DOCTOR AFICHUA CHANZO CHA KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS | TULIMWAMBIA HAWEZI KUPONA

  Рет қаралды 108,661

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 170
@angelinamaurice2095
@angelinamaurice2095 2 ай бұрын
Pole sana Dr. Nyagori. Mungu pia anahitaji vyombo vyema vikamtumikie....Mapenzi yake hayapingiki na huzifanya hekima za kibinadamu kuwa upuuzi. He just want him in Paradise to join Serafim Quire....
@nguyekorajabu1592
@nguyekorajabu1592 2 ай бұрын
Watanzania wengi tunashida ya afya ya akili . Daktari kaongea vizuri sana . Kasema tatizo alilokua nalo hawezi kupona bila kufanyiwa Upasuaji . HAWEZI KUPONA BILA KUFANYIWA UPASUAJI .. Media hii imeandika tittle kimchongo sana . Hizo ni Proffession za watu . Mtu ana degree tatu za Udaktari na Uzoefu wakutosha ....kutoka Hospitali kuu ya Taifa . Kaaminiwa na Taifa na ni mzoefu ....katibu watu wengi wenye tatizo hilo au linalokaribiana na hilo . Degree tatu za udaktari jumlisha uzoefu hapo si chini ya miaka 15. Mchakato wa kumpata Daktari huyo anaeongea
@estherlabanghuliku4668
@estherlabanghuliku4668 2 ай бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu. Dr Nyagori Mungu azid kukupa Maisha Marefu Nakumbuka Wewe ndio uligundua tatizo langu lililonitesa Miaka kadhaa Ukanifanyia Operation kubwa na Kabla ya Operation Nakumbuka ulisema tuombe Mungu awabariki Madaktari Wote na Manurse kazi Yenu ni Ngumu sn.
@findinglela
@findinglela 2 ай бұрын
Amina
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 ай бұрын
Sasa kwani hata akiishi maisha marefu atakua hafi? Mpuuzi ww
@sabinajoseph6733
@sabinajoseph6733 2 ай бұрын
​@@JamesJastin-bg1rxHujakutwaa na ttzo wwe Mungu akusamehe
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 ай бұрын
@@sabinajoseph6733 nawew pia mpuuzi tu
@brown46884
@brown46884 2 ай бұрын
Dunia imefika pabaya. Sasa lipi linalokufanya umtukane?​@@JamesJastin-bg1rx
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
@32 years there were options considering the time from the first symptom to the third day. More than three hospitals 😭😭😭 prof what was the diagnosis... Dont say you're a champion and you just lost a patient. AS THE ATTENDING PHYSCIAN What was the diagnosis please? . Thats more than 72 hours.. Complications MUST have set in from the heart surgery... Hypovolemic shock..
@254xlo
@254xlo 2 ай бұрын
Pia inawezekana platelets zillisha .ingefaa wamuwekee platelets pekee ili kuzuia thrombocytopenia, coagulopathy, haemodilution .etc...Madaktari 17 na wachina Juu yake...masaa 12 hrs. Halafu inafail...😢😢that's sad. Do a death audit and report accordingly
@Mesave234
@Mesave234 2 ай бұрын
Telling a patient admitted in hospital that YOU CANT MAKE IT already kills the patient. Give hope to the Patient😢😢😢😢
@FlorenceMugusu
@FlorenceMugusu 2 ай бұрын
Tanzanians are terrible, wangempeleka hospitali za kenya
@Jostany
@Jostany 2 ай бұрын
Sure
@jeffowinostv3981
@jeffowinostv3981 2 ай бұрын
We always trained to re- assure the patient hata kama hawezi make
@mwinjemwinje1016
@mwinjemwinje1016 2 ай бұрын
Fact​@@Jostany
@shukranbulilo8132
@shukranbulilo8132 2 ай бұрын
you can't make it UNLESS YOU UNDERGO SURGERY. You guys omit the key words
@ruthmoraa6665
@ruthmoraa6665 2 ай бұрын
Thank you doctor for the clear information, be blessed
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 2 ай бұрын
True Daktari wa upasuaji hufanya kazi kubwa theater mimi nimeingia theater major stomach sugeries na sio mchezo chance za mtu kuiyaga dunia huwa juu mno😢
@gladysmutunga7198
@gladysmutunga7198 2 ай бұрын
Mlianza kumuua marco wakati mliamua kumrudisha tz, hilali hospitali zimejaa kenya jameni.
