2 жыл бұрын

Пікірлер: 59
@user-vw1qr1dt6z
@user-vw1qr1dt6z 3 ай бұрын
Brother Thabit Mlangi you are so intelligent keep it well
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
You are the Icon of our country....
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Tunakosea Sana kumwachia Rais na mawaziri ndio wawe na maamuzi ya fikra ya nchi na Wananchi ... Mi nafikiri tungekuwa na jopo la wataalamu watengeneza Sera , dira na vipaumbele vya nchi na wananchi... Serikali ibaki kutekeleza tu... Bunge lichambue na kuboresha Kisha kufunga Sheria za adhabu kwa wakaidi...mahakama isubiri kutoa adhabu kwa wakaidi wa dira yetu.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@leahmgunda177
@leahmgunda177 2 жыл бұрын
Katiba imewatenga.Wakitaka ibadilishwe visingizio vinachachamaa.Rais tunamuona kama Mungu.Ukimpinga kuuawa kunakuhusu au kufungwa kwa kusingiziwa kesi.
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Dahii yani leo nimemuona huyu mwamba tu .nimemkumbuka Mjomba dahhi.,😭😭
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 2 жыл бұрын
Nilimkumbuka Sana Thabiti mlangi maana uwa najifunza vingi toka kwake
@erickmwakipesile2507
@erickmwakipesile2507 2 жыл бұрын
Jamaa very smart, watu kama awa serikali ilibidi iwatumie
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Serikali kuwatumia watu kama hawa inakuwaga ngumu sana Kwa sababu wananyoosha sana Mambo kitu ambacho serikali hasa hizi zetu hazipendi, kutokana na madudu yaliyopo.
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Bado hata hivyo anaitumikia serikali ya tz
@stanfordshombe1379
@stanfordshombe1379 2 жыл бұрын
Mwanasaikolojia namwamini sana
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 жыл бұрын
Hawa ndio watu wenye akili ndefu Taifa linawahitaji
@mrmhenipm
@mrmhenipm 2 жыл бұрын
Huyu jamaa alipotelea wapi?????? Yaani nilikuwa namgojaaaaa
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Alisoma vizuri
@mds5293
@mds5293 2 жыл бұрын
Great great brother........
@mutayengelwamasatu2384
@mutayengelwamasatu2384 2 жыл бұрын
Mkali wa wakali Thabit Mlangi
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Mbona umuulizi maswala ya ujasusi katika biashara kati ya taifa moja na lingine
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 2 жыл бұрын
Milengo ya kisiasa katika ujumla wake ipo mlengo wa kuria hawa ni waliberali, mapebari wanaamini katika Uhuru na demokrasia na soko huria lakini mlengo wa kushoto hawa wanaamini katika ujamaa na ujamaa wa kidemokrasia inaingia hapo pamoja na ukomonist mchambuzi sijamuelewa hapo alichomaanisha kwenye left wings na right wings anachomaanisha
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 2 жыл бұрын
nisiku nyingi sna aisee huyo jamaa twamfuatilia sna
@samweljuma585
@samweljuma585 Ай бұрын
taifa lililoanguka.
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 2 жыл бұрын
Mbona maswali rahisi jamaa anajieleza mzunguko mrefu historiaaaa.. we sema Africa inafanyiwa maamuzi na magharibi, mfano Covid 19 chanjo ili upate tril.1.3 Straight forward, viongozi wanaingiliwa sana maamuzi na mataifa ya ulaya. Na Africa ni maskini by design. Someni sana.
@DawsonKiwia-qt6zf
@DawsonKiwia-qt6zf 8 ай бұрын
Tunacho hitaji hivi sasa ni mabadiliko ya kiuchumi ili tufanikiwe tusiwe tegemezi tupite njia zipi?
@venanceselegebu8566
@venanceselegebu8566 2 жыл бұрын
Huyu jamaa to great thinker anatakiwa awe kwenye benchi la ushauri wa Raisi wetu, usiwe unakaa muda mrefu tunahitaji kumsikia atupe ushauri uliotukuka.
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Negative, huwaga awafanyi vizuri wanapokua kwenye safu za washauri wa viongozi! Why? Simply because huwaga wanalenga sana kuwafuraisha viongozi!
@user-sz1lw9kq5s
@user-sz1lw9kq5s 5 ай бұрын
Aya kaka ukusawa
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
watu Kama hawaajiliwi kwasababu hawajajiunga na ufreemason , Ila angekuwa freemason angeteuliwa zamanii,Nchi hii!!!
