DOGO ANAYEINGIZA ELFU 30 USIKU AKIIMBA BARABARANI DAR - AFUNGUKA MSOTO - ''WATU WANANITUNZA''...

  Рет қаралды 10,545

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@globaltv_online
@globaltv_online 2 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@osiahstimah
@osiahstimah 5 сағат бұрын
God is good soon tutakuona kwa big screen usjali kaza❤
@HanifaChalresy
@HanifaChalresy Күн бұрын
Daah hatari sana dogo Mungu akupe njia upo vzr sana
@majidyjames1245
@majidyjames1245 2 күн бұрын
Huyu jamaa nilimuonaga coco anajua sana
@Wizzymp
@Wizzymp Күн бұрын
Bila kuchokaaa mdog wangu
@joycechilumba2370
@joycechilumba2370 3 күн бұрын
Mungu mkubwa usijali utafika mbali
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 2 күн бұрын
Kabisa
@PeterBaton-x7b
@PeterBaton-x7b 2 күн бұрын
Pam Pambana Sana hataMm Nimeingia Bongo Nikilala Njee kwenye box Nikijifunika Na kiroba hila leo Nalalia bed Safi TV Yani Full geto
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 2 күн бұрын
Mungu akusaidie big up💪🙏
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 күн бұрын
Mungu hasaidii. Masaa uko ndani ya kuishi. Sis ndo tunatakiwa kusaidiana. Tukishindwa kusaidiana tutaharibikiwa
@EmmanuelMaweda
@EmmanuelMaweda 3 күн бұрын
Wakupe kazi sio mhojiono
@HussainMaula-l1s
@HussainMaula-l1s 2 күн бұрын
Anahitaji kushikwa mkono % 80 ya waliofanikiwa wameshikwa mkono.
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 күн бұрын
Sana bob ukiwangojea akina Master Flan mmmmmh utasota sana bro
@NyandaEndelea
@NyandaEndelea Күн бұрын
Huyu dogo nampata vizuri huwa wako wawili huwa wanachana sana
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 2 күн бұрын
Hiyo kazi haihitaji meneja 😂😂😂
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 сағат бұрын
Muandalieni interview nzuri
@EmmanuelMaweda
@EmmanuelMaweda 3 күн бұрын
Samu uko vzr
@MaryFlorence-t3m
@MaryFlorence-t3m 2 күн бұрын
Sasa c ungemwacha agemalizia story😢
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 2 күн бұрын
Excellent
@MussacharlesSongo
@MussacharlesSongo 2 күн бұрын
Dogo yuko vizuri
@chdyjr3619
@chdyjr3619 5 сағат бұрын
Familia yetu kbsa anatulisha sana mabibo
@EmmanuelMaweda
@EmmanuelMaweda 3 күн бұрын
G ubalikiwe
@osiahstimah
@osiahstimah 5 сағат бұрын
Jamaa ana nidhamu
@reubenshaban6488
@reubenshaban6488 Күн бұрын
Mngeweka namba yake tusaport sisi dogo anajituma sana
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 10 сағат бұрын
Kwani huskilizi hadi mwisho ila unakombilia commet tu
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 10 сағат бұрын
Kabisa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 күн бұрын
Hongera sana 🎉
@JoyceHosea-m9r
@JoyceHosea-m9r 13 сағат бұрын
MUNGU ninaemuamini akatimize kila ahadi aliyoahidi kwako 2025 mdogowangu
@saimooyahya
@saimooyahya 2 күн бұрын
Nakubal utafka mball 🎉🎉🎉
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 күн бұрын
Nimemuina juzi mabibo
@GeorgeMachota
@GeorgeMachota Күн бұрын
huyo dogo anapatikana mabibo sokoni muda mwingi
@manoramatv858
@manoramatv858 8 сағат бұрын
Mungu ni mkubwa
@VotanVotan-gb3hd
@VotanVotan-gb3hd 7 сағат бұрын
🎉🎉salit
@manoramatv858
@manoramatv858 8 сағат бұрын
Brother ake wizy nampata ni mtu poa sana namba yake nnayo huwa tunawasiliana.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Сағат бұрын
Bola ivi mwnangu kuliko kuiba
@Iam_fadheel
@Iam_fadheel Күн бұрын
Huyu janja namna anavyoongea tu hsina haja ya kuumiza kichwa kujua namna gani ana kipaji na hiphop yasni ni mc na nusu anajua knoma
@DanielBaraka-j9p
@DanielBaraka-j9p Күн бұрын
Hii comenti nilikosea kwenye clip jamani ilikuwa niya clip nyingine kabisa
@DanielBaraka-j9p
@DanielBaraka-j9p 2 күн бұрын
Yaaani wewe ni mtumwa endelea kuenzi mzungzu maana ndio mume wa rugha yako iliyokuja na meli, huna ata aibu eti unajivunia kujua kiingereza, yaani wewe unaionea huruma tanzania wakati sisi ndio tunawauzia chakula chenye ladha,wee ni mtumwa wa mkoroni endereeni kuwaramba matako wazungu na lugha yao ambayo mmeifanya imekuwa lugha yenu ya inchi ya kiafrika
@JosephMndeme-vb2hp
@JosephMndeme-vb2hp Күн бұрын
Mmmmh nyokoo
@winner_bite
@winner_bite 10 сағат бұрын
Bro naomba namba zake nimpush japo ngoma mbili
@Kajunachannel
@Kajunachannel 8 сағат бұрын
Namba kataja hapo mwisho sikiliza
@Andrew-j6r5p
@Andrew-j6r5p Күн бұрын
🎉🎉🫶🙌🙌
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 193 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
BSS 2024 SE15 EP03 UGANDA | FULL SHOW
1:00:09
BongoStarSearch
Рет қаралды 69 М.
MAISHA DUNI FAMILIA YA PACHA WALIOTENGANISHWA, BABA AJITOKEZA
21:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.