@RosieNgina
@RosieNgina 2 ай бұрын
Kenya ni mbovu kabisa kitambo ushughulikiwe wengine wanadai pesa kwanza ndio wakuhudhurie
@PendoWilliam-v6f
@PendoWilliam-v6f 2 ай бұрын
So vizr kumwambia mgonjwa hautapona noooo ata kama yupo hali gani mtie moyo mwambie yupo Mungu atakuponya , maaan ukimkatisha moyo hivo anaweza ata kuwaza na ikapeleka kujiona hafai kit anakuwa na msongo wa mawazo so madactar watumie busara zaid kuwatia moyo wagonjwa 😢
@ndugudaudimlelwa3648
@ndugudaudimlelwa3648 2 ай бұрын
Daktari anapaswa kutoa taarifa na kuweka bayana ukomo wa uwezo KIDAKTAR, HAKIKA INAPASWA IWE KWA BUSARA, UPENDO NA KUHUSUKA. Kama hapa, Daktari hakusema HATOPONA. but alisema BILA OPERATION HATOPONA ( YEYE ANAELEZA KAMA DAKTARI). LAKINI TUNAJUA MUNGU HANA UKOMO, YEYE ANAWEZA YOTE. HUTUPONYA NA MAGONJWA YOTE. ZABURI 103:3
@MokamiPouline
@MokamiPouline 2 ай бұрын
Mungu awape nguvu ndie tu mfariji mkuu​@@ndugudaudimlelwa3648
@christinmueni4370
@christinmueni4370 2 ай бұрын
Mm ni doctor na kua mkweli ni vizuri haina haha kudaganya
@BazozaEphraim
@BazozaEphraim 2 ай бұрын
Mungu awa fariji familia ya zabroni na kundi la zabroni singers ❤ basi mungu ame amuwa yawe ovyo Mc bazoza Ephraïm toka Rdc Goma
@Mokiwa
@Mokiwa 2 ай бұрын
Labda sijui kiingereza, Dr anapomwambia mgonjwa you can't make it huwa ina maana gani??🤔
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 2 ай бұрын
Sambili Asubuhi Hadi saa sita usiku duuu ni Upasuaji hatari huo Poleni sana.
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 2 ай бұрын
Tatizo lilikua kubwa
@YunisJerald
@YunisJerald 2 ай бұрын
Nimejifunza kitu hapa Doctor Jinab amekuwa anatuambia tucheki afya hata kama hatuumwi.Poleni familia watu ndio hivo sku hizi tunatembea tukiwa tumekufa hatujui ni Mungu ndio anajua.😢😢
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 2 ай бұрын
Mungu ameumba na Mungu ametwaa....Buriani Marco J🙏
@Milianstore23
@Milianstore23 2 ай бұрын
Acheni kulaumu watu jamn,tatizo watu wabongo wengi hamjanyooka mkidanganywa ndo mnafurahi, afadhali walimwambia iliafanyiwe matibabu kwa uharaka asidelay, hayo mengine yanatokea tu na tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake.
@lucylight9341
@lucylight9341 2 ай бұрын
Asanteni sana wauguzi kwa kujaribu kuokoa maisha yake Marcos, you did your part and God did his part... Mungu ndie huponya na wakati huu aliponya marcos maisha hivi hatawai umia tena . To the family nad Friends na waumini wote poleni sana . All we have to do is accept that it has happened and Marcos is fine with Christ . He's just sleeping not dead . Watanzania wote poleni sana . lala salamanMarcos tutakumis akhi .
