Bongo zozo......nimependa show Yako...Mimi natoka Mombasa Kenya 🇰🇪❤
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
Am TZ 🥰💯❤BONGO ZOZO OYEEEE PENDA SANA WEWE🇹🇿
@lilialitukaposho39032 жыл бұрын
ÀLLO USA !!!✋🇺🇸🇨🇦 SALAM RAFIQ MI NA FURHAYI SANA UNAWONGUEYA NA KUSEMA SWAHILI SHUKRAN HABIBI SWAHILI NI MUZHURI SANA NITA KUYA OMAN KU KHULA 'ASMAK 🐬🐠🐡 SALAM ✋
@fatmasaid97653 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kutuonesha ziyara ya bongo zozo hapa oman
@BIGBOSS-hl3bu2 жыл бұрын
Fatma hi
@safiamohamed6352 жыл бұрын
Mashallah asante Kwa wewe mpemba wawap
@mudrik1852 Жыл бұрын
Sikufikiria kwamba watu wa Oman wanaongea keep Swahili kama hivi aloo dah🇴🇲❤️❤️🇹🇿
@sultanaaa6348 Жыл бұрын
Thank you my man for this video
@maryaika96452 жыл бұрын
We love this content
@yohana1242 Жыл бұрын
Very good
@khadijahali48373 жыл бұрын
Unasema jua kali ukija kipindi cha jua kali ungeweza kutembea hvy ww 😂😂
@ZanzibarKamiliTV3 жыл бұрын
😂😂😂 Hii ni shidaaa
@janethpallangyo26332 жыл бұрын
Vizuriiiiii sana
@mwitikelvin47342 жыл бұрын
Bongo zozo utanimaliza na kichecko😁😂😂😂🤣🤣, eti huyo msichana amefanya nini tena?
@heriethaissa59722 жыл бұрын
😂😂😂
@mouzahal-alawi64743 жыл бұрын
MashaAllah
@salehsuleiman12182 жыл бұрын
Nchi zenye Iman na Dini ndio zenye utulivu wakutosha
@suleimanmuhammed4655 Жыл бұрын
Usilolijuwa ndugu uliza waliokwenda watakwambia
@twahaally19692 жыл бұрын
bongo.zozo.genous sana...
@mpishieuropa39412 жыл бұрын
Nimefarahi kuona mjamaa akatokea kongowea Mombasa ni kwetu pia.
@brianskidrewe62622 жыл бұрын
Mashalah
@mamafau39962 жыл бұрын
Jamani kumetulia Sana na vpi wafanya kazi huko wako vzr
@suleimanmuhammed4655 Жыл бұрын
Usije ukajaribu kwenda au ndugu yako
@allymwinyi9702 жыл бұрын
Huyu Bongo zozo tunajivunia, ni ndugu yetu sisi Watanzania na shemeji yetu pia na zaidi ni nembo ya Tanzania.
@BIGBOSS-hl3bu2 жыл бұрын
Kwa usafi huo nchi itaepukana na maradhi ya mlipuko maashallah
@kinged98622 жыл бұрын
Bongo Zozo we ni noma
@jafarinahonyo73492 жыл бұрын
🤣🤣🤣hapo kwenye mademu sasa
@michael7163 Жыл бұрын
Kiswahili kitukuzwe 🇰🇪
@FatmaFatmA-qk3zl2 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@ommymcoastent.50852 жыл бұрын
Bamburi, 😂😂 naishi bamburi 🇰🇪 home
@mvungijuma20252 жыл бұрын
mombasa moja
@youngbob97612 жыл бұрын
Oman raha sana Wallah
@ranman49102 жыл бұрын
From tz makumbusho Dar es salaam
@maryaika96452 жыл бұрын
Hii poa
@lucykristensen71452 жыл бұрын
Kwani Lazima upige makelele..? 😜😜
@suleimanmuhammed4655 Жыл бұрын
Hao waarabu kwa siku moja huwezi kuwajuwa kama ni washenzi hao ukiishi nao utajuwa kama hao watu ni nyoko
@mohamedally453510 ай бұрын
𝙣𝙞 𝙖𝙠𝙞𝙣𝙖 𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙤 𝙢𝙧 𝙨𝙪𝙡𝙚𝙮𝙢𝙖𝙣
@w4058 Жыл бұрын
Tutahadharini sana na akina hao bongo zozo hao wanatumiliwa na CIA bila sie kujuwa tukae nao kwa umakini sio kila kwenye nyeti zetu tuwaoneshe
@khalidallynganzojr16762 жыл бұрын
❤❤❤
@issakawaya83152 жыл бұрын
Raha ya miji ya kiislamu
@maryaika96452 жыл бұрын
Thannks
@salumybieber30292 жыл бұрын
Kilimanjaro coffee
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Wee mwehuuu
@salha65962 жыл бұрын
Bongo zozo njoo na irak
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
😂😂😂
@tamaduni2 жыл бұрын
Tudumishe usafi jameni east Africa
@burhaanmamboleo35512 жыл бұрын
Huyu jamaa Tanzania iwe makini nini kioo nyuma yake!!?
@Globalsportschannel-ca2 жыл бұрын
una akili za kimasikini sana
@consokeic14722 жыл бұрын
iiiiiiii🙄🙄🙄🙄😁🙄du mawazo finyu.
@magesamo36042 жыл бұрын
Kiswahili cha kimataifa, Sasa hao wabongo wanapata nini huko?
@ummutaswaufi39802 жыл бұрын
Hili joto la Oman ni balaa Hio hotel ipo sehem gan Cku moja tuje kutembea