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Kwan ukitpa no ya hyu thabit utakua ma dhambi gani
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 жыл бұрын
Nikija hapa huwa namfuata Thabiti
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Maneno huumba jamani muwe mnachagua tusi hasa la ujumla.
@suleimanhamadi5099
@suleimanhamadi5099 2 жыл бұрын
Mchambuzi Thabit, GANGANA usiweunamchelewesha huyo plze
@SuperKibwana
@SuperKibwana 2 жыл бұрын
Mazungumzo mazuri na matamu sana sana sana. Il kuna baadhi ya vitu mnalazimika kuangalia namna ya kufanya. Lugha mseto, kiingereza na kiswahili, sio kitu kizuri. Bora mtumie lugha moja tu. Kama ni kiingereza iwe hivyo au ni kiswahili iwe hivyo. Na kitu cha pili, ni kuogopa kutaja majina ya wahusika wakuu. Mzungumzaji amesita kulitaja jina la mwalimu wake na akatudokeza kuwa ni mtu anayechukiwa sana na Waarabu! Kama ni hivyo, basi asingemuhusisha kwa kiwango hicho ili aendelee kuwa mbali ya mazungumzo.
@emmanuelmwangoka1740
@emmanuelmwangoka1740 2 жыл бұрын
Namfatilia sana huyu Jamaa! Yuko vizuri! Natamani siku moja Khalid Gangana umlete aje azungumzie Mgogoro wa Ethiopia na mikakati ya AU kuisaidia Ethiopia isianguke, Ethiopia inanisikitisha sana! Watu wanakufa kule! Natamani tupate madini(Elimu) kutoka kwa Thabiti.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
🙏
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 2 жыл бұрын
Khalid HUWEZI kumuhoji huyo Jamaa Yuko na level kubwa akili inaonekana hata humuelewi,si Kwa ubaya lakini.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
😀😀😀 Daa jamani ,kweli simuwezi hata sielewi .Wala si kwa ubaya ,kuhoji ni kukomoana au kuuliza usiyoyajua ? Ingia KZbin andika MCHAMBUZI THABIT angalia video 3 tu kisha urudi tena hapa mtaalamu wa kuhoji. Kama kuhoji ni kutafuta elimu ya ufafanuzi au usiyoyajua, Acha wenye uelewa hata chizi wa jalalani naweza kumuhoji. Wenzako wanafaidika na madini ya jamaa wewe unaleta hoja dhaifu kabisa, nisingemuweza usingetambua hayo madini aliyotema.
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Gangana tv, nawezaje kupata mawasiliano ya ndugu Thabit/ mchambuzi wetu huyo?
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
+255692700833
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Ahsante sana na tafadhali endeeleni kutuleteeni mahojiano kama hayo! Very very great content
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
@@antoinekatembo8520 asante Kaka, ratiba ya Thabit ni ngumu ila akiwa na time tunashusha tu mambo
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel kwa hakika ndugu Thabit yupo kwenye level nyingine katika uchambuzi wa maswala kama na haya!
@peterdeus6093
@peterdeus6093 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa nin asiwe lecturer pale udsm
@peterdeus6093
@peterdeus6093 2 жыл бұрын
Bro tupe shule kaka
@beninigabo769
@beninigabo769 2 жыл бұрын
Kama kawaida yako Mtaalamu Bobo, siku zote umekuwa ukionesha kuwa wewe ni mwerevu, mjanja na mwenye akili nyingi. Binafis, naamini kuwa hiyo ni karama na siyo kwa sababu ulienda Israel...wewe ni kifaa. Uchambuzi huu umeutoa kwa tahadhari sana, nakupongeza kwa hilo, hiyo inadhirisha ni namna gani ulivyo na akili nyingi. Wenye kuelewa tumeelewa.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 жыл бұрын
Jamaa anachanganya mambo magufuri angeishi mda mrefu huyu angepata aibu. Harafu marekani hawajawahi kushinda vita, walishindwa Vietnam, Iraqi na wameshindwa Afghanistan. Hawajaondoka Afghanistan kwa mapenzi yao kumbuka waingereza walishindwa warusi walishindwa na sasa marekani wameshindwa. Kiongozi unatizamwa kwanini unawafanyia unao waongoza sio mlengo gani wa kisiasa unaufuata. Sifa ya kiongozi ni kuwa mkweli sio mlaghai, fanya kitu ambacho kipo ndani ya moyo na unakiamini sio kwa ajili ya kupugiwa makofi. Alichokiongea ni maoni yake sio ukweli. Wapo viongozi wa mlengo wa kushoto waliofanikiwa kiuongozi na wapo kulia waliofanikiwa.kwa Mimi naona direct strategy is better than indirect strategy so is a matter of opinion it's not realistic. It's not black or white it's everything in between.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Humjui vizuri Thabit, ingia KZbin andika MCHAMBUZI THABIT tazama video zake 3 tu ,halafu uje ukoment tena.