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 2 ай бұрын
Woi PR yangu hupiga 149 to 150😢 pressure huwa 96/65 mara mingi Mungu nisaidie but my Dr Cardiologist hunipa ushauri ninywe maji kwa wingi kuzuiya pressure kushuka zaidi
@verombwambo3703
@verombwambo3703 2 ай бұрын
Ila madaktari msiwe mnamwambia mgonjwa unaweza kufa usipofanya hivi Ile lazima mgonjwa awe na mawazo mnatakiwa mumtie moyo ikiwezekana na mnatanguliza Dua kabla ya yote
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 ай бұрын
Kwamba uambiwe utapona,,,madactari wazoefu wanajua hutoboi wanakuambia usali utengeneze njia yako, unaandaliwa kufa ukiwa unajua,,,,,mungu atusaidie Sana,,magonjwa mengine pia ni inheritance hayahitaji uchokozi
@husnazahorohusna3905
@husnazahorohusna3905 2 ай бұрын
@@MurunguwetoshaDeheavenila bora aseme mnatakiwa msali muombe op imalizike salama mungu atujaalie tumalize salama ila mgonjwa ukishamtakia kufa lazim pressure kama mimi nikisema nahisi tofauti niende hospital kupima tuu muda wakupewa majibu pressure hiyo 😅yani mpuzi napata kwa shida moyo unaenda mbio yani tafrani ila halipangalo mungu binadamu huwezi pangua
@catherinekihengu2420
@catherinekihengu2420 2 ай бұрын
Rip
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Nchi ya ughaibuni nilipo unaambiwa wazi kabisa hali halisi, hata kama umebakiza siku 2 unaondoka wanakwambia kwa hali hii hauwezi kufikai kesho kutwa😢 inatisha lakini ndio ilivyo
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Lazima mgonjwa aambiwe ukweli ili atoe ruhusa ndio taaluma inataka hivyo
@kezzybett1142
@kezzybett1142 2 ай бұрын
How can you tel a client that he wont recover? Mshindwe sana Nyinyi ndio mlimuua
@MichaelMhagama
@MichaelMhagama 2 ай бұрын
@AliceJepkogei
@AliceJepkogei 2 ай бұрын
​@@MichaelMhagama😅😢😢
@georginahongayo
@georginahongayo 2 ай бұрын
😂😂😂waah💔
@MATIKO9640
@MATIKO9640 2 ай бұрын
Poleni watanzania kwa msiba mkubwa,😢😢
@nyangetamusibha8991
@nyangetamusibha8991 2 ай бұрын
Alaafu madaktari kwann hata kama mnajua tutakufa hatuponi kwanini mnatupatia hizo taarfa jamani dah😢😢😢😢
@RosieNgina
@RosieNgina 2 ай бұрын
But amesema walimwambia lazima afanyiwe operation bila hio haweziishi kwa muda
@mariamlasseko1517
@mariamlasseko1517 2 ай бұрын
Poleni sana zabron tulimpend lakin Mungu kampenda zaid ❤ 3:28 3:35 3:36
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Mungu HASHINDWI NA JAMBO ...MUNGU NI MKUU SANAA...ANAPONYA ANAWEZA ....
@jamesmaseno8709
@jamesmaseno8709 Ай бұрын
Ndivyo hata mimi nilisema juzi ,mambo ya moyo ni jambo la dharula halingengojewa hadi kurudi Tz ,la ! Angepelekwa eldoret kenya huo mdaa wote ulitumika kwa barabara hadi tz haukustahili pole familia inaumia hata nazi tumeumia sana.
