TUMEPIGA STORY NA DOTTO MAGARI ATOA OVYO KALI KWA BABA LEVO NA JUMA LOKOLE NA MWIJAKU #carrymastorytv #babalevo #jumalokole #mwijaku
Пікірлер: 102
@1wernerweck7 ай бұрын
DOTTO WETU HUKU EUROPE TUNAKUPEDA
@kombakomba79228 ай бұрын
Doto tuonee huruma kila nkiingia mtandaoni we ndio wa kwanza kukuangalia, Big up bro
@user-hf1wo3zd2m8 ай бұрын
Uy jamaa angepata elimu
@kombakomba79228 ай бұрын
@@user-hf1wo3zd2m Yani angekuwa tishio aanzie English course tu mjini watu watahama
@ShabaniSalehe-iu3vnАй бұрын
Yan ata mm napenda sana kumuangalia
@1wernerweck7 ай бұрын
DOTTO Europe tunakukubali from München
@Rajabukajutikajuti8 ай бұрын
Iforensa brother sisi tunakuelewa...
@jamesriwatuvana95618 ай бұрын
DAH JAMAA ALIE ENDA KWAKO MWANANYAMALA KUMBE "PANCHA"😂😂😂😂
@user-zb2mj5nd5g8 ай бұрын
Daa jamaa anaongea huyu hatariiii
@deogratiusjosiah76598 ай бұрын
Si mzarami🤣🤣🤣
@tomafrank11618 ай бұрын
Doto magari hatali sana kiboko
@user-zb2mj5nd5g8 ай бұрын
mnaoshindana na mzaramo nawapa pole, hawa jamaa kumlomo ndo kipaji chao 🤣🤣🤣🤣🤣
@leviskiwanga90708 ай бұрын
Na hapa ipooooo😅😅😅😅
@davidrulobhavako85518 ай бұрын
Huyu mwamba ashakuwa mtu mkubwa ni miongoni mwa watanzania 🇹🇿 wenye ushawishi mkubwa mitazamo babu kubwa mtu sio nyau👍
@arafatkasu2 ай бұрын
Kabisaaa Yani
@noahnsubc16668 ай бұрын
akiinama anapiga mruzi 😂😂😂
@epmzmusifiwar66948 ай бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥 DOTTO MAGARI 😂😂😂😂😂😂😂
@matimfuko6418 ай бұрын
Kwan Mwalimu and Shira GANI Mbona anadharau HUYU MTU teaching is a noble proffesion Kweli atakuwa hajasoma ndo maana anadharau walimu.
@fatmaabeid96688 ай бұрын
🤣🤣dotto anatufurahishaaa😂😂 eti mirunzi😅😅😅
@abdull_hafidh8 ай бұрын
Hili jamaa hawaliwezi Dotto shindikanaaaa
@rehanijuma14218 ай бұрын
Doto magari 😂😅 big up broo hawakuwezi wale wote wana maisha ya kufeki wewe mzawa halisi babkubwa broo
@user-jv5os6ip6e8 ай бұрын
Dotto nakukubali sana mwamba❤❤❤❤
@eclinemaro11418 ай бұрын
Ila doto , 😂😂😂😂😂😂 noma sana
@frankdanford82458 ай бұрын
Doto ndio faraja ya Tanzania 😂😂😂
@MudiAlly-hw5wo8 ай бұрын
Hahahahaha mwalimu kafanyaje😂😂😂😂😂😂❤❤
@arafatkasu2 ай бұрын
Mkubali huyu jamaa yanii
@abdull_hafidh8 ай бұрын
Bon hiya hiya😂
@user-mo3xs7fh3e8 ай бұрын
Mtoto wa mama kizimkazi
@user-tw7sh4iw7f8 ай бұрын
Nakukubali sana mzee wa kizikazi
@Andrew-nf1yl2 ай бұрын
Pambana dotto magar
@user-xq5mx9if4w8 ай бұрын
Inflolensa sio influencer 😂😂
@abdull_hafidh8 ай бұрын
Mwambie juma lokole aje mkapime serekali ijue nani mwanaume kati yako na yeye
@zakayodismas2518 ай бұрын
Uyuuu jamaaa nimekugundua hana cha kusema maan kaguswa pabayaa alafuu piaa. Mdomo mwingii , ilaa ina maishaa magumuu 😂😂ila ndugu zake wanampelekaa mjinii b levoo bar hanagwaaa Huyuuu heheebheeheheee 😅😅😅😅
@pascalsinje8 ай бұрын
KONTEKT.....😂😂😂😂 DOTO MSENGE SANA
@xavioutfit36118 ай бұрын
Doto jeshi la mtu mmoja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ChristinaOnditi-el3xo8 ай бұрын
Eti baba levo kakatiwa umeme 😮 kwani bd Kuna umeme unaokatwa jamani au Mimi Niko nyuma ya sayari hii ya ndio maana Sina taarifa
@Mchuzimbodze8 ай бұрын
Jamaa ako n confidant Atari yani n fluezer
@jamalnnunduma84278 ай бұрын
dotto ❤
@thetas088 ай бұрын
Huyu hawamuezi kitu kimoja huyu mualisia hafichi na hafake na watu wote wanamuona anauza magari dalali na anapata Sana matangazo watu wanamueleww hao wengine hawaeleweki kazi zao shughuli zao ni kulelewa sana mjini kulipiwa kulipiwa Kila kitu then huyu wa mjini sana na kuongea hawamuezi go on dotto u will be another lever soon mdogo wangu
@bahatisanga88908 ай бұрын
Wachane hao we in ukweli kabisa
@user-wi5wj2yh5m6 ай бұрын
Wewe ni mrarahoi tuuu kama sisi mbona tumerizika
@user-ju7zd6ht2j8 ай бұрын
Anatembea na sandosi km mwalimu Hassani 😂😂😂😂
@user-se5rz8fh6f7 ай бұрын
Awe dogo noma 😂😂😂😂
@witnesskagirigiri37638 ай бұрын
Hizi hasira ni za kuambiwa ukweli.binzari lkn maisha 0 ufifeki maisha.
@JacklineNamundengozi8 ай бұрын
But he has never faked his lifestyle from the word go unless you are just a hater 😏
@tushuhassan38098 ай бұрын
Doto aja fake maisha yani awamuwezi napa ipo 😂
@MosesMogaka-yw8zn8 ай бұрын
Mzaramo mjanja
@hizamawa60468 ай бұрын
Kwamba punga😅😅😂😂
@witnesskagirigiri37638 ай бұрын
Mtu akifikiwa nyumbani kwake lazima awe mkali
@rahimhemed33708 ай бұрын
Kumesha haoooo machoko
@maujanjatzonline47248 ай бұрын
Uyujama hawamiwz wauche😂😂😂😂
@raphaeloloo96418 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ati ukiinama unapiga mluzi ndio waogopa nyumba ya gorofa tz sitaacha kuwasikiza