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Unataka kutuaminisha Thabit mtazamo wake ni 100% kwa kila mada? Niaminicho mimi hakuna mtu anaweza kuwa correct kwa kila jambo. Na simaanishi kwamba anachoongea siyo sawa isipokuwa mambo mengine ukweli wake hujulikana baada ya muda fulani.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Sijasema hivyo. Ni kweli kila binadamu ana mapungufu, basi huwezi kataa asilimia 100 aliyiyasema Thabit.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 жыл бұрын
@@ganganainfochannel sikatai yote lakini kumekukuwa na tabia ya watu sasa hivi kutumia lugha fulani ili JPM aonekane alikuwa sio kiongozi mzuri. Huwezi kumnyang'anya JPM heshima yake kwa Watanzania au Africa kwa ujumla. Kama uongozi ni ucheshi je mwalim Nyerere alikuwa mcheshi? Kwa mfano nimemsikia mbunge leo anauliza hela alizokopa JPM zimeenda wapi hayo yote aliokuwa anafanya hela alizitoa wapi? Kama Wewe ni mtanzania unaependa nchi yako utamueshimu JPM. . Nilikuwa namfuatilia Thabit lakini sasa ameanza kutafuta nafasi za kazi kwenye utawala uliokuepo. It's a shame!
@titokwareh1852
@titokwareh1852 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea mambo mengi ambayo hayaendani na ukweli wa mada iliyopo. Kukamatwa na police sio violence, violence ni kitendo cha kutumia nguvu kujeruhi. Kuumiza au kuua. Police akikukamata kisa taa nyekundu ametuaje violence hapo? Anajaribu kuongea vitu vingi ambavyo viko irrelevant na swali analoulizwa. Stick kwenye jibu linalotakiwa.
@joeltayari53
@joeltayari53 2 жыл бұрын
Ni watu wenye uelewa Wa juu sana watakao kukuelewa, brother .Uko vizuri sana brother, endelea kuelimisha.
@cidewashington670
@cidewashington670 2 жыл бұрын
Huyu ndugu Thabiti Mlangi ndio alifaa kuwa mshauli wa Samia kwa maono yake na sio Tony Blair
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Tony BLAIR ni mshauri wa Kagame, Rais wa Rwanda...
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kwa uchambuzi wa huyu Jamaa, tayari Tz ni Taifa lililoanguka! 🙃🙃 Statement inatoka leo, kesho mwingine anaipinga, yaani utafikiri ni Serikali 2 tofauti! 🤦‍♂️🤦‍♂️ Gwajima na Polepole, sikilizeni vizuri huyu Kijana!👈🤣 Labda hamuelewi kile mnachokifanya!🤣🤣🤠
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Ngoja, ngoja kwanza! Je, Tz Awamu iliyopita tulikuwa tunaelekea kuwa Taifa kichaa?! 😳😳🙆‍♂️😂😂 Crazy State!!! 🤭🤭 Kwa sababu Tulikuwa tunajitenga na dunia! 🤪🤔🤔Yaani tulikuwa hatutaki kushirikiana na wengine! 😀😀🤫🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 ki vipi?
@kaygreko
@kaygreko 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Taarifa hii umeisoma wapi?Tusaidie nasi tupate uhakika
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA UONGOZI WA KIDIKTETA / AFRIKA INAUMIA SANA
30:55
Gangana Info Channel
Рет қаралды 21 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 44 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 102 МЛН
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,7 М.
БАШКИРЫ - КТО они на САМОМ деле?
20:11
ОКАСЦА
Рет қаралды 668 М.
MCHAMBUZI THABIT, ELIMU BONGO IFUNDISHWE KISWAHILI AU KINGEREZA ?
42:38
Gangana Info Channel
Рет қаралды 6 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
Mbunge wa Mbogwe  amwaga  machozi bungeni
11:31
Mwananchi Digital
Рет қаралды 132 М.
Das System Putin: Macht. Eliten. Angst.
34:59
tagesschau
Рет қаралды 2,9 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA KUHUSU UZALENDO,MKATABA WA BANDARI
39:02
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,4 М.
MCHAMBUZI THABIT TENA,HUU NI USWAHILI
13:44
Gangana Info Channel
Рет қаралды 1,7 М.