@mercyigoki7056
@mercyigoki7056 2 ай бұрын
Naomba hata kesho madaktari msimwambie mgonjwa kuwa hataweza kupona...this word finishes someone
@ndugudaudimlelwa3648
@ndugudaudimlelwa3648 2 ай бұрын
Kwamba wadanganye !!... Bila upasuaji ni 100% kifo (kidaktar) , matokeo ya operation ni 50% chanya... Inapasa mgonjwa ajue , ili achafue. HII INATHIBITISHA DAKTARI HAPONYI, ANASAIDIA TU MAUMBILE, DAKTARI SIO MUNGU BALI N MTUMISHI WA MUNGU. MWENYE KUPONYA NI MUNGU TU. DAKTARI HAWEZA KURUDISHA WALA KUONDOA UHAI, NI MUNGU MWENYE UAMUZI.
@ndugudaudimlelwa3648
@ndugudaudimlelwa3648 2 ай бұрын
Nadhan Jambo la msingi , ni Jinsi taarifa inawasilishwa na Daktari. Hii hutusaidia kugeuza tumaini letu lote kwa MUUMBAJI PEKEE, na ndipo miujiza beyond science hutokea.
@mercyigoki7056
@mercyigoki7056 2 ай бұрын
@@ndugudaudimlelwa3648 I now understand
@josephineusui1114
@josephineusui1114 2 ай бұрын
This doctor is so casual kwa kuogea
@JohnmsopoleJohnmsopole
@JohnmsopoleJohnmsopole 2 ай бұрын
Nyie jk hamuwez operation hzo mnaua Sana watu weng kwann msikubal tu hamuwez mungu alitaka kumuokoa mtumishi wake Kama angetibiwa Kenya tunaamin asingefarik lakn hospital za Tanzania government ni tatizo mkubal msikubal mfn Leo watu wanaogopa peleka mgonjwa mloganzira wanapaita ni machinjion serikal itafakal sna
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
Huyu kibaraka.. Hakuna ubigwa kwa udaktari.. aache sifa nyingi.. Njoo uone vifaa na specialist Kenya wame tulia na elimu kubwa. .. Marcos agetibiwa kenya tuu... That was an emergency.. Bona alimshauri kusafiri kurudi TZ...
@MeryHumay
@MeryHumay 2 ай бұрын
Polen sana familia .Nilikumpendaga sana Marco sauti yake ilikuainabarik sana
@ruthyaysha4376
@ruthyaysha4376 2 ай бұрын
Very painful,rest in peace 🕊️
@NeemaMkwemba-ws9du
@NeemaMkwemba-ws9du 2 ай бұрын
Binadamu c mungu,, mnawasema bure ili hali nimapenzibya mungi tu,, mbona hata operation zingine ndogo mtu anakufa??sembuse hiyo kubwa ya moyo
@VickyMasunga
@VickyMasunga 2 ай бұрын
Kwa kweli mm huwa siwaamini madactar ,mm nachojua siku yake ilitimia
@AjabuLiberius-o3k
@AjabuLiberius-o3k 2 ай бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi Amina
@SharonRotich-ox4nu
@SharonRotich-ox4nu 2 ай бұрын
Poleni sana mungu awafariji😭
@dominicongeri5254
@dominicongeri5254 2 ай бұрын
Kwa nini alirudishwa tanzanian na kena tunazo hospitali za hali ya juu na wataalam waliopopopea katika paswaji wa moyo jameni
@jeffowinostv3981
@jeffowinostv3981 2 ай бұрын
Je Tanzania mko na utalamu wa heart surgery kweli? Or mlikua mnafanya experiment kwake? Kwani panya ziliisha za kufanyia experiment
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 2 ай бұрын
Nkt
@MokamiPouline
@MokamiPouline 2 ай бұрын
Kazi ya mungu haina makosa pumzika kwa aman ndugu marko
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 2 ай бұрын
Jamani Jakaya ni hosptl i ya kiwango cha kimataifa Nchi toka kusini na west Africa wote wanatibiwa hapo hata vyombo vyao havina tofauti na vya India tusilaumu tatizo lilikuwa kubwa sana Aorta ni mshipa mkubwa sana😮
@MokamiPouline
@MokamiPouline 2 ай бұрын
🎉 0:22
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 ай бұрын
Nchi zetu bado sana kutibu magonjwa ya mayo. Mbona mimi Kuna Doctor hapa USA hiyo ndo kazi yake na kila siku anapasua mioyo ya watu na huwa wanapona tu. Wakati mwingine hatui kitu gani kimetokea wakati wa upasuaji mana hiyo ni sehemu hatari sana
@AliceNielsen-mi1oc
@AliceNielsen-mi1oc 2 ай бұрын
Tatizo kubwa la hospitali za Afrika ni ukosefu wa vifaa vya kisasa....😢
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 ай бұрын
@@AliceNielsen-mi1oc yes hiyo pia inachangia
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
These doctors caannot escape to be blamed... ..lets not be naive... Thats manageble with proper cath labs, Standard OTs and expertise... Period.. Kenya was an easier option..
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
Madaktari wa Africa Bado Mbona USA watu hawafi.hapo hapo kabla ya kupona?ni nini kwetu??
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 ай бұрын
Maisha ya mtu wyako mikononi na mwa Mungu si madaktari wa Africa au USA
@Mkrist
@Mkrist 2 ай бұрын
Mimi ni daktari hapa Marekani na watu wanakufa every day. Acha uongo.
@frankgilagiza1083
@frankgilagiza1083 2 ай бұрын
Operation ilianza saa mbili asubuhi, ikakamilika saa tano usiku. Itoshe kuamini madaktari walifanya yote kuokoa maisha ya Marco
@joycelinekobero7724
@joycelinekobero7724 2 ай бұрын
@@frankgilagiza1083 For sure,masaa mengi mno,maana yake ilikuwa operation ngumu na kubwa
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Unaishi Marekani ipi wewe? Hii hii ya Biden? Usiongee usichokijua watu wanakufa sana.
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 2 ай бұрын
Nlshasema tuwe makini na marafiq zetu........ friends are your enemies rip Marcus
@candiesalm8995
@candiesalm8995 2 ай бұрын
Marafiki wamefanya nin sas😢
@roselineharrison6919
@roselineharrison6919 2 ай бұрын
Eti rafiki kafikaje sasaaa​@@candiesalm8995
@GracieTyno
@GracieTyno 2 ай бұрын
@@candiesalm8995😂😂😂😢
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 2 ай бұрын
Kabla ya kwenda hospital, niku mwomba MUNGU ukutane na madaktari wenye hofu ya MUNGU
@RashidMussajuma
@RashidMussajuma 2 ай бұрын
Mungu alimuumba Marcos na ndie amemuhitaji
@AgnessKikaja
@AgnessKikaja 2 ай бұрын
Mungu watie nguvu madakitari wote maana mnapambana namengi
@dorahmramba5264
@dorahmramba5264 2 ай бұрын
Sasa mliokoa maisha ama mlimaliza maisha ..rip marcos
@frayy5595
@frayy5595 2 ай бұрын
Vip wewee daktar anatibu tu kuponya n ya Mungu
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
WAlimaliza😱😱😭😭
@mwinjemwinje1016
@mwinjemwinje1016 2 ай бұрын
Taarifa kwamba hatopona asipofanyiwa operation mngewapa ndugu na sio mgonjwa! Huenda hiyo taarifa labda ndo ilimfanya b.pressure ikashuka.... anyways RIP 💔💔
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
HAWEZI KUPONA NYIE NDIO MUNGU?
@DaudLucas-qj3mp
@DaudLucas-qj3mp 2 ай бұрын
Hakuna ubobezi viongozi wangekuwa hawaendi kufanyiwa oparesheni nnje mnafanya vitu vya kubahatisha siovya uhakika hata ndugu wa Marcos walikuwa hawawaamini .
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
Huo ndio ukweli.. Na shangaa anajisifu na amepoteza mgonjwa... Hio ni kiburi.. Ikiwa huwezi mwenzako anaweza.. Pole kwa familia sio hawa madokta wa sifa tuu...
@MonicaErickChipungahelo-ol4ql
@MonicaErickChipungahelo-ol4ql 2 ай бұрын
Poleni saaaaaaaanaaa ndugu wafiwa na wote tulioguswa na msiba huu. Ila tutambue tuu kwamba uhai wetu upo mikononi mwa Mungu na akisema ndio hakuna wa kupinga. Tuzidi tuu kumwomba Mungu na kuangalia hatima zetu. Kwani tumeona hata wapendwa wetu wengi wametutangulia na wengine hata bila kuumwa na wengine waliokuwa wakiumwa Mungu amewaponya. Jamaaaaaniiii tusilaumu madaktari kwani uhai wa mtu uko mikononi mwa Mungu. Poleni saaaaaaaanaaa wanafamilia na wote tulioguswa na msiba huu. R.I.P Marco. Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. Ameeeen
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 2 ай бұрын
Dah polen sana ndgu jamaa na marafiki
@salcle9702
@salcle9702 2 ай бұрын
Madokta wa tz mmmmm mungu awake mkono tu.
@benjaminkundy128
@benjaminkundy128 2 ай бұрын
Kufa kupo sasa lawama A nini? Kwani na wewe si utakufa tu hebooo
@BilioneaofsafaritvKenya
@BilioneaofsafaritvKenya 2 ай бұрын
poleni sana ndugu wapendwa 😢😢😢😢
@alexabuya3488
@alexabuya3488 2 ай бұрын
My condolences to the family and friends of Zabron singer poleni sana kwa kumpoteza mpendwa wenu Marcon Joseph mungu awarehemu😭😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢Rest in peace 🕊️🕊️
@NehemiahNyagaka-jq1vg
@NehemiahNyagaka-jq1vg 2 ай бұрын
Ogopa marafiki waongo kama madaktari
@RosieNgina
@RosieNgina 2 ай бұрын
Huyu ni daktari pia ni relative wake
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
Then hakufaa kuwa attending physcian.
@Dutwacomedytv
@Dutwacomedytv 2 ай бұрын
Huo ote ni uongo mumemuua
@AliceNielsen-mi1oc
@AliceNielsen-mi1oc 2 ай бұрын
Daktati huyu hata haonyeshi huzuni yoyote...mwe!😮
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
Madaktari ni Hivyo
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 2 ай бұрын
Hata ulaya ukitibu mgonjwa unatakiwa uwaambie ndugu hata mgonjwa mwenyewe progress ya ugonjwa wake sidhani kama yeye magonjwa aliambiwa direct itakuwa ndugu ndio waliambiwa hio operation kupona ni asilimia 50 mlitaka awadanganye kuwa lazima atapona?
@jeremiahlotukoi6918
@jeremiahlotukoi6918 2 ай бұрын
Mbona hangetibiwa kenya surely
@AnnieProsper
@AnnieProsper 2 ай бұрын
Ogopa mtu anaevaa miwani💔💔
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
RIP Marco😭
@DaudLucas-qj3mp
@DaudLucas-qj3mp 2 ай бұрын
Hata yule dada mwimbaji mwenzako angekipeleka kichwa chake kufanyiwa upasuaji hapo ingekuwaga imebaki sitori lakini kwasababu alienda India mpaka Leo yupo.
@danyohanatv1926
@danyohanatv1926 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@maryamtan682
@maryamtan682 2 ай бұрын
Unamaanisha kwamba?
@kolisonkolison3681
@kolisonkolison3681 2 ай бұрын
ACHA KUJIDANGANYA KWENDA INDIA SIO KUPONA, NA KUPONA SIO KWENDA INDIA. mtafute MUNGU!
@danielngove
@danielngove 2 ай бұрын
​@@kolisonkolison3681Wale ni very special...
@JOSEPHPETERMACHOTA
@JOSEPHPETERMACHOTA 2 ай бұрын
Kweli kabisa Mimi wabongo siwamini
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 2 ай бұрын
Hapo ndipo mnatakiwa watu kuwa naongozi wenye kujua afya yabinadam nimuhim kuliko chochote leo hii tungekua na dktr tusingekua tunaongea haya
@rwa877
@rwa877 2 ай бұрын
Rip. Marko zabron. 😭😭
@elgaotieno7210
@elgaotieno7210 2 ай бұрын
😭😭😭😭 sad
@mamatifah1504
@mamatifah1504 2 ай бұрын
Mngemuacha tu Kenya afanyiwe upasuaji....Tanzania hamna madaktari bado na hivyo ndio Marco ameenda tuu so sad 😭😭
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 2 ай бұрын
Ni mapenzi ya MUNGU, madaktari wa Tanzania ni wasomi zaidi na wanajua zaidi hata Kama sio wengi usipende kudharau vya kwenu hata India, Marekani, Ufaransa, Uingereza watu wanakufa tu.
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 ай бұрын
We ulishatibiwa Kenya
@lizycoltd286
@lizycoltd286 2 ай бұрын
Uko Kenya ndo pumba kabisa 😂😂
@ndugudaudimlelwa3648
@ndugudaudimlelwa3648 2 ай бұрын
Inasikitisha Sana kuwa na mtanzania anayezungumza hivi!.. Laiti ungekuwa Daktari,....!!.. Laiti hata ungemjua huyu aliyekuwa akiongea.. ungeongea Kama mtu mwenye busara , na kupenda wa - kwake. BWANA AMETOA , BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE. MUNGU AWE FARAJA KWA FAMILY, MARAFIKI , MADAKTAR, WAUGUZI NA WOTE WALIOHUSIKA. MUNGU AWABARIKI.
@Leonanda318
@Leonanda318 2 ай бұрын
Kenya doc wa roho Ako wapi😅😅😅ama we ni daktari
@EvelineAnyango-nv9rw
@EvelineAnyango-nv9rw 2 ай бұрын
😅polen mungu avaient nguvu
@lilianchambua5839
@lilianchambua5839 2 ай бұрын
Kazi ya Mungu Haina makosa
@MichaelChongolo
@MichaelChongolo 2 ай бұрын
Hapo kuna mwl wetu mmoja amefia hapo mwezi nne kwa kupasuliwa sasa shida nini JKIC
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
Vifaa na majivuno... Km huyu hapa ni professor... Bado sanaa..
@MediatrixAnyango-w7b
@MediatrixAnyango-w7b 2 ай бұрын
😢😢😢😢RIP MACRO 😢😢😢
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
MWEEE MNGEMPLKA INDIA PENGINE ANGEPONA JAMANI DHAMBI
@geraldgwaje8967
@geraldgwaje8967 2 ай бұрын
Dah
@AndreaMatwiga
@AndreaMatwiga 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@mchmwal...z.a.ndelwa7838
@mchmwal...z.a.ndelwa7838 2 ай бұрын
Kumbe ukiumwa moyo hakuna kufanyiwa upaleshi kwani kupona 50,%na kufa 50% Kwa hiyo ni heli nisifanyiws tu Pole family hii Maisha ni maisha Maisha ya maombi kwakweli Yaweza tuvusha 😢
@phoebemoraa3369
@phoebemoraa3369 2 ай бұрын
Nyinyi ndo mlimua how a professional doctor unakua na energy ya kuambia the patient that you can't make it 😢😢
@mamatifah1504
@mamatifah1504 2 ай бұрын
Sababu hawakujiamini walikua wanajaribi so sad😭
@MercelaAdoyo
@MercelaAdoyo 2 ай бұрын
Haki Marco angeachwa kenya
@lukasimbaya7342
@lukasimbaya7342 2 ай бұрын
Ni bora huko angepona
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 2 ай бұрын
Hivi madaktari wa leo mnamwambiaje mgonjwa eti huwezi kupona badala ya kumpa hope na sio kitisho? Hao waalimu wenu wanatokea dunia gani?? Hamjui kuwa HOPE inamfanya mgonjwa sushi?badala ya kumkatisha tamaa kwa Gifu ya kufoka?? Nyakati za mwisho!!!!!
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 2 ай бұрын
Huwezi kupona Bila upasuaji
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 2 ай бұрын
Hujamuelewa kasema usipofanyiwa hio operation utakufa.Ila si kitu cha ajabu mfano wagonjwa wa cancer wanaambiwa tu kuwa tumejitahidi na sasa hamna kilichobaki tena tutakuweka comfortable tu mpaka mda ukifika hapo wanafamilia teyari mnajua ndo imetoka hio na hata mgonjwa anapata uelewa so unadungwa dawa za kupunguza makali ya process ya kufa sababu vinavyoanza kufa ni organs moja baada ya ingine mwisho mapigo yanakata mda mwingi mtu huyo anakuwa amelala .Nimeiona kwa baba yangu
@Milianstore23
@Milianstore23 2 ай бұрын
Walimwambia hawezi kupona kama hatofanyiwa operation,means ilibidi wafanye maamuzi haraka isijekuwa late,lkn yote kwa yote shukran kwa kila jambo,wacheni kulaumu watu.
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
Lawama lazima...hakuna kitu amesema huyu.. utepetevu tuu hapa... Kijana mdogo 32 yrs...dont interfere if you know you cannot manage.. Kuna mwenzako anaweza kirahisi.. Mpe hio nafasi..
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 2 ай бұрын
Daktar mwenyew wa mchongo huyuuuuu
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 2 ай бұрын
Acha dharau bhana, huyo ni Professor na Amesoma sawa na madaktari wote wazuri unaowajua wewe. Huyu Daktari hana mbwembwe tu
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
😢
@MokamiPouline
@MokamiPouline 2 ай бұрын
Mokami
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 2 ай бұрын
Msilaumu madaktari kwanza ni mdogo sana kupata ugonjwa huo ni ngumu kwakweli wasukuma ni wachawi sana wamemmaliza kijana wawatu hivi hivi kanda ya ziwa ni wachawi mnoo hapana aisee
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 2 ай бұрын
Kweli kabisa hapo na mapepo yanahusika na walivyomtamkia atakufa naye akakiri ntakufa akapata hofu shetani akapata nafasi ya kumaliza kazi nyie
@julybwana2844
@julybwana2844 2 ай бұрын
Kazi yake mola haina makosa
@RoselyneMogeni-zg8wz
@RoselyneMogeni-zg8wz 2 ай бұрын
😭😭💔💔
@Waky-h8u
@Waky-h8u 2 ай бұрын
From saa mbili Asubuhi mpaka takribani saa Tano usiku, saa saba,alitoka. Ok. Operation ilikuwa mzuri, (those are 15hours) 3:51 OMG.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Kuna mwaka flan uliongeaga kama msemaji wa familia wakakuwakia familia ile je leo wam3kuruhusu kuongea kama familia au?
@AjabuLiberius-o3k
@AjabuLiberius-o3k 2 ай бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi Amina
@omanmobile5746
@omanmobile5746 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@Fridahthinji-sm2hh
@Fridahthinji-sm2hh 2 ай бұрын
😭😭😭
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 84 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Harusi ya Japhet & Alice
2:46
Angel Films
Рет қаралды 68 М.
Marco Joseph - Daktari (official video)4k
3:17
Marco joseph family
Рет қаралды 1,8 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 84 